Nimevutiwa sana na manzuki yenu, hongereni sana, ila swali yangu ni kutaka kujua hiyo pumba ni chakula ya nyuki au malighafi ya kutengeneza chakula ya nyuki, halafu unamzuia nyuki asitoke kwenye mzinga au asihame, pia kwa uelewa wangu mdogo nyuki huchakata asali kwa kutokana na nekta, je pumba hizo pia humuwezesha nyuki kuchakata asali?

safi sana
Habari napenda kujifunza ufugaji wa nyuki elimu naipata wapi?
Tunaomba namba yake
Naomba namba ya huyu mfugaji ili anielimeshe zaidi hata mimi ni mfugaji wa nyuki
namba
bg up
Chakula gani hio mnalisha?
Pumba
@@MrSidi1970 Pumba hutoka kwa kitu gani? Naulizia kutoka Kenya
@@martinmayende1897 nafaka(cereals) ikitolewa maganda, sasa ile dust yake ndiyo pumba. Na hiyo hapo ni ya mahindi
Mkuu Naomba msaada namba yako