PART1:MCHAWI ALIEPATA DEGREE YA UCHAWI TOKA GAMBOSHI AELEZA MAISHA YA UCHAWI NA MATUKIO YOTE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 28

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 2 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana kumuona huyu ndugu hapa

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว +7

    Hallelujah Yesu n Bwana na Mwokozi wetu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mocranaburugi3486
    @mocranaburugi3486 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ulikywa inaboa ya zamani ya kumuuliza uliza maswali badala ya kuacha asimulie tu mwenyewe kama sasa hivi mnavyofanya, hongereni kwa kubadili mana hii nilikuwa sijaangalia😅 bora mmebadili style

  • @gamaneliphaz7716
    @gamaneliphaz7716 2 ปีที่แล้ว +4

    asante kwa kutuletea mtumishi wa mungu

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว +6

    Gamboshi ndio kwenyewe,huko ulaya ya wachawi #zabron

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +1

    mkono wa nuru wa mungu ulihusika sehemu 😊asante davistar mata we love you bro 💙 endelea kutulisha God words na ma Big stories 🤝🌹

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +2

    Na ndio maana viongozi wenu wa serikali huwa hawana imani wala hawajali kabisa jamii wao kazi yao wamegombea ukubwa au uongozi kwa ajili ya kula riba na kuwadanganya wananchi.ili wapige pesa za wananchi na sheria zao wamepewa ili wasihudumie watu katika shida zao. Wao wapo tayari kusaidia michezo na miziki Tu na kuchangia mapesa ktk mashindano ya umisi

  • @samsonmgonja4014
    @samsonmgonja4014 2 ปีที่แล้ว +3

    Davista hiyo kinanda ungetoa sauti

  • @PatrickChnace
    @PatrickChnace 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @johnwari4557
    @johnwari4557 2 ปีที่แล้ว +2

    Watching from gulf

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr facts tupo pamoja

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว

    Duu kumbe nililogwaaa!!maana nilikuwa simpendiiii mara heeee cjui hata kilitoea nn nikawa nampenda Mpka,,!!!

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว

    daaaaah sio kweli kwaimani yangu mimi sio kweli kabuni tu kuongea

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa pamoja

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @eliyaerick5182
    @eliyaerick5182 2 ปีที่แล้ว

    @davista
    Tunashukuru vipindi unaleta n vizuri na vya kujenga Mungu akubariki
    Lkn jarb kuongea na baadh ya supporters zako kwenye comment matusi ya kushindania dini yamezidi kwa Kasi
    Something which is not good at all
    Nakazia tu cz naona waty wanamtukana
    Yesu easier mjua na kumtukana Allah wasiemjua pia and hakuna dini inayosaport matusi 📌📌📌

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi ya hiyo kitabu ya falka Meshark aliongelea sana

    • @morrismo8212
      @morrismo8212 2 ปีที่แล้ว

      Na alienda wapi, inafaa tumuone tena.

  • @lolojunior5808
    @lolojunior5808 2 ปีที่แล้ว

    Kafanana sana na dr remi ongala

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa nikama alikuwa promover tv.wacha tufuatilie

  • @aobasha1
    @aobasha1 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa kutuletea mafunzo haya. Tafadhali jaribu wakati wa kufanya video editing, punguza sauti ya background music.

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 2 ปีที่แล้ว

    BWANA YESU asifiwe 🔥🤔anataja " wija" kama dawa ya kisukuma.. kuna michezo ; an occultic game call " oui ja " ..🤔wa sukuma wana dawa ina itwa " wija "..??may be it's just a coïncidence ??

  • @giantscapital521
    @giantscapital521 2 ปีที่แล้ว

    Napolioni farika kwa kingereza ni nini ?

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 ปีที่แล้ว

    Sawa