Mashallah qaswida mzuri sana iko na ujumbe mkubwa,Allah atuepushe na madhambi atusamehe makosa yetu na wazee na ndugu zetu waliotangulia mbele za haki,ameen yarwab
Yaaaa ayyuhalladhii na aaamanu weee jaman astaghfirullah jaman tafuten mas-haf na miskit mkaswal jaman tumuogopen mola wetu jmn hii sio ibada niupotovu jama Lahaulawalakuwwataillabillah😢😢mola wetu atuongoze waja wake Innalillah wainnailaih Rajiun🙄😓😓😓😓😓😓😓😓
@@bintsalimalbimany5340 mie sijakwambia kama naungana nao ila hata mtume aliambiwa awaendee makafir kwa kauli laini .lakin sie tulobaki kila mmoja tunajioa tumekamilika
Kufikisha ujumbe sio lazima mskitin kuna njia nying za kufikisha sasa ikiwa ww unaona hii Ni mbaya basi wala hayo yanayo zungumzwa ww Fanya kinyume chake ili uone kama wanavo Fanya sivo. Mm nimeipenda kbsaaa
الله المستعان haya ni ktk uzushi ambao ameukemea mtume swa swallallahu alyhi wasallam namaswahaba na waliowafuata kwa wema wala hawalipwi kwa chochote Bali mnapata madhabi kwan hakuna sampuli ya ibada km hii na huo aliekoment kua kua kila mtu ashike lake namdhaania kua ni mjinga yaani hajui Allahu amfahamishe maana uzushi ni mbaya zaid kuliko hata maaswia kwan anaefanya zinaa anakiri na kukubali kua anafanya madhambi na anatarajia ipo cku atatubia kwa Allah lkn mzushi km hawa jamaa wa mwembe makumbi Zanzibar na mfano wao wanaona kua wakifanyacho ni ibada tena watalipwa kwa hio ni ngumu kukuelewa ukiwaambia huo ni uzushi na kua haufaii Tumuombe Allah atupe taufiq ya kuisoma dini yake kwa watu waliosalimika ktk itikad sahihi ya ahlus sunnah waljamaa (salafus swaalihi) na kutupa nguvu ya kuibainisha haqqi kutokamana nauzushi km huu amin
Dhikr zenye midundo ya namna hii kutokana na imani yangu kwa kweli ni mushkel. Ila kwenye hii kaniweza jamaa. Mejikuta nayarudi bila kutaka. Dah ! Imetulia af ttam kinoma 😅 Yaan full mzuka bin mkazuzu
Subhanallah Iko Wapi Sunna Ya Mtume (s.a.w) Hapo? Anasema Mtume (s.a.w) Fainnahu Man Yaish Minkum Fasayaraa Khtilafan Kathiira, Fa'alaikum Bi Sunnatiyy Wa Sunnatil Khulafai Rrashidiin) Hakika Nyinyi Mtaishi Miongoni Mwenu Mtaona Ikhtilaf Nyingi (Basi Wakati Huo) Shikamaneni Na Sunna Zangu Na Sunna Za Makhalifah Waongofu.
Usituletee vurugu yenyu ya ki wahhabi baba.. haujui maana ya neno Sunnah.. Mtume hakukataza utamaduni, wala sio waislamu wote wanao ikubali tafsiri ya itikadi kali ya ki salafi ao ki wahhabi ya neno Sunnah..
2024 Tujuane hapa weka lake yako ❤
Mashalla
Mashalla mung awajalie
maashaallah allah alete baraka
Mashaallah dhikri mzuri sana Allah atufanyie wepesi katika mambo yetu
Mashaallh Mungu atujalie tuwe n wenye kukesha Na kuntafuta pepo
Mashallah qaswida mzuri sana iko na ujumbe mkubwa,Allah atuepushe na madhambi atusamehe makosa yetu na wazee na ndugu zetu waliotangulia mbele za haki,ameen yarwab
Kasida mashaallah inafunza mmbo mengi naipenda Sana jamani
mashall
Ma shaallah
Mashaallah tujiepushe na balaa❤❤❤❤❤❤
MashaAllah... Umetisha sana Ustadh. Mungu AKUSIMAMIE UWE NA YAKINI YA KUSIMAMIA PANAPOFAA KWA YA DUNIA NA AKHERIA YETU
Napenda dhikr jaman mpk mwil unasisimka allahu yaa allah
Hakika raha sanaa
Marshall ah mwenzie awape afya njema allahdulih
Ujumbe mzuri umeeleweka uzuri Allah swt atujaalie mwisho ulio mwema insha allah
Masha Allah ya Allah tujaliwe mwisho mwema Isha Allah 🤲🤲🤲
Ameen ameen ameen
Masha Anllah 🙌💔لا إله إلا الله محمد رسول الله
اللهم صل وسلم وبارك علي سيدنا محمد❤❤
Mashaallah watu wa peponi wanakesha kutafuta pepo..na wa motoni wanashuulika kutafuta moto
Màshaallah Allah awape afya na uzima,,qaswida nzuri Kwa kweli,,inamafunzo,shukran,, Ramadan Mubarak
Mashaallah kwl dhulma na shirki ni dhambi mbaya kwetu waumin Allah tulinde na haya yote amin
Nipoa qatar mashaallah 😭😭😭😭😭😭😭
Mashaallah baraka llah 👌👌
Masa Allah tak terasa badan ini ikut bergoyang saya di Samarinda Indonesia
My favourite dhikr MashaAllah
Me too my favourite dhikr
Manshallah uislamu akika mnzuri sana raha sanaaa mungu awajaze kheri
Mashaalah ❤️ mungu atuepushe na moto
Ktk dhkri nzur kama hii Kwa kadiria wallah Tena atar
Mashaallah mungu atusamehe ss sote waumini naipenda Sana hii qaswida
😢 Tupe mwisho mwema yarab
Jmn mwenyezimnug hachezew hususan katika Qur-an jaman munaisoma Qur-an mkiipigia makofi na kuisoma kimakosa innalillah wainnailaih rajiun
Kwakweli kuna kazi kubwa ya kusomesha watoto wetu wacshike mambo kama haya
Allah atupe mwisho mwema
mwenyezi mungu awape maisha marefu
A. ALLYKUM. NDUGU ZANGU WA KIISLAM. TUMCHE M. MUNGU. TUNAJISAHAU SANA. ISHALLAH. M.MUNGU ATUJAALIE MWISHO ULIO MWEMA. AMIN
A/alyekum. Tumche mola tujiepushe na dhambi. M. Mungu atukinge na mitihani ya dunia...Inshaallah
أمين ثم أمين
Ammin yarab👐😓
@@ahmedomary4700 amin
Amin
Yani lazima niisikilize kila siku walahi ❤️
mashaallah qaswida yenye mazingatio mungu atu ogoze
yarabi tujalie
Benders Kama hyo Ina maana gani
Maashanllah hakika haishuki sifa yake❤❤❤
zambi za mwenye kusengenya love it masha Allah
na nikweli zambi kusengenya mashalaa zikri mashalaa abdulkadir jelani
Mashaallah
Dhikir nzur San hii mashaallah
Allah tujalie mwisho mwema aminiii
Najikuta chozi linantoka fraha tu...naipenda sana qaswida❤❤
Akhera Kuna kz!! Allah atungoze njia sahh
Halichujii naipendaa sana maanshaallah.
Safi Sana mungu atupe mwisho mwems
Awesome!
Thanks for sharing this!!
Yaaaa ayyuhalladhii na aaamanu weee jaman astaghfirullah jaman tafuten mas-haf na miskit mkaswal jaman tumuogopen mola wetu jmn hii sio ibada niupotovu jama Lahaulawalakuwwataillabillah😢😢mola wetu atuongoze waja wake Innalillah wainnailaih Rajiun🙄😓😓😓😓😓😓😓😓
acheni kujaj watu kwani umeambiwa ndoilivoandika ktk msahafu
@@wasilaahmad876 Astaghfirullah na wewe umwkubaliana nao hao??wanavoibirua birua qur-an??😢😢😢😢innalillah wainnailaih rajiun Ya Allah tuongoze waja wako😢😢😢👐
@@bintsalimalbimany5340 mie sijakwambia kama naungana nao ila hata mtume aliambiwa awaendee makafir kwa kauli laini .lakin sie tulobaki kila mmoja tunajioa tumekamilika
Unajifanya mjuaji ww
I love this. Much success and felicity to you all.
Masha Allah nmeipenda sana inatusisitiza tusimsahau Allah
هاذا ما أنزل الله به من سلطان
Mashaallah madrasa mpo Safi na maneno yenu Safi zambi za mwenyekusengenya haram Allah awajaliyeni kila LA heri
Subhaanallah allah awaongozee
2020....still watching from MaLaysia
2022
Allhamdulilah from Indonesia
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema
wasalaam aleikhum ndugu zangu waislam ninaomba kujua maana ya rangi ya bendera iliyopo mbele ya waimbaji ,wabilah toufiq.
Ngoma gani hii, Allah atuongoze
Great song.greetings from Romania
Is not a song is Dhiki, sir
@@itsmaganeymohamed not zikr?
it is from Zanzibar
Kama wapandisha kama nnavopandisha mm nipe lyk yako💪💪👍😙😙😚😚
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MashaaAllah ❤
Wazee wa qaadiryya
bado nipo hapa
السلام على اصحاب الكساء
Mashaallah I love it 😍 ❤️ so much
Haswa wanawake jamani tumejaa jahannam
@@Diblaun127 mloo
Salma Zaid Haji - ???
Mashallah tabaraka...❤☪️💚☪️❤
Nimeipenda xan
Yaallah nabiii yunusuuu eti yunusuu madawa ukatubu
Hakuna ibada ya kupiga makofi kwenye uislaam.
Mashallah love it
Ramadan Mubarok 🤝
MaashaaAllah mungu awape umri merefu
Kufikisha ujumbe sio lazima mskitin kuna njia nying za kufikisha sasa ikiwa ww unaona hii Ni mbaya basi wala hayo yanayo zungumzwa ww Fanya kinyume chake ili uone kama wanavo Fanya sivo.
Mm nimeipenda kbsaaa
🕋🕋🕋🕋
الله المستعان haya ni ktk uzushi ambao ameukemea mtume swa swallallahu alyhi wasallam namaswahaba na waliowafuata kwa wema wala hawalipwi kwa chochote Bali mnapata madhabi kwan hakuna sampuli ya ibada km hii na huo aliekoment kua kua kila mtu ashike lake namdhaania kua ni mjinga yaani hajui Allahu amfahamishe maana uzushi ni mbaya zaid kuliko hata maaswia kwan anaefanya zinaa anakiri na kukubali kua anafanya madhambi na anatarajia ipo cku atatubia kwa Allah lkn mzushi km hawa jamaa wa mwembe makumbi Zanzibar na mfano wao wanaona kua wakifanyacho ni ibada tena watalipwa kwa hio ni ngumu kukuelewa ukiwaambia huo ni uzushi na kua haufaii
Tumuombe Allah atupe taufiq ya kuisoma dini yake kwa watu waliosalimika ktk itikad sahihi ya ahlus sunnah waljamaa (salafus swaalihi) na kutupa nguvu ya kuibainisha haqqi kutokamana nauzushi km huu amin
Salafii ndo kaka hebu naomba unifahamishe na mie
Hawa ni wahuni
Nasikia raha san❤❤❤
Mashaallah maneno kuntu
Napenda iyii
Allah tuongoe wajawako aaamiin
Amiin insha Allah
This is from Zanzibar Tanzania mashaallah
Nimeipenda nzuri
Mashallah sichoki kuisikiliza
Ujumbe mzuri mashaallah
Subuhannallah
Mashalla kwa saut
nimependa mashallah
Acheni uko kucheza cheza basi na kupiga makofi ni sheria kwa wanawake tu. Ndani ya swala linapomtokea jambo sio kwa wanamme.
Moja safi Sana Masha Allah
2020, bado qaswida nzuri mashalaah
Mashallah❤️️
Halima Ali
89uvgi0p 71,v
mashaallaah
2023 🇩🇪 love it
Naipendaje
Kwa kweli zikri hii ilipangika
mno na haitaweza kupotezea uhalisia wake Miaka L-Ayami
Marhaba jada lhusaid
Mdogoangu apenda sana hii qaswida
🎉🎉 Alhamdulli llaah❤❤❤❤
mashallah ujumbe mzuri sana
Allah awabariki.
2024 August.
2021 come here and give somelikes🤢🤢🤢
Maashallah, alhamdhulillai.
Amazing my daughter Yasmin dances to it!! Mashallah mashallah!!🕋🕋🕋🕋🕌🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌🕌🕋🕋🕌🕌💗💗💗💗💗💗💗
AKI_LY’S FITNESS y
000
Tupo mashaallah
Jazakumullah khaira
I am watching 2021 tomorrow Ramadan day one inshaallah
Dhikr zenye midundo ya namna hii kutokana na imani yangu kwa kweli ni mushkel.
Ila kwenye hii kaniweza jamaa.
Mejikuta nayarudi bila kutaka.
Dah !
Imetulia af ttam kinoma 😅
Yaan full mzuka bin mkazuzu
😅😅😅😅
Maaaashallah
Waislamu nyote zingatieni yaliyomo
Mashallah 💕🥰
mashallah and insahallah
Mariam Mganga
Ina lillah waina ilah rajuunn tufate suna za mtume tucpotee
Subhanallah Iko Wapi Sunna Ya Mtume (s.a.w) Hapo? Anasema Mtume (s.a.w) Fainnahu Man Yaish Minkum Fasayaraa Khtilafan Kathiira, Fa'alaikum Bi Sunnatiyy Wa Sunnatil Khulafai Rrashidiin) Hakika Nyinyi Mtaishi Miongoni Mwenu Mtaona Ikhtilaf Nyingi (Basi Wakati Huo) Shikamaneni Na Sunna Zangu Na Sunna Za Makhalifah Waongofu.
Usituletee vurugu yenyu ya ki wahhabi baba.. haujui maana ya neno Sunnah.. Mtume hakukataza utamaduni, wala sio waislamu wote wanao ikubali tafsiri ya itikadi kali ya ki salafi ao ki wahhabi ya neno Sunnah..
🙏
Dhikiri imefanaa sana
Hayo ni nashid basi bila ya kusema ho ho ho ho hiyo ni bidaa
@@alialamoudi9729 kwani nashid ni bidaa?
Ya Salaam 🙏😭
Manshallah❤
Tupo imenikosha zikir ii
Mashaallah aleyk ❤
Ilike amazing mashallah
Jaman zikil nimeipenda kweli mungu awe nasi ili tupate rehema
Ambao bado tunaskiliza zikli hii tujuane
Tupo
Mambo vp
Tupo
🎉@@naimame763