Kigoma cha mdomo na mikono hicho Ukipiga tathmini kwa hao mashekhe Kucheza hapo Juzuu 5 za Qurani hazipo wengi wao tusameheane tu lakin Ukweli usemwe kua tumeiwacha dini starehe ndio tumezipapia na kufuata matamanio ya nafsi zetu kitu kipendacho😢😢😢😢
Hv mtume alipanda gari mbona husemi bidaaa ukapanda farasi na ngamia hakukua na vyoooo kama hivi vyakukaaa ila Leo macho wewe muone panapobidi fata pale unapoona sahihi ila Wacha tupende kungurumisha vifua
Haya mambo yalikuwepo kabla babu yako hajazaliwa wacha wewe na wazazi wako, hawa ni wazee wa mridu, tumeyaona toka zama na hatujasikia wakisemwa na mashekh wakubwa hapa Tanzania, acha mdomo
I didn't know that someone is counted to sinning by say "Ooh Allah protect us,our parents,our children and other Muslims" let's think before we say anything in our religion
Masha'allah mungu atukuzie dini yahaki
Napenda sana dhikri hii Iko siku mutaniona huko
Hii ni zaidi, safi sana
Tadhar au mashallah nawapnd
❤Safi sana mashaa alll
Wapi hii na ratiba zake zipoje... Msineemeke pekeyenu
Yaa rabbi utulinde
mashaalla
Masha Allah
Mashallaaah
Hii dhikiri safi sana sana
Sawa karibu sana
Pozo langu
Hapn kucheza apoo wanamtaj mungu wee mshambaa
Mashallah
Wewe kama kucheza huwezi usi wakele wenzako fanya Kwa kiasi
Hiii dhikri aswaa tamu bwana weee wasoipenda wachee hawajuw utamu aoo wee km wanasem bidaa heee watajuwa sij ya kufa tuwache tumsif mtume saw km hatujamsif ss wakamsif nani nd muombez wt yani rahaaa natamn nend
Mashaallah
Maa Shaa Allah, Aamiin
Ww ndio akili huna kilicheza kigogo mbele ya mtume unashangaa sis kucheza
Napenda sana dhikrii hii
❤❤❤❤❤ 👍👍👍👍
Tumuombe,Sanamola
Kigoma cha mdomo na mikono hicho Ukipiga tathmini kwa hao mashekhe Kucheza hapo Juzuu 5 za Qurani hazipo wengi wao tusameheane tu lakin Ukweli usemwe kua tumeiwacha dini starehe ndio tumezipapia na kufuata matamanio ya nafsi zetu kitu kipendacho😢😢😢😢
Aaallah Allah ...❤
❤
MashaAllah❤
Jamani naomba nije kutembea
Unakaribishwa
@@Mawazobranduko wapi
Zanzibar
😂😂😂😂 subhanallah 🤣
Huu ugomv wa qadiriya na wasokuwa qadiriya hauishi huu kama palesyina na isreal.huwaambii kitu watu wa abdulqdir jailan..
KILLA IBAADA INA ASILI KUTOKA KWA
RASUUL SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM
HEBU TUPENI UONGOFU WAKE
Hili jambo bwana mtume hakufundisha,halafu mnatuaibisha mnafanya makafiri watuone wote hatuna akili kwa huu uovu wenu wa kukoroma.
ww bona unafiki mwingi hivi😊
Hv mtume alipanda gari mbona husemi bidaaa ukapanda farasi na ngamia hakukua na vyoooo kama hivi vyakukaaa ila Leo macho wewe muone panapobidi fata pale unapoona sahihi ila Wacha tupende kungurumisha vifua
Haya mambo yalikuwepo kabla babu yako hajazaliwa wacha wewe na wazazi wako, hawa ni wazee wa mridu, tumeyaona toka zama na hatujasikia wakisemwa na mashekh wakubwa hapa Tanzania, acha mdomo
@@hamadihaji4007mpe uyoo
Kama jambo hulitaki ww bx kama kimya nyinyi mpaka dhikri baada ya swala mnakimbia
This is not in religion of prophet muhammad peace upon him 😢May Allah guide you to the right path😢
Ameen to all inshallah
Aamiin
اليوم أكمالتم لكم دن ..
I didn't know that someone is counted to sinning by say "Ooh Allah protect us,our parents,our children and other Muslims" let's think before we say anything in our religion
Dhikri ya namna hii SIJUWI IMETOLEWA KATIKA KITABU GANI ,,,,MUNGU TUSAMEHE KATIKA UZUSHI WA NAMNA HII ,,HII KWELI NI IBADA ?ASTAGHAFIRU LLAHI
Watu wanafurahia kwasababu wanacheza hakuna ibada ya kucheza
Usilolijua kaa kimya sio lazima useme kitu, hizo ni zipo toka enzi na hazijawahi kosolewa
Mashallah
Mashallah