Kishimba Ajilipua Magufuli Sisi Ni Masikini,Wewe Nani Alikwambia Viatu vyeusi ndio Wanafauru Shuleni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 3 ปีที่แล้ว +1

    Issue ni kuwa uniform husinitoe ufaham mbunge na sio kwa mavazi tu na matendo kuwa uniform aswa tabia nzr

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 ปีที่แล้ว +3

    POMBE KILA SIKU ANASEMA SISI SIO MASIKINI WAKATI MBUNGE ANASEMA SISI MASIKINI, HIVI NANA MKWELI?? KWA HAKIKA VYUMA VIMEKAZA JAMANI😂😂😂

  • @rajabuomary3258
    @rajabuomary3258 3 ปีที่แล้ว +4

    Kishimba ni mbunge wa Dunia yote hakuna kama yeye pongezi zake

  • @PAMBAZUKATVONLINE
    @PAMBAZUKATVONLINE 3 ปีที่แล้ว

    Hapo ni kazi Kabisa

  • @evelynebwire7684
    @evelynebwire7684 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha hata mkate ni kiporo, kishimba umetishaaa

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว +4

    HUU NDIO UKWELI HONGERA WEWE NI SHUJAA .MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU

  • @jumadea6899
    @jumadea6899 3 ปีที่แล้ว +1

    kabisaaa mh mbunge sisi tumesoma kwa kubeba viporo

  • @peterdomnick585
    @peterdomnick585 3 ปีที่แล้ว

    Kishimba umetisha baba umesema ukweli

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว

    Kishimba namkubali sana maana haishiwii Topic zenye maana🤣🤣🤣🙋‍♂️

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana siku yangu leo imeenda vizur

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 3 ปีที่แล้ว

    Ila huyu Jamaa ana akili jaman,naamini ana kipawa kikubwa sana jaman

  • @sunhot9650
    @sunhot9650 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Niko tayar lions chakula ktk mashule ya serikali

  • @ephrahimmtafya4480
    @ephrahimmtafya4480 3 ปีที่แล้ว

    Ongerea stand kuu kahama mbunge, Ni Aibu uwanja wa lowasa. Mbulu kahama utajengwa lini stand kuu

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu baba hua namkubal sana

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kishimba huwa ukosawa akiliyako inaona aisee

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Kishimba hakusoma? Saa nyingine anazungumuza utumbo kabisa. Ni mufanya biashara mkubwa hata mishahara kashindwa kulipa wafanyakazi wake.

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndo umimi, kujipendekeza na ubaguzi kuongea lugha isiofahamoka na wote ktk mkusanyiko wa watu wa makabila mbalimbali si tabia nzuri wala si ustarabu!
    Utakuta mfano mko watu watatu wenzio wawili ni wa kabila moja wewe kabila lingine na hufahamu lugha ya hao wenzio wawili, cha ajabu na chakusikitisha (ujinga) utawasikia/utawaona hao wenzio wawili wakizungumza lugha yao hapohapo ilhali hampo mlipo mpo watatu lakini lugha tofauti, wao wawuli ni lugha moja na wewe mmoja wa lugha/kabila lingine!
    Zambi ya ubaguzi/ukabila ni mbaya sana wenyetabia hiyo/mazowea hayo wacheni ili muonyeshe ustarabu ktk jamii.

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว

    We noma mbunge

  • @MC_ALOYCE
    @MC_ALOYCE 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga sanaaa

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Yaani nampendaga huyu kishimba Sana anaongeaga point Sana akiwa bungeni

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 ปีที่แล้ว

    Mzee siku zote hukosei upo vizuli sana naheshimu sana mawazo yako ni mazuli sana, huyu mzee angepata unaibu waziri yupo vizuri sana, Mh, kishimba hakosei

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 3 ปีที่แล้ว

    Hata mkate nao nikipolo Kama kipolo Cha wali

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 3 ปีที่แล้ว

    MH RAIS JPM TUNAOMBA WALIMU WAAJIRILIWE KWAN SHULEN HAKUNA WALIMU WAKUTOSHA PIA TUNAOMBA WALIMU WAANGALIWE KIMASLAHI ZAIDI KWAN WALIMU WAKIPATA MOTISHA WATAFUNDISHA KWA UPENDO ZAIDI AJIRA AJIRA AJIRA AJIRA ZA WALIMU ZIWE KIPAUMBELE NAMBA MOJA

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndo maana wakaweka sale ili kwepo na mfanano tukiweka kila mtu avae anavyo taka itakuwa balaa.

    • @benedictnjau6747
      @benedictnjau6747 3 ปีที่แล้ว

      Hao waulaya tuliowaiga watoto wanaenda kila mtu na hali yake

  • @mathiaskulwa7686
    @mathiaskulwa7686 3 ปีที่แล้ว

    Pongez kwako rais

  • @kambengamusa1878
    @kambengamusa1878 3 ปีที่แล้ว

    Mh Rais tukumbuke na huku Urambo ufanye ziara

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kunasiri gani hata kupenyeza lugha isio fahamika na wengi Wa Tanzania?

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 3 ปีที่แล้ว

      Magunia matano ya mpunga ni sawa na acaunter 5 za shuleni

    • @julianamasunga700
      @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

      Ulizaa uambiwe

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kuwa sio Kiingereza lakini ungempongeza.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 3 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 Hata wewe kama ungelikuwa upo hapo na hio lugha isio ya kiswahili ambayo hukuifaham imetumika,ungejisikiajee?
      Toka enzi za mwalimu Nyerere mpaka Kikwete, lugha rasmi kwenye mkutano ni KISWAHILI , ili sote tufaham

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว

    *TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZEE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*

  • @novaabas4621
    @novaabas4621 3 ปีที่แล้ว

    .

  • @haipo8949
    @haipo8949 3 ปีที่แล้ว

    Kishimbabnamkubali aliwahi kutetea tozo ya kuchukua maiti na sasa imefutwa.