Maryam Singano Maryam Singano Ni Muhammad Sheyba mpenzi wa Dhikri kutoka Mombasa Kenya. Tunaomba tupate taarifa ya Sherehe tukufu kama hizi ili nasi tuweze kushiriki katika vikao vitukufu kama hivyo. simu yangu +254721243864 ama +254732243864 Mombasa, Kenya
Assalaam alaikum ndugu zangu waislamu. Hakutufundisha mtume wetu kipenzi Swalallahu alayhi wasallaam ibada hii. Haya ni mafundisho ya sheitwaan laanatullahi alayhi. Jiepusheni na kila ambalo mtume wetu hakutufundisha kulifanya kuwa ni ibada. Tusichukie bali tufate haki. Kuchukia hakutatunusuru na adhabu ya Allah. Tufungue mioyo yetu haki ipite. Huku kukohoa kohoa ni uzushi wenye kuuchafua uzuri wa uislamu ambao mtume wetu ameshatutahadharisha kabla ya kufa kwake ubaya wa uzushi.
Abdallah Ally ...Dhikiri sio ibaada ya shetwani,bali ni jazaa yamaedelezo ya Mtume Muhammad SAW,ambapo upepo miti na mawe viliunguruma kila alipokuwa akipita,hata bahari ulivuma, hii ilikuwa kwa utukufu Wa mwenyezi Mungu kwa kipenzi chake,ndio maana ma khalifa kama Abdul Kadri Jeilan walibeba muendelezo huu,na huwa wakimtukuza Allah SW na Mtume SAW,kwakutanua vifua vyao,na hili ni afya kwa mapafu ya mwenye kudhikiri,.Nakuombea dua Allah akujalie nawewe uwe mwenye kudhikiri InshAllah
Abdallah Ally we umejisajisabilia pepo mpaka umlaani muislam mwenzio?kwalipi jema lako lilimfurahisha m.mungu mpaka ujue wenzio wamoton.?unamfata mtume gani sabb mt.muhammad mwenyewe hajamlaan mtu zaid ya iblis
Zikiri za kusini ni hatari Kwa kweli wanajuwa mungu awape umri mrefu
Mashaallah naipenda din yangu mungu walipe kila la kila anaye kutaja na utupe vifo vya shahada
MashaAllah wazee wangu dhikiri nzuri sana
Namkumbuka wajina wangu shekh ahmed alifakir,allah amuekee maali pema peponi amin,
Mashaallha my brother Anafi mbala
Allah nimekubal dhikri mpo vzl mmenikumbusha mbwemkuru kilwa
Nalia kumlilia Allah na Mtume Muhammad Rasula llah yallah
Im from turkey selam un aleykum brothers and isterse MAŞAALLAH ELHAMDULİLLAH
Baran Teke WA ALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAH this is from Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 east Africa , you are very welcome brother.
ماشاءالله القادري
Allah KARIIM tujalie tuenzi kwa kumtukuza Allah naKumswalia Mtume saw
Maash Allaah naipenda dhikir ya qadiria
Napenda dhikili ❤❤❤❤❤ mashallah
nyumbani kabisaaa hii masha llhaaa 🙏🙏🙏😍❤️😘
Daaaaah nakumbuka mbali sana nikiwa mnamba
This is where I belong and where can I meet my brothers.I am very lonely.I am in Johannesburg
Mimi so muislamu Ila napenda Sana kuzikiri naenjoy sanaaa
Kuwa muislaam siyo vibaya. MUNGU wetu ni mmoja tu
Mashallah Allah penda sana mm hilarious uwiiiii
salma masoud as salaam aleykum
M/Mungu akujaze kheri nyingi kwa kupenda dhikri
Vp
Fadhakkir fainna dhikra tan-faul muuminiin,masha Allah,Allah awabariki.
mash Allah😍😍
Allah awalipe
This brings back memories. Thanks for sharing this. Baraka-llah fikum
Hakika Imani ipo moyoni Allah atamlipa mtu kwaimani yake.nauchamungu wake .
Uislamu laha kalibuni ambawo Sio waisilamu, dhikri laha tuseme wote takbir kma mara tatu
Adi lahaa kwa kweli
Takbir
dhikri hii n nzur sana
Mashalah mungu awajalie
mashaalah mungu awaongoze Sana naipenda
me napendaaa sanaaa zaid ya sanaa wakat walipokuwa munakuja Kenya lamu. sehemu ya patte skosi kuchesa dhikrii mm
Napenda xaaaaanah
Allah awajalie muish umri mrefu
ABDALA...kasome zaid,elimu ni bahar
Duh!kuna kazi kwa kwel
Salimaleeeeee mashallah pepo yake mola awajazie
Mashalhah mashalhah shekhe
Mashaallah nusu nisahau kulike kwa kutizama na kufurah
Asia Mwarabu M/Mungu akujaalie neema na thawabu nyingi kwa kupenda dhikri natafuta mchumba +2557125772
Asalam aleykum nafurahi saaana
Nakumbuka saana kwetu kasongo
Miaka mingi saana
Raha saana dada 🤣🤣🤣🤣
Napenda kalbi saana
umetulea raha sana maana kila tukia angalia tunaonaga qaswidatu hapo sasa ndio patam .namuona shekh lukungwe hapo.
Masha all napenda sana dhikri alhamndulilah
Wangekuwepo Lipemba, Ayupo Majanga,Manyali,77 pasingetosha hapo
Masha Aallah 🤲🤲🤲🕋🌙🇲🇿
MASHAALLHAA napenda zikri
Masha Allah napenda Sana dhikri napenda dini yangu
Mashaallah wallaah nafurahi sana sana allaah awajalie kher
Mwenyezi Mungu awa jalie kila lakheri.
Nyota Wivine mashaallah
Thanks for sharing! Jazakatullah Khairan!
Ibrahim-Mahimbo Kivugo rehema ramadhani napenda sana zikri masha Ahlla
watu wa nyumba Lindi rutamba hanafi mbala napenda sana zikili
Mashaallah naipenda din yang ya wisilamu
Sumah Tanzania nalia nakumbuka mbali asanaaaa
Sahihi sana 5:21
Mashallah ❤❤
masha allah mungu awadubalie zikri yenu na penda sana masha allah
Maryam Singano Maryam Singano Ni Muhammad Sheyba mpenzi wa Dhikri kutoka Mombasa Kenya. Tunaomba tupate taarifa ya Sherehe tukufu kama hizi ili nasi tuweze kushiriki katika vikao vitukufu kama hivyo. simu yangu +254721243864 ama +254732243864 Mombasa, Kenya
+Muhammad Sheyba subhanallah
+Muhammad Sheyba maashaallah
@@zainabmohamed7614 alhamdulilah
Muziki wa kusubiria mpunga!!! hii ngonjela katika uislamu haikubaliki kabisa !!!!??
Hakika shekh wangu wanajisumbua tu.
@@zahorrashid5459 naomba dalili ya maneno yako Kama unasema kweli
Salaam salumu nani kakuambia kua huu ni mziki Kama una elimu ya Jambo acha kulisimamia tumekatazwa uliza wakufahamishe
Mashaalah
ماشاالله
Mashaalwa❤❤❤
imenoga jaman et
Mashallh
mashaa Allah
Subhana Allah,huu ni msiba Wallah
Uchache wa elemu kichani mwako
umefiliwa na nani
Mumeona kadiria nimsib kila nyimbo za hafidhi niibada sio
ww,mshenzi unaujua msiba kasome kenge ww kadiria ni ibada tena kubwa ww
@@hamudmuhammed536 punguza matus kaka muelimishe kwa dalili akuelewe( japo hii Bida,a)
MashaaAllah tabarakallah
MASHA ALLAH..
nuru muhammad.
naomba ALLAH awapokeleey dhikr yenu
Allah awazidishie inshallah
Mashaallah ❤ ❤
Mashaallah ♥️
Hii ndiyo radha ya qadiria
Mashaallah
Maashaallah 😍
mashaallah
mashallah
Napenda sana
Swaibuuli hisharaaaaaaaaa
Ahmed Tajdeen mashallah dhikr mzur
Maashallah
NAMNA HADHA
🔥🔥🔥🔥
Mashaaallahaa inatiarahaa sana
Kama ujui kinachofanywa Happ usilete ujimga was maneno yako
Tumtegemee Allah
Washambaa mhahi weangu mana 😂😂
Mashallah
Mashaallah 🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallah zukuruh allah
Masha Allah
Ujahili mkubwa huu
Mashallah 🙌🏾
Allah waja'aliye kila la khery wasamehe kilabay walotenda
Maasha, Allah
مدد مدد القادري
Allahu akbaru
hii sio dhikiri yenyewe alioiacha shegh Muhammad bin nassor(r.a)
Hawa ni askaria na shekhe muhammed ni qadiria ila wote tunafata silsila kutoka kwa sayyid abdlqadir jailan qadisa allahu laazizi
ni nn ??
Mashaalwa
Dthikri hivyo taam.
Tumswalie mtumeee
dhikri huwa na maana ikiwa watu wataeewa maana yake
h
Hi
Dhikri zinapotea vijana hawapendi .
Kweli wallah umma wapotea na kizazi cha nyimbo za dunia
What language is this? Salam from Indonesia.
Swahili,Africa Tanzania
swahili from tanzania
Tanzania rahaa jamani tunavitu vingi mno vyakujiliwaza sio uku omani
😂😂😂😂oman akun
Uko omani kumbe karibu tz
Mumepata kitabu gani hayoo
Yasikitisha sana mijitu isokaa wakasoma dini hawa wapandisha mashetwani
Usitukane uislam Noor Ali Baki na itikadi yako shekhe
@@rizikimndeme5631 samahani huo si uislamu
@@rizikimndeme5631 Hawa wanapandisha majini yao kisha mara wamwalike sheikh kikaoni .Hii ni shirki na wala usiinasibishe na uislamu
Assalaam alaikum ndugu zangu waislamu. Hakutufundisha mtume wetu kipenzi Swalallahu alayhi wasallaam ibada hii. Haya ni mafundisho ya sheitwaan laanatullahi alayhi. Jiepusheni na kila ambalo mtume wetu hakutufundisha kulifanya kuwa ni ibada. Tusichukie bali tufate haki. Kuchukia hakutatunusuru na adhabu ya Allah. Tufungue mioyo yetu haki ipite. Huku kukohoa kohoa ni uzushi wenye kuuchafua uzuri wa uislamu ambao mtume wetu ameshatutahadharisha kabla ya kufa kwake ubaya wa uzushi.
Abdallah Ally ...Dhikiri sio ibaada ya shetwani,bali ni jazaa yamaedelezo ya Mtume Muhammad SAW,ambapo upepo miti na mawe viliunguruma kila alipokuwa akipita,hata bahari ulivuma, hii ilikuwa kwa utukufu Wa mwenyezi Mungu kwa kipenzi chake,ndio maana ma khalifa kama Abdul Kadri Jeilan walibeba muendelezo huu,na huwa wakimtukuza Allah SW na Mtume SAW,kwakutanua vifua vyao,na hili ni afya kwa mapafu ya mwenye kudhikiri,.Nakuombea dua Allah akujalie nawewe uwe mwenye kudhikiri InshAllah
+Suleyman Dachi naam ..
Abdallah Ally we umejisajisabilia pepo mpaka umlaani muislam mwenzio?kwalipi jema lako lilimfurahisha m.mungu mpaka ujue wenzio wamoton.?unamfata mtume gani sabb mt.muhammad mwenyewe hajamlaan mtu zaid ya iblis
Nenda kasomeshwe Madrasa kwanza kisha urudi hapa
Abdallah Ally hujielewi wewe
Hahahaha lete mchele tule sasa.haraka haraka Allah awasamehe bure
Hhh aanze kukusameh ww
Akusamehe wwe kwanza usie jua llote
Zahor Rashid lete hoja mezani mbona uleti hoja unaponda tu
Wallah ni upuz na simafunzo ya mtume SAW munafanya mtume hajakamilsha dini saut kama punda
Abu Ahmad wewe ndo hujui nenda ukasome au uuluze utapata wakukuelimisha
we,mbwa umekaa km mchawi mchawi hukanusha kila kitu ktk dini ndo nyie munouza diniyenu kwakitu mbwa ww unamjua punda ww kasomee jibwa ww
@@hamudmuhammed536 usitumie matusi jaribu kumuelekeza taratibu huenda Allah akampa ufahamu na akaelewa( japo hii ni Bida,a)
Abu Ahmad duuuh mnapenda kupinga kila kitu utadhan nyie mshatabiliwa pepo,,,
Subhanallah yan watu wanataja neno la allah na hii ni furah kwa waislam ww unawaambia wapo kam punda, , m/mung atakulipa kwa maneno y kashfa
Kharia
Khairia
BIDAA huu ni uzushi ktk dini ya Allah nawala sio mafundisho ya mtume Mohammed