Kashata za maziwa | Jinsi yakupika Labania za maziwa kwa njia rahisi sana | Labania | Collaboration.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 71

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +9

    If you wold like to watch this recipe in english language press the link ➡️th-cam.com/video/FE0ddPHNRiw/w-d-xo.html

  • @khadijaomar7706
    @khadijaomar7706 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shukran habibty nilikuwa natafuta jinsi ya kujifunza hizi kashata nilijaribu pia zikawa zina haribika mungu akupe kheri ,

  • @mozanassor5460
    @mozanassor5460 3 ปีที่แล้ว +1

    Mapishi .ashallah

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 ปีที่แล้ว

    Kweli ni nzuri sana na pia zinaonyesha ni tamu Shukran kwa mapishi mepesi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Yaani tamu sanaa😋😋👌🏻

  • @khatijabagha1661
    @khatijabagha1661 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah,it'S looks very delicious, jazak Allah kairun

  • @salmamaulana2771
    @salmamaulana2771 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bure rukia ❤️❤️❤️thank you for always showing us the best recipe❤️❤️❤️❤️

  • @faja7462
    @faja7462 4 ปีที่แล้ว +2

    شكرا. نحبك كثيرا نريد. دونات ناشف مثل. بسكوت

  • @asebeassumanimtainga4015
    @asebeassumanimtainga4015 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mapishi

  • @terryskitchen337
    @terryskitchen337 4 ปีที่แล้ว

    Umenitamanisha aki, zakaa tu tamu😋 hii lazima ntajaribu...shukran dear

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Ni tamu sanaaa😋😋👌🏻thank u love 😘

  • @fatimabinsayid1323
    @fatimabinsayid1323 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❤❤

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah tabarak Allah zaonyesha tamu na laiiiiiiiiiiini😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Tamu sanaaa habibty😋😋😋😃shukran

    • @thehonesty6765
      @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia vyakula vyote ukipika ni yummy 😋👌🏻 nakuaminia

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 4 ปีที่แล้ว

    Salàm alekum mashallaah labania napeñda sàna

  • @carolinenyambura7606
    @carolinenyambura7606 4 ปีที่แล้ว

    Hello... Umeweka food color

  • @terrykariuki1481
    @terrykariuki1481 3 ปีที่แล้ว

    Your amazing thanks for sharing

  • @rukayasalafiyat5230
    @rukayasalafiyat5230 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @stanleynderu9474
    @stanleynderu9474 ปีที่แล้ว

    Mashalaaah😂😂

  • @AishaJuma-fm2ju
    @AishaJuma-fm2ju 9 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleikum mpenzi lazima maziwa ya unga

  • @zuleikhaalley3544
    @zuleikhaalley3544 2 ปีที่แล้ว

    wow ni nzuri sana na zina vutia 😎😎😎😎😎

  • @mozanassor5460
    @mozanassor5460 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @Craftiummah123
    @Craftiummah123 4 ปีที่แล้ว

    good one sharing, Stay connected.

  • @SaomyKhamic
    @SaomyKhamic 11 หลายเดือนก่อน

    A.alykum umetumia maziwa ya kopo au maziwa ya kupima t

  • @UserZ771
    @UserZ771 4 ปีที่แล้ว

    Una sauti nzuri dada

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Awwww asante sanaa🥰🥰🥰🙏🏻

    • @UserZ771
      @UserZ771 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia ❤

  • @RukiaDuba-g5u
    @RukiaDuba-g5u 4 หลายเดือนก่อน

    Jee huwezi tumia maziwa ya kawaida?

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah habibty nimependa 😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Shukran habibty 😘😘😘

    • @Lassana755
      @Lassana755 4 ปีที่แล้ว

      Vipi waweza fanya bila ya kutia rangi

  • @khadijaomar7706
    @khadijaomar7706 2 ปีที่แล้ว

    Sister kipimo cha maji ndio vipimo ulivyo pimia vingine?

  • @farhatmakame4125
    @farhatmakame4125 ปีที่แล้ว

    @rukialaltia nimejaribu lkn yamekuja madonge madg unga asaa ttzo nn na vipimo nimefata

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah apo kahawa tu na baridi hii shukran habibty

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Kabsa habibty 😋😋👌🏻

  • @namirial4509
    @namirial4509 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @zainabually1014
    @zainabually1014 2 ปีที่แล้ว

    Zinakaa kwa mda gani aziwezi kuaribika je zinafaa kwa biashara

  • @BailscusineRabailskitchen
    @BailscusineRabailskitchen 4 ปีที่แล้ว

    Wow
    Looks so good
    Really enjoyed

  • @sakinakassu1499
    @sakinakassu1499 3 ปีที่แล้ว

    Asalamualaykum...naweza kutumia maziwa ya maji

  • @khadijaahmed7455
    @khadijaahmed7455 4 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum..nauliza apo kwa kikombe sijafahamu vizuri ni kikopmbe au Mag

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Kikombe nilichotumia kupima maji ,sukari na maziwa kinafaa kiwe hicho hicho sikupima kwa gramu

  • @desizayqavlogs6395
    @desizayqavlogs6395 4 ปีที่แล้ว

    Looks yummy..india

  • @modernswahili
    @modernswahili 4 ปีที่แล้ว

    Hi Rukia jamani umenitamanisha. Looks amazing

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Haha pole habibty 🙈🙈🙈😋😋👌🏻thank you soo much

  • @johariimran2351
    @johariimran2351 3 ปีที่แล้ว

    Badala ya maziwa ya unga je naweza tumia maziw fresh?

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 ปีที่แล้ว

    Mimi I have to watch both english and swahili😝😝😝

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Hahaha maskini mbna zote 😂😂😂shukran habibty

  • @azizachaiyo3191
    @azizachaiyo3191 2 ปีที่แล้ว

    Kama ukitumia maziwa tofati na yaunga unatakiwa utumie kiasi gani na sukari kiasi gani yani nataka kujua ninusu au kilo

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 ปีที่แล้ว

    🤤🤤🤤👌👌

  • @najmasalim6272
    @najmasalim6272 4 ปีที่แล้ว

    Ni tamu tamu sana ajabu😂

  • @majidomar4770
    @majidomar4770 4 ปีที่แล้ว

    Naomba maziwa utuambie gram ngapi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Kikombe nilichotumia kupima maji ,sukari na maziwa kinafaa kiwe hicho hicho sikupima kwa gramu

    • @majidomar4770
      @majidomar4770 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia sawa asante kwa kunielewesha

  • @masikakhamisi5142
    @masikakhamisi5142 3 ปีที่แล้ว

    Rukia jamani I have tried this lkn mbna zangu zimetoka ngumu kama ubani jamani nimekosea wapi..nimefata vile umefanya

  • @rosemnambi2413
    @rosemnambi2413 2 ปีที่แล้ว

    Ni she ngapi

  • @AishaIddy-d1u
    @AishaIddy-d1u 3 หลายเดือนก่อน

    Dad

  • @rehemarajab7633
    @rehemarajab7633 3 ปีที่แล้ว

    Je ukitumia maziwa ya kawaida ambaye nakusudia ya maji inafaaa pia

  • @beckahekimambogela4838
    @beckahekimambogela4838 2 ปีที่แล้ว

    Galama zake sio kubwa

  • @MozaRished
    @MozaRished 5 หลายเดือนก่อน

    Jmn kikombe kimoja sawa na gram ngapi mm sina vikombe

  • @emilymartin4547
    @emilymartin4547 2 ปีที่แล้ว

    Ni nzur dia Ila kwa maziwa ya unga kutumia pekeake au hata ya maji. Mana kibiashara hailipi

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 ปีที่แล้ว

    Soon I will be ur neighbour😂😂

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha kuja tu ugain 😂😍😂