MCHUNGAJI MWEMA-Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu-DUCE (Official Video-HD)_tp
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2021
- Dar es Salaam University College of Education (DUCE) - UDSM
Song: MCHUNGAJI MWEMA
Composer: Fortune Shimanyi
Organist: A.J.Myonga
Singers: Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu-DUCE
Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es salaam (DUCE)
AUDIO & VIDEO by Tanganyika Productions
Call us: +255 762380376
www.tanganyikaproductions.co.tz - เพลง
Ugandans gather 🥳🥳muntadde mu mwoyo
Mungu awabarki sn
Mungu awenanyi nyote daima
Hongera ndg zangu.
Beuryful
th-cam.com/video/ZtaapwRf-_E/w-d-xo.htmlsi=q9ldhrLV96ZB3VBa this one is also good
Geoffrey mosocho :ujumbe mzuri mno.be blessed
Yesu kweli ni mambo yote! Dj Wyma here
Kwakweli hakuna kanisa Lililo imba vizuri😊
Yéyé djo mchungaji mwema milele n'a milele
The problem with me is the language 😢 😢 😢 😢 but everything is perfect, all Catholic can we gather here and praise the Lord. Am so proud to be Catholic
Thanks 👍 and the main key massage.... Jesus is our shepherd to us.
Kama wimbo ulivyomzur namaisha yenu yawe matakatifu... mbarikiwe!
Niwanaimba kwa iman tele wabark
iwe
Hongereni sana kwa kuendelea kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo, Bwana Yesu awabariki sana
ayiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!ni Yesu mucungaji mweeeeeeeeema milele yote
Hongereni Sana
Asante kaka...1Comments
Asante kwa kuwa wa kwanza kucomment
Nyimbo nzuri sana Yesu mchungaji mwema
Hongereni sana. Mmeweza kumtumikia Mungu katika siku za ujana wenu. Mungu awabariki.
Barikiweni nyinyi wote.
Najisikia faraja sn ninaposikiliza nyimbo hizi, Mungu awabariki sn
Mwenyezi Mungu anayebariki watu wake na awazidishie wingi wa neema na baraka zake
Weeeeee something hot 🔥 on ground..good work.
Hongeren sana
Kazi nzuri sana. Hongereni
My favorite catholic song up to now..we love you from Kenya
Nawapenda Sana muhungu awabaliki
Iko vizuri hiyo hongereni
Hongera kwa wanakwaya wote mana mmeimba vzl
Ubunifu mzur sana na nyimbo ni nzuuuuuriiii sana,,,,, asante sana
nice mixed voice
Kweli yesu mchungaji mwema atulinda kila tuendapo tangu hatujazaliwa yy atulinda
Sauti zimekwenda shle ,,,,,napenda sana
Napenda nyimbo zenu nabarikiwa nikiwa kenya❤❤❤❤🎉
Hongereni kwaya ya Duce mlipofikia Mungu Ni mwema
Daah! Munqu awabarik kw nyimb zenu zuri awazidishie
Baraka❤💞👍
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri
Safii Sana mmependeza
Pongezi za dhati pokeeni. Naye Yesu mchungaji mwema avibariki vinywa vyenu mzidi kusambaza sifa zake kwa njia ya uimbaji.
Amina
Kama nyimbo ilivyoo nzuri basi na maisha yenu yawe hivyo hivyo
Mungu mzuri najivunia Ukatholic
Mungu akumbarki
Nzuri kwel
Mnaimba vizuri sana na ujumbe tumeupata mbarikiwe sana
Jina la Yesu linatukuzwa
Big up sana
Ila uyu Myonga huyu hahahahahahaha salute kwake
Hongeren kwa utumishi uliotukuka
Mmpendeza sana asanteni mnasauti nzuri kweli
Jesus Lord you,are coming, make me feel,positive
Vraiment j'aime la chanson,, je suis du Congo Kinshasa
Hakika Yesu ndiye mchungaji mwema kazi nzuri sanaaaaaaa, tp wapo na ubora wa asilia inapendeza sana
Kwasa
Waooooooh nzuri sanaa
hangereni sana
Ahsanteni sana kwa unjilishaji kwa njia ya nyimbo.Mungu awabariki sana!!
Na furaha kuwa mkatoliki jmn 🙏🙏
Aksante saaaana kwa wimbo bora
Hongera sana Kwa wimbo mzuri wana wa mungu
Alleluia Bwana mchungaji bariki hii kwaya…..
Jamani ongera sana kwa mwimbo mwenye ujumbe mzuri mungu azid kuwatia nguvu watumishi wak👏👏👏👏
Mbarikiwe sana
Mungu awaongoze na awazidishie mema yote myatendayo🙏
Mambo ni fireeeeeeeeee
Hongera sana kwa mtunzi, waimbaji pia mpiga kinanda, hakika mmefanya kaz yenu ipasavyo
Hongereni ni mwimbo mzuri xana
Wimbo mzuri mno jamni,adi rahaa
❤
Hongeleni. Nawapenda. Munooooo
Nawapenda bure Mungu awabariki ❤❤❤❤❤
Hongereni kazi nzuri
Endeleeni kutupa maneno ya Mungu.. Mnazidi kukonga nyoyo zetuu
Safiiiii.... ! Safi sanaaaaa..!!🙏🙏
Namshukuru Mungu kwa sauti nzenu nzuri za kuimba,mungu awe nanyi milele.
Hongereni wimbo mzuri
Mubarikiwe San kwa muda wenu mulioutoa kwaajl y Mungu
Nice song mchungaj mwema hakika mmetisha mno
Mungu awabaliki iwapatie upendo🙏🙏🙏
Hongera sana. Kazi nzuri.
Duuuuh mmedamsh mpaka raha hongereni nawarembo wamo
Wanaimba vzr sana, mwenyezi mungu awabariki mzidi kuimba zaidi ya hapa.
Wow hongera kwa wanakwayaaa*ntakujaa kujiungaa
Mungu awaongezee kipaw
Hongera sana my sister ubarikiwe sana Kwa kazi nzuri ya mungu 🎉🎉
Mwenzenu ninapousikiliza wimbo huu najisikia kama niko dunia ingine sio hapa hasa Tanzania sijui niwasifie kivipi waimbaji hawa Mungu awabariki sana mkapate nguvu zaidi.Kucheza kwenu kunaniacha hoi, nikiwa sinafuraha nafunguwa YTB kuusikiliza wimbo huu nafrijika saaaana.Big up friends.!!!
Kweli hakuna anayeweza ila mungu pekee
Kazi nzuri najiona haikuwa rahisi tulikimbizana na test
Bright job
Pale sekunde ya 47 hadi 49
Kaz nzur mung atawalipa
@@rozadinamwaluko8498 Amina
Hongera Sana mungu awabariki katika kueneza injili ya BWANA.
Mubarikiwe sana na wimbo mzuri
Bien propre félicitations
Vijanaa mungu awatangulieee katikaa utmee wenuuuuu mbarikiweee sanaaaa madamaaa wanguu mariethaaa na phauster hongeriniiii sanaaaa
Mmefanya kweli na imefanyika kweli,,,,,,,,hongeren sana na MUNGU awabariki
Kweli.yesu.ni.mchungaji.mwema.tena.sana
Kazi nzuri sana hii.nawapongeza kutoka Kenya
Kwakweli Amna kanisa linaloimba vizuri kama Romani yani ❤sana Romani kanisa la kipekee mnoo
mbarikiwe kwa wimbo wenye ujumbe mzuri
Yaani wimbo upo kiwango!!! Sichoki kuiangalia! Hongera sana vijana. Tujitahidi kumpa Mungu wetu muda. Ili kuimba vizuri, nilazima kujitoa na kushiriki mazoezi kikamilifu. Mbarikiwe sana. Pongezi waliwa kwaya yenu.
Mungu lazima ashuke kwa wimbo huu
Hakika Mungu ni mchungaji mwema
Yesu ndiye mchungaji mwema
Amina,mbarikiwe kwa kazi nzuri
Hongereni, vijana wimbo mzuri sana. Endeleeni na moyo huo huo kumwimbia Mungu. Sauti mmepewa bure mtukuzeni na kumsifu.
Typo pamoja Wana chuo kuendesha jahazi la mchungaji mwema commention from student of univercity of cucom mbeya
Kazi nzuri
Nabarikiwa san nanyimbo za kiroma
Hongeren sana kwa kazi nzr ya uinjilisha
Very nice colleagues 🤗,I can see Muyonga..hongereni sana
hakika mmejitahidi kuwarudiaha hata walevi kanisani. hongereni.
Pongezi nyingi kwenu