Washukiwa wawili wa mauaji ya Kware kusalia ndani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Haya yakijiri, washukiwa wengine wawili waliokamatwa kwa madai ya kuhusika na mauaji ya eneo la Kware eneo la Pipeline wanatasalia kizimbani kwa siku 28 zaidi. Hii ni kutoa nafasi kwa maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao dhidi ya Amos Momanyi na Moses Ogembo. Haya yanajiri huku shughuli ya upasuaji wa miili 13 iliyopatikana eneo la Kware ikiendelea katika hifadhi ya maiti ya City

ความคิดเห็น • 10

  • @planb6078
    @planb6078 หลายเดือนก่อน +1

    This is Kenya . investigation is still on 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya หลายเดือนก่อน +1

    Neno lamungu kwetu liko nahusuni hulimwengu muzima neno mahuwaji wanahuwa hawajitasami kwa kujihulisa kama nihawo wanaho huliwa huvile wanavo huwa hitakuwaje nahawajiwi kwa kujuwa neno lamungu linanena kuna ziku harubaine kwa mahuwaji kwaho watabatikana bia hawo watahuliwa wajoneye kile wanayo fanya sasa diyo hiyo wajioneye kazi bila mungu kwaho nijuto lamajuto bila mutetesi wakuwatetea

  • @anneekiru5071
    @anneekiru5071 หลายเดือนก่อน

    Why didn't DCI show us as they collected evidence?

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Nani aliye fanya kitendo hicho cha kinyama😭

  • @SaidahGloriah
    @SaidahGloriah หลายเดือนก่อน

    Baac washikwe kbsa nao wataje wengne

  • @AnkoLolo-mv5bk
    @AnkoLolo-mv5bk หลายเดือนก่อน +1

    Kwani Hawa pia wame nunuliwa ama Ni lugha ya wakenya wanao pinga serikali ?

    • @eveimbusi5940
      @eveimbusi5940 หลายเดือนก่อน

      Hata nimeshangaa tena ghai

    • @winnywin6988
      @winnywin6988 หลายเดือนก่อน

      At least wamepewa pressure wakachangamka

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 หลายเดือนก่อน +1

    Kimuchezo mchezo too kuna watu wamekua millionaires hapa 😊😊