Nimefurahishwa na kuvutiwa na maelezo yenu ila nahitaji kujua, hili zao la nyuki muliitalo maziwa ya nyuki mbona katika lugha ya kigeni haikutajwa kama ni maziwa ya nyuki au tulikosa tafsiri sahihi au hi hi ndo sahihi? Soko lenu la maziwa hayo lipoje, Nina maana uhitaji ni mkubwa ili na sisi tujumuike au munalimudu maana soko la asali hapa Tanzania bado ni changamoto Sasa sijui hili la maziwa.
Aisee Azam TV Mko vizuri mnooo
Nahitaji nipo mkoa wa songwe
Nta Nina shaka!!!!!😢
Karibu sanaaaa nipo tayari kujibu kadhia zako zoote kuhusu Nyuki
Habari nahitaji maziwa ya nyuki nayapataje
Nimefurahishwa na kuvutiwa na maelezo yenu ila nahitaji kujua, hili zao la nyuki muliitalo maziwa ya nyuki mbona katika lugha ya kigeni haikutajwa kama ni maziwa ya nyuki au tulikosa tafsiri sahihi au hi hi ndo sahihi? Soko lenu la maziwa hayo lipoje, Nina maana uhitaji ni mkubwa ili na sisi tujumuike au munalimudu maana soko la asali hapa Tanzania bado ni changamoto Sasa sijui hili la maziwa.
Lita 1 bei gani