Mnafariji mioyo ya watu iliyopondeka. Full shangwe huku kwetu ni furaha mnoooo nyimbo ni nzur Mungu ampe miaka Mingi mtunzi wa nyimbo. RC HATUKO NYUMA JAMAN. DAIMA MBELE
Mimi Ni mkatoliki kabisa hii nyimbo inanikumbusha mbali Sana kipindi hicho Niko tabora nilikua mwenyekiti mkuu wa kwaya ya vijana parokia ya kashishi ahsanteni Sana Wana kwaya wenzag
Best choir beatiful people, ila kwahii choir kuna kijana mmoja hapa nikimuona spati usingizi nadhani anaimba bass namevalia shati nyeusi na ako na tudevu tulefu upande wa chini penda wewe sana much love from kenya
Hii ndo top three yangu katika uimbaji...👇 1 Mt. Kizito Makuburi, 2 Mt.Kizito Makuburi and 3 Mt Kizito Makuburi. You guys are so talented and awesome... Mnanibariki sana, niko na ndoto ya kuimba kwaya hii...Mungu nipe uhai na afya Amina🙏
Nishangweee.......Nishangweee....Nishangweee...nifuraha...Nishangweee kubwa....wimbo huu unanituliza moyo...heko kwenu na kwa mwalimu mkuu B Mukasa...najivunia kuwa mkatoliki
Bernald mkasa hujawai kosea hata cku moja m/mungu akupe maisha marefu uzidi kutuinjilisha kupitia Nazi zako hizi na hic mungu hakukuleta duniani bila kusudio lake nskupenda Sana
Bernard Mukasa, you are a great man in the history of Catholic faith...in Love with every single song sung by your choir(s)...This song 150 is in my blood, listening to it day and night....God bless you, God bless St. Kizito, God bless Tanzania.
We Mukasa wee you're killing me. Makuburi nyie ni bora kila siku katika moyo wangu. Kaka Mushoboz nakuona katika ubora wako. Mungu awabariki sana sana.
jamani mimi ni msabato huu wimbo siwezi kulala bila kusikiliza hizi saut nzuri za Roman Cotholic mbarikiwe sana
Yaani huyu Mwl kila kazi yake huwa ni Kali sana. Hongera sana baba Bernard Mukasa kwa kazi yako nzuri.
Furaha ya injili ni kushirikishana amina
Heko Watanzania Wakatoliki! Tumsifu Yesu Kristu!
Mt kizito haijawai kuniangusha mungu azidi kuwapa nguvu na imani tele
ukiacha kuimba pia wanajua kupangilia mavazi.....hawa na mererani are my best quoirs ever
It’s back on!! Haleluya
Mnafariji mioyo ya watu iliyopondeka. Full shangwe huku kwetu ni furaha mnoooo nyimbo ni nzur Mungu ampe miaka Mingi mtunzi wa nyimbo. RC HATUKO NYUMA JAMAN. DAIMA MBELE
Tumsifu. Yesu christu .tujichunge na corona wa Kenya
Mimi Ni mkatoliki kabisa hii nyimbo inanikumbusha mbali Sana kipindi hicho Niko tabora nilikua mwenyekiti mkuu wa kwaya ya vijana parokia ya kashishi ahsanteni Sana Wana kwaya wenzag
Kiukwl nabarikiwa sana hiz nyimbo
huu wimbo jamani ni mpya kila iitwapo leo................................
My mom loves this choir so so much I want to kumpeleka tz next year kuwaona tu na aimbe na nyinyi najua atafurahia Sana.. Congratulations makuburi
Bernard Mukasa umeshushwa kutoka mbinguni kuja kumsihi Mungu duniani..!
Très émotionnel encore Bravo.
Je ne comprends pas le swali , mais Très impressionné. Encore merci. Je suis du Togo résident en Allemagne.
Duh km namuona Mr.B.mukasa duuuuh ww kwel kipajiiii baba
Bila shaka ni SHANGWE!!!!!
HONGERA! TENA NA TENA! .MAULANA AZIDI KUWA BARIKI NYOTE KWA KAZI NZURI. HONGERENI SANA TENA NA TENA. miye Joe Muriithi
ahsante bwana kwaajili yawaimbaji.
Safi sanaa
Mubarikiwe na bwana waimbaji
Tiako be ilay hira (Madagascar) I like this song. Gloire à Notre Dieu Eternel
Mungu atujalie aman kwaresima hii
Bernard Mukasa hakika we we ni tunda LA roho Mtakatifu nyimbo hazipoi Mungu azidi kukubariki ktk utume huu wa uimbaji
Sana yaani
I love this song 🎉karibuni makadara parish
MWENYEZI MUNGU ATUKUZWE KATIKA UIMBAJI
Best choir beatiful people, ila kwahii choir kuna kijana mmoja hapa nikimuona spati usingizi nadhani anaimba bass namevalia shati nyeusi na ako na tudevu tulefu upande wa chini penda wewe sana much love from kenya
Hii ndo top three yangu katika uimbaji...👇
1 Mt. Kizito Makuburi,
2 Mt.Kizito Makuburi and
3 Mt Kizito Makuburi.
You guys are so talented and awesome... Mnanibariki sana, niko na ndoto ya kuimba kwaya hii...Mungu nipe uhai na afya Amina🙏
Jamani hawa watu wabarikiwe tu maana dah,sina cha kusema kweli
Wimbaji mzuri,, keep it is up Ndugu wenzetu.
Dah!!!! Mkasa ni shida kwakweli Mungu akubariki sana na kwaya
Yaani natamani kurudi kuimba kwaya tena
hamjawahi kukosea Mungu azidi kuwapigania katika kutangaza neno lake kupitia uimbaji
Pongezi Makuburi muko mbele Sana.. keep up
Wimbo mzuri sana. Viva mtunzi comrade Benard Mukasa na waimbaji. Kweli mmeutendea haki huo wimbo.
Hongereni sana soon najiunga nanyi
Wimbo nzuri sana
Keep the spirit you people,,
Yaan kila mda najukuta kuutama huu wimbi natabasam peke angu
Mungu awajalie katika utume wenu❤
Mbarikwe
It’s the tribute to the prelates for me. The 2 Cardinals and the high ranking Tanzanian officials at Vatican.
Congratulations for a job well done 👍✅
Iko juu sana
Kazi nzuri sana wana Makuburi. Hongera. Mungu awabariki
Félicitations . c'est agréable.vous être où ?
Wimbo huu unanibariki sanaaaa...Mungu awabariki Kwaya na Kizito na Wasikilizaji wote watakao usikiliza wimbo huu. Amini kwenu
Acha nijivunie kuwa mkatoric kiukweli raha sanaa
Mungu awabaliki
Mapendo daima.....karbuni cngda
2024 miaka 150 bado inainjirisha vyema kabisa hakika mt. Kizito mmebarikiwa natokea parokia ya Bunju BMMK jimbo kuu la dsm
Milele amina
Hongera injili itasonga mbele
Makuburi mko Safi Sana. Tunapata baraka kupia nyimbo zenu kabisa.
Miaka150yakuhusu jibilie yetu wachristu waromani katoliki tumshukurumungu kwaji bilei iyi nishangwe kubwa ongereni kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Nishangweee.......Nishangweee....Nishangweee...nifuraha...Nishangweee kubwa....wimbo huu unanituliza moyo...heko kwenu na kwa mwalimu mkuu B Mukasa...najivunia kuwa mkatoliki
Wanakwaya nko vizur sana
Kazi nzurii sitachoka kuaiangali hii kazi ya miaka 150 ya uinjilishaji
naombeni flash yenye nyimbo zenu
sijui naipataje....
It's 2023 bado sijawahi choka kusikiliza this song 🙌🏾❤️💯
Hii Choir Kizito Makuburi ikiongozwa na Bernard Mukasa ni 🔥🔥🔥🔥wa kuota Mbali from Kenya but currently Niko Qatar
Wow wow Mungu awabariki
Huu wimbo mzuri kwenye sabufa utapenda
Waonje faraja ya kanisa, tuko nao pamoja siku zote.......Furaha ya uinjilashaji jubilei👏👏👏👏
Najivunia kuwa mkatoriki jaman raha
Bernald mkasa hujawai kosea hata cku moja m/mungu akupe maisha marefu uzidi kutuinjilisha kupitia Nazi zako hizi na hic mungu hakukuleta duniani bila kusudio lake nskupenda Sana
Mkasa hujawahi kosea hongera sana endelea kufanya kile mungu amekutunuku tuko pamoja
Hongereni sana kwa nyimbo nzurii zakumtukuza Mungu
Mungu hawabariki kwaya hii kwa zawadi ya kipaji cha kipekee cha uimbaji inatupa moyo walimu wadogo kama sisi.
Mungu azidi kuwapa nguvu ya roho mtakatifu mzidi kumtumikia kwa njia ya nyimbo
Mungu Awabariki
Hongerni Sana kwaya mnapiga nyimbo za miondoko ya kisiasa kabisa,Mna Mwalimu aliyebobea kwenye muziki hivyo mna haki ya kufunika!
Hakika tuendelee kuwaombea na kuwatunza mapadri wetu
Amina, Hakika Bwana atawabariki sana, ni shangwe kwelikweli
mmetisha sana ndugu zangu ninyi ni zaidi ya wanakwaya hamjawahi kutoa boko
Nimepata historia nzuri Sana.Wimbo mgumu lkn wanakwaya wameutendea haki.hongereni sana
Ngoma jaman zinavosikika❤❤🎉🎉😊😊😊😊❤❤❤❤
Waimbaji mlo vizuri endeleeni kutuinjilisha mbalikiwe sana
Mbalikiwe sana makubuli jamani mko vizuli sana naipenda sana hii nyimbo
Furaha ya uinjilishaji ....barikiweni sana ...I like the song ...tuwatuzeni mapadre
Kwaya ya mtakatifu kizito hongereni sana na Mungu awape pumzi mzidi kumtumikia sikuzote maana kuimba ni sihemu mojawapo ya sala Mungu awabariki.
🥁🥁. ngoma jmn zingatieni ngoma zinalia kwa utukufu wa YESU sana❤❤😂😂🎉🎉😅😅❤❤❤
Mungu wetu aendelee kuwabariki wana wa Mungu ili muendelee kuifanya kazi yake ya kuinjilisha kupitia Uimbaji.
Mimi ni mmoja wa wafuasi wenu.
Endeleeeni kuinjilisha
Hongera sana nawapenda sana natamani kufika dar nijumuike siku moja kwenye ibada
Bernard Mukasa, you are a great man in the history of Catholic faith...in Love with every single song sung by your choir(s)...This song 150 is in my blood, listening to it day and night....God bless you, God bless St. Kizito, God bless Tanzania.
Is very good
Mungu awabariku
Watu wa mungu mbarikiwe kwa kuniinjilisha kwa sauti zilizotulia.
So amazing, thank God for being a catholic
C'est fou que je regarde sans cesse cette chanson. Tellement envie de comprendre le sms véhiculé!!!!!!
Haaaaa!!!! Tu comprends quelque chose quand même! C'est notre église catholique de la Tanzanie.
mnaimba sana nikisikili nyimbo zennu nabarikiwa sana mungu awatie nguvu msonge mbele zaid amina nchimbi
hamjawahi kuniangusha Mungu awabariki sana kwa Talanta yenu
Tulizoea sanaaaa uku Kenya st Cecilia arusha ajabu sasa hi choir ni moto kando ya mioto keep it up guys
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Mungu awabariki xana wana kizito nawapenda mpaka basi
Nimewapenda sana Mkasa na wenzako wanakwaya makini Asante kwa kuinjilisha
Wawuuu nice song thanks
Mbarikiwe kwa uimbaji mzuri
Ni shida huyo Mwalimu Bernard Mukasa Mungu azidi kumuinua
OGod strengthen faith of your people.
Hongereni 150 sio mchezo, natumaini mmeimarika kiimani, Mungu awabariki.
Najivunia historia ya nchi yangu Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
We Mukasa wee you're killing me. Makuburi nyie ni bora kila siku katika moyo wangu. Kaka Mushoboz nakuona katika ubora wako. Mungu awabariki sana sana.