NONGWA ZA MSIMU | Kisugu wa Simba amkalia kooni shabiki Aza FC kichapo cha Yanga - 18/08/2028

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kisugu ana akkli sana maashaallah.....hashindwi kirahisi.....huwezi kumfunga kwenye mazungumzo burebure mashallah....Allah kampa akili kubwa mnoooo

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kisugu uko vizuri wachane maana Hakuna mtu anaishi hapa duniani bila matumaini,,, Kwa hiyo tumaini letu UBAYA UBWELA lazima tuchukue Mwaka huu Kombe bila kupingwa

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kisugu mtamu sana bwana kwenye mjadala lazima uwe makini na maswali yako unayouliza ukienda hovyo utachezea za kichwa

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisuguu wa motooo sanaaa

  • @wycliffowino3917
    @wycliffowino3917 2 หลายเดือนก่อน

    From Nairobi Kenya

  • @Emerson99-o6l
    @Emerson99-o6l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa miraji na mzee saidi wamekosekana ndo maana kumenywea

  • @stevekipepeo2134
    @stevekipepeo2134 2 หลายเดือนก่อน

    Great minds discuss ideas ordinary minds discuss events simple minds discuss people!

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 2 หลายเดือนก่อน

    God ynga nomaa

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi yuko wapi🙄😢

  • @NaomiInsha
    @NaomiInsha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee saidi yuko wapi?

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ilaaa kisuguu wa motoo

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Suma nae sumu ,ko yeye anaamini kuwa wazungu ndo wenye akili kuliko babaange

  • @johnmalisa9373
    @johnmalisa9373 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dodi vipindi vyake😅😅😅😅

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu ni mmoja tu

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumekucha 😮

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahah baada ya mume kutoa huduma tofauti wake wenza wanagombana sasa

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dodi kwanini Yanga wanahari Saana mechi ila kwanini miraji hayupo na muzee Saidi

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe Kisugu kunamda kina ongea jambo la maana 😂😂😂😂

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wananyunyiza hawa😀😀😀

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu unaumiza akiliiako kubishana na huyo muha uliekaanae pembeni hakuna chochote anacho kijua

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo shabiki wa Azam hana tabasamu la kishabiki ona Kisugu anavyoongea unaona kweli shabiki

  • @StevenEliasi-y1u
    @StevenEliasi-y1u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sas uy anae mwambiy atulie mzee mbn kam n yey mzee😂😂😂

  • @RamaMussa-cn5co
    @RamaMussa-cn5co 2 หลายเดือนก่อน +1

    God awawaeza wotee

  • @FranceChiwangu
    @FranceChiwangu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani wazee lakin akili Amna kocha kazingua kwaiyo tu kwasababu mtu kasomea bac tusimsaidie kupanga mpila mchezo wawazi

  • @amaniandrew534
    @amaniandrew534 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huna point ww shabiki wa azam

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 หลายเดือนก่อน

    Dodddy shukraaan

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka sana Ila makolo wanamameno jamani 😅😅😅😅

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 หลายเดือนก่อน

    Hakunaa mtu anaweza kubishanaa na KISUGU labda kidogo mwalimu yanga

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha kisugu 😂😂😂

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said yuko wap

  • @EzraMihayo
    @EzraMihayo 2 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wa yanga akili zao hazifanyi kazi!

  • @LeninJonas
    @LeninJonas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba inatengeneza yanga Wana boresha afu kenge inasema simb hawajasajiri ko chama kafikaje yanga

    • @EzraMihayo
      @EzraMihayo 2 หลายเดือนก่อน

      Ni sahihi

  • @BrackPetharm
    @BrackPetharm 2 หลายเดือนก่อน

    Hili kipindi la kisenge kinoma yaan full kukoromeana tu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AverinaAmosy
    @AverinaAmosy 2 หลายเดือนก่อน

    Washabiki wa Simba wanaotakiwa kuwepo kwenye huu mdaharo ni miraji mara Moja, mchome mapovu na sam Simba lakn Hawa wengne ni ushuuz mtupuu

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 หลายเดือนก่อน

      Wamajaa machawa madunduka..

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 หลายเดือนก่อน

    KUMBE KISUGU NI SUNGURA MJANJA❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan yanga kakaa misimu mingapi?

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa kweli siyo Azam maana jamaa wachezaji wote wa Yanga wazuri wanakaa benchi pale Azam.

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo shabiki wa Azam kweli Hana akili 😂😂😂

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa mashabiki wa Simba sometimes akili huwa tenge kwakweli khaaa

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisugu anakeepa kuongelea mpira Hana point

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu hanalolote analolijua Azam inafelishwa na uongozi uliopo nasio mashabiki yule mlezi wa timu jamar bakharesa sio mtu wa mpira ni mpigaji tu na hajui mpira ,anaweza akapiga simu atolewe au apangwe mchezaji furaji nje na mfumo wa kocha yupo tayali azam ifungwe na simba na anakua happy kuliko Azam ikiifunga simba siku azam ikicheza na simba anakaa tu ajishugulishi kwa lolote ila siku azam ikicheza na yanga anatafuta mbuzi kondoo na paka ili azam ishinde sasa game moja haiwezi kuifanya azam kuwa bingwa wakati unarusu simba wakufunge.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga wamewapima Simba yaani ni goli moja tu haya rudisha kashindwa hicho kipimo tosha fundo la mbwa si mchezo

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 2 หลายเดือนก่อน

    kisugu akili hana hata kidogo pumbafu...1

  • @rogeradonis1956
    @rogeradonis1956 2 หลายเดือนก่อน

    Kipindi nikizuri sana, Ila akuna utaratibu wakuhongeya

  • @RamsoPedro
    @RamsoPedro 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu hana point kbs

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 หลายเดือนก่อน

    Simba sahizi wako kwa ICU ikilinganishwa na Yanga

  • @B12Dazzen
    @B12Dazzen 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu jamani kashindikana

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 หลายเดือนก่อน

    KISUNGU JICHWA TENGE 😂😂😂😂

  • @GeorgeChelse
    @GeorgeChelse 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Hawa watu no hatar

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kipindi nakipenda kama iki

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 หลายเดือนก่อน

    God kiboko ya makolooo

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiboko ya madunduka ni god yanga tu😂😂😂

  • @AllySety
    @AllySety 2 หลายเดือนก่อน

    kwani utopolo walikaa Mika mingapi bila ya kombe lolote mbn mmejisahalisha nyie?

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 2 หลายเดือนก่อน

    God ni nooma

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu sio mtu wa mpira simba yetu imesajili wachezaji wa kawaida sana

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 2 หลายเดือนก่อน

    Ameuliza simba alipofungwa na yanga kisugu alichangia mjibuni???

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂hivi Gody na Dosaa mlisahau kumwambia yeye mbona alipocheza na tabora goli lilikataliwa na la Azam mkatoa na ayo mnajichelewesha tu na ilo kisugu

  • @DeusChakiza
    @DeusChakiza 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi na mkubali mchome.anaongelea team vibaya ili ijirekebishe.mchome ana akili sema wengi hamjamfatilia

  • @MICHAELWAMBURA-pe1to
    @MICHAELWAMBURA-pe1to 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani kisugu anaamini sana ushirikina Kila kitu yeye ni ushirikina

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      MATOPOLO WASHIRIKINA NYIE MSIJITETEE

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน

    Unamzuiyaje mtu wa yanga... Mwache anaweza kufanya lolote maana mechi 3 kakufunga gol 8

  • @wycliffowino3917
    @wycliffowino3917 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwq

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @RomboBoy-bl7ql
    @RomboBoy-bl7ql 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu fala tuu hujui mpira

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga itakuja iue watu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya Madunduka 😂😂 Gody Yanga

  • @StephenMJohn-hx8gu
    @StephenMJohn-hx8gu 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aza fc ndio azam fc? Kama ndivyo hariri tena jina la huu uzi!

    • @ChenchiKing
      @ChenchiKing 2 หลายเดือนก่อน

      Admin Ni Mtu Anawez Kukosey Ndug

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu wewe ulipopigwa na yanga ulishiriki.

  • @Emerson99-o6l
    @Emerson99-o6l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa miraji na mzee saidi wamekosekana ndo maana kumenywea