Unafahamu historia ya Kiswahili unachozungumza?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Kuielewa historia ya Kiswahili, inabidi urejee miaka 1000 hadi 800 nyuma. Kipindi ambapo, wafanyabiashara wa Kiarabu, Kiajemi na Kihindi wanaanza kuingia katika mwambao wa Afica mashariki, kwa minajili ya kufanya biashara na wenyeji.
    Mkutaniko wa watu hawa na wenyeji wa kibantu ndio unapelekea kuzaliwa kwa lugha hii ya kiswahili.
    Wakati wa mkutaniko huu, lugha kuu iliyokua inatumika kufanyia biashara, ilikua ni kiarabu. Jambo lililopelekea wenyeji hawa wa kibantu kupokea maneno mengi ya kiarabu na kufanikisha unyumbuaji wa lugha mpya kadiri muda ulivyokua unakwenda..
    Tizama video hii mpaka mwisho kuweza kuelewa kwa kina asili ya Kiswahili na mambo yaliyohamasisha kukua kwake.
    Music used is from TH-cam Audio Library with a single one requiring this:
    Accralate - The Dark Contenent by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (creativecommon...)
    Source: incompetech.com...
    Artist: incompetech.com/
    #Jifunzekiswahili #Kiswahili #Hakunamatata

ความคิดเห็น • 42

  • @chotaramswahili2835
    @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapo kwenye hiyo historia umetudanganya kaka ...sikweli madai kwamba kiswahili kilitokana na ndoa mseto kati ya bantu na mwarabu..tuweni wakweli bana

    • @mezani782
      @mezani782  3 ปีที่แล้ว

      Ukweli ni upi?

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว

      @@mezani782 siwezi ueleza ukweli hapa nikaumaliza..cha msingi nitafute kwa mahojiano zaidi..nikupe tui zito kuihusu lugha mnayodhania haina wenyeji wake

    • @hassammohammed5046
      @hassammohammed5046 3 ปีที่แล้ว

      @@chotaramswahili2835 twambie tu wenyeji tujue sie wengine hatujui

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว +3

      @@hassammohammed5046 kiswahili ni lugha ya kiafrika tena kwenye kundi la kibantu.ni lugha iliyo kuwepo tangu jadi hata kabla ya kuja kwa mwarabu.ilinenwa na wanenaji wake waliitwa wangozi.hivyo lugha yao ikaitwa kingozi.siwezi simulia kila kitu hapa naomba tupangeni mkutano tuelimishaneni.tuacheni kuwapatia watu weupe milki zetu

    • @hassammohammed5046
      @hassammohammed5046 3 ปีที่แล้ว

      @@chotaramswahili2835 jee unawajua wangozi ni kina nani au hawapo sasa ivi...

  • @abedikapangasabiti5551
    @abedikapangasabiti5551 ปีที่แล้ว +1

    Sahihi

  • @user-gx2ij2zd1t
    @user-gx2ij2zd1t 8 หลายเดือนก่อน +2

    Catherine GCRC teacher garbriellan children center

  • @boneyskeleton3649
    @boneyskeleton3649 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kiswahili class stand up

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +3

    Chai asili china
    Shule asili ujerumani
    Marhabaa asili kiarabu
    Bendera asili kireno
    Peremende asili kihindi

  • @taariqabdulrahman9630
    @taariqabdulrahman9630 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiswahili hakina deni ni lugha iliyokamilika ilibadilika wakati ya wageni Kuja Africa Mashariki tefuta historia vizuri kwa walio waswahili.

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona waafrica mna dharau kwa lugha hii....ebu tuelezeni lugha gani dunia nzima ambayo ni kamili...

  • @jaligawesa
    @jaligawesa 4 ปีที่แล้ว +3

    Shule-Kijerumani
    Leso-Kireno
    Chai-Kihindi
    Mara-Kiarabu
    Penseli-Kiingereza

    • @mezani782
      @mezani782  4 ปีที่แล้ว

      Vipi kuhusu neno Chaki?

  • @makamehaji4395
    @makamehaji4395 4 ปีที่แล้ว +2

    1)Haki-Kiarabu
    2)Meza -Kireno(mensor)
    3)Buku(Daftari)-Kiengreza(Kiarabu)
    4)Kitabu-Kiarabu
    5)Hina- kihindi

    • @mezani782
      @mezani782  4 ปีที่แล้ว +3

      Kuna 1) hela - Kijerumani
      Na. 2) Pesa - Kihindi

    • @jaligawesa
      @jaligawesa 4 ปีที่แล้ว +1

      Fedha- kiarabu

  • @jesusisjerryallahistom
    @jesusisjerryallahistom 3 ปีที่แล้ว +3

    kiswahili ni lugha ya kibantu, kabla warabu hawajaja, lugha hii ilikua inaitwa Kingozi kutoka Kenya karibu na ziwa Tana.

    • @mezani782
      @mezani782  3 ปีที่แล้ว

      Leta ushahidi mahususi wa nadharia hii..maana hapa unasema hichi kiswahili cha sasa ndicho kipokomo kilichokuwa kinazungumzwa kale

    • @jesusisjerryallahistom
      @jesusisjerryallahistom 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mezani782 lakini Wafrika mbona mulisha poteza akili????lugha mama ya kiBantu unaomba ushahidi???? wa Ngozi wa Kenya ndio wazungumzaji wa Kingozi: Afrika hiwezi kuendelea na watu alienated kama nyinyi.

    • @mezani782
      @mezani782  3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa ilikuwaje Kingozi kikaitwa Kiswahili?

    • @jesusisjerryallahistom
      @jesusisjerryallahistom 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mezani782 sawa sawa kaka, naona unakuja vizuri: Kingozi kama lugha ya kiBantu, wakati warabu walikuja Afrika kukamata watumwa(slaves) na kusambaza uislamu, waliongeza maneno ya kiarabu kwenye Kingozi kikaitwa kiSwahili. Takwimu zinaonesha kama maneno ya kiarabu ambao ameongezaw kwenye Kingozi ni kati ya 10 na 15%.

    • @mezani782
      @mezani782  3 ปีที่แล้ว

      Huu mseto kwa maoni yangu ndio umezaa kiswahili..na si kiarabu tu. Kuna athari za wareno, waajemi, wajerumani na wazungu..la sivyo bado kingeitwa kingozi

  • @kelvinkaranja69
    @kelvinkaranja69 2 ปีที่แล้ว +2

    Nime penda hii, swali ni channel Kwa Kiswahili???

  • @n_r_mtv5306
    @n_r_mtv5306 3 ปีที่แล้ว +2

    Lakini kwa nini Auku taya Congo
    Congo tuna sema swahili sana

  • @taariqabdulrahman9630
    @taariqabdulrahman9630 3 ปีที่แล้ว +2

    Na tatizo kubwa la kiswahili ni wakati ilipo chaguliwa itakuwa ni lugha ya kuunganisha watu,iliandikwa na wasio waswahili.

  • @user-gx2ij2zd1t
    @user-gx2ij2zd1t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alama ya lugha Moshi mawenzi

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mtangazaji sasa Congo mbona umeiacha??congo imesema kiswahili sana kupita rwanda na uganda wewe hujui nchi zenye kusema kiswahili?

  • @hassansalim9498
    @hassansalim9498 3 หลายเดือนก่อน

    si Kenya wala si Tanzaniya
    kiswahili asili yake nishungwaya huko kusini mwa Somaliya ndio timbuko la kiswahili duniani
    Kenya na Tanazania na kwengine koote kilifika baada ya miaka miingi

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣kaka umefili muno ukisema warabu nijuzitu hopo bando saaan pole