Dahh..Mkuu kwakuwa Jina la DARASA limeshachukuliwa naomBa tu nikuite ww MWALIMU MKUU...Asante kwa kuendelea kutupatia elimu..SALUTE kawako...."Mungu akupi UNACHOKITAKA anakupa UNACHOKITAFUTA.......KEEP GOOD TANZANIA MUSIC ALIVE. #KGTMA
Niko Mombasa Kenya and I give Hi5 to Fid Q "The one en only straight forward Rapper in Africa without grudges." His Music is superb, His words of knowledge, educates, His appearance is cool, He remains impact to the game. He is a true Mirror
Dah Hii Ndio Aina Ya HipHop Nayoitaka Kama Large Professor, Mkito Heavy, Mashairi Nondo Namkumbuka CL Smooth, Saxophone Maridhawa Kama Nasikiza HipHop Jazz Beat Ya Pete Rock
"Ukiacha hisia zikwendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli sababu neno la kweli sio zuri na neno zuri halina ukweli". Fareed Kubanda a.k.a Fid q,Ngosha the Swagger Don tajiri wa mashairi na floo!
conscious rap is always underrated new rap is always praised, i wish wajue what have you spoken humu mda mwingine ilibidi nirudie mara 3 ili nielewe mstali ands thats conscious rap all the best.
"Vina mwanzo kati na mwisho" much respect kwako fid......tisha xana bruder......sijawai diss mziki wako wala sijawai fananisha na wamtu coz hakuna wakushindanishwa na wewe........
wabongo wa majuu wanajigawa.SIO KWELI.ila kumbuka ni asilimia ndogo sana ya wabongo walioko mamtoni[EU & USA..continents ni kubwa..hivyo hawawezi kutana daily kama uswahilini..fanya risachi fresh..ngoma kali Tho.. #KingBidder
Damn hats off Fid Q-Life doesn't gives you what you want,life gives you what you go for.Mistari zimeenda shule Ngosha the Don ---watching for the 7th time[Repeat Mode].
Fid Q ni msomi. .am from kenya and wanna give some good love to fid Q for the fact that he featured in a clip where#patricklumumba from kenya gave a historic speech about panafricansim ...kwame nkurumah...Julius kabarenge nyerere...haile sellasie..samora machel.mjust to mention a few..fid q will one time be remembered for real hip hop revolution in tz alongside proff jay
sasa hapa mkuu fid, you have done what you do best entertain and educate amd make us think and write note of your lyrics :).. siku moja moja muorganise event simple munaimba na wadau tunahang out and have good time..
This right here is what we call "A GIFT FROM GOD" You are either born with it or you're cursed without it.. What a master peace..!!! Thanks FAREEEED for this 4 mins of total creativity.
Bado ni jiwe.. Safi fidi.. Ila wabongo wa majuu hatutengani.. Ni wachache kwenye big continent.. Na hatuna same hobby.. Alafu life ya majuu baridi hakuna muda wa kukaa viniweni.. Different life style kabisa #1000% #KingBidder
Fid Q, mahali huko I hope utasoma hio message, mimi fan wako mkubwa.. Niko hapa 2019.. nakuheshimu from day 1 nikiwa kenya.. bado ngoma zako nikiwa sahii ndani ya America nakusikiza. Saana..
Fid huko juu sana bongo hakuna kama wewe toka tasnia hii imeingia nchini uko vzr kila idara keep it-up bro...nafananisha style yako na mwanangu mmoja kitambo anaitwa Posh D kwenye ngoma ya Stara Thomas inaitwa Nyuma sintorudi
Neno la ukweli sio zuri na zuri halina ukweli nitasahau vyote milele nitamkumbuka alie niumba na daily nitakaa mkao wa pushups kama UMBWA. Fareed eeeh wewe ni nuksi
""Hawaamini kwenye kuunda Diamond au Kiba wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili.. "" Shikamoo Fid Q
SUMU 2024 Tukutane Humu..
Dahh..Mkuu kwakuwa Jina la DARASA limeshachukuliwa naomBa tu nikuite ww MWALIMU MKUU...Asante kwa kuendelea kutupatia elimu..SALUTE kawako...."Mungu akupi UNACHOKITAKA anakupa UNACHOKITAFUTA.......KEEP GOOD TANZANIA MUSIC ALIVE. #KGTMA
Nimewapa Ofa A Mswaki Alafu Leo Mnantoa Meno..😂😂
Wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa🙌
Fid q is simply my world's best emcee
kenyan here. and I say TZ has the best rappers in Africa. none other.
jay okal +254 present
But let's all agree Khaligraph is a big deal.
Jay Okal NYANSHISKIIII
is Nyashinski a rapper?
This is conscious rap.. Khaligraph haezani na hii
Niko Mombasa Kenya and I give Hi5 to Fid Q "The one en only straight forward Rapper in Africa without grudges." His Music is superb, His words of knowledge, educates, His appearance is cool, He remains impact to the game. He is a true Mirror
Yukopowa
Hahahahahahaha umetishaaaa
@@ramadhanjuma7629 Hahaha mzungu wetu wa mombasa
Dah Hii Ndio Aina Ya HipHop Nayoitaka Kama Large Professor, Mkito Heavy, Mashairi Nondo Namkumbuka CL Smooth, Saxophone Maridhawa Kama Nasikiza HipHop Jazz Beat Ya Pete Rock
Mwanangu umenikumbusha mbali sana ulipomtaja large professor
Fid Q has been my favourite rapper over 12yrs now.. am a Kenyan, in USA... mistari jammaaa ameiva kuiva..
I PUT YOU ON A MAP.
"Ukiacha hisia zikwendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli sababu neno la kweli sio zuri na neno zuri halina ukweli". Fareed Kubanda a.k.a Fid q,Ngosha the Swagger Don tajiri wa mashairi na floo!
"Asienihitaji simhitaji". Fid q unajua sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ryama anaua noma mkali
wanataka vtu rahisi
mi nawapa vtu halisi
na cyo bi dada kama IDRIS
🙌🙌🙌🙌
The only 🇺🇬 Ugandan here that feels this music...ur the best
Bro, you are not the only one.
conscious rap is always underrated new rap is always praised, i wish wajue what have you spoken humu mda mwingine ilibidi nirudie mara 3 ili nielewe mstali ands thats conscious rap all the best.
"The best of Rock City"............Respect to FID Q
"Vina mwanzo kati na mwisho" much respect kwako fid......tisha xana bruder......sijawai diss mziki wako wala sijawai fananisha na wamtu coz hakuna wakushindanishwa na wewe........
I still love this song 2020, I play it in my car deep in Seattle🇺🇸🇺🇸🇰🇪
2022
I am with you my G 2023
Uwongo hauna Miguu ila Scandals una mabawa....big line.
respect from Lebanon
Alieniumba alinipa mdomo siachi kuongea......nimekubali haya madini ya fikra
salute
wabongo wa majuu wanajigawa.SIO KWELI.ila kumbuka ni asilimia ndogo sana ya wabongo walioko mamtoni[EU & USA..continents ni kubwa..hivyo hawawezi kutana daily kama uswahilini..fanya risachi fresh..ngoma kali Tho.. #KingBidder
Classic 💯 💯 flow,lyrics,delivery,beat perfect marriage.
Kwann chuo cha udsm hawajakuita fid wakupe P.hd yako!!!!!kama vile tuzo tuzo zao hizi ama nini haziendani na hadhi yako!!ni hatareeeeeeeeee
happy to hear Sukuma language , ma mother Language......
congrats brother Fareed
Nimeipenda
Damn hats off Fid Q-Life doesn't gives you what you want,life gives you what you go for.Mistari zimeenda shule Ngosha the Don ---watching for the 7th time[Repeat Mode].
Respect to Africa's KRS 1. Fid is the realest emcee 🔥🔥🔥 Love from Kenya.
This video doesn't deserve 32k views for two days' Ntafikisha 1M views kwa kuitazama mwenyewe. #BonGeHipHopBongeLaChupa
fid q is a best rapper in africa, like it if u agree wit me
NICKSON Sambala exactly yes
👏💯
At the moment. he is the best in the world
sarkodie
True
Fid Q ni msomi. .am from kenya and wanna give some good love to fid Q for the fact that he featured in a clip where#patricklumumba from kenya gave a historic speech about panafricansim ...kwame nkurumah...Julius kabarenge nyerere...haile sellasie..samora machel.mjust to mention a few..fid q will one time be remembered for real hip hop revolution in tz alongside proff jay
I can still say that this is the best Swahili African Hip Hop artist.🇹🇿
*Kama una mkubali FID Q gonga like*
02:33 ...Leo nawapa offer ya miswaki halafu kesho munanitoa meno!!!😂😂😂🔝🔝🔝
wema anataka saa ya almasi zari anaujali mda hahahah fid q you nailed it
Maana yake?
"hawaamini kutengeneza diamond na kiba wawili wanachokiamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili"
BARS!!
Dah! ......neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli....Big Up Farid Kubamba
“Nakupa Fact kwa lugha ya kishikaji." The legend . Respect Fid Q⚡⚡
maisha hayakupi unachotaka, yanakupa unachotafuta....
got you bro. we professa mzee
sasa hapa mkuu fid, you have done what you do best entertain and educate amd make us think and write note of your lyrics :)..
siku moja moja muorganise event simple munaimba na wadau tunahang out and have good time..
Every morning and day long .. i feed my brain with this smart facts .... Big up Camp
Baas... God bless you. The fact will remain that you can't be compared. You are like Gold I a Mad land.
punch zimetulia naipenda kazi yako broo akili mingi
This right here is what we call "A GIFT FROM GOD" You are either born with it or you're cursed without it.. What a master peace..!!! Thanks FAREEEED for this 4 mins of total creativity.
fid q....u schooled all bongo hip hop artists..this is more than hip hopu got my respect..u went so hard
具,△
kizi mkazi 🙌🙌
R. I. P Albert Ngware... real ones are never forgotten.
I'm actually the 1st kenyan to listen to this masterpiece. big up fid q.
Don Mino you lie
No I'm not. Very few of us are into conscious muzik but by now kuna wale washaiskia lakin mm wa kwanza
@@santimina9322 You lying it's just that most of us don't comment here
Ndo wanaanza kuelewa somo walikuweka kwenye best rappers Africa in hali haukuwa na vyuma vinavyorukwa kwaoYOUR THE BEST RAPPERYOUR HIP-HOPYOUR NGOSHA
ebwana huu mzigo kweli SUMU dah big up sana Ngosha
bonge la ngoma.
Mie toka Kenya,,,,,fid we ni Bingwa wa sku zote 👑👑na akuna anae kzidi hapa east afrika KING...
Bingwa wa hiphop,,,,,anaepinga haielewi hiphop na kama anaelewa basi hajui lolote kuusu hiphop culture #respect..
wema anataka saa ya almasi zari anajali muda.. fact.. diamond na kiba To be togeza not kumfanya mmoja awe dili... Big Up Bro Fid Q
The baddest fid.... Hili ni balaa lingine la mji.... #sumu
Fid q tosha! Mistari, biti yaani mwanzo mwisho! Big up
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏 kali kuliko
tunachanga kwenye msiba ukifa hawajali ukiumwa....fid q 💪💪💪
wewee ndo hip-hop tz, ngoshaaaa big up
hongera br fid mistari mizuri na video Kali sana cku hz unatuletea
Bado ni jiwe.. Safi fidi.. Ila wabongo wa majuu hatutengani.. Ni wachache kwenye big continent.. Na hatuna same hobby.. Alafu life ya majuu baridi hakuna muda wa kukaa viniweni.. Different life style kabisa #1000% #KingBidder
ni kweli aliemtia umasikini africa leo analia kwa yanayomsibu mashairi yako mkuu mpaka uwe mwana falsafa kuyatafuli best song beg up brooo
Fid q , brother your the best.... "Your giving them more than what they can swallow"! #HATARII
eyeneyoh hee sumu ng'hale ghete.....u alwayz killn t bro....
U're the man ov dc era.
Kaka usipostuka Africa unaweza kuzikwa ukiwa hai nice ngoma umeitendea haki
Hii ngoma lazma tuiweke museum ya hiphop bongo 🚀🚀🚀❌🧢
"I din't come this far, Just to come this far" ......
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. uwongo hauna miguu, lakini skendo Zina mabawa😂 fid q unajua sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Fid Q, mahali huko I hope utasoma hio message, mimi fan wako mkubwa.. Niko hapa 2019.. nakuheshimu from day 1 nikiwa kenya.. bado ngoma zako nikiwa sahii ndani ya America nakusikiza. Saana..
Best rapper bongoland..mwanza mwanza..
Nimekubaliii ngomaaa kaliii umetishaa fid Q ww ni mkaliiiiii
Mzee bila noti ni zaidi ya Nyosh akiwa vibaya....Alomtia umasikini Africa leo analia kwa yanayo msibu.......hi hataree!!!!!!!!!!!!!
Wanatafuta kumshusha mmoja ili mmoja awe dili.. Daah çok düşünceli bu adam
2020 December Hili Goma Bado La Moto 💥💥💥💥
Salute Fid Q......Best Rapper in Africa
Mwaka wa vichupa huu salute kwako ngosha
uogo auna miguu lakini scandle lina mabawa....best rapa wangu,,,,you are tz khaligraph
Eeneyo ee sumu ! Cha kupewa hakishibishi ukipewa lazima ukumbushwe
Fid huko juu sana bongo hakuna kama wewe toka tasnia hii imeingia nchini uko vzr kila idara keep it-up bro...nafananisha style yako na mwanangu mmoja kitambo anaitwa Posh D kwenye ngoma ya Stara Thomas inaitwa Nyuma sintorudi
much respect ngosha...na dyile nitaka mkao wa pushup kama umwa (oyooh)
Hawaamini kwenye kuumba Diamond na Kiba wawili ila wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dili 🔥🔥🔥🔥🔥.
Mara yakwanza kabisa nimekaa makini kusikiliza nyimbo za #FidQ, waliosema he’s the best rapper alive awajakosea kabisa🙌🙌🙌🙌 🤩🤩🤩🤩🤩
06/2019
I have so much respect for Fid p , Your hip-hop Pioneer , creative and you have science of being Emcee . This was High school for me!
best rapper in tz,,, kichupa kipo gud mzeee mwenye hip pop yake!!!!
ngoma kali sana....kila siku lazma nicheki roho sasa umeniongezea nyingine hatari sana...
HAtari sana... Chakupewa hakishibishi, coz ukipewa lazma ukumbushwe.
This is amazing been a fan since 04 u haven't disappoint me
Waiting for KITAAologia
This album gonna be 🔥🔥🔥
fid q = versatile, prolific and deep , his rhymes pass over the head of most #showing love from Canada #Realhiphop
ALIYENIUMBA AMENINIPA MDOMO SO NINA HAKI YA KUONGEYAAAAAAA SO NAINGIYA NINACHOJISKIYA HUWEZI NIPANGIYAAAA BIG UP BROO WEWE NI NOWMAAA
Nimejipenda kuongea kisukuma katika wimbo wa mdogo wangu Fid q
ka ingekua enzi za game of thrones....fiq q angeshaitwa lord fid q...aminia xana mkuuu
au father of hip hop dragon
tunamoka ili tusafir kwa hisia#fid bhanah...kwel coz tukivutaga ganja wenyew tunajiona tuko London kumbe tuko itigi kwa mzee nyenjele
ha ha ha ha....
Bakari Abdul so accurate
+Yk555 pa1 xana# +yk555
Mkao wa Push Up kama Mbwa
Baba wa Hiphop.....nakuaminia jembee unalimaa tu...
oyoooooo!!!ongera sana brooo!!! iko flesh sana
Fid Q unatisha kama njaa nakukubalisanaaaaaa
Gratulations about rap feeling. You create new future in new place. What a language this? Beatuifull soundly
fiD, Mungu Akuongoze👍💪 sumu....
Captain König upo vizuri sana! Big up.
hapo sawa bro.. i will alwayz hav time for your deep poetry.. endelea hivyo hivyo Fid!!
Hii ni noma, heshima kwako fid q. Much respect
I love the contents of video...Wabongo inabid waelewe concept kama hiz kwenye videos ili tulete utofauti wa video
Neno la ukweli sio zuri na zuri halina ukweli nitasahau vyote milele nitamkumbuka alie niumba na daily nitakaa mkao wa pushups kama UMBWA.
Fareed eeeh wewe ni nuksi
Kefa Wales . sana
Mtumbaya!!!
fide we mkalii banaa unastaili heshimaa sanaaa
mijitu mingne ina click unlike button huenda ikijua ni sehem ya kudownloadia....
James Buyenze hahahaaahaa alafu ni kweli mwanangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yan goma kal hvi,,, au ndo ile timu flan....
hahahaha hvi kweli?
Amini kwamba
😂😂😂😂😂😂😂
it's 2022 and Fid Q was waaaaaaay ahead of his time
legendary fid q we ni legendary wa ukweli broo
ngosha umetisha babaaah!!
Uzee bila noti ni zaidi ya nyoshi akiwa vibaya
yaani hapa ni Mkongo akiwa hana hela lazima awe mbaya