time masanja mko wapi? naombeni like hapa za kutosha ili tukilala wote tuote kingereza, na tukitumia marashi ya humo ndani mwili wako ukuuluze uko wapi?
Utajijua mwenyewe na roho yako mbaya mwache mwinzio aponde maisha kwa raha zake maadam hakabi mtu anajilimia mwenyewe mpunga wake mwenyewe sasa wewe inakuuma nn
team masanja tujuane tafadhali tuna like hapa
😂😂 napenda sana unapo tanguliza utanzania na biblia Mungu akubark kaka
Hatari😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃 huku kingeee ukitaka kuulizanenda kichwa kikuume kweli wa swahili tulipitwa kinoma
time masanja mko wapi? naombeni like hapa za kutosha ili tukilala wote tuote kingereza, na tukitumia marashi ya humo ndani mwili wako ukuuluze uko wapi?
Nimecheka sana hasa na mifuko ya plastic, #Gonga like hapa twende pamoja na masanja
mchungji unazigua issue moja kila ukifanya safr zako una muacha mke wako msukuma unazigua sanaaa
Ebukuwa siliazi we mchungaji au msela
Dar nashkuru nimeona ata kwa mbali jaman Asante masanja
Yaan mtumishi me nakukubali Sanaa
😂😂😂 yani huyu jamaa akienda ulaya basi huwa anataka Tanzania nzima ijue 😎😎😎
limbukeni huyo angekua wamaana angetangaza tz
Wivu huo nenda na ww
Cool 👏👏👏
From 255, , , , team masanja, , , 😂😂😂😂😂😂
Masanjaa uko juu
Mbavuuuuuuuu zangu mie uwiiiiiiiiiii eti unaota ndoto za kingereza ngereza tu. Eti unaota ndoto kama mtu kakupiga na tofali
😂😂😂 Love u masanja ur so funny ❤️
Masanja nakupenda san
TATIZO MKIVUNA MIPUNGA MNASUMBUA UNAWATIA USHAMBA WENZIO MBONA UKIENDA CHOONI USEMI
good life
Kama umecheka kama mm plz
Sema hyo Thsert mwanawane SINAHOFU naipataje mzeee
Kaka Umetisha. Karibu. tuwasiliane barikiwa
Mungu Akubariki Sana Mchungaji
Masanja noma Mali unauliza tuko wp hahaha
Capet mwanzo mwengq
ETI UNAUTANDARUA WAYA WAKO😁😁😁😁
Kweli we noma
So nice daaah pazuri sana
👏👏👏
Kweli kabisa
Hhhhhhhh hiiii masanja
Mifuko ya Rambo hugisi Unajua sana comedy eti pazia za madirishan wanaweka bafuni. Masanj me akutaki
😂😂😂😂😂Mungu akubarik na anibariki na mm nifike marekan
Ety nibandulie nikaweke sebuleni:
Hahahahahahhaahhahahahhahaha
Baba wenihatareee fireeee
Hahahaaaaa hatari
Barikiwa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu
hahaha nibebee MTO tu
Njo uchukue hom
Ngasa
Ila wewe masanja
balikiwa
wakwanza kukoment na kuview give likes guys
ethany makera Tishaaaaaa sanaaa
Emmanuel Mgaya Feel Free Ministry unarudi lini 😂😂😂
😂😂😂😂😂mumgu anakuona
duu masnja unatupasua mbavu kaka!! unaot kiingereza!!
UshaMba mzigo
Hujaenda kulala kwa trump
Mmm kikombe cha chai kwa mbafuni 🤣🤣🤣🤣
Huuuuuuuuuuiuu masnja unatuvunja mbavu
😂😂😂😂
Mifuko ya Rambo😁😁😁
🤣🤣🤣🤣
Kama umecheka kama mm plz
TATIZO MKIVUNA MIPUNGA MNASUMBUA UNAWATIA USHAMBA WENZIO MBONA UKIENDA CHOONI USEMI
Utajijua mwenyewe na roho yako mbaya mwache mwinzio aponde maisha kwa raha zake maadam hakabi mtu anajilimia mwenyewe mpunga wake mwenyewe sasa wewe inakuuma nn