KAULI YA JPM ILIVYOBADILI UPEPO COCO BEACH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2019
  • Kauli ya Rais John #Magufuli kwamba mradi wa kuendeleza ufukwe wa #CocoBeach, jijini Dar es Salaam hauna tija, imewafariji wafanyabiashara wa eneo hilo.
    Wafanyabiashara hao walikuwa wakihesabu siku za kufungasha virago. Ni baada ya kupewa notisi ya siku 45 kuhakikisha wanaondoka kwenye eneo hilo kupisha ulioitwa ‘mradi wa kimkakati’ wa kuendeleza ufukwe huo.

ความคิดเห็น • 1

  • @coco_beach_garden
    @coco_beach_garden 4 ปีที่แล้ว

    Mh ,Rais wetu magufuli tusaidia tunaonewa sana uku