Kiberiti ni wimbo ninaoupenda kupita nyimbo zote kwenye album ya Ngosha, utofauti wake, imegusa maisha ya saikolojia zetu, yaani unasemwa ,unatetwa ili useme lolote, lakini mtu anayekufanyia hivyo hana chcochote cha kukutisha , huwa na-refer pale , sikuoni BET, MTV wakiplay tunes
Kila kilicho ng'aa ujue kiling'alishwa but kwa upande wako umejing'alisha mwenyewe muda mwingine tutafute Manati kwa ajiri ya kuwapigia kunguru kwasababu ni waharibifu
Wanataka vitu rahisi minawapa vitu halisi hii kaka kweli ni fact kwa lugha ya kishkaji bonge la video
mwambaaa umeona beats iyooooo nikwereee. umetishaaa mnyamwezii 🔥🔥🔥🔥🔥👊👊
Kama Bado tunasikiliza hili goma pamoja mpaka mwaka huu 24 gonga Like tuondoke 🛫
True mzee mbuzi aka ngosha ukijikuna tako haikikisha usikate kucha kwa meno
Nko na mwanao wa mbavun sultan
Fid Q mwana aliyee juuu 🔥🔥 gonga like Kama umekubal hii ngoma ya ngosha Farid kubanda
Mbuzi nzee hajaiangusha...mistari yenye elimu si haba
Anyone 2024 ✊🏾🙌
Umeua broo
Nakubari sana bro
Ima tell yu this tanzanian rappers will come and go but fid q is the one of the lyrical genius and hiphop influence
Video kaliiii ile kinyamaaa
Kiberiti ni bonge la ngoma HipHop ni mkombozi wa fikra ina uhalisia kwenye maisha ya binadamu kiukweli FidQ we ni Goat#GoatFidQ #Kiberiti #SaidaKaroli
Dah jamaa kamchana sana CHIDBENZ
hii ngoma kali sana aisee
Kiberiti ni wimbo ninaoupenda kupita nyimbo zote kwenye album ya Ngosha, utofauti wake, imegusa maisha ya saikolojia zetu, yaani unasemwa ,unatetwa ili useme lolote, lakini mtu anayekufanyia hivyo hana chcochote cha kukutisha , huwa na-refer pale , sikuoni BET, MTV wakiplay tunes
hii art kumamake daah.🥾🐐🔥
Nunua kiberiti hesabu njiti zake..utaelewa moto.upi umeibwa hapa..Ahsante nguli wa muziki Tz
Daah badala ya yoooh yoooh nyingi na kushika chini ya trouser ,,hii mpya🙏💥💥
VIDEO TUU NI HIP HOP TOSHA..PUNCH LINES WOOOOOOOOOOOOOOW
,,,,, umetishaaa video kali
Nooma💊💊💊💊💥💥
Maana halisi ya msanii na sanaa ndo hiiii
Nakukubali sana
Heshima yako mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
hii video ndo maana halisi ya GREATEEST OF ALL TIME
KING LUFFA'S BEAT
Babu ngosha hii binge la video sijawaikuona kama hii Dunia nzima hip-hop
Nakubal fid q
Nice way of visualizing thoughts
Finally the real MBUZI... thanks for the visuals. This was an instant classic when I heard it, it's still a classic.
Idea Kali sana
Haipingwi bro
Asante sana Fid Q umenielimisha
My brother Fid Q Mungu akuinue kama ilivyo ahadi yake . Kazi nzuri sana
Nimejfunza k2 mkuu...Salute mwamba wa kaskazin
Huyo sio mwamba wa kaskan😂😂
Neipenda hii nikali na hii ndo hip hop
Show nje ya town zina crowd ya kiwaki,kaza crown ibak ukikaza xana hawataki🙌🙌🙌
Hatari sana
We thank God for Fidq
"Ukisema Chini Hapana 🙅!! Ina Maana Fanya Unyanyuke 🧎..// Na Ukiamini Umesimama 🏃!! Mwana Komaa Usianguke 👩🦽..".."💪👊🔥 Ngoshaaaaaaaa🔥🔥🔥👊🙌
🤛🏻
Lil wayne.how to love
Nakupa cheooo kk
Kila iitwayo leo flow zako zinazidi kujenga ubongo wangu “genius of rap”
Music is not only entertainment but also EDUCATION now this is what we need in reality
Kubandaaaaa ❤❤❤❤❤❤
Nipo Humu 2024...Haiwezi Pita Siku 3 Sija Play Huu Wimbo Aisee!!🔥✊🏾
Faridi hizi floor ni kali mno
Greatest
One of the finest masterpieces. Thank God for Fid Q
Nakuitaga Baba ya muziki Tz
The first day i started listening to Fid q to this day i never stopped. This guy right here deserve respect and i do respect him 100%
We ni fundi ...mamaaaae
Moja kati ya ngoma zilizowahi nijenga katika ukuaji wangu kwenye mziki na Utamaduni wa Hiphop ✊🏿
Wee sio kichwa wewe unaweza fichwa
Nikichora hiphop sioni sura yako kwa picha ✌🏼
🐐
Wataelewa wachache wanaofahamu mziki mzuri ❤️
GOAT video 🔥 music 🔥
Ww sio kichwa, ww unaweza fichwa... Ikichorwa hiphop sio sura yako kwa picha✊💥
My favourite artists of all time Kendrick Lamar and Fid Q
What about j Cole?
.this song huwa inaniiinua sana nikiwa najisikia niko down...🔥🔥🔥🔥 #the 4 agreement ✅✅
Mzee mbuzi makini sana
Fundi wangu🔥🔥🙌
Utofauti ndio utam wenyewe video yakinyama sanaaa🙌
Goat 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🔥🔥🔥🔥🔥🔥 and goddess saida
Ongea uskike aw kaa kimya usidharaulikee😼🤐🤔🤔🤔.. ticha fidQ🤞🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo uliotafsiriwa na msanii mwenyewe ndani ya wimbo wake!
Fid kama fid 🔥🔥💪
Yupo duniani tangu August 13…..Acha awashe moto aseee mwamba ni KIBERITI🔥🔥
Kali 🔥🔥🔥🔥
Sawa Mwalimu
Hapo tu ndo unapowaacha wasanii wote Tz
Ujumbe mzur sana 2024
Sa hii video mbna kubwa sana mamaqe
Saluti sana mzee mbuzi ujawaii kosea
Ngosha the don...
hip hop
Q aka mr International 🔥
Ukweli hauna Spare (tatizo lako hautaki kuuza maneno) una roho mbaya hutaki hata kumkumbuka Rado 🖖
Kamsema nani hapo
🔥🔥🔥🔥
Baba karibu …
Mbna inakaa kama sample hivi....well kabla sijahukumu sana ningependa kumskia @fid Q mwenywe akieleza kwann kaamua kuifanya kwa style hii video yake
Hongera bro
Farid kubanda the definition of hiphop tz
Umeua fiq Q,
Asant kwa mzik wa kwel
Mbona ile ngoma iionza ni kali sana kuliko hiii sounds good achia na ile kaka tule vyako vitam G.O.A.T
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Binge la ngoma
Fid q mbuzi...diamond simbaa...harmoniz tembo...Mr blue nyati...dudu baya mamba...reyvan chui...ila T I D ndio mnyama pekee asie na jina
We jamaa bahiri sana, hii ngoma kali halafu video umeenda fanya graphics mixing video, kweli?!
Noma sana hiii
good vibes
Hapa kamjibu Rado
Fid Q the Don. Ukijikuna tak...usikate kucha kwa meno
bonge la video kaka ongera sana
🐐 mzee mbuzi
G.O.A.T
Am waiting for so long time to see
Ngoma kali
Video Kali sanah
Shots fired 🔥🔥💥 Simba 😂😂
Ukijikuna takoooo.............
Hatulali tunalinda accound ya fid, wakirusha bom tunalipuka nalo
Kila kilicho ng'aa ujue kiling'alishwa but kwa upande wako umejing'alisha mwenyewe muda mwingine tutafute Manati kwa ajiri ya kuwapigia kunguru kwasababu ni waharibifu
mzeeee mbuuuuzii