TAZAMA DHIKRI YA WAZEE WA MTWARA | DARUWESH ROCKET AKIYUMBA KAMA NGAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 138

  • @abdillahhassan5423
    @abdillahhassan5423 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahul musta3an
    Kwakweli Allah atunusuru nahii khadhia pia awaongoze hawa wazee wetu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

      Weye ushabashiriwa pepo au😂

    • @mansurali109
      @mansurali109 2 ปีที่แล้ว

      We hujijui kasome kwanza ndio ulete upuuzi wako

    • @zubedakiruta7044
      @zubedakiruta7044 2 ปีที่แล้ว

      Ivi kwa mtu tamam ya akil aweza kufurahia uzushi huu

    • @zubedakiruta7044
      @zubedakiruta7044 2 ปีที่แล้ว

      Awa wazee umri umeenda bado wanacheza jaman

    • @zubedakiruta7044
      @zubedakiruta7044 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza mtume wao nan jamn

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 ปีที่แล้ว +1

    Zikiri gani hii? Hapo ukute hata dua ya kuingia chooni ukiuliza haijui(ambayo ndo dhikr sahihi)

  • @mohamedkigwehe4025
    @mohamedkigwehe4025 3 ปีที่แล้ว +3

    Manshaallah mashekh wetu mngu awabariki sana na awape mwisho mwema

  • @zainabali9187
    @zainabali9187 ปีที่แล้ว +1

    mtu anionyeshe ipi ndo sehemu yenye ni kumtaja Allah na kufanya dhikri yenyewe

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 4 หลายเดือนก่อน

    mngejuwa mahana ya Zakir yani poreni.sn mnaoikataa zikir yamungu

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah shekh wetu Allah allah💖hi sio bida dini ya haki suni hii👍edeleya shkhe tuna kupenda

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 3 ปีที่แล้ว +2

    Chombo kipo baharini kinapigwa na dharuba tupige saadia tu na tunapita bila hofu allaaaaaaaaaaaaaaaaaah

  • @azizimbega6693
    @azizimbega6693 5 หลายเดือนก่อน

    Wallah Raha sana

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 4 หลายเดือนก่อน

    vipenzi vyamungu .

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq 2 หลายเดือนก่อน

    mashalla

  • @zuhuramnali5749
    @zuhuramnali5749 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi nyie munaojifanya bidaa sijui nn munajiona muko peponi au dini hiyo wasoijua wenzenu nyie muliipata wapi, na ukiona bidaa pita tu hujalazimishwa kuangalia

    • @kabasileissaya8786
      @kabasileissaya8786 3 ปีที่แล้ว

      اختي زهري

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว +1

      Naona unajishuku😂. Kama kwako bidaa basi kwetu ni sunna. Ukimaliza hadithi zote za Mtume saw basi utaikuta tuu. Lkn bado hukufunzwa dini ila ulifunzwa neno bidaa tu na hulijui

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unaefanya sunna sunna ipi imekufundisha kuja kuongea mbele za wanaume na hali ya kuwa wewe ni Mwanamke

    • @salamaaahmaad749
      @salamaaahmaad749 2 ปีที่แล้ว

      Umeona hee

    • @zubedakiruta7044
      @zubedakiruta7044 2 ปีที่แล้ว

      Acha manen ya majahil wew

  • @hassanussi1747
    @hassanussi1747 3 ปีที่แล้ว +3

    اللهم فقهنا في الدين

  • @kibalabibisha6778
    @kibalabibisha6778 3 ปีที่แล้ว +2

    Dhikri 😍🇰🇪 mambasa

  • @imamrajabuomari2315
    @imamrajabuomari2315 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah dhikri ni uhai wa moyo wale wanao Pinga someni jaman sio kupinga tuu

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 3 ปีที่แล้ว

      Ww ndio unatakiw ukasome

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 3 ปีที่แล้ว

      Kasome kijana..dhikr ya makohozi haipo

    • @alsonmohamed9805
      @alsonmohamed9805 3 ปีที่แล้ว

      Vp wajua maana ya dhikr?

    • @alsonmohamed9805
      @alsonmohamed9805 3 ปีที่แล้ว +1

      Na ckia zuli jalali,baada ya dhul jalal

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

      @@alsonmohamed9805 hata Sayyid na Bilal alikuwa adhana anaikosea kutamka ila ni mbora adhana yake kuliko yako uliokuwa unasoma sahihi.

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 3 ปีที่แล้ว +1

    Raha sana jaman

  • @mohameddarus3027
    @mohameddarus3027 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu awajalie mwisho mwema mashehee wetu

  • @maliksilimtutu1917
    @maliksilimtutu1917 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahu akbar,mungu azidi kumuongoza

  • @abadanjunjugala4217
    @abadanjunjugala4217 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mambo ayamazuli yanapotea mungu awalipe badali

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 ปีที่แล้ว

    Masha Allah inapendeza

  • @OmaryAyubu-u3o
    @OmaryAyubu-u3o 7 หลายเดือนก่อน

    Omary ayubu

  • @aliy3303
    @aliy3303 3 ปีที่แล้ว +1

    Wenyeye wasema lete

  • @abubakarimsola3656
    @abubakarimsola3656 2 ปีที่แล้ว

    Washirikina nyie

  • @jumasungura1293
    @jumasungura1293 2 ปีที่แล้ว

    Tumtegemee allah

  • @haafidhhussein9116
    @haafidhhussein9116 2 ปีที่แล้ว

    maashaallah

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu muda muloupoteza hapa mtu engekaa na kusoma Qur'an, kuleta istighfar,kumsabih Allah mungefika mbali,lkn shetani aliweka ahadi mbele ya Allah kwamba atawapoteza ktk njia ya Allah. Lkn pia zihurumieni nafsi zenu huyo munayemtaja sio bubu wala kiziwi.

    • @sharifkeda7109
      @sharifkeda7109 3 ปีที่แล้ว

      Rudi kasome

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sharifkeda7109 Mi bado nasoma mbona,pia namuomba Allah anijalie mtafutaji wa elimu hadi mwisho wa maisha yangu

    • @thobiasssimon4757
      @thobiasssimon4757 3 ปีที่แล้ว

      Wao hawaijui dini ila wewe ndio unayoijua na unajiona upo peponi?

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว +1

      @@thobiasssimon4757 Sijawahi kujiona kwamba niko peponi na peponi nitaingia kwa rehma za Allah mwenyewe,lkn dini yetu imekamilika haihitaji kuongezewa jambo lolote, Allah ameweka utaratibu wa ibada zote pamoja na namna ya kumtaja yeye,lkn pia mtume ametaka tumfate yeye katika ibada,sasa mtume ametuelekeza namna ya kumtaja Allah kwann hatumfati alivotuamrisha tunaleta ya kwetu? Au mafundisho ya Muhammad sio mazuri mazuri nihaya ya kwetu?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

      @@hamadfaki2503 kama bado unasoma kweli basi endelea na mwisho utafanya hivyo maana utaikuta. QURAN Inna ibrahima laawwahu Hali I'm. Katafute tafsiri ya Aya hii tu itakutosha kufanya hivyo. Japo zipo dalili nyingi ila hio moja itakutosha kama weye ni mtafutaji kweli

  • @EngAliMohd
    @EngAliMohd 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Awaongoze

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 2 ปีที่แล้ว

    Sasa ndo nini.....mijitu ya bidaa bwana mna kazi ya kuhema hema tu km mmepandisha mashetani...ujinga hauwezi kuisha😂😂😂😂😂

    • @wazirimchana2404
      @wazirimchana2404 2 ปีที่แล้ว

      Utapigwa fimbo ya abdulqadir

    • @salamaaahmaad749
      @salamaaahmaad749 2 ปีที่แล้ว

      Kwani umelazimishwa

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      Toa Elimu watu waelewe sioni vema kupinga tu bila kutoa elimu ili kutambua kosa ni lipi hata Malaika wanaimba nyimbo za kumsifu MUNGU nami sioni kama wanatukana au wanatumia lugha zisizofaa Bali anatajwa MUNGU tu hapo sipingi kwa maana sijui tupe elimu basi tuelewe kosa lilipo mimi nimeipenda sn hiyo tena kwa sauti zilivyo tamu nimeburudika japo si muislamu

  • @MyMohd12
    @MyMohd12 ปีที่แล้ว

    Mhhh inaleta kinyaaa ,Allah awaongoze kwa kweli

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 ปีที่แล้ว

      Waingize wote motoni

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      Tupe Elimu tujifunze hiyo dhikir ni makosa mi naburudika tu na nimeipenda sn ingawa si muislamu

  • @selmaswaleh2133
    @selmaswaleh2133 ปีที่แล้ว

    Huko kunguruma na Kukohowa ndiyo dhikri???

    • @OsmanBey-yy1lq
      @OsmanBey-yy1lq วันที่ผ่านมา

      Hujuwi kitu wewe pole sn

    • @OsmanBey-yy1lq
      @OsmanBey-yy1lq วันที่ผ่านมา

      Hiii ndodini.sasa.hakika.apo.wapo.na bwana mtume ,shekh adrukadili , shekhe uwesu , shekh Mohammed bin nasoro ,shekh shauri shekhe omari bin kurahateni, usifanye masihala apo ❤❤❤❤😂

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว

    Bid a

  • @husseinmohamed6298
    @husseinmohamed6298 3 ปีที่แล้ว

    Sheilillah

  • @mabrukjuma3878
    @mabrukjuma3878 2 ปีที่แล้ว

    Nauliza jamani wallah hawa ni waislamu au ni lejomaria ?

    • @mansurali109
      @mansurali109 2 ปีที่แล้ว

      We hujibiwi sababu ww mpuuzi hujui nini dini nini ibada we upo tu

    • @mabrukjuma3878
      @mabrukjuma3878 2 ปีที่แล้ว

      @@mansurali109 حفضك الله وهداك

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndio shida wew unaona hao ni wakristo? Km unaona ni kosa toa elimu waislamu wenzako waelewe na useme kosa lao lipo wapi ? Harafu hao ni waislamu km wew unajua na una elimu ya dini yako ndio uelimishe sasa tena kwa kutumia vitabu na sio akili yako usikashifu km huna elimu ndugu ni kosa sana na usiweke ukristo humo kama Imani yko huna elimu nayo hiyo ya wengine unaifahamu??? Kwaninj uhangaike na ukristo ikiwa Imani yako tu huijui???? Dini ni taaluma inahitaji uisomeshwe na uielewe hiyo rejiomaria unayosema uielewi na haikuhusu na ahikusaidii chochote badala ya kustiki kujua Imani ya dini yako unahangaika na kitu ambacho hakikusaidii kujua na kukuza Imani yak jitafakari ndugu yangu.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

    • @mabrukjuma3878
      @mabrukjuma3878 2 ปีที่แล้ว

      Lahaula ,huoni haya kusemam ashallah kwa uchizi huu

  • @pilijuma228
    @pilijuma228 2 ปีที่แล้ว

    Said sungita

  • @mohamedmata6942
    @mohamedmata6942 2 ปีที่แล้ว

    Hawa wamepotea kweli ....hii sio dini

    • @mansurali109
      @mansurali109 2 ปีที่แล้ว

      Io dini yako weye ikoapi ifanye tuione bas upuuzi tu we km hukipendikitu kiachetu lkn usikitie kasoro mshenzi we kasome kwanza.ndio ulete hoja

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 ปีที่แล้ว

      Achana na hiyo habari mtoto wewe.
      Pana watu hapo Wana daraja kubwa sana mbele ya Mungu.
      Ambayo wewe ktk uhai wako wote, waweza usiifikie.
      Hujui siri/ wala chochote kilichopo ktk vikao vya dhikri.

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      Toa elimu na ushahidi kwa kutumia vitabu ili uonyeshe upotofu wao ueleweke.

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      @@mansurali109 well said nakuunga mkono japo mimi sio muislamu hua nafuatilia sana mawaidha ya dini nyingi tu nanapenda mtu aje na hoja na atumie elimu ya dini kuelimisha sio kukashifu kitu huna elimu nacho umeongea vema hao wanaodhikir naamini wanaelimu ya juu kuhusu dini kuliko yeye kama anaona wanakosea ndio aelimishe ili tujue kosa lipo wapi.

  • @abuushaakir9582
    @abuushaakir9582 3 ปีที่แล้ว

    Masufii mna taabuuu Sana kashirikina haya

  • @mchizisoo3953
    @mchizisoo3953 10 หลายเดือนก่อน

    Allah awaongoze maana huu ni mtihani.. nini hichi sasa..

  • @saidingabunjwa1167
    @saidingabunjwa1167 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndio nn sasa hebu tokeni huko uzushi mtupu ndio mko wazee watupu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

      Ndio ujue kuwa wazee ndio waliopokea elimu mwanzo. Nyie masharobaro mnajua nini?

    • @omarymbonde6748
      @omarymbonde6748 2 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 Kuna mzee kumzidi abuubakar,Omar,Ally au uthma
      n

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว

      @@omarymbonde6748 hawakusoma vizuri

  • @alsonmohamed9805
    @alsonmohamed9805 3 ปีที่แล้ว

    Bidaa kubwa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

      Vipi Ushamaliza tafsiri zote za quran na hadithi za Mtume saw?. Au ni wepesi wa kutoa fatuwa vitu msivyovijua?

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +3

    Haifai kabisa mnavyofanya lahaula walakuwat ilabilah

    • @shaabanadam2336
      @shaabanadam2336 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi bi fatma.haifai sababu hapo wanamtaja abduqadiri msomali mwanzilishi wahii

    • @haleemanakupendasanailamuh668
      @haleemanakupendasanailamuh668 3 ปีที่แล้ว

      Kwani hatajimungu na mtume au mwasikilizaje wezangu

    • @allyally5156
      @allyally5156 3 ปีที่แล้ว

      Mkundu wako vipi uko sawa

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว

      Toa ushahidi

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 ปีที่แล้ว

      @@allyally5156 muogope Mungu

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว

    Ujinga huu. Ni mtihan haswaah

    • @zubedakiruta7044
      @zubedakiruta7044 2 ปีที่แล้ว

      Allah mustaan wangine. Hata suratul fat ha hawajui ila wjua kuimba kama manasara

    • @rashidharuni9874
      @rashidharuni9874 ปีที่แล้ว

      Wewe iyo dini umeitoa wapi adi ujione uko sahihi

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว

    Hovyooooo

    • @zayanamshana6705
      @zayanamshana6705 3 ปีที่แล้ว

      Usikute we una makando kando kuliko hao wanaodhikiri. Allah tupe mwisho mwema

    • @wazirimchana2404
      @wazirimchana2404 2 ปีที่แล้ว

      Hii raha huwezi ijua mpaka uwe umesoma tassawfi