Jinsi Ya Kutengeneza Fondant Rahisi Sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 409

  • @nemienemie3732
    @nemienemie3732 4 ปีที่แล้ว +10

    Ni vizuri kusema kama n kikombe kikombe aina gani, make wengine tutachanganya mambo... Asante dear kwa somo

  • @santinakitalika930
    @santinakitalika930 4 ปีที่แล้ว +10

    Hellow Dada Mungu akubariki sana sana kwa elimu na namna unavyokuwa muwazi maana hata hao ambao unaenda kulipia hawaelezei kwa uwazi hivo.👏

  • @evachaz3872
    @evachaz3872 4 ปีที่แล้ว +3

    Dear one asante Sana kwa recipe nimejarbu na imetoka nzur inavutika adi Raha na ilikua Mara yangu ya kwanza, ur the best thanx

  • @ashfatkalokola7943
    @ashfatkalokola7943 ปีที่แล้ว +2

    Ur so helpful,be blessed dada♥️,…je fondant inaweza kukaa hadi wiki ngapi bila kuharibika?…na je inakaa room air au kwa fridge for storage? Plz help 🙏🏼🥰

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda hadi basi yaani unafundisha hadi mtu mwenye kichwa kigumu kama mimi anaelewa asante sana.
    God bless u🙏🙏🙏

  • @floragordian4131
    @floragordian4131 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana dada, hakika mwenyezi Mungu akuzidishe Sana na Sana, kwa video zako umenifanya niweze kupika keki vizuri Sana,.. Mungu muumba mbingu atakulipa kikubwa...

  • @stellahnanguka6544
    @stellahnanguka6544 ปีที่แล้ว

    Asante dada Mungu akuzidishie maarifa nasi tujifunze zaidi! Unga unaotumika kuchanganyia ni ulele wa icing sugar au ulichanganya na ngano ulivyoendelea kufinya ama kukanda

  • @marthaosward4457
    @marthaosward4457 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante Dada unaelekeza vzur sana, na hauchoki kujibu maswal,

  • @JackMkoma
    @JackMkoma 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana nimepata elimu ya kutosha

  • @pulcheriamayombo5222
    @pulcheriamayombo5222 4 ปีที่แล้ว

    Nimeongeza. Ujuzi Mungu awabariki sana karibu Kagera

  • @thabialayden3312
    @thabialayden3312 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan ww...ni habari nyingine. Mungu akubariki sana. C mchoyo nasema c mchoyo

  • @wematony9792
    @wematony9792 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa SoMo nzuri, ila nikitengeneza yakwangu haiumuki kama bubblish Hadi niweke blueband

  • @pendoiszrael4825
    @pendoiszrael4825 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana unatusaidia wengi,Mungu akubariki

  • @sintawaisiku8308
    @sintawaisiku8308 4 ปีที่แล้ว

    I reaaly love u mziwanda,unatufundisha vzr sana wale ambao ni learners,ubarikiwe

  • @hotkitchenapple83
    @hotkitchenapple83 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa SoMo ila yangu huzidi maji. Hadi niweke kwenye fridge niikande tena ndo ifae. Vipimo nimefuata vyako lkn inanitesa bado

  • @sharqaawsingoyi8166
    @sharqaawsingoyi8166 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallah wew dda nimalaika kwakweli mungu akulipe ufke mbalizaidi ya hapo ulipo❤

  • @neemakivuyo4487
    @neemakivuyo4487 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa somo zuri ila nimeona umeandika gelatine vijiko viwili lakini ukasema ni kimoja, ipi ni ipi dadaa?

  • @annaamsi7825
    @annaamsi7825 3 ปีที่แล้ว

    Hi dear hongera kwa kazi nzuri, love you sana samahani nahitaji culture naomba tuwasiliane

  • @liliankitosi1176
    @liliankitosi1176 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana kufundisha

  • @veronicakibago7316
    @veronicakibago7316 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mamiii kwa somo zur🥰🥰
    Mungu azid kukubarik🙏🙏🙏

  • @GraceSamwely-tt5jp
    @GraceSamwely-tt5jp 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kwako mamy nimejaribu maranyingi na marazote natoa poa nakuelewa mnooo❤❤❤

  • @andrewnjuguna2642
    @andrewnjuguna2642 4 ปีที่แล้ว +2

    Mami, you have really really helped. Nimejaribu Leo na imetoka perfect. Nime-enjoy ku-decorate keki sana. Asante sana

  • @parvinhenry4428
    @parvinhenry4428 3 ปีที่แล้ว

    Unafundisha vizuri

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo zuri,hiyo ladha inaitwaje kama naenda dukani kuinunua ntasemaje??

  • @fatumakabetero9454
    @fatumakabetero9454 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dada

  • @emmyraspitsosy417
    @emmyraspitsosy417 4 ปีที่แล้ว

    Asantee umeelekeza mpaka kichwa imefunguka ila hiyo radha cjaielewa kwajina ingine kama naenda kununua nisemeje

  • @marymalyos3662
    @marymalyos3662 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @neemasteven5699
    @neemasteven5699 3 ปีที่แล้ว

    My favorite teacher nakupenda

  • @HenryChristopher-b8d
    @HenryChristopher-b8d ปีที่แล้ว

    Asante xn kwa somo zuri ila hapo kwenye cmc naomba kuuliza ni nusu kijiko cha chakula au cha chai

  • @azzahsultan6810
    @azzahsultan6810 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa maelekezo yako

    • @edinaleonidace5523
      @edinaleonidace5523 3 ปีที่แล้ว

      Yaan nakupenda we dada had naumwa ,n mwalimu mzur kiukwel huna choyo ya aina yoyote be blessed dear umebadilisha maisha yangu I wish nikutafte physically tuonane but one day yes

    • @edinaleonidace5523
      @edinaleonidace5523 3 ปีที่แล้ว

      Yaan nakupenda we dada had naumwa ,n mwalimu mzur kiukwel huna choyo ya aina yoyote be blessed dear umebadilisha maisha yangu I wish nikutafte physically tuonane but one day yes

  • @fredymwaisaka7640
    @fredymwaisaka7640 3 ปีที่แล้ว

    Asante dear nimejaribu name

  • @theresianico8587
    @theresianico8587 4 ปีที่แล้ว

    Habar dear,, naomba vipimo vya kutenfeneza fondant box 2 na vipimo vya box 1,, nimekuelewa Sana na njia ni rahis nimejaribu imetoka vizur , barikiwa Sana mae

  • @mariamtofiki9489
    @mariamtofiki9489 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenijuza mengi my dear

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki dada

  • @emmaculateakumu1783
    @emmaculateakumu1783 3 ปีที่แล้ว

    nakupenda bure....thanks for these classes

  • @stellakatega9617
    @stellakatega9617 4 ปีที่แล้ว

    Mwana upo vzr ila mm hicho kiungo ulichoweka ktk ice sugar sikifahamu ni kipi👏👏🙏

  • @sakinakilangi5424
    @sakinakilangi5424 ปีที่แล้ว

    Hongera San kpenz

  • @zuashfar9719
    @zuashfar9719 4 หลายเดือนก่อน

    Samhn dda hiy cmc n nn ama ukiend dukan ukisem cmc wanaijuwa?

  • @salmaseif8755
    @salmaseif8755 4 ปีที่แล้ว

    Ook asantee nitajaribu namm Inshaa Allah

  • @walterchalamila6219
    @walterchalamila6219 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri ila kunakitu kimoja sijakielewa ninini hiyo umeita sms

  • @gracegithendia1698
    @gracegithendia1698 5 ปีที่แล้ว +4

    Much love from Kenya 💖💖💕💕

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  5 ปีที่แล้ว +1

      😘😘😘

    • @lilianshao8154
      @lilianshao8154 4 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297 jaman naomb video ya kufundishwa jinsi ya kutengeneza butter icing nitashukuru Sanaa mamii napenda Sanaa kazi zako na nmejua kutengeneza keki kupitia wew

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianshao8154 ipo video yake dear ya box 10

    • @lilianshao8154
      @lilianshao8154 4 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297 ohh saw ngoj nichek vzr naon nlipit harak sikuiona Asante

    • @elizabethchengula5847
      @elizabethchengula5847 2 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297hello dear hizo ingredients naweza pata wapi kwa dar es saalam

  • @safiaali974
    @safiaali974 3 ปีที่แล้ว

    Asante nimejaribu na imekuja vizur sana ila nilitumia zesta je naweza kutumia icing sugar nyengine?au haiji

  • @hanaelmutalemwa4380
    @hanaelmutalemwa4380 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saana

  • @Beatricejadon
    @Beatricejadon 5 ปีที่แล้ว +4

    unafundisha vizuri na unaeleweka

  • @nishumedy6038
    @nishumedy6038 4 ปีที่แล้ว +5

    Hi anty samahani napenda sana somo lako .. Jeratin ni nn anty

  • @muniraali8656
    @muniraali8656 4 ปีที่แล้ว

    Inxhallah namiomba mungu aniwezeshe km ww🤲

  • @salmagulam6619
    @salmagulam6619 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa recipe pls tunaomba recipe ya cheese

    • @mackynicky947
      @mackynicky947 5 ปีที่แล้ว +1

      Iangalie kwa Aroma Zanzibar ,,ameitengeneza vizur kwa vinegar tu

    • @salmagulam6619
      @salmagulam6619 5 ปีที่แล้ว

      @@mackynicky947 asante my ile nishaiona ya cheese mozzarella me nataka ya cheddar km anajua

  • @rosettelowhim9730
    @rosettelowhim9730 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu akubariki na kukuzidishia kila kitu hujui tu namna gani umenisaidia kwny kipato changu kwa hii Video

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh ปีที่แล้ว

    Icing sugar umeweka box ngapi😊😋

  • @edithondari595
    @edithondari595 4 ปีที่แล้ว

    Nico one.nipo Kenya mombasa.napenda channel yako .naeza pata vipi cake mixer Ka io yako na n hela ngapi

  • @ZainZain-ki5lg
    @ZainZain-ki5lg 3 ปีที่แล้ว

    asante saana

  • @pendezanamamaeuge812
    @pendezanamamaeuge812 2 ปีที่แล้ว

    Very good

  • @fatmakombo4640
    @fatmakombo4640 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana ipo pouwa hivyo vifaa napata wapi jmani

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 3 ปีที่แล้ว +2

    Kupitia wewe napika keki za kuuza bila kulipa ada ya laki 7😄Asante dada ❤️❤️

  • @sharifahega6811
    @sharifahega6811 2 ปีที่แล้ว

    Nimefuata hatua zote lakini ikawa nzuri TU baada ya masaa kuja kuiangalia imekua ngumu sans haivutiki tena

  • @sadasaleh8359
    @sadasaleh8359 4 ปีที่แล้ว +1

    I lovee kutoka moyoni naapa kwa jina lamola wangu nmepondaa kitu og yan kama umeponda ww tcha wanguu hahha sasa mm nmemaliza box kwa vpmo hvyo swali langu inapamba cake ikapambika hiyo recep

  • @salmajuma4973
    @salmajuma4973 4 ปีที่แล้ว

    Cmc n nini kwa kiswahil kizur umenivuruga hapo tu

  • @JoyceZakayo-s3c
    @JoyceZakayo-s3c 2 หลายเดือนก่อน

    Dada samahani nini inatwa fontan

  • @babyejames3398
    @babyejames3398 3 ปีที่แล้ว

    Gelatin kiasi gani na pia glycerine kiasi gan

  • @fadhilajecha7291
    @fadhilajecha7291 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana dada kw video ila naomba kuuliza hivo vifaa vya kutengezea fondant kma glucose griselin na gelatin vinapatikan wapi au supermarket tu

  • @arafasaid2878
    @arafasaid2878 3 ปีที่แล้ว

    Cmc ni nini mamy

  • @SalmaKassim-o4n
    @SalmaKassim-o4n 2 หลายเดือนก่อน

    Dada samahani nimenda dukani nimesema nataka fondant nimepewa iliyo ganda cjaelewa yani

  • @abelabarongo5748
    @abelabarongo5748 2 ปีที่แล้ว

    naomba SoMo jinsi yakutengeneza chocolate cake. mm ndo Kwanza najiunga na Chanel yako

  • @hildaswallo6770
    @hildaswallo6770 5 ปีที่แล้ว

    Wow! yaan ww ndo nimekuelewa vzr mpnz ubarikiwe mnoooo jmn

  • @agnnesludovick3312
    @agnnesludovick3312 ปีที่แล้ว

    Nic

  • @hurumaelsarwatt4230
    @hurumaelsarwatt4230 ปีที่แล้ว

    Jmn CMC ni nini?

  • @shyfettymtunda4935
    @shyfettymtunda4935 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mno mamii

  • @hustlerasanda9120
    @hustlerasanda9120 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mkenya napenda vidio zako sana maelezo yako ni rahisi

  • @juliethurio6840
    @juliethurio6840 5 ปีที่แล้ว

    Be blessed mrembo napenda

  • @ArvelinaGina
    @ArvelinaGina 5 หลายเดือนก่อน

    Zina patikana wapi grocoz hiyo

  • @caytreenkashanga3149
    @caytreenkashanga3149 3 ปีที่แล้ว

    Dada asante na ubarikiwe,nina swali .je,nilazima kutumia cmc?

  • @Faidsbakes
    @Faidsbakes 2 ปีที่แล้ว

    Cmc ni nini tafadhalii

  • @blandinamayaya2563
    @blandinamayaya2563 ปีที่แล้ว

    Vipi buttercream ikizidi maji

  • @monicagama1806
    @monicagama1806 4 ปีที่แล้ว

    Unafundisha kwa vitendo pia?km ndiyo unapatikana wapi na sh.ngapi?

  • @LaylatDotto
    @LaylatDotto 7 หลายเดือนก่อน

    Asant kipenz

  • @lizybethkusaga908
    @lizybethkusaga908 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa darasa,nipo kijijin napata wap,jelatin,greselin ,blukoz na vinginevjo mpendwa

  • @salmarajabu6740
    @salmarajabu6740 2 ปีที่แล้ว

    Hapo dada sijaelewa CMC uliweka kiasigani? Naomba jibu

  • @ikamalle
    @ikamalle 5 ปีที่แล้ว +5

    Na mimi Nita jaribu hii! #roadTo1K Subscribers 🍾🎉🥰🥰

  • @athmanali7770
    @athmanali7770 4 ปีที่แล้ว

    Mzuri,gelantine nini ?au ni hamira thanks for your video bye

  • @etropiamushi4401
    @etropiamushi4401 2 ปีที่แล้ว

    Vikombe vinne ni sawa na mfuko mmoja wa icing?

  • @EstherBuhuru-bp6yf
    @EstherBuhuru-bp6yf ปีที่แล้ว

    Vikombe vinne kwa kipimo gani cha kikombe,je fondat inahifadhiwaje

  • @farithjuma3955
    @farithjuma3955 4 ปีที่แล้ว

    Sor dear hv ice sugar fondant better crem havizwag ambavyo vimesha tengenezwa kabisa

  • @anifamashaka7680
    @anifamashaka7680 5 ปีที่แล้ว

    Asante dada unahifazi kwenye Friji au

  • @priscapaulpaul6254
    @priscapaulpaul6254 2 ปีที่แล้ว

    My dear gelatin ni nin

  • @violtimoth770
    @violtimoth770 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kushare

  • @AngelMutalemwa
    @AngelMutalemwa 5 หลายเดือนก่อน

    Uzidi kubakiwa dada yaani

  • @andrewjohn8251
    @andrewjohn8251 3 ปีที่แล้ว

    Cmc ni nini, uliyo changanya na ice sugar
    asante kwa somo zuri kabisa

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 ปีที่แล้ว

      Ni kilainishi hicho kinaitwa cmc ama tylose Powder

  • @goddessrobi5375
    @goddessrobi5375 4 ปีที่แล้ว

    Asante dada ..samahan kwahyo fondant tunatengezea icing sugar na sio cornflower?

  • @GodefridaModest-lc5vo
    @GodefridaModest-lc5vo 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona ujaweka Kon frawer

  • @naomisamatwa6690
    @naomisamatwa6690 4 ปีที่แล้ว

    Hv naomb kuuliz hii ni nyeupe huwa mnachangany na nn una kuta keki ni pink,kijani,blue napenda sana unavyofundisha nmejua kupika keki kupitia maelezo yako

  • @latifahshafii3821
    @latifahshafii3821 3 ปีที่แล้ว

    Dear unaweka kweny fridge au

  • @happymosha5253
    @happymosha5253 3 ปีที่แล้ว

    Mziwanda nahitaji darasa please

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nizury

  • @shufaahamadi9331
    @shufaahamadi9331 4 ปีที่แล้ว +1

    Hpa icing sugar ni gram ngapi mamy

  • @noelakataraiha6692
    @noelakataraiha6692 4 ปีที่แล้ว

    Vikombe vinne vya measuring cups au ipi?? Au icing ni grm ngap

  • @typhahstar8836
    @typhahstar8836 4 ปีที่แล้ว

    Icing sugar lzm tutumie hyo ya zesta right??

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 3 ปีที่แล้ว

    Mziwanda napenda sana kazi zako yani napenda kuangalia kila vidio unayoituma .
    Ila katika hii vidio ilikuwa nataka utuoneshe hivo vifuko ili tujue kama hiyo gelat naomba utuoneshe ili niione

  • @fatmamustapha7614
    @fatmamustapha7614 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo cmc hujasema kias gan hapo sijaelewa

  • @nevarichard4624
    @nevarichard4624 4 ปีที่แล้ว

    Napenda unvyo fundisha umenifundisha mpaka Sasa napika keki, ila ukishapamba keki icing sugar inakaukaje

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว

      Inakauka yenyewe dear ,jitahidi kuandaa Butter nzuri

  • @zaitunilyimo9012
    @zaitunilyimo9012 4 ปีที่แล้ว +1

    I love you 😘😘💐