MUNGU ANAVYOTUMIA MIGUU YAKO KUKUONGOZAA KATIKA HATIMA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA || 05/01/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 57

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu ninakuomba mwaka huu ukawe mwaka wa ushindi kwangu. Nautabiria kuwa mwaka wa kushinda kwenye interview iliyotangazwa ya ualimu, nami niwe miongoni mwa wachaguliwa. Naamini nami nitarudi hapa kwenye hii comment kwaajili ya shukrani kwa Bwana. Amen. 2025 nimekuja kwa Jina Bwana Yesu Kristo nikitangaza ushindi🙏🙏🙏🙏🙏

  • @favouredlady-n3f
    @favouredlady-n3f 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napokea mguu wa kulungu katika jina la Yesu sitazimia wala kuchoka hallelujah Hallelujah 🙌 👏🏿

  • @PurityLove-g9b
    @PurityLove-g9b วันที่ผ่านมา +4

    Amen leo mungu amenipa mguu wa kulungu mwaka huu sitalia tena 🙏🙏

  • @priscambise2660
    @priscambise2660 วันที่ผ่านมา +1

    Huu ni mwaka wangu wa kuuona wema wa Bwana 2025❤❤❤

  • @irenekemunto9658
    @irenekemunto9658 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤ww 2025 nakuja ktk Jina la yesu.neno moja tu la siku.amen

  • @starbbwoyphotography6598
    @starbbwoyphotography6598 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen ❤ mungu nimu weza yote

  • @beatriceogechi9012
    @beatriceogechi9012 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen kwa neno la bwawa.pastor nahitaji kitabu ya maombi

  • @laletiispretty3421
    @laletiispretty3421 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naomba kusikia maelekezo ya kuosha miguu, siyasikia Kabisa. Barikiwa sana Mtumishi

  • @Patience763
    @Patience763 วันที่ผ่านมา +5

    Asante MUNGU uliyefanya nikapatana na hii channel juu nimeona mkono wako toka nifuatilie mchungaji huyu 🙏🙏🙏🙏nilikua shimoni lkn Bwana MUNGU nakushukuru kwa neema ya kupata kusikia somo la leo 😢😢😢

  • @lucywairimu2330
    @lucywairimu2330 วันที่ผ่านมา

    Hii neno n yngu mungu nisaindie niwache kutapatapa

  • @EliasSimwanza-w8r
    @EliasSimwanza-w8r วันที่ผ่านมา

    Amen paster nataka kitabu Niko zambia nakonde❤

  • @favouredlady-n3f
    @favouredlady-n3f 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    (((((((13th January 2025))))))mfungo wasiku 21days Mungu nipe nguvu nikaungane na maombi haya katika jina la yesu, naomba kibali katika maombi haya 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @glorykimaro5620
    @glorykimaro5620 วันที่ผ่านมา

    Nipo dar naomba kitabu Barikiwa Mtumishi wa Mungu tunaongezeka Kwa kweli

  • @GRace-hm9ek
    @GRace-hm9ek วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana poster mahali ulipo punguza mungu akujalizie🙏🙏🙏🙏🙏

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu napenda uduma yako niko iraq kikazi

  • @NDAYISHIMIYEChristine
    @NDAYISHIMIYEChristine วันที่ผ่านมา

    Tuko Bujumbura asante kwa huduma mtumishi. Tutapate vitabu mtumishi ? Tunatamani kupanda kiimani n'a kuomba.ubarikiwe mtumishi.

  • @FaulataLambert
    @FaulataLambert วันที่ผ่านมา +1

    Ameen mtumishi

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 2 วันที่ผ่านมา

    Amina Bwana atatulinda tuinguyapo na tutokapo sasa hata milele.

  • @evanskhasindu3237
    @evanskhasindu3237 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana nikiwa Nairobi kenya

  • @GladysMwangi-o6n
    @GladysMwangi-o6n 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen

  • @halimrasham1221
    @halimrasham1221 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amen amen amen 🙏

  • @JacklineMushi-s5o
    @JacklineMushi-s5o วันที่ผ่านมา

    Ameni nipo kibaha naitaji kitabu ni sh ngap

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢Yes God is greatest throughout always through his Son Jesus Christ,s Blood.. Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Hallelujah to I love you Daughter of God. .yess tell them

    • @shshygibb2236
      @shshygibb2236 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wooooow

  • @shadrack6530
    @shadrack6530 2 วันที่ผ่านมา

    Ameeen❤

  • @SidiBaya-v5f
    @SidiBaya-v5f วันที่ผ่านมา

    Ameen🙏🙏🙏

  • @yuliasamwel9967
    @yuliasamwel9967 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ConjestaKimario
    @ConjestaKimario 2 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oh mighty here I'm

  • @lauramlay4499
    @lauramlay4499 วันที่ผ่านมา +1

    yaani kwa sasa wachungaji wenye
    0p nguvu ya fundisho hili la nguvu ni wachache mi naomba tu ubaba hu.u

  • @lilymafole7945
    @lilymafole7945 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba mliopo Dar grp mtuunge pamoja nasi tupate vitabu.

  • @LeahShadrack
    @LeahShadrack วันที่ผ่านมา +3

    Niko MBEYA nahitaji kitabu cha maombi ya siku 21.

  • @simonmalali5273
    @simonmalali5273 วันที่ผ่านมา

    Naomba mnisaidie pdf ya kitabu cha maombi ya mfungo

  • @HefsibaOsborn
    @HefsibaOsborn 2 วันที่ผ่านมา

    Niko Dar es salaam, nahitaji kitabu

  • @magiefrancis
    @magiefrancis วันที่ผ่านมา +1

    pia mie nakihitaji hicho kitabu ila nipo Mkoa wa Pwani Mapinga Bagamoyo, nitashiriki hayo maombi na ibada nafatilia kwa njia ya mtandao naomba majibu kitabu nakipataje?

  • @gracesylvester7433
    @gracesylvester7433 วันที่ผ่านมา

    Tulio mbali ya mwanza kuna soft copy ya kitambi cha maombi

  • @hydermurithi7105
    @hydermurithi7105 วันที่ผ่านมา

    How can we get the soft copy of prayer book

  • @JaneStivine
    @JaneStivine วันที่ผ่านมา

    Tupeni no ili tulipie kitabu cha maombi

  • @judithfrancis9458
    @judithfrancis9458 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nahitaji kitabu cha maombi ya siku 21
    Nipo Handeni Tanga nakipataje

  • @marthaopiyo443
    @marthaopiyo443 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen 🙏

  • @RosemaryOwori
    @RosemaryOwori วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @JumaIbrahim-c6n
    @JumaIbrahim-c6n วันที่ผ่านมา

    Amen ❤❤❤❤

  • @SamantherLubanga-ir9ir
    @SamantherLubanga-ir9ir 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @JumaIbrahim-c6n
    @JumaIbrahim-c6n วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @JumaIbrahim-c6n
    @JumaIbrahim-c6n วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 36 นาทีที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @FaulataLambert
    @FaulataLambert วันที่ผ่านมา

    Ameeen

  • @AnneNyagothie
    @AnneNyagothie วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @ElizabethKulola
    @ElizabethKulola วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ruandarose
    @ruandarose วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Stellah-zh7lg
    @Stellah-zh7lg วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @prisca4612
    @prisca4612 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @aminabakari3664
    @aminabakari3664 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @JacquelineMusaya
    @JacquelineMusaya 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Amen