Hii ni mwisho wa dhunia ! Mimi naona yakuwa huyo kijana wake (bwana Yake) ndhiyo aliye taka kulala na mama Yake kwa NGUVU ! Huyo mama hana hata NGUVU, huyo kijana wake ana mrape mama Yake . Na sifahamu kwa nini Muna sema wameowana ? Nani kawa funga hiyo ndhowa ? Na sifahamu pale amesema wazazi wali fariki, (At: 4:29) Ni wazazi gani hao ano sema ? Hii ni La'na, kubwa Sana, Sasa watasema ni uchawi ambao ni haramu, Huyo kijana wake ni kuwa alimrep kwanguvu huyo mama mzee ! KWA NINI WASICHANA WATOTO WA HUYO MAMA WASIJUWE MAMBO HAYA , ???? Wame owana kwa 10 yrs. Haya majaabu, hata mjinga asiye na dhini yoyote hawezi kufanya haya. Huyo mwanaume ame malazimisha huyo mama Yake mzee ambaye hana NGUVU alale naye ! Thanks for sharing ! Nime penda Sana vile huyo reporter anavo waulize mazwali !
Mungu awasamehe na awaongoze njia ya haki. Kama kweli wamejua kosa lao, wamejuta na hawatarudia tena basi Mungu no mrehumu huenda akawasamehe. Ewe Mungu wetu tusamehe makosa yetu na kila alie wetu. Ameen.
ata wakiachana lakin dhambi ya uzinifu wanayo,ni chukizo na gadhabu mbele za mungu..subirini hukumu ya mungu..ivi hakuna wanawake mpaka ulale mamako mzazi? mungu hafurahii kabisa tendo na tendo hilo
Duuh ukishangaa ya amber rutty. Ya binti ndembwa zaidi... Uma wa sasa umemshinda hata firauni 😂 😂 shetani mwenyewe atoa chenji kwa karne hi 😂 😂 😂 mungu tuongoze waja wako
Huu ni ukesefu wa elimu na dini. Shetani kaahidi kutuangamiza duniani na akhera. Na tunaweza kimshinda shetani kwa njia mbili tu. Elimu na kuicontrol nafsi kwenye maasi. Alhamdulillah kwa neema ya dini. Hakuna dini hata moja inayokubaliana mambo kama haya
Elimu ya urai ni muhimu itolewe ili watu watambue wajibu na mipaka yao ndani ya familia na kwa Jamii nzima. Pia Viongozi wa Dini wahimize Jamii umuhimu wa kujua maandiko ya vitabu vya dini juu ya kujua Mwenyezi Mungu ametukataza nini na ametuelekeza tufanyae nini, hii itasaidia watu kuijtambua na kutambua wajibu wao.
Sasa watoto hawo ni wadogo wako au watoto wako . Mungu akulaani duoniani n'a akhera wewe ni mnyama mkubwa kesho Rudi tena uzae n'a hawo watoto mbwa wa msitu hichi kibibi unaona mchawi hasa wauweni Watu kama hawa
subhanallah.. ndio mana mitihan na mabalaa mengi yanatokea kwa matendo yetu wanadam.. hivi kweli mtoto wa kumzaa mwenyeo ukamvulie nguo. innalillah wa inna ilayh rajiun.. ya rabbi tusamehe waja wako.. ombeni toba kwa wingi.
Asanten tz kwa akili hizo kukataza mapenz Kati ya mama na mtoto asanten saaan ❤❤❤❤❤.sio kana jilan yetu hapo .
Walianza kichawi sasa yamekuwa wazi duh maisha haya mungu atusaidie
Hiyonilaanahaifutikimpakaahera😭😊😊😊😊😊😊😊😊
Mungu wangu haya ni majabu ya musa😮😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Dooooooh kweli hiii ni laana kubwa sana mama kumgeuza mtoto mume na mtoto kumgeuza mama mke
Mama na mtoto wote ni wendawazim
Jacob Costantine kweri wote hawana hakili. Au niwarozi.
Hii ni mwisho wa dhunia !
Mimi naona yakuwa huyo kijana wake (bwana Yake) ndhiyo aliye taka kulala na mama Yake kwa NGUVU !
Huyo mama hana hata NGUVU, huyo kijana wake ana mrape mama Yake .
Na sifahamu kwa nini Muna sema wameowana ? Nani kawa funga hiyo ndhowa ?
Na sifahamu pale amesema wazazi wali fariki, (At: 4:29) Ni wazazi gani hao ano sema ?
Hii ni La'na, kubwa Sana,
Sasa watasema ni uchawi ambao ni haramu, Huyo kijana wake ni kuwa alimrep kwanguvu huyo mama mzee !
KWA NINI WASICHANA WATOTO WA HUYO MAMA WASIJUWE MAMBO HAYA , ???? Wame owana kwa 10 yrs.
Haya majaabu, hata mjinga asiye na dhini yoyote hawezi kufanya haya. Huyo mwanaume ame malazimisha huyo mama Yake mzee ambaye hana NGUVU alale naye !
Thanks for sharing !
Nime penda Sana vile huyo reporter anavo waulize mazwali !
Ingekua ni huku mngechomwa, mna bahati nyinyi sio wa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu awasamehe na awaongoze njia ya haki. Kama kweli wamejua kosa lao, wamejuta na hawatarudia tena basi Mungu no mrehumu huenda akawasamehe. Ewe Mungu wetu tusamehe makosa yetu na kila alie wetu. Ameen.
Hatari sna Siku za mwisho ,zimewadia. Tumuombe mwenyenzi mungu atunusuru.
uyu mama ndie alinzunguuka huyu kijana masikini, uchawi si utu. Allah atuepushe asituandike pamoja nao.
Duuuuu,mungu wangu
ata wakiachana lakin dhambi ya uzinifu wanayo,ni chukizo na gadhabu mbele za mungu..subirini hukumu ya mungu..ivi hakuna wanawake mpaka ulale mamako mzazi? mungu hafurahii kabisa tendo na tendo hilo
Tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu. They seem to be good and honest people.
Eh Mungu! Haya kama sio masharti ya uchawi basi ni maradhi ya akili. Mungu utuokoe
Mtihani Sana,mm naona huyu jamaa na mama yake ni wachawi hakuna kitu kama hichi duniani wanao fanya hivyo ni wachawi peke yao.
Duuh ukishangaa ya amber rutty.
Ya binti ndembwa zaidi...
Uma wa sasa umemshinda hata firauni 😂 😂 shetani mwenyewe atoa chenji kwa karne hi 😂 😂 😂 mungu tuongoze waja wako
Huu ni ukesefu wa elimu na dini. Shetani kaahidi kutuangamiza duniani na akhera. Na tunaweza kimshinda shetani kwa njia mbili tu. Elimu na kuicontrol nafsi kwenye maasi. Alhamdulillah kwa neema ya dini. Hakuna dini hata moja inayokubaliana mambo kama haya
Kama umemwona bibi na upole ule kama unajua kala zimisha twende pamoja mungu yupo
huu ni ukosefu wa hofu ya mungu.
Duuuh!
Mtihani na msiba juu 😭😭😭
Elimu ya urai ni muhimu itolewe ili watu watambue wajibu na mipaka yao ndani ya familia na kwa Jamii nzima. Pia Viongozi wa Dini wahimize Jamii umuhimu wa kujua maandiko ya vitabu vya dini juu ya kujua Mwenyezi Mungu ametukataza nini na ametuelekeza tufanyae nini, hii itasaidia watu kuijtambua na kutambua wajibu wao.
Hii basi ndo ishara ya ukingo wa dunia..walai wakbalai mungu aiongoze dunia upya..!
Wamezalalisha ummaa😂 ametuzalalisha
It fun kwa topic nyingine n nyingine inasikitisha ,n sielewi kiswahili kingine
Mungu Mwenye Nguvu na Mamlaka Twaomba utuhurumie. Twaomba toba ya msamaha kwako kwa kuwa wewe ni mwingi wa rehema.
duh, mbaya sana, haipendezi, nafikiri huo ni ushirikina
daaaaaaaa mama mtu mzima huyu jamani mzeee sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 uyo kijana unapata laha gani jamani khaaaa maana mzeee
Jehova wanyonyi🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Huwo ndio ushenzi wa mwisho tuseme Nani mnyama katika wawili ukiona hizo sura za huyu kijana zinafana n'a kitendo chake
GOD of mercies..🙆🙆🙆
This is isane shocking, prayers needed constatly
Dunia kwishaaaaaa!!!!!
kudekeza watoto wa mwisho
Maoni yangu hapa ni Sheria ya Kiislamu uchukuliwe kama, Mama auwawe na mtoto wauwawe
Mmmmmmh!keel dunia INA mambo toka kitambo na ukiiga waweza toka kapa!
Ngojeni muone dunia ikiisha.....bado huyo mama ana nguvu ya kuenjoy uridha????? Noma sana
waTanzania Jameni. mKenya asoelewa itikadi. Seattle.
Ama kweliii dunia iko mwishooo mungu tusameheee waja wako
Nikama mtoto alimufanya vizuri
baba pole sana, huyo mtoto wako ana akili timamu? there is prohibited marriage in tamzania, the one like
Nice drama! Nampongeza mtunzi wa mchezo huu wa kuigiza!!!
😂😂😂😂😂😂😂
Hahahhaha nilimpenda sanah
Ni WAJUMBE WA LUSIFER WTU KAW
Kichaa Huyo shetani mkubwa . akafungwe
Ooh my God
Mmhhh dunia simama nishuke wallahi
ni shidaah!!!!
Amelogwa akili na mamaake wanasema niuchawi Bibi ndo atakuwa aliaribu akili zamwanae
Luna viru vingi huko vijijin ukiwa huko ndo unawaza kuyajua sana
hehehehehe hiyo ni kali waadhibiwe na watumwe jangwani kwa mafisi hawafai kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa katika ulimwengu
This is a case of a mother who is suffering from dementia and a son who is psycho. The son needs professional help, not judging
Sasa watoto hawo ni wadogo wako au watoto wako . Mungu akulaani duoniani n'a akhera wewe ni mnyama mkubwa kesho Rudi tena uzae n'a hawo watoto mbwa wa msitu hichi kibibi unaona mchawi hasa wauweni Watu kama hawa
Daaaah Dunia Simama Nishuke
God help us 🙏
whom shal we condemn n even pastors that have to pray ndo wana act 2 badly
Huyo ana lana
Subhanallah
Shetan ashindwe kwa jina yesu hiyo laana
Uyu itakua alikua akimlazimisha uyu mma yake na kumtishia kumpiga
Waassaat
nyinyi mmelogwa, uchawi kabisa, sijawai sikia mambo kama hayo
watanzania mnavituko ..mambo kama hayo kenya haiwezi tendeka..NEVER
Wacha umbea yapo tena mengi sana wangapi Kenya hii wamezaa na mama zao wacha ukwale wako
laaaanaaaa wakubwa haoo mwenyez mung atawaadhib
Shocking
Hayo ni maajabu,,,Astaghfirullah,,Astaghfirullah,,Astaghfirullah ladheem
Subhnallah 😭
subuha alla yarab tusitir
Duh mtihani mkubwa huu mama unazini na mwanao uliemzaa
Inalillahi wainailahi rajuun
kiukweli ubinaadam kazi unalala nA MAMA //////
Hichi ninachosikia na nyie wenzangu mnaskia au
subuhanallah
Mama ndo wakulaumiwa
Innallillahi wa innaillah rajiun.
Duh.
ukosefu wa dini ndio tatizo. hawa si waisilamu wala Hindu wala cristo wapo wapo tu hapa duniani.
subhanallah.. ndio mana mitihan na mabalaa mengi yanatokea kwa matendo yetu wanadam.. hivi kweli mtoto wa kumzaa mwenyeo ukamvulie nguo.
innalillah wa inna ilayh rajiun.. ya rabbi tusamehe waja wako.. ombeni toba kwa wingi.
daaa
uja maaa krezi sana
Fatma Zanzibar yani wallh dunia imekwisha subhanallah haon hata kinyaa mama mtu mzima
Mh hata aibu haoni mama yako basi astaghfirullah subhanallah
Kweli hii laana na hivi kwani wakristo wanaruhusiwa kua na zaidi ya mke mmoja
that's rubbish
Hahahahahahaha hawana waswas vijana ao
huyo kijana akatwe sehemu yake ya siri by harry
kwishineyi
Njooni huku giriama mtto amemtomba mamaake mpaka amezaa nae sasivi wanaishi wote
Nipe namba yako ya simu, nataka nilifuatilie jambo hili. Je ni kweli?
nilipoangalia tu mazungumzo ya mwanzo nilidhania wazi haya sio mambo ya kawaida ni kama mambo yanayohusishwa na uchawi au nguvu za giza
jamani,,,,dunia gani hii tuipitayo!!!!!!
Kwa mama ndembo ndibelile
Hunahatahaya
😂
yaani huyu kaka bwege kweli
Pamoja sana watuwangu
Yarabi tunuxuru wengine tuokoe yarabi
This is so wrong on so many levels..that woman is soooo old and that guy is obviosly on hard drugs..meno hamna
hivi ndivyo dunia in a thin it I shaky a mwisho
Huu ni uchawi na ni laana hata kwa mungu
INNALILAHI WAINNA ILLAHI RAGIUN
washindwe kwa jina LA yesu .mapenzi gani haho njia aliyopitia babaako nawe upitie uhuuuuu hatariiiiiiii sanaaaaaaaaaa
Hao ni wanyama wapo kwenye umbile la binadamu,maana wanyama hawana mipaka ya kujamiiana.
IGNORANCE IS THE PROBLEM
huyu mama hayuko sawasawa..kuna shinda ya kiakili..sio kawaida...
Tunduma noma
world has come to an end
Inatisha sana
Saitani chafu!!
Hata meno hana
Mwisho wa dunia yashaanza kuonekana
jamanii dunia imeisha duuuuuuuh
Washenzi hao hawamuogopi hata mungu.