Amen kwa hili SoMo ,Kuna jambo Lili nikujia , Nashukuru ROHO mtakatifu alinifundisha kwa ndoto ,,kabla mtu mwenyewe kunikujia ,,so wakati alikuja niliweza kulishinda Hilo jaribu ,, Glory Glory be to God 🙏 🙏😭
Ame Amen Amen baba natamani nipige kigeregere lakini ni kwenye cm but rohoni kigeregere changu kifike ktk madhabahu ya Mungu wa JRC Mungu muumba wa vyote akamuumba George mukabwa akaniumba na mimi hakika nimepokea pakubwa
Namshukuru sana Mungu kwaajili yako nilidhani namjua Mungu na kumtumikia kwauaminifu lkn tangu nimeanza kukusikiliza nimegundua sisitahili hata kutaja jina Bwana
Paster Mimi nimedhulumiwa pesa nyingi sana naomba neno la hekima au niambie nifanyaje Ili Bwana aweze kunirejeshea pls naomba nisaidie nipe maarifa nifanyaje?
Asante Pastor nimebarikiwa sana ,Mungu akutunze.
Asante Babaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kiukweli namshukuru Mungu Sanaa kwa ajili Yako mch umenifundisha mengi Sanaa .
Nimekupata vizuri paster g,hakika uko vizuri
Ameniona,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sharpening me everyday, my inner being is renewed
Kweli Mungu ana vifaa vyake. Amen
Thank you Holy spirit to introduce me here.. 🙏
Turabashimiye kabisa mwalimu mutumishi wetu mungu agutie nguvu tena Roho akujaze tena❤
Amen much blessings
Barikiiwa mtumish kwa mafundisho kweli ni maarifa ya ki. Mungu
Hallelujah 🙏 hallelujah nakuelewa sana mtumishi oooooh Mungu akutuze wew na familia Yako
Pastor umenibariki sana nataka kua mtumishi wa mungu.hiyo imenisumbua sana utanisaidia pastor
Amen kwa hili SoMo ,Kuna jambo Lili nikujia , Nashukuru ROHO mtakatifu alinifundisha kwa ndoto ,,kabla mtu mwenyewe kunikujia ,,so wakati alikuja niliweza kulishinda Hilo jaribu ,, Glory Glory be to God 🙏 🙏😭
Mungu akuzidishie Sana sana
Ubarikiwe sana.Twasaidiwa sana na somo.
Asante,mtumishi wa mungu, nimeelewa nipo wapi,nilikuwa nafanya vitu ,bila kujua ni karama za Roho mtakatifu.somo zuri sanaa.amen.
Mbarikiwe Kwa somo zuri
Mungu azidi kukutumia
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Glory. Halleluja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeen Ameen and Ameeeen ❤❤❤❤❤❤❤
Yohana 14:16
Ameni yes wasamani
Ame Amen Amen baba natamani nipige kigeregere lakini ni kwenye cm but rohoni kigeregere changu kifike ktk madhabahu ya Mungu wa JRC Mungu muumba wa vyote akamuumba George mukabwa akaniumba na mimi hakika nimepokea pakubwa
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen pastor really its a knowledge we need as a church. Nakusikia I'm challenged either your teachings.
Asante nimepata ufahamu
Amen nimebarikiwa sana na somo la leo
Nabarikiwa na masomo yako mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki
Ameni
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Yesu ni thamani
Amen glory, have been Blessed
Amen and Amen, God bless you pastor
Man of God..
Longue vie mon vieux
Namshukuru sana Mungu kwaajili yako nilidhani namjua Mungu na kumtumikia kwauaminifu lkn tangu nimeanza kukusikiliza nimegundua sisitahili hata kutaja jina Bwana
Paster Mimi nimedhulumiwa pesa nyingi sana naomba neno la hekima au niambie nifanyaje Ili Bwana aweze kunirejeshea pls naomba nisaidie nipe maarifa nifanyaje?
Amen Amen Amen
Ubarikiwe Sana pastor
Amen and amen wewe wadhamani yesu kweli kweli
Amen Amen Amen!!!!
Wadhamani yesu kweli kweli
Isaya 32 -13,15
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Baba asante sasa hadi neno la wakolosai 1:9
I am always blessed. God bless you PASTOR
God bless you pastor
Ameen
Amen
Baba nakusikia kutoka ndani kabisa hakika kwa ajili yako Mungu azidi kutukuzwa maana anasikiwa wazi
God bless u man of God, am so much blessed by u
Tunaomba no.ya.simu iwe inatembea chini. Ya jina lake.Mubarikiwe.
Ooh hallelujah thank you yesu
❤ 2❤❤
Mdo 1:8
Wathamami yesu
Channel gani unapatikana baba nahitaji kufuatilia masomo yako Pastor.
Amen wa dhamani Yesu na ni wa thamani na thamani yake haiishi milele
2Petro 1:4
Nimepata ufahamu ambao sikua nao
Hapo kwenye roho za wanadam ndani ya moyo machozi yamenitoka baba ukweli roho za wanadam zinaumiza kiasi kwamba wanaweza kukusababishia pressure
Naelewa mnoo nafunguliwa na masomo haya Nina ushuhuda
Watu wa Mungu alie hai naomba mtu mwenyew no ya huyu mchungaji anisaidie anitumie
Wadhamani ndiye wathamani??mie kuna vingine sielewi
Ndio mpendwa..jifunze kuelewa content..wengi wetu tumeathiriwa na lugha zetu za asili..kiswahili hakiwezi kunyooka vyema
Amen 🙏
Amen nd Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen 🙏
Amen Amen Amen Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏
Amen
Amen.
Amen
Amen
Amen
Ameeen