Kama wew ni mshabiki wa ndaro na Steve mweusi basi wew gonga like hapa twende mbele. STEVE MWEUSI and NDARO MJESHI KIKOFIA mbele daima nyuma mwiko ❤❤❤❤
Jamaa ulikuwa comedian tangu luiche sec...Kuna siku nilivaa buti kubwe ulinicheka mpaka nikataka kuzichapa na mbwa wewe😂😂😂Masatu Amoni, , , Superstar from Machazo✊
Kama wew ni mshabiki wa ndaro na Steve mweusi basi wew gonga like hapa twende mbele. STEVE MWEUSI and NDARO MJESHI KIKOFIA mbele daima nyuma mwiko ❤❤❤❤
Steve nakubali
Aha dah kama umetazama video hi mpaka mwisho 😅😅😂😂😂😂😂Angusha like ya upendo
Inapendeza
Nakubali waganga wangu npen like zangu bc za kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamaa ulikuwa comedian tangu luiche sec...Kuna siku nilivaa buti kubwe ulinicheka mpaka nikataka kuzichapa na mbwa wewe😂😂😂Masatu Amoni, , , Superstar from Machazo✊
Umesoma na Steve eeh
Matiazo
Hahahaha
Vijana mnafundisha sana watu yote wasione kama comed
Wapo vzr ,bakari wa kilimanjaro 0:00 0:00 0:00
Eti neext😂😂😂 wee ndaro haujui😂 mob ❤ from🇰🇪
Big love from Kenya 🇰🇪
😂😂😂waah shidaa tu..mazongo love from kenya...❤❤ like hata moja
Wakwanza mimi nipeni like zangu❤❤❤
Izo like ni za nn
Izo like ni za nn
ONE LOVE FROM KENYA🇰🇪nipeni like zangu
Kila ck napambana niwe wa kwanza nashindwa😂😂😂
Dah nimecheka sana mpaka nimetokwa na Machozi 😂😂😂😂😂😂
Mjeshi kikofia😂😂😂😂
Mjeshi kikofia na mwanae Steve🔥🔥🔥
Ndaro big up sana umeongea kiburundi😂😂😂
" KARARYOSHE. Nakubenda bule sana kakangu kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kiha hicho mkuu
Ila stevu mweus na ndaro awa ni wehu😂😂😂
Bigup to you two great men
😂😂😂😂😂😂 UTATOKAAAA .... sitokiiii...... aaaaaaaaaaaaaah ... haaaaaaaaaah WE STEVE WEWEEE
iPo Siku mutakuja kuhuwawa na uwo utapeli wenu 😅😅😅
Nawa kubali sana ma brother
😂😂😂😂😂 ndaro you have made my night Leo😂😂
Mume juwa kabisa 🇨🇩
Hii steve noma daaah nimecheka sana..sieuyoooo...
Kama mnawakubali Steve na ndaro gonga like hapa maana leo nimekua wa kwanza
Nakubali sana😂😂😂😂
Nmlike bro iyo ndio ilikuwa kitu ya kwaza
Kenya tunalike
😂😂😂😂😂
Ndomukali
Ndaro jamani si hata ungevaa kama mganga 😹😹ila nomaaa🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Nawakubali sana hawa jamaa nawatakiaa maisha marefu
Steve na ndaro mnatisha sana naomba kuuliza ivi hajira yupo wapi.??
Ndaro na stivu🎉🎉🎉🎉❤
Dangote ndo hbr za mjini😢😢😢
Jameni alieskia kiburundi mganga Ndaro akisema KARARYOSHEEE twende sote pamoja kwahizo like hapo 😂😂😂😂😂
Nawakubali aiseee waga napenda sana kuanglia show zenu Ndaro n Steve
Great series Steve Ndaro😂😂😂😂group
creativity 💯💯
Nikinga Liya nakuwaka nacekaceka😂❤❤🎉
Nawapenda sana from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kwani steve unashida gani😂😂😂😂
Nakubari sana my home boys
Safi sana jaman
Nmecheka sauti mpya ya steve😂😂😂😂😂
Mmmmmmm this two boys i like them 🎉🎉❤❤❤
Sem. Steve kapendeza na hayo mavazi mze😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 “Ija hanu” this our language from western Uganda 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬
Likes za wakenya jamani❤❤❤
🤣🤣🤣 jamani ninyi watu huwa na wasiwasi na akili zenu ukute ni wehu
Dah nimecheka aseee adi dangotee😂😂😂
Congrats Steve na Ndaro for the best work 😅😅😅😅😅
😂😂😂
Ngo kararyoshe 😂 that is Kirundi 🇧🇮🇧🇮
Nawakubal Sana twende sawa like zangu
We ndaro haujui...ila Steve umetisha..😂😂😂😂
Kararyoshe,fathouma wew pamoja Na kikofia mutaolewa🤣 so much love from Burundi🇧🇮
Nawakubali
Wanatisha Sana Hawa mbwe Dada wimbo wa Steve we Ndaro la waganga.....😁😁😁😁🌹🌷🌹🌷💯💯
HatAri kbs
Ilaaaaa steaveeee😂
Aahii wametisha kweli 😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊
Je vous aime trop mes vieux depuis 🇨🇩
Big up ndaro&steve😂
Hhhhh Love from 🇷🇼🇷🇼
Ndaro please huko kunguruma hatakama we ni mrog bt wengine hatuja firimba urembe kitambo ujue
Nakbal sana 👏👏👏
😂😂😂😂😂ndano mungu anakuona wallah
Wee ndaro haujui 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Ndaro leo mmeuwaa sanaa
Wa kwanza leoo❤
Hawa jama machizi kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Steve,ndaro MUngu anawaona😂😂😂😂😂
Binti ana bonge la tako...
😅😅😅sio huyoo haki steve ni mtu mjinga ..ndaro kapiga jamani steve😂😂😂si angeeleza tu mwenye koti ndio msanii😂😂
Nimekubal mganga😂😅
Weka mikono yako tuombe yan hiv ah hiv h😂😂😂😂😂😂❤❤❤
😂😂😂😂Steve ww n ndaro wawaachiye tu 😂😂😂🇧🇮🇧🇮
kararyoshe welcom burundi ndaro and steve❤😊
Next Mganga Htri san 😂😂 Mamae Ndaro
steve mweus ninoma sana
Mnahalibu siri za watu 😂😂😂😂
Nyie mtaingia motoni moja kwa zote
Ila Kumbe Waganga ndo wanafanya hiv daah nmelia sana😢
Good sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
good work❤❤❤❤❤
Love from kigoma ladib tv
Murabizi cyane
We Ndaaro, haujuiii😂😂
Jamanii eeeeee likes zangu npeni kama mnawakubari Steve ft ndaro
Steve wajikuna wapi mbwa ww😂😂😂😂
Nawakubali sana Hawa kaka zangu
Kararyoshe😂😂kirundi tuletea mpaka igizo iishe ndaro🙌🇧🇮🇧🇮
Love 💕 from buja ville❤🇧🇮
🇧🇮💯tuko pamoja sna ndugu zangu steve n ndaro✌️🇧🇮💯
Kararyosh hhhaaaaa Kirundi
Njombe mmetuonaje?
Steve si mzima wallah tena😅😅
Nimekuwa wakwanza bro
steve anajikuna wapi😂
Kararyoooosheee🤣🤣🤣🤣🤣
Kamà unamkubali ndaro na stive weka like hapa ❤❤❤
Big up
Oyah mnawaalibia wanganga fake watawamaindi kinoma kwenye hili😂😂😂
Nawakubali sana
Nimeipenda sana from MOZAMBIQUE
nawakubali wanangu
😂😂😂😂 jaman nawapenda bure
😂😂😂 aisee mtanipasua mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂😂