MASANJA NA MISOSI YA MAREKANI😀

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2019
  • เพลง

ความคิดเห็น • 28

  • @millermzeiyaa324
    @millermzeiyaa324 5 ปีที่แล้ว +1

    Damn hapo lazima uage unaenda mzigoni kweli😂😂😂😂

  • @francismacheta8127
    @francismacheta8127 5 ปีที่แล้ว +1

    daaa bwana MUNGU wa majeshi niinue angarau niwe kama mtumishi wako Masanja Nazalilika mtaani sana ila ata usipo niinuwa Bado ww utabaki Kuwa MUNGU wangu mtakatifu milele

  • @chidistar1944
    @chidistar1944 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuuh kweli visa ni shida

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwenye makono kono hapo ndipo hamu ya chakula ikaisha

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 4 ปีที่แล้ว

    Mayai yamechanwa msamba 😄😄😄😄😄

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue zaidi mtanzania wetu

  • @ndalanagency568
    @ndalanagency568 5 ปีที่แล้ว

    Swali sehemu gani apo panaitwa aje?

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว +1

    Mim kwa upande wangu kuna kitu unanifundishaga.. Kwanza kujua kumbe vitu vinawezekana kama utatia nia.. Pili napata kujua life styl za wezetu na napata kufurahi siku zinaenda ..

  • @sixville_tv
    @sixville_tv 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanawane

  • @filbertleonoratv1304
    @filbertleonoratv1304 5 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😂😂😂haya bhana eti kujifariji

  • @manjuphysicsacademy.3451
    @manjuphysicsacademy.3451 5 ปีที่แล้ว +1

    wa utwego au mkombwe?

  • @nabiimdogotv8686
    @nabiimdogotv8686 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @hildergodfrey9909
    @hildergodfrey9909 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye makono kono sasa

  • @mropeclassic166
    @mropeclassic166 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni upuuzi mtupu, mbwaa wee 😎😎😎

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 ปีที่แล้ว +6

      Mrope Classic Kwa kadri ulivyo jaa Chuki ndani yako hadi kwa watu usiowajua ndivyo unachovuna chuki kwenye Maisha yako!!
      Utachukiwa na hadi MBWA unaifuga 😀

    • @officialimmagrape5813
      @officialimmagrape5813 5 ปีที่แล้ว +1

      dogo hujafunzwaa bado unaishi kizamanii saan mrope classic ,, sizani kama unastahiilii hio jina classic masanja kakujibu kiuungwana sana maan hakuna aliyekulazimisha kuangalia ila umeeangalia , haya wewe na yeye usinacho kabisaa nani mbwaa?? WENGINE HUWA MNAKWAMA KWENYE MAFANIKIO KIMAISHA BILA KUJUWA SHIDA NININI ??? JUST B GENTRMAN

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      We ngedere kweli

    • @saidasimba9979
      @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa alietukana ndio mtanzania halisi maana tabia ya watanzania wengi ni wanawivu wa maendeleo sana na ndio maana wanalogana. Huyu jamaa angekua mchawi angekurushia jini hapo hapo ufe. Masanja keep it up.

    • @elienezarumisha9996
      @elienezarumisha9996 5 ปีที่แล้ว

      Badala ya kujfunza unatukana, hvi utaendelea Lin kijana, usione anapost ili kukufurahisha Tu au Hzo n exposure unajifunza maisha yanavyoenda duniani... Huyu ni mchungaji mpe heshima yake pia, comedy zake zckufanye umchukulie kizembe! Repent