This is amaizing!!! Damu ya Yesu ikufunike, njia yako iwe njoofu; utiwe nguvu hadi mwisho. Hii nguvu uliyoiimba hapa iwe dhahiri kwako daima. Ubarikiwe sana , Nakupenda.
Sjawahi kujua kama ntakujaga kupenda nyimbo ya kikabila ila hii imekuwa ya kwanza,we Paul fundi,that humbleness of yours unazidi kuinuliwa tu, nimebarikiwa mno mno
Nakumbuka alipo kuja mbeya aliuimba huu wimbo baada ya kumaliza kuimba, audience tukalianzisha upya... utamu wa muziki uwe sehemu yake bhn😂... Huu wimbo mtam askwambie mtu
wow, kazi nzuri sana! waimbaji, wapigaji, stage, lights yaani daah!! Mungu awabariki... studio iliyomix nayo aloo... kila kitu excellent, Mungu awabariki sana!
Vile comments zote za kizungu🤣🤣🤣🤣 ngoja niweke ya kinyakyusa moja Kyala alinamaka kangi tukaja niinongwa, tukaja nulutende tukusisimikisya amaka nubhukulumba bhwake He is great and amazing God.
God you are powerful, gwe KYALA olenamaka, Mungu una nguvu sina mashaka juu ya elimu yangu,afya yangu,familia yangu,kizazi na taifa letu,Kyala akope amaka mingiiiiiiii
Ni kweli Mungu Unanguvu, nlikuweko cku ya tukio, u are blessed kaka, all songs are best ov the best....God bless you always 🙏.... Kuna ambao tulijifunza kinyakyusa kwa wimbo huu....I love this song aweee😍...naomba hili tukio lirudiwe lirudiwe lirudiwe 🤩🤩
Aiseee toka nmeanza kuckiliza nyimbo zako hii imenigusa sanaa yesu amekuongezea kitu cha pekee ndani yako,,, kwa hii ngoma umevua mipaka mwanzo kuiona nikajua ya mambele south au Niger kumbe ni mtt wa tx mungu akubariki zaid akufunulie vitu vzur kama hivi
Haleluya! Hakika Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo ana nguvu zisizostahili kutiliwa shaka hata kidogo. Salamu za pongezi kwako ndugu Paulo pamoja na timu yote kwa kutuletea kazi iliyotukuka kiasi hiki. Asante sana.
Element umeimba vizuri Sana nakupenda Sana huu wimbo ubarikiwe mno kea kuimbe kinyakyusa Mimi kama mnyakkyusa nimebarikiwa uinuliwe juu zaidi usajigwe mwanangu
This is amaizing!!!
Damu ya Yesu ikufunike, njia yako iwe njoofu; utiwe nguvu hadi mwisho. Hii nguvu uliyoiimba hapa iwe dhahiri kwako daima. Ubarikiwe sana , Nakupenda.
Sjawahi kujua kama ntakujaga kupenda nyimbo ya kikabila ila hii imekuwa ya kwanza,we Paul fundi,that humbleness of yours unazidi kuinuliwa tu, nimebarikiwa mno mno
😌😌😎 Hakika ana nguvu
Am Blessed kyala ULINAMAKA🙏🙏
Huu wimbo umenibariki
KYALA uli namaka, ngana nongwa na ugwe.. wimbo mzuriiii
Wooow video tuliyoisubiri now imetoka daaah nabarikiwa nikiwa Mwanza jaman
Nakumbuka alipo kuja mbeya aliuimba huu wimbo baada ya kumaliza kuimba, audience tukalianzisha upya... utamu wa muziki uwe sehemu yake bhn😂... Huu wimbo mtam askwambie mtu
Hongereni
🙏🔥🔥
😂😂😂mkalianzisha tena,, yenyewe huu wimbo mtam sana
2024 stll fire🎉💥💥💥💥💥
Sikiya muziki "sina mashaka Na wewe mungu una nguvu"❤️❤️❤️❤️"Kyala uli na maka" kwenene
I've got testimonies to testify. Kweli kyala ulinamakaa❤❤❤😢😢
Wakina Mwaisa mnataka iwe lugha yataifa 🔥🔥🔥🔥 Kyala abhatule fijo
Mungu wangu una nguvu one of My best song I really love this song inanipa Matumaini makubwa sana naisikiliza from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Anyone 2025❤
The bassist ...ako sawa anacheza na melody ya wimbo..the same way bass ilichezwa kwa ule wimbo wa wewe ni mwema ..paul clement
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa hii baraka umetuletea
Heaven must be very beautiful🙌🏼
yaani 🤗
Brother Andrew kwenye Ngoma Nakuona kama ngowi vileee ubarikiwee kaka
Kaka unajua sana zidi kubarikiwa
Wewe ni sauti kutoka mbinguni. Mungu aendelee kukutumia ili tuzidi kumwona yeye. Glory be to the God.!
Bro Yesu akubariki kwa NEEMA huu wimbo tunabatikiwa
The bass guitar in this song will make you worship 😍
wow, kazi nzuri sana! waimbaji, wapigaji, stage, lights yaani daah!! Mungu awabariki... studio iliyomix nayo aloo... kila kitu excellent, Mungu awabariki sana!
You really know good sounds.
Wimbo umetulia hasa vyombo vimepigwa kwa ustadi sana
@@joshmangi lq
Sisi tunaendelea kuufurahia ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake hongera sana kaka Paul
I'm blessed Kabisa 🌹🙏 I'm from DRC 🇨🇩🇨🇩 Naishi Bujumbura/Burundi 🇧🇮
Hakika Mungu una nguvu sina mashaka. Hongera sana mr paul Mungu ayazidishe mafuta ndani yako ukafanye zaidi kila uchwao
this song is a blessing to me 🙏 and may God bless you MR Paul
Nilipousikiza huu wimbo huu Mungu alinipa uwezo wa kucheza piano kweli Mungu una nguvu
Wimbo huu ni mzuri jamani, MUNGU azidi kukuinua Mtumishi wake kwa huduma hii..
Asante Sana watumishi wa Mungu kwa wimbo wenye nguvu na majibu ndani yake Amen 🙏 🙏
Kyala is Nyasaye nyalo seche te. .....Mungu una nguvu majira yote
I love u 🥰 bro paul mungu akuzidishie
Mungu ana nguvu kweli🙏🏿🙏🏿 Such a powerful song🤗🤗
Nyimbo hiii itaishi sanaaaa
Kyala ulinamaka 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💓💓🎶🎶🎶🎶
Nabarikiwa sana na nyimbo zako MUNGU wa mbinguni akubariki sana 🙏
Upako wa huu wimbo tunaomba urudiweee urudiweee urudiweeeeee... Stay Blessed Minister Mwakanyamale.
Huu wimbo nimzuri yani ni 🔥🔥🔥 hongera sana minister Paul nimebarikiwa .brother Sam Mboya mixing imetuli kazi nzuri sana
You are really blessed unaimba hadi naskia you have ministered to me deeply. Thanks alot. Yuo will never know what you have just done to my soul
I can't stop playing this song....feeling so blessed watching this with my son💕 💙🇺🇲🇺🇲🇺🇲
Happy birthday mtumishi wa Mungu Kyala alinamaka naloli🙏🙏🙏
Hakika Mungu unanguvu...Paul you are such a blessing
Ngana nongwa na ughwe KYALA ulinamaka 🙌🙌
Sina mashaka na wewe sina mashaka na wewe MUNGU🙏🙏🙏
Bwana una nguvu kweli. Bro Ubarikiwe kwa wimbo huu
Amina kakaangu
Amen
Njage kughu Malafyale inongwa na ugwe tata ulinamaka fijoo gwe Ntwa...
Vile comments zote za kizungu🤣🤣🤣🤣 ngoja niweke ya kinyakyusa moja
Kyala alinamaka kangi tukaja niinongwa, tukaja nulutende tukusisimikisya amaka nubhukulumba bhwake
He is great and amazing God.
😂😂😂
Me vtu kama hv ndo nilikuwa nataka barikiwa mtumish wa Mungu akuweke vwango vya juu zaid
Wimbo mzuri Sana unanibariki Sana
So so nice song aleluyah
Mungu awabairki mabinti sayuni, sauti nzuri za kumsifu Mungu #kyalaulinamaka💪
God you are powerful, gwe KYALA olenamaka, Mungu una nguvu sina mashaka juu ya elimu yangu,afya yangu,familia yangu,kizazi na taifa letu,Kyala akope amaka mingiiiiiiii
Ni kweli Mungu Unanguvu, nlikuweko cku ya tukio, u are blessed kaka, all songs are best ov the best....God bless you always 🙏....
Kuna ambao tulijifunza kinyakyusa kwa wimbo huu....I love this song aweee😍...naomba hili tukio lirudiwe lirudiwe lirudiwe 🤩🤩
Aiseee toka nmeanza kuckiliza nyimbo zako hii imenigusa sanaa yesu amekuongezea kitu cha pekee ndani yako,,, kwa hii ngoma umevua mipaka mwanzo kuiona nikajua ya mambele south au Niger kumbe ni mtt wa tx mungu akubariki zaid akufunulie vitu vzur kama hivi
Paul, nabarikiwa sanaaa kupitia kazi yako, Mungu wetu akutunze!
Ubarikiwe sana Mungu akuzidishie viwango wimbo umenibarki
Safi Sana Mkamu gwangu,,,
Naloli Kyaka Ali namaka AMAKA,💪💪💪💪 MAKULUMBA FIJHO OOOOO
Ujumbe nzuri sana praise and worship well organised God bless the team
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.,, Imba Kama hutaimba tena na tuifikie ile siku Yesu ametuandalia,,, tukaimbe pamoja naye MBINGUNI
Amen 🙌
Kyala ulinamaka🙌🙌🙌 Poul we ni wapekee sana
Barikiwa
Happybirth day bro Sina mashaka na yeye
Unanibariki sana mtumishi. Kwa nyimbo zako zote🙏🙏🙏. MUNGU azidi kukuinua siku Hadi siku. Kwa jina kuu la YESU 🙏
Yes nna uhakika na wewe, una nguvu kuliko kila kitu
Azidi kukupandisha viwango vingine na kukutumia
Seba ulinanguzu....
Barikiwa mtumishi MUNGU akuweke uoneshe kizazi hiki vile kuabudu kulivyo kuzuri...seba akujiwe
Wimbo umenibariki mnoo ubarikiwe mtumishi wa Mungu ila sauti ya tatu wamemezwa
Hakika Mungu wetu ana nguvu.. daima.❤😊😊
Endelea ivyoivyo uzid kuwa humble
This is too amazing totally proud of you my brother Minister Paul Clement.. kazi safi kabisa
Hii..ni..moto..🔥🔥...ivi..kwa..stahili..hii..ntamwacha..YESU..😂.kweli...daaa...ULINAMAKA..kwenye..hewa..ya..gospel
Hii..ni..moto..🔥🔥...ivi..kwa..stahili..hii..ntamwacha..YESU..😂.kweli...daaa...ULINAMAKA..kwenye..hewa..ya..gospel
@@ibradarpraize3613 t
@@ibradarpraize3613 unamwacha huende kwa nani?
@@ibradarpraize3613 aáaaaááá
Mungu akubariki sanaa Paul.Namsifu Mungu sanaa kupitia huu wimbo.Yesu azidi kukikuza kilichondani yako
Glory to God ....
Congratulations Dear Brother Paulo Mwaki...... from Mbeya aisee Ubarikiwe sana, Mungu azidi kukutunza.
Kyala Ulinamaka 🔥🔥🔥
Ulinamaka dah naenjoy sana Paul unajua MUNGU akuinue zaiiiiiidiiiii mpaka mawinguni.
Si kwa kubarikiwa huku Mimi jaman 🤗😇
Mungu una nguvu...
Sina mashaka na wewe
Our God Is So Great, I Realy Realy LOVE This Song More, Blessings Us You Continue To Compsose More Songs To Many Genaration Amen👏👏👏👏👏🙏🙏🙏.
Uyu jamaa ni mkali sana mungu azidi kumuinua
🙌🙌🙌wakwanzaaaaaaaa
Haleluya!
Hakika Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo ana nguvu zisizostahili kutiliwa shaka hata kidogo.
Salamu za pongezi kwako ndugu Paulo pamoja na timu yote kwa kutuletea kazi iliyotukuka kiasi hiki. Asante sana.
This song is very spirit full💯
Element umeimba vizuri Sana nakupenda Sana huu wimbo ubarikiwe mno kea kuimbe kinyakyusa Mimi kama mnyakkyusa nimebarikiwa uinuliwe juu zaidi usajigwe mwanangu
Leo nimepitia nyimbo zako zote
Kyala Ulinamaka,,,Mungu una nguvuuuu
what a powerful song 👌🙏👏👏👏
Hongera sana kaka kwahatua uliyofikia Mtumishi kazizako nakufatilia sana Mungu azidi kukuinua kwenye huduma yako
Very good bro nimebarikiwa kweli
Lugha gani hii JAMANI
Kinyakyusa-Mbeya moja hiyo 🇹🇿🇹🇿
kweli Mungu una zo nguvu, sina mashaka na wewe
Wao wao wao Sana brother ubarikiwe Sana
Powerful Mungu qkutunze sana brother
ubarikiwe mtumishi wa Mungo
God you are Powerful!Kyala Ulinamaka God bless you
Background vocalists 👌👌 perfection
Powerful song. 🇰🇪🇹🇿🇺🇬
Naloli kyala alinamakama kaka
Always mungu ana nguvu acha aendelee kutenda kwa wamwaminio be blessed brother
This is a Tanzanian Star...let the world bow before the God of Paul Clement
Nataman siku moja niimbe na wewe na ninauwezo mzuri wa kuiga sauti yako halisi ya kuimba
God bless you my brother
Umeubariki sana moyo wangu mtumishi
Wapi wakyiiii, nalol Kyala alinamaka. Be blessed broo
Clements humility is on another level
🎉kwakwel mung hakusimamie ktk Kaz yak iliyotukuka