Asagwile - Uniokoe (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2022
  • Zaburi 55:16 Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa; Jioni, asubuhi, na adhuhuri nitalalama na kuugua, Naye ataisikia sauti yangu. Ameiokoa nafsi yangu iwe salama, asinikaribie mtu, Maana walioshindana nami walikuwa wengi.
    UNIKOE Ni wimbo nilioupata kipindi napitia changamoto lakini katika yeye anitiae Nguvu Niliona Msaada wake BABA Akaniokoa Natamani Na wewe Upokee NGUVU ya kuokolewa Naye SHUKRANI ZANGU KWANZA KWA MUNGU BABA alie niwezesha kuifanya kazi hii.
    Thanks my Love @jacklin_asagwile Umenitia Moyo kipindi naandika huu wimbo Asante kaka Yangu @rayzben Umenitia MOYO na kunishika Mkono Wakati natafuta Namna ya kufanya Kazi ukanitia Moyo na ukaniamini
    Thanks my producer @brkzeroyal kwa Kujitoa Usiku na Mchana kuhakikisha kazi inafanyika SHUKRANI za dhati ziwaendee kwa production team.
    Director @official_director_pacha @chacha_raw
  • เพลง

ความคิดเห็น • 122

  • @dicksonmbalinga3933
    @dicksonmbalinga3933 ปีที่แล้ว +4

    Tulio mfahamu huyu mwamba, huko Bongo Star Sach, Basi tujuane kwa like, bila kusahau ku-subscrib chanel hii asante

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +2

    I miss you bruh its lau got stuck in middle east spati sim kila mda buh a gat you nkirudi afrika pipo. Lazima waokoke thru music

  • @GastonMapenzi
    @GastonMapenzi 7 หลายเดือนก่อน +2

    barikiwa ndugu Bwana ni mwema sana

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +2

    My gwigwi you never disapoint

  • @sampowermarlow9631
    @sampowermarlow9631 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @angvelyne4671
    @angvelyne4671 ปีที่แล้ว +2

    All the best I'm your fan

  • @astamboi8098
    @astamboi8098 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana good song

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ndimi zangu ni moto naogopa zitanichomaa😢

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 ปีที่แล้ว +2

    Tz ime barikiwa aswaa.

  • @HabilyTech
    @HabilyTech ปีที่แล้ว +2

    Yes yes

  • @festovenas502
    @festovenas502 ปีที่แล้ว +2

    Duh vipaja nivingi mno💪🏾

  • @jescagazuko
    @jescagazuko 2 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee huu wimbo ni wa motrooooo

    • @asagwileofficial4492
      @asagwileofficial4492  2 ปีที่แล้ว

      Utukufu kwake Bwana 🙏🏾🙏🏾Thanks for Your support

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Bwna kama ungehesabu maovu yangu ningewezaje kusimama mbele zako

  • @agnesantony1193
    @agnesantony1193 ปีที่แล้ว +2

    Asagwile unaweza San♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @barakazakayo9121
    @barakazakayo9121 ปีที่แล้ว +2

    We ndo mshindi wangu Mungu akupiganie bss

  • @michaeljacob8805
    @michaeljacob8805 ปีที่แล้ว +2

    Good broo...nice song....

  • @ben-b.n-official3529
    @ben-b.n-official3529 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 my brother goooooo

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 หลายเดือนก่อน +1

    Muwe mnaangaria nawatu wa kufanya nao video aise mnapotosha mising ya Imani yetu

    • @asagwileofficial4492
      @asagwileofficial4492  หลายเดือนก่อน +2

      Hao watu Unaowaona hapo kawaumba MUNGU Huyo Anaekuvumilia wewe unapokosea na anakusamehe Pia wanamuitaji MUNGU Kama Wewe ulivyo okolewa kutoka dhambini Tena ni vijana bado wananafasi ya kutengeneza na wakauona ufalme wa MUNGU So uniseme tunapotosha misingi ya Imani imani ni hakika ya mambo yasio onekana Imani ipi unaongelea wewe.

  • @robertkatole3910
    @robertkatole3910 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mkali sana kaka lazima niuplay kila kukicha

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 2 ปีที่แล้ว +3

    Bint simkoko

  • @dorcasdaniel7836
    @dorcasdaniel7836 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana Asagwile asee

  • @luluray2115
    @luluray2115 2 ปีที่แล้ว +2

    🙌

  • @kaddymngumi5674
    @kaddymngumi5674 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤talented,creative and blessed to be a blessing

  • @jackmanasi4869
    @jackmanasi4869 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sanaaaa🔥🔥🔥

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 ปีที่แล้ว +2

    God bless you

  • @franciscatungaraza5054
    @franciscatungaraza5054 2 ปีที่แล้ว +2

    Iko poa ndugu,😍😍

  • @sampowermarlow9631
    @sampowermarlow9631 2 ปีที่แล้ว +3

    Already favorite ❤️

  • @andrewnamcheche2453
    @andrewnamcheche2453 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekubal saaaaana brooo....... Hatari by stone Town barber 💈

  • @magdalenalaurence2305
    @magdalenalaurence2305 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥 Mungu azidi kukuinua zaidi mtumishi

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 ปีที่แล้ว +1

    🙌🏽🙌🏽Mungu akubariki sana

  • @HiroshiMasebo
    @HiroshiMasebo 2 ปีที่แล้ว +2

    blessings

  • @emmanuelqalago6164
    @emmanuelqalago6164 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi Lulu inua juu ya huduma yako hakika unatupa vitu vizuri.

  • @amycute1005
    @amycute1005 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sanaaaaa

  • @trizahwilliam5197
    @trizahwilliam5197 ปีที่แล้ว +1

    Asa, Mungu akuinue kiwango ata kiwango na akuketishe na wakuu.
    Ubarikiwe sana mtumishi.

  • @christerrodgers6519
    @christerrodgers6519 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥mwaisaaaaa

  • @annrobin9291
    @annrobin9291 ปีที่แล้ว +2

    Video Yako nyingne naomba niwepo jamn

  • @tabithajohn8254
    @tabithajohn8254 ปีที่แล้ว +1

    Very good work I love you and God bless you Bro ♥️🙌

  • @joanwakesho7053
    @joanwakesho7053 2 ปีที่แล้ว +2

    💥💥❤️💕

  • @WenaFilms
    @WenaFilms 2 ปีที่แล้ว +2

    Kyala akutule nkamu gwangu , kazi nzuri

  • @josephkaluyu
    @josephkaluyu 2 ปีที่แล้ว +2

    nice one!

  • @mohamedmfaume4704
    @mohamedmfaume4704 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka unajua 💥💥💥💥

  • @emausmedia1215
    @emausmedia1215 ปีที่แล้ว +1

    Umebarikiwa sana mtumishi tumefurahia sana ushindi wako, utafika mbali sana.

  • @ambakisyemwakinunu2002
    @ambakisyemwakinunu2002 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi zako ni nzuri, Mungu aendelee kukuinua viwango vya juu

  • @edsonmichael9402
    @edsonmichael9402 ปีที่แล้ว +2

    Leo umefel wap

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน

      What do you mean🙄 gat stress issues o what

  • @sautiyamwangwi3393
    @sautiyamwangwi3393 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi safi ya nguvu... Neema zaidi na nguvu zaidi kutoka kwa Mungu; nakutakia.

  • @hlema1596
    @hlema1596 2 ปีที่แล้ว +4

    Babaaaaaa, congrats, keep grinding kijana, this is great.

  • @EdsonMwasabwite
    @EdsonMwasabwite 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mdowangu kazi nzuri Sana nakuona mbali Sana unanibariki Sana unajua unacho kifanya.

  • @felistermichael7640
    @felistermichael7640 ปีที่แล้ว

    Nimelia kwa furaha ulipokua mshindi bss Kama si wewe bwana nani mwingine

  • @Zoempambo
    @Zoempambo ปีที่แล้ว +2

    Asagwile nakuombea upate 20m ili ufanye Zaid kazi ya Mungu

  • @fardovc3965
    @fardovc3965 2 ปีที่แล้ว +2

    Ohoooo

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🏼🙏🏼

  • @Dir_kile
    @Dir_kile 2 ปีที่แล้ว +3

    Well done 🙌

  • @poluvocalcoach
    @poluvocalcoach ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sanaaa

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal ปีที่แล้ว +1

    Ameeen❤

  • @joelking3692
    @joelking3692 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua

  • @kelvinmwakansope972
    @kelvinmwakansope972 2 ปีที่แล้ว +2

    What a nice song....... hapa nyankumbu tunaupiga kona zote barikiwa sana

  • @hlema1596
    @hlema1596 2 ปีที่แล้ว +3

    Those harmonies though,!!!!! God.

  • @piusemma1
    @piusemma1 ปีที่แล้ว

    Waliokuja hapa kwa ajili ya ushindi Bss. Hongera kaka

  • @patiencejuma9649
    @patiencejuma9649 ปีที่แล้ว +1

    Very powerful song

  • @rehemajay2434
    @rehemajay2434 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu azidi kukubariki

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏

  • @lilimagickinunda8556
    @lilimagickinunda8556 4 หลายเดือนก่อน

    Big up

  • @Mwl_Lupimo_
    @Mwl_Lupimo_ ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue asagwile

  • @mrmelody255
    @mrmelody255 2 ปีที่แล้ว +3

    Well done kaka...🔥🔥🔥

  • @Sumbe99
    @Sumbe99 ปีที่แล้ว +3

    Ever since i knew this song,imekua nikiimba everywhere mazee...it's blessing me so much,pure natural vocals.May God bless you brother🙏🙏🙏

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +1

    I love seeing young blood serving Christ Jesus 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @elishageorge492
    @elishageorge492 2 ปีที่แล้ว +2

    Finally you did it again 🔥🔥🔥

  • @juliusmgundoy
    @juliusmgundoy 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana ndugu yangu Barikiwa sana

  • @kelvinmhegele1
    @kelvinmhegele1 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sanaaa huu

  • @zamoyonialexofficial8738
    @zamoyonialexofficial8738 2 ปีที่แล้ว +2

    A Powerful song ,be blessed minister

  • @patrickbello1514
    @patrickbello1514 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏ubalikiwe sana kaka mwana wa mungu

  • @gee1285
    @gee1285 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥💪💪 Niokoe

  • @chrissiepixel3679
    @chrissiepixel3679 2 ปีที่แล้ว +1

    🤝🤝🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥 ameeen kaka Endelea kutubarikii..... Hakika mungu aendelee kukuinuaa

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana sana kaka

  • @doramramba5782
    @doramramba5782 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana. Mungu akubariki.

  • @wilbertmmary9076
    @wilbertmmary9076 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kama Bwana angehesabu tusingesimama, Barikiwa mtumishi Asagwile.

  • @favorednasongaofficial5352
    @favorednasongaofficial5352 ปีที่แล้ว +1

    Big up more love from kenya

  • @kaddymngumi5674
    @kaddymngumi5674 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama wewe ungehesabu maovu yangu......naanzaje kutazama machono Pako🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️a good one

  • @Mana.tv.Canada
    @Mana.tv.Canada 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana kama ungelihesabu maovu Yangu
    Ninge wezaje ku simama mbele zako 😭
    Be blessed

    • @asagwileofficial4492
      @asagwileofficial4492  2 ปีที่แล้ว +1

      Ameen Utukufu kwake Bwana Yesu
      Hakumbuki dhambi zetu kama ilivyomagharibi na Mashariki

  • @Glove233
    @Glove233 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sanaaa,,hisia ipo🎶🎵,,,video kubwa barikiwa sana kijana 🔥🔥🎶💓🙏

  • @mrpaulkitulo8146
    @mrpaulkitulo8146 2 ปีที่แล้ว +2

    Good one my guy well done and May God continue to reveal more messages to you ❤️🔥👍🏾

  • @ada.cardano.official
    @ada.cardano.official 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu akubariki kaka asagwile

  • @chantalmurekatete2629
    @chantalmurekatete2629 ปีที่แล้ว +1

    Amen ❤❤❤❤

  • @TheAm21st
    @TheAm21st 2 ปีที่แล้ว +1

    God Bless You Man.. Such A great Track...

  • @vanessakashera6484
    @vanessakashera6484 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏❤️😍

  • @gospotv
    @gospotv 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing music song! GOD Bless you brother, keep Holy Ghost fire uuuuuuup!

  • @farizglobal
    @farizglobal 2 ปีที่แล้ว +1

    On repeat mode 👌🔥🔥

  • @thom_sechuma
    @thom_sechuma 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful

  • @victoreddieofficial2605
    @victoreddieofficial2605 2 ปีที่แล้ว +1

    Love this guy

  • @jorgesafari967
    @jorgesafari967 ปีที่แล้ว +1

    Can't get enough of this song...God bless you Asagwile

  • @brilliantt.ikenya7509
    @brilliantt.ikenya7509 2 ปีที่แล้ว +1

    powerful song.Keep going

  • @Vivianjjoseph
    @Vivianjjoseph 2 ปีที่แล้ว +1

    A powerful song 🙌🏼

  • @EvelyneIra
    @EvelyneIra 2 ปีที่แล้ว +1

    Well done Asagwile, I truly love this song🔥🔥

  • @getrudegladstone1881
    @getrudegladstone1881 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song💫

  • @DEUSDEDITHPETER
    @DEUSDEDITHPETER 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa na wimbo huu