Asagwile - Safari (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2023
- Available in all digital music streaming platforms: ditto.fm/safari-asagwile
Boomplay: www.boomplay.com/songs/139114660
Instagram: / asagwile_
TikTok: / asagwile
Safari lyrics
Intro
Uuuuu huuuuuux2
Mmmmmm mmmmmh
Verse 1
Kabla safari ya shamba
Panga lazima linolewe
Ivyo nami Imani yangu
Oooh wacha niinoe
Siulisema nikiomba mkate
Kamwe hauto nipa jiwe
Ivyo nami nimekuja kwako
Ooooh naomba niokoe
Bridge
Hofu yangu naichoma kwa kiberiti
Si ndioooo uuuuuu ilinitapo ulizwa na walimwengu I will say yyyyyy
Chorus
Miti na milima havioni havisikii ila vipo tu kwakua umevia muru wewe
Kesho yangu siijui ila hata ningeijua bado ujanipa sababu Kuto kukuabudu wewe
Mmmmh mmmmh
Verse 2
Baba Leo Nimekuja kwako sina mlango Mwingine wakubisha Baba kafunga jela NYUMBANI hakuna ela Ni wewe tu wakutegemea
Bridge
Hofu yangu naichoma kwa kiberiti
Si ndioooo uuuuuu ilinitapo ulizwa na walimwengu I will say yyyyyy
Chorus
Miti na milima havioni havisikii ila vipo tu kwakua umevia muru wewe
Kesho yangu siijui ila hata ningeijua bado ujanipa sababu Kuto kukuabudu wewe
#gospel #music #safari #bongostarsearch #bss #asagwile #inspiration #motivation #worship - เพลง
Teacher huu wimbo umenitoa machozi KESHO YANGU SIJUII 😭😭🙏🙏
Yes🎉🎉🎉🎉
Wimbo wangu wa wakati wote🙌
Maaaan🥳....Blessings brother ❤..listened to almost all your songs today ...Glory unto God 🤲
Najua sijachelewa, natoa maoni yangu hapa nikiwa huru sana.
𝒃𝒊𝒈 𝒖𝒑 𝒂𝒔𝒂𝒈𝒘𝒊𝒍𝒆👏
Mungu akubariki sana na akupe nguvu zaku endelea kutunga nyimbo kama izi nime barikiwa sana sana 😭🥹👏🏿👏🏿🔥🙏
I know you so i can wait it's video 📸 bro
Naupenda sana huu 2imboo
Kazi nzuri Sana kaka
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi nzuri Mwamba wa kusini
Kipaj kipo ongeza juhud
Unajua sana
Kali sana kaka
Safi Sana bro
Hofu yangu naichoma kwa kiberiti.....😢
Imeenda hii🔥🔥🔥 god bless you brother
Nice song mtumishi
Kaka kaka kaka nimekuita mara tatu MTUMISHI
❤❤❤❤❤
i love this
Amen amen
Mungu akubariki sana bro kazi nzuri
Pambana kijana, na siku zote mola hamtupi mja wake, hakika wewe ni mteule
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
My favorite Song❤
Safi sana Mwenyez Mungu aendelee kukushika mkono.
😪😪🙌🙌🙌
❤❤❤❤❤❤safari. Hongera kweli kazi ni njema
ASANTE SANA ❤️❤️❤️ Beatrice mfalme
Nyimbo nzuri Sana
God bless you
🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤
Huna baya kaka ❤
@Aswagile umeinuliwa sana🙌🙌🙌🥺🥺
Kaka bonge la songi hili apa
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
mshindiiiii 🎉
Wow!!! nyimbo nzuri 🙏🙏
Kazi nzuri sana kaka @Asagwile mungu akubariki sana,wimbo mzuri sana,umenibariki sana
Beautiful song
Keep doing it Sir.
🇰🇪🇰🇪
Nice song bressed
Amen
MUNGU AKUINUE VIWANGO VYA JUU ZAID BRO🙏
Kazi nzuri kaka🔥mungu akubariki zaidi nazaidi🙌
🙏🏾🙏🏾
@aswagile Baba yaan hii nyimbo imekuwa sehemu ya maisha haswa beti ya pili🙌🙌🙌🙌
Baba leo nimekuja kwako 😢😢😢 sina mlango mwingne wa kubisha😭😭🙇🙇🙇... Baba kafungwa jela nyumba akuna hela ni wew tyuu wa kutegemea🙇🙇🙌🙌🙌🥺😔....
Asanteee sana uendele kuinuliwa 🙏🥰🙌
Kazi yako ni njema sana gwigwi may God take you to places in the name of Jesus🙏
💫🔥
🔥🔥🔥🔥
Nikiwa nasikiza nyimbo hii najipa hope .... Nitafika niendapo ... Kaka unaeza mungu akutie nguvu
😢❤ hii ni kari
I love this😢❤❤❤
🎉🎉❤❤ hakika kazi nzuri sanaaaa mungu ni mwema Sana azidi kukutia nguvu