- 772
- 240 643
Mezani
Japan
เข้าร่วมเมื่อ 18 ก.ค. 2018
Mezani ni jukwaa la mtandaoni linalolenga kuongeza ufahamu juu ya mambo ya msingi kuhusu sayansi, elimu, afya, maisha, malezi, historia, makala, hadithi fupi, nadharia na maandiko binafsi.
Lengo ni kuwa jukwaa kiini au chachu ya kupendezesha maarifa, kujifunza na kujenga ukinzani wa mawazo wenye afya. Karibu ujumuike nasi, karibu tusafiri pamoja, maana maarifa haya hayana mwisho..Basi sabuskraibu chaneli yetu na bonyeza alama ya kengele. Mtaarifu rafiki yako, aje aelimike..

Fanya Zoezi Hili Mwisho Huu Wa Mwaka Ujue Dalili Kama Utatajirika Au Kubaki Masikini 2025
Mwisho wa mwaka ndiyo huu, na si muda tutaanza tena mwaka mpya. Kama kawaida mwisho wa mwaka ni wakati mzuri wa kujipima na kujitathmini namna ulivyotekeleza malengo yako ya kifedha na yale mengine ndani ya mwaka huu.
Sasa najua kuna namna nyingi ya kupima na kutathmini maendeleo yako ya kifedha kwa mwaka huu, lakini binafsi, leo nakuletea namna nyepesi ya kufanya tathmini hii.
Njia hii itakupa mwelekeo wa namna gani uingie mwaka mpya ujao na uweke mikakati gani ya kifedha ili usiweze rudia makosa yale yale uliyofanya mwaka huu wa fedha.

มุมมอง: 22
วีดีโอ
Weka Akiba Asilimia 10 Ya Kila Hela Unayoipata Kama Unataka Kutajirika
มุมมอง 9621 วันที่ผ่านมา
Hifadhi asilimia kumi ya kila shillingi unayoipata. Unaweza uliza Kwanini nimekwambia hivi. Nimekwambia hivi sababu siyo hela yote ambayo umelipwa ni yako. Sawa wewe ndiye umepokea malipo hayo mkononi mwako, au ndiyo umepokea mshahara wako kupitia benki akaunti yako. Lakini ukweli, kwenye hela hiyo, mangi naye ana hela yake hapo, mana unahitaji kununua mahitaji ya kula siku uweze kula wewe na u...
Utajiri Wako Unahusiana Na Uwezo Wako Wa Kutunza Mali Uliyonayo - Part 2
มุมมอง 12528 วันที่ผ่านมา
Katika sehemu ya kwanza ya video hii, nilijaribu kuelezea aina ya kwanza ya watu wanaofanikiwa, ni wale wanaofanikiwa kwa kuwa best performers katika fani na shughuli wanazozifanya, na nikatoa mifano hai ya baadhi ya watu hao kwa hapa Tanzania. Pia nilijaribu kuibua swali la je? Wote tunaweza fanikiwa kupitia kuwa best performers? Kwani Njia hii ya kwanza ina ushindani mwingi sana na inalazimis...
Utajiri Wako Unahusiana Na Uwezo Wako Wa Kutunza Mali Uliyonayo - Part 1
มุมมอง 92หลายเดือนก่อน
Mtaani kuna mtizamo ambao upo, na mtizamo huo ni huu, ili uwe na hela, mtu ni lazima ufanye ubunifu mkubwa au wa kipekee sana, ama kwenye biashara, teknolojia, michezo au burudani. Mtizamo huu unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hadithi zilizotuzunguka, hadithi zinahusiana na watu wetu ambao ni mifano yetu ya waliofanikiwa. Kwenye mambo ya biashara. Unaposiliza redio, kusoma magazeti au kuangalia ...
Mamlaka, Madaraka, Mali na Fedha | Usipokuwa Makini Vitakuangamiza
มุมมอง 502 หลายเดือนก่อน
Mamlaka, Madaraka, Mali na Fedha | Usipokuwa Makini Vitakuangamiza
Usiige Matumizi Usiyoyaweza (Ya Wenzako)
มุมมอง 303 หลายเดือนก่อน
Usiige Matumizi Usiyoyaweza (Ya Wenzako)
Nidhamu Yako Inaleta Uhuru Kwako | Kwenye Pesa na Kwenye Maisha
มุมมอง 463 หลายเดือนก่อน
Nidhamu Yako Inaleta Uhuru Kwako | Kwenye Pesa na Kwenye Maisha
Mafunzo Tunayoyapata Kwa Kukamatwa Kwa P. Diddy
มุมมอง 573 หลายเดือนก่อน
Mafunzo Tunayoyapata Kwa Kukamatwa Kwa P. Diddy
Je hela ni kitu kibaya? | Je kuwa na hela ni kuwa mtu mbaya?
มุมมอง 753 หลายเดือนก่อน
Je hela ni kitu kibaya? | Je kuwa na hela ni kuwa mtu mbaya?
Wasamehe Wazazi Wako | Linapokuja Swala La Umasikini Uliokulia
มุมมอง 1053 หลายเดือนก่อน
Wasamehe Wazazi Wako | Linapokuja Swala La Umasikini Uliokulia
HATUA 6 ZA KUPAMBANA NA UMASIKI (Ufupisho)
มุมมอง 323 หลายเดือนก่อน
HATUA 6 ZA KUPAMBANA NA UMASIKI (Ufupisho)
Tabia Zako 10 Zinazokufanya Wewe Ubaki Masikini
มุมมอง 493 หลายเดือนก่อน
Tabia Zako 10 Zinazokufanya Wewe Ubaki Masikini
Ili Usiwe Masikini, Ifikirie Pesa Kwa Mtizamo Wa Msimamizi
มุมมอง 1203 หลายเดือนก่อน
Ili Usiwe Masikini, Ifikirie Pesa Kwa Mtizamo Wa Msimamizi
Mambo 10 Ambayo Natamani Ningekuwa Nayajua Mara Baada Tu Ya Kuhitimu Chuo
มุมมอง 454 หลายเดือนก่อน
Mambo 10 Ambayo Natamani Ningekuwa Nayajua Mara Baada Tu Ya Kuhitimu Chuo
Tumia Kanuni Hizi Muhimu za Fedha Kupata Mafanikio Na Kukwepa Umasikini
มุมมอง 1044 หลายเดือนก่อน
Tumia Kanuni Hizi Muhimu za Fedha Kupata Mafanikio Na Kukwepa Umasikini
Ogopa Tabia ya KURIDHIKA Mapema | Itakufanya Uwe Masikini
มุมมอง 164 หลายเดือนก่อน
Ogopa Tabia ya KURIDHIKA Mapema | Itakufanya Uwe Masikini
Wafanyabiashara Wanaendelea SABABU Wanafahamu Kanuni za BIASHARA Na FEDHA
มุมมอง 294 หลายเดือนก่อน
Wafanyabiashara Wanaendelea SABABU Wanafahamu Kanuni za BIASHARA Na FEDHA
Kukosa Kwako Maarifa ya Fedha Kunakufanya Wewe na Familia yako Kuwa Masikini
มุมมอง 264 หลายเดือนก่อน
Kukosa Kwako Maarifa ya Fedha Kunakufanya Wewe na Familia yako Kuwa Masikini
Madhara ya kukosa kwako Ujuzi katika Soko la Ajira na Kujiajiri
มุมมอง 284 หลายเดือนก่อน
Madhara ya kukosa kwako Ujuzi katika Soko la Ajira na Kujiajiri
Kwanini Mababu Zetu Walizingatia Jamii Zao Kuwa na Ujuzi Maalumu katika Kupambana na Umasikini?
มุมมอง 244 หลายเดือนก่อน
Kwanini Mababu Zetu Walizingatia Jamii Zao Kuwa na Ujuzi Maalumu katika Kupambana na Umasikini?
Faida ya Kuishi Maisha ya Kawaida Katika Kuusaka Utajiri
มุมมอง 1424 หลายเดือนก่อน
Faida ya Kuishi Maisha ya Kawaida Katika Kuusaka Utajiri
Kwanini kukosa kwako Ujuzi kunakufanya Ubaki Masikini wewe na familia yako?
มุมมอง 614 หลายเดือนก่อน
Kwanini kukosa kwako Ujuzi kunakufanya Ubaki Masikini wewe na familia yako?
Kwanini ni ngumu sana kuvunja tatizo la umasikini katika familia zetu? Kwanini umasikini unaendelea?
มุมมอง 1064 หลายเดือนก่อน
Kwanini ni ngumu sana kuvunja tatizo la umasikini katika familia zetu? Kwanini umasikini unaendelea?
Ukiona Dalili Hizi Muwahishe Mtoto wako Hospitali
มุมมอง 484 หลายเดือนก่อน
Ukiona Dalili Hizi Muwahishe Mtoto wako Hospitali
Namna 8 za Kumkinga Mtoto Wako Na Magonjwa Kuhara
มุมมอง 944 หลายเดือนก่อน
Namna 8 za Kumkinga Mtoto Wako Na Magonjwa Kuhara
Fanya Haya ili Uweze Kufaulu Mitihani Yako Yote
มุมมอง 1014 หลายเดือนก่อน
Fanya Haya ili Uweze Kufaulu Mitihani Yako Yote
Kwanini Kujilinganisha na Watu Wengine Kunakunyima Furaha?
มุมมอง 37ปีที่แล้ว
Kwanini Kujilinganisha na Watu Wengine Kunakunyima Furaha?
Namna ya Kufanya ili Uweze Kufikia Malengo Yako
มุมมอง 24ปีที่แล้ว
Namna ya Kufanya ili Uweze Kufikia Malengo Yako
Thanks
Asante sana ❤
Walaa tazidi dhalimina illa dhalala.
Asante ❤
wow safi😊😊
wow safi😊😊
wow safi☺☺☺
Ansante
Thanks🎉
Thank you my brother.
😮🎉😢
0:24 😊🎉🎉😊🎉😊😊,😊😊🎉😊😊😊😊😅😊😢😊
😊😊😊
Abeid aman karume hajaishi tanganyika usiseme uwongo kama huna story kaa Kimya tu au nawe useme tu
Kutusaisia. Tunaomba historia unayoifahamu hapa chini
Waauuu
Asante sana
🙏🙏🙏
T
si Kenya wala si Tanzaniya kiswahili asili yake nishungwaya huko kusini mwa Somaliya ndio timbuko la kiswahili duniani Kenya na Tanazania na kwengine koote kilifika baada ya miaka miingi
🤣🤣🤣🤣kaka umefili muno ukisema warabu nijuzitu hopo bando saaan pole
Wow It some good 😮 tunaomba nyingine kama hii
Hii hapa nyingine. Matarajio itakuwa msaada pia kwako th-cam.com/video/W0FwT-1jusg/w-d-xo.html
😮
th-cam.com/video/PgfAHLI7vLU/w-d-xo.html
Kiswahili class stand up
Alama ya lugha Moshi mawenzi
Catherine GCRC teacher garbriellan children center
Dooooh nimekua addicted sana wa mitandao loooh naweza kua na 50k kwenye account lakin ntainunulia bando mpk iishe
JOHN OKELO Alikuwa Muuaji na ni mjabazi na wewe ni moongo mkubwa karume ni mwizi mungu atwalani wote na nyerere
👍
Nice!
Kongo
Alafu Congo ?
Na inasaidia pia
Sana!
Ninayo hii hela
Tuzidi kuitafuta hii hela 🤝
Iko wapi huo utafiti wa madhara ya kula nyama nyekundu? Usilete utafiti ulio dhaminiwa na makampuni makubwa duniani kama Pepsi, Kellogg’s, Nestle, nk. ambao wanahonga madokta. Hayo yote uliotaja madhara yanasababishwa na wanga (carbohydrates) na matumizi ya mafuta za “mbegu” kama corn oil, sunflower oil, canola oil nk na pia fructose inayotokana na matunda. Mcheki Dr Ken Berry katika TH-cam.
Kumbe dah sawa
Sahihi
🤣🤣🤣🤣
Ujumbe Mzuri sana
Wewe mtangazaji sasa Congo mbona umeiacha??congo imesema kiswahili sana kupita rwanda na uganda wewe hujui nchi zenye kusema kiswahili?
Aisee nimekuibia content kidg bro nipo naandika kitabu
Ruksa kabisa
Mbna Mimi afya yangu haibadiriki
Nime penda hii, swali ni channel Kwa Kiswahili???
Wow nimeipenda
Sauti ipo chini sana
Wewe hujuwi ukweli wa Zanzibar na mauwaji ya 1964
Njia nzurii
Exactly
Lakini kwa nini Auku taya Congo Congo tuna sema swahili sana
Hao walikuja kwaajili ya kufata watumwa vitukuu na vilembwe kweza vya wakina tippu tipp
Mbona waafrica mna dharau kwa lugha hii....ebu tuelezeni lugha gani dunia nzima ambayo ni kamili...
Waafrika wanatatizo ya Ku blackwash kila kitu niambie lugha gani iliyo kosa kujipa jina la utambilisho hadi lipewe na watu wa bara lengine. Neno swahili lenyewe asili yake uarabuni
kiswahili ni lugha ya kibantu, kabla warabu hawajaja, lugha hii ilikua inaitwa Kingozi kutoka Kenya karibu na ziwa Tana.
Leta ushahidi mahususi wa nadharia hii..maana hapa unasema hichi kiswahili cha sasa ndicho kipokomo kilichokuwa kinazungumzwa kale
@@mezani782 lakini Wafrika mbona mulisha poteza akili????lugha mama ya kiBantu unaomba ushahidi???? wa Ngozi wa Kenya ndio wazungumzaji wa Kingozi: Afrika hiwezi kuendelea na watu alienated kama nyinyi.
Sasa ilikuwaje Kingozi kikaitwa Kiswahili?
@@mezani782 sawa sawa kaka, naona unakuja vizuri: Kingozi kama lugha ya kiBantu, wakati warabu walikuja Afrika kukamata watumwa(slaves) na kusambaza uislamu, waliongeza maneno ya kiarabu kwenye Kingozi kikaitwa kiSwahili. Takwimu zinaonesha kama maneno ya kiarabu ambao ameongezaw kwenye Kingozi ni kati ya 10 na 15%.
Huu mseto kwa maoni yangu ndio umezaa kiswahili..na si kiarabu tu. Kuna athari za wareno, waajemi, wajerumani na wazungu..la sivyo bado kingeitwa kingozi
Wow mungu akulipe
40 light years away 😴😴😴