MZEE SAID : AZIZ KI ANAENDELEZA | YULE BOKA MASHINE | MAXI INJINI | AZAM WALIINGIA KICHWA KICHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @SlayNyoni
    @SlayNyoni 29 วันที่ผ่านมา +20

    😂😂😂😂😂 Mzee said Yan unanifurahishaga sanaaaa Tena sana Fanya tupate namba zako tukuchangie Hela ya jezi ya bibi na ww upate hata kikombe Cha tangawizi upozee koo😂😂😂😂

    • @josephmihayo6236
      @josephmihayo6236 29 วันที่ผ่านมา +2

      Mzee Said Burudani sana. Fanya umnunulie bimkubwa jezi ya Yanga. Ila umesema ukweli, usiofichika ni kwamba Simba hawaanaa striker!

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 29 วันที่ผ่านมา +11

    Ww mzee unanipa rahaaaa sanaa🤩🤩🤩 like kama zote

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 28 วันที่ผ่านมา +4

    Maua mengi Kwa Mzee saidi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwanaidimtengo8151
    @mwanaidimtengo8151 29 วันที่ผ่านมา +4

    Tunakupenda sana Mzee Saidi wetu

  • @H3s4d
    @H3s4d 29 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee saidi amini usiamini kama kachumbali ni mboga🎉🎉🎉🎉

  • @user-cx1mj8ne6h
    @user-cx1mj8ne6h 29 วันที่ผ่านมา +4

    mzeee unajua mpira sana

  • @jamila-wf5oj
    @jamila-wf5oj 29 วันที่ผ่านมา +9

    😂😂😂😂mzeee saidi unanifurahisha sana jamani

  • @hamisikikondo9402
    @hamisikikondo9402 29 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee sadi wewe nithekomedy kwetu wanayanga😂😂😂😂

  • @MariaKyuzu
    @MariaKyuzu 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu azidi kukutunza mzee said

  • @Jonashamis-h3y
    @Jonashamis-h3y 28 วันที่ผ่านมา +4

    mzeehe said akiona jez hua ana kumbuka 5

  • @fikiridotto2336
    @fikiridotto2336 วันที่ผ่านมา

    Aahahahahaaaaaa uuuwiiii mzee saidy ujengewe sanam lako liwekwe posta ninapata amana

  • @MarisseliusBkayusi
    @MarisseliusBkayusi 28 วันที่ผ่านมา +2

    Ongera saaaana mzee saidi mwamba Toka tabora

  • @godwinmagayane4708
    @godwinmagayane4708 28 วันที่ผ่านมา +2

    Pendant sana mzeeee

  • @AbdallahMfilinge
    @AbdallahMfilinge 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mzeeee said legendary 🙌 👏 😂😂😂😂😂😂

  • @NinoHusen
    @NinoHusen 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mnyamwenzi mwenzangu sijui nani atanizuia kukuangalia😂😂😂😂😂

  • @iluminatasagalani6791
    @iluminatasagalani6791 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee said uko vizuri ila mnunulie mama jezi ya Yangsa

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee said 😂😂😂😂😂😂

  • @SophiaJohn-k2r
    @SophiaJohn-k2r 19 วันที่ผ่านมา

    We Mzee nimushabik wa yanga ximba unatukejel mnafik

  • @amiduassan8763
    @amiduassan8763 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi kama sijakuona najutia MB zangu ila nikishakuona hata zikiisha naongeza

  • @MariaKyuzu
    @MariaKyuzu 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mzeee said huwa nakupenda sana huwa unasema ukweli

  • @user-mj7ks1xo1u
    @user-mj7ks1xo1u 28 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂nakubari sana huyu Mzee saidi

  • @iddabdallah4340
    @iddabdallah4340 29 วันที่ผ่านมา +3

    😂Mzee said Simba ndio wapatiwe vipimo maana uwezi kuwa na rasta bila kuvuta bange...simba wachezaji wenu marasta 😂

  • @SophiaJohn-k2r
    @SophiaJohn-k2r 19 วันที่ผ่านมา

    Ww Mzee mnafiki

  • @DevothaAbera
    @DevothaAbera 11 วันที่ผ่านมา

    Nimejikuta nacheka kwa mdomo wa yusuph Dabo😂😂😂

  • @hendrypeter6182
    @hendrypeter6182 29 วันที่ผ่านมา +3

    Mm yanga damu namkubal uyu mzeee

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee saidi uko vizuri sana

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee said unatuvunja mbavu😂😂😂😂

  • @VincentNyondo-rg1iz
    @VincentNyondo-rg1iz 29 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee said kongole kwako tuma namba upate hata soda.

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee side wetu😂😂😂😂😂😂

  • @user-gw5lb5um3u
    @user-gw5lb5um3u 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi NJOO jangwami,huko Simba utakuwa kama mzee Magoma.

  • @ShriwaStanley
    @ShriwaStanley 21 วันที่ผ่านมา

    Hongela

  • @user-em1mg2ei7c
    @user-em1mg2ei7c 28 วันที่ผ่านมา +2

    Ila ah huyu mzee

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 29 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee Saidi unakaa wapi?😂

  • @barakarocko453
    @barakarocko453 29 วันที่ผ่านมา +2

    oya kaka chagamba unatisha , napenda unavo muoji mzeee said

  • @dearnamypastime2435
    @dearnamypastime2435 19 วันที่ผ่านมา

    Eti yule akisimama tu ujue mpira umebadilika😂😂😂

  • @KennedyJohn-p1i
    @KennedyJohn-p1i 29 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂😂😂 mzee side utaua wa2 kw kuchek

  • @hellenagabriel890
    @hellenagabriel890 29 วันที่ผ่านมา +3

    mzee said unanivunja mbavu zangu

  • @SuphianMaimu
    @SuphianMaimu 29 วันที่ผ่านมา +2

    Chagamba tutafutie namba ya mke wa Mzee 4:58 Said tumtumie hela ya kununua jezi

    • @FannySporttz
      @FannySporttz  29 วันที่ผ่านมา

      Njoo Instagram ya Finest Online Tukupatie namba yake.. Tunatanguliza Shukran Familia 🙏

  • @SAMWELSOLOMON-w3p
    @SAMWELSOLOMON-w3p 29 วันที่ผ่านมา +3

    Hahahajja😂

  • @franktarimo271
    @franktarimo271 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee said ni raha sana jamani

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 28 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂mzee said unachekesha

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 27 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mzee acha ubaguzi

  • @luckMwamwage
    @luckMwamwage 25 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana mzee Saidi.

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi nitakupa dada

  • @RajabAli-ev3qk
    @RajabAli-ev3qk 29 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu Mzee saidi anongea viziri huyu

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 24 วันที่ผ่านมา

    Tusiitangaze league yetu kwa mambo mabaya , tutafute njia nzuri kufikisha malalamiko kama yana ukweli vinginevyo tunajivua nguo wenyewe kwa faida ya nani sasa

  • @DamasRobert
    @DamasRobert 29 วันที่ผ่านมา +2

    Hatujiiii uwanjaniiiii😂😂😂

  • @josephbgittiyanga-5701
    @josephbgittiyanga-5701 26 วันที่ผ่านมา

    Nataka namba ya mzee saidi chagamba nitumie

  • @danielayubu
    @danielayubu 29 วันที่ผ่านมา +2

    Fei toto ni mshabiki wa yanga mechi nzima yeye ndo ameshangilia kuliko

  • @user-kr2zi7du7y
    @user-kr2zi7du7y 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi

  • @josephbgittiyanga-5701
    @josephbgittiyanga-5701 26 วันที่ผ่านมา

    Chagamba tutumie namba ya mzee saidi apate hata maji ya GSM apoze kooo mana anaongea yote ya kweri

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 29 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona wacchezaji wa yanga ni wazee

  • @winfredngaeje6969
    @winfredngaeje6969 27 วันที่ผ่านมา

    Et mkwe wake Aziz Ki 😂😂😂😂

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 29 วันที่ผ่านมา +2

    Nipe namba SAID asiyempenda SAIDOO

    • @FannySporttz
      @FannySporttz  29 วันที่ผ่านมา

      Njoo Instagram ya Finest Online tukutumie Namba yake.. tunatanguliza Shukran Family ,🙏

  • @noelamkwala4462
    @noelamkwala4462 29 วันที่ผ่านมา +1

    Chagamba Fanya mpango tutafutie namba ya mke wa Mzee Saidi tunataka tumtumie Ela ya kununulia jezi tatu zote za Yanga 😂😂😂😂

    • @jumannemwakalinga2586
      @jumannemwakalinga2586 29 วันที่ผ่านมา

      Tupeni namba ya Mzee Saidi tutume fedha ya kununulia jezi ya Yanga kwa ajili ya mke wake.

  • @yusuphissayusuph9083
    @yusuphissayusuph9083 11 วันที่ผ่านมา

    Uko viziri babaangu

  • @SlayNyoni
    @SlayNyoni 29 วันที่ผ่านมา +1

    Fanya bwana Mzee said tupate namba zako babu😂😂😂😂

  • @RamadhaniMahaku
    @RamadhaniMahaku 25 วันที่ผ่านมา

    Singeri

  • @lenardngitu3342
    @lenardngitu3342 29 วันที่ผ่านมา +1

    we chagamba unamuwehuwa mzee wa watu, kumbuka ana familia uyo. hutaenda mbinguni🤣

  • @dearnamypastime2435
    @dearnamypastime2435 19 วันที่ผ่านมา

    Yani likikamata tu nkii

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 26 วันที่ผ่านมา

    wee mzee said izo dawa vp

  • @AngelMsomali
    @AngelMsomali 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AngelMsomali
    @AngelMsomali 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DadeSaide-qr7ti
    @DadeSaide-qr7ti 27 วันที่ผ่านมา

    Kkkkkkk😂😂😂😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @KelvinTemba-c5z
    @KelvinTemba-c5z 27 วันที่ผ่านมา

    Mzeee saidi wewe ni mtu na nusu

  • @josephngwega7398
    @josephngwega7398 28 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @MtuMzito-u7t
    @MtuMzito-u7t 29 วันที่ผ่านมา

    sreka si mukwala

  • @user-kr2zi7du7y
    @user-kr2zi7du7y 29 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 29 วันที่ผ่านมา

    Na maneno yako yote ni swadakta

  • @user-co6lt8fq7t
    @user-co6lt8fq7t 21 วันที่ผ่านมา

    Hahahahaha

  • @AngelMsomali
    @AngelMsomali 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AngelMsomali
    @AngelMsomali 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂