Kuna nyimbo alafu kuna nyimbo nzuri zilizojaa nguvu za Mungu uwepo wa Mungu na hii ni moja wapo ya nyimbo yenye nguvu za Mungu inayonibariki sana..... Kwa kweli ni nyimbo yangu bora ya mwaka huu 2024🙌🙌🙌🙏🙏🙏😭😭😭
Asante Mungu kwa talanta hizi katika taifa letu. Hakika jina lako linaendelea kutajwa zaidi na zaidi katika nchi yetu na nchi za majirani zetu na dunia kwa ujumla, endelea kutawala anga za nyumba na mitaa yetu kupitia vipaji hivi. Asante Yesu Mwokozi wetu.
The move of the Lord, calmness and the arrangements of the music! The keys🔥🔥, solo and bass guitar🙌🙌, woiii🔥🔥🔥, the drums 🙌🙌, the quality of music and video production🙌🙌, plus the vocals🙌🙌men, simply, blessings. Mungu awainue zaidi wakenyaa❤ love from 🇹🇿
Paul nimekuwa fan wake tokea mwaka 2012 alikuja Mzumbe Morogoro na akina Glorious wale. Niseme tu, Kaka yangu katika nyimbo alizoshushiwa toka juu na huu ni mmoja wapo. Ukiimba huu wimbo serious unapata connection na Mungu apo apo. Mungu aendelee kukutumia kaka. Nimependa ulivopanga back ups wametulia sanaaa
Hey YOU, incredible person reading this...The truth is you are confident and good enough already with who you are, where you are at and what you have right now to have the success you want in life. Don't let others define what “success” is for you. Get up, learn that skill and go after it! I believe in you so much! Have an awesome day! - Love !!!!
I thought i love amefanya mungu song enough but Goddddd,hemani in jesus christ it keep on revolving in my head❤❤❤❤❤ so many times🎉.My God please protect our dr brother paul for a lifetime for us❤️❣️just for us,AMEN.🙏🏽
❤❤ yaani hii nyimbo naipenda sana mpk naliaaaa kk mungu aendeleeee kukutumia kwa ajili huduma hii nzruli ya nyimbo zsko mungu.akupatie afya njema na maisha marefuuuuuu❤❤❤❤❤
Just watched this song on tv here in Kenya and the powerful presence of God came upon me.. I had to look for the song immediately.. I'm yet to recover from this heavy presence of God!
Mungu wa Mbinguni akutunze Paul, Utumishi wako umetukuka...Katika kipindi ambacho watumishi wengi wa Mungu wamebadili namna ya kumtumikia Yeye na kufuata namna ya dunia hii kwaajil ya mafanikio ya pesa lakn kwako naona tofauti sana, Mungu awatunze nyie wachache ambao mmeamua kumtumikia Yeye katika Utakatifu Wake na Awazidishe sana na msipungukiwe na kitu katika utumishi wenu! Neema ya Kristo isipungue juu yenu!
Malaika ni viumbe ambao wameumbwa na Mungu Ili watusaidie kwenye mambo yetu ya kila siku.. hivyo ni vyema kutambua uwepo wao ndipo nguvu zao zitakapo dhihirika... Nimeiandika hivi Kwa msaada wa malaika
Kuna nyimbo huwa zinaandikwa af kuna nyimbo znashushwa moja kwa moja na roho mtakatufu hii ni moja wapo🙌🙌🙌🙌🙌
I don't this servant of God writes hii nayo roho ndo hushusha
Sure huu wimbo sio kwa fikra zakibinadamu ni Roho mtakatifu amehusika
Very true
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Fons of Paul clement hemani tz 🇹🇿🇹🇿 wapi like za poul clement weka hapa like zote ❤❤❤❤❤
What is fons
Who is puol
Kuna nyimbo alafu kuna nyimbo nzuri zilizojaa nguvu za Mungu uwepo wa Mungu na hii ni moja wapo ya nyimbo yenye nguvu za Mungu inayonibariki sana..... Kwa kweli ni nyimbo yangu bora ya mwaka huu 2024🙌🙌🙌🙏🙏🙏😭😭😭
Asante Mungu kwa talanta hizi katika taifa letu. Hakika jina lako linaendelea kutajwa zaidi na zaidi katika nchi yetu na nchi za majirani zetu na dunia kwa ujumla, endelea kutawala anga za nyumba na mitaa yetu kupitia vipaji hivi. Asante Yesu Mwokozi wetu.
Hemani... Absolutely no words. This is a Holy Spirit Song. Pongezi Paul Clement.
The move of the Lord, calmness and the arrangements of the music! The keys🔥🔥, solo and bass guitar🙌🙌, woiii🔥🔥🔥, the drums 🙌🙌, the quality of music and video production🙌🙌, plus the vocals🙌🙌men, simply, blessings. Mungu awainue zaidi wakenyaa❤ love from 🇹🇿
Unafanya vizuri Paul, Naupenda utaratibu wako. Hauna haraka na mambo lakini yanaenda. Keep your breath sir
Paul nimekuwa fan wake tokea mwaka 2012 alikuja Mzumbe Morogoro na akina Glorious wale. Niseme tu, Kaka yangu katika nyimbo alizoshushiwa toka juu na huu ni mmoja wapo. Ukiimba huu wimbo serious unapata connection na Mungu apo apo. Mungu aendelee kukutumia kaka. Nimependa ulivopanga back ups wametulia sanaaa
Bwana Mungu, hemani najongea, uliposema tupatane nimekuja tuzungumze. Kusikia kutoka kwako, uwepo wako upo na kutayari.
Nyimbo kama hii, ni chache duniani lakin hii nyimbo inaonesha kuwa Mungu yupo, perfect sound track in the world ❤
Hey YOU, incredible person reading this...The truth is you are confident and good enough already with who you are, where you are at and what you have right now to have the success you want in life. Don't let others define what “success” is for you. Get up, learn that skill and go after it! I believe in you so much! Have an awesome day! - Love !!!!
Amen.
Hi,this message is for me🥺 thanks for writing it. God bless you
Amen❤
Wakwanza kucomments weka like apa
I thought i love amefanya mungu song enough but Goddddd,hemani in jesus christ it keep on revolving in my head❤❤❤❤❤ so many times🎉.My God please protect our dr brother paul for a lifetime for us❤️❣️just for us,AMEN.🙏🏽
Brother yaan we brother 🙌🙌🙌🙌, MUNGU akubariki zaidi kiufupi Tanzania tunajivunia Sana kua na wewe
Hii imetoka mahali pa siri na rafiki yake Clement Yesu
This song is really really deserve to be the song of all times. IF YOU BELIEVE TYPE AMEEEEN🙏🙏🙏
Amen 🙌
Daah the very first stanza imenipa msisimko mwili mzima... Mungu akubariki sana brother ni maombi yang Uzidi kila leo katika kila ufanyalo🙏
Kaka paul Mungu mkuu azidi ku investment said na said katika viwango vya ajabu ubarikiwe sana
Hii nyimbo Mtumishi Paul, Uliandika kwa Upako wa juu sana, Everytime Nikisikilza Inanipa Imani, Ujasiri na Matumaini.... 😢 Mungu Akubariki sana
Wueeeh uzito uliko kwa kila neno katika huu wimbo🥺🥺🙏🙏🙏 It never gets old🤍🤍🤍🤍 Nachosubiri wewe useme... 🙏🙏🙏 ❤❤❤
Ngonga like nyingi hapa ❤🔥😎
Paul clement is such a genuine soul his song composition is just on another level...Such a fulfilling song spiritually.
❤❤ yaani hii nyimbo naipenda sana mpk naliaaaa kk mungu aendeleeee kukutumia kwa ajili huduma hii nzruli ya nyimbo zsko mungu.akupatie afya njema na maisha marefuuuuuu❤❤❤❤❤
Kwa kweli nausikiliza huu mwimbo nilikuwa nimekufaaa nakuwa haiiiiiii
Hii ni nyimbo imeshushwa kutoka mbinguni automatically
Uyu jamaa anatumiwa na Mungu Nakupenda mnoo brooo❤....
I really love this song it takes me to the spirit realm.
Yesu kristo mnazareti akubaliki Sana baba Clement yesu kristo akupe mwisho mzuri 🤲 katika huduma hii
Just watched this song on tv here in Kenya and the powerful presence of God came upon me.. I had to look for the song immediately.. I'm yet to recover from this heavy presence of God!
This Song Has brought a difference in my life and let me side up (HEMANI) and I will talk to my God 🙏🙏
I was here on this day. This song wrecked me from the first note. God bless you Paul.
Special shout-out to the Band🔥🔥🔥, may God continuously add oil on your vessels👏🏽
Bro, this song always draws me closer to my Creator, the Messiah.
This song always on repeat mode ,thanks for doing it again in kenya🇰🇪🇰🇪your second home
Hizi live recording zinanipantanga wapi aki.....This song has spoken to me this morning. Thank you.
Barikiwa sana mwana wa Mungu 🙏
Wimbo umejaa upako wa MUNGU hongera sana mtumishi wa baba
@paulclement umetisha kijana,mimi mbongofleva ndio wa kunifanya hivi ngoma kwenye play list yangu kuirudia siku nzima👏👏.🇹🇿🇹🇿
Nimebarikiwa Sana na Wimbo huu Sana Mungu azidi kupandisha viwango vikuu Paul🎉
The ENERGY AND THE LORD PRESENCE IS PRESENT.....LETS DESIRE TO LISTEN TO GOD, AND BE BLESSED.
Mungu wa Mbinguni akutunze Paul, Utumishi wako umetukuka...Katika kipindi ambacho watumishi wengi wa Mungu wamebadili namna ya kumtumikia Yeye na kufuata namna ya dunia hii kwaajil ya mafanikio ya pesa lakn kwako naona tofauti sana, Mungu awatunze nyie wachache ambao mmeamua kumtumikia Yeye katika Utakatifu Wake na Awazidishe sana na msipungukiwe na kitu katika utumishi wenu! Neema ya Kristo isipungue juu yenu!
Niko tayarii Bwana nataka nizungumze na wewe Mungu 🙌🙌🙌😭😭 Mungu akubariki kaka paul na azidi kukutumia
God bless you 🙏 my brother in Christ and may HolySpirit continue to give you more songs, love you sn
we thank the lord for sending his sonJjesus christ so that he can restore the love that was broken
Hemani tuongeee
Hemani nawe tuzungumze 🙌🙌🙌
Hemaniiiiiiii baba mimi nimbele zako sema na mimi niko tayari yesuuuuu naliyaaaaa
Uwongezeke kk paul mungu akunze vyema kwa hii nyimbo ❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹⚘⚘🌹🌹🌹
Wow wow wooo! God bless you servant of the Most High God! Hakika hii Hema aliyesema nijenge ana kazi nayo na mimi!
🙏🙏🙏🙏watu was mungu bado mabaki yapo Paul Clement MUNGU akubariki saaaàna kbs
Kuna nyimbo ambazo Mungu amejiimbia kupitia watu
Hi nyimbo ime shuchwa n'a roho mtakatifu peke yake 💯✍️🙏
This Song is so Powerful
Baba nakupenda vraiment Mungu anipe Neema siku moja niimbe na weye babangu 😭🙏
Powerful! minister Paul usitoke hemani be in his presence always, barikiwa
We Celebrate you sir🇰🇪 from Kenya.Powerful Revelation
Beautiful the team you have worked with concerning this is powerful and amazing
Broo Paul nimeona 100k hapooo ubarikiwe zaidi hatuishii hapo tunatamani kufika million waaaooh tutafikaaa brooo
Ninacho subiri wewe uonge Mimi Leo siongei nakuacha weee useme bless you Paul 👏👏🙌🙌🙌
Nataka kuongea na wewe Mungu hemani
Uzidi kubarikiwa sana Mtumish Wa MUNGU
By #geraldMavukiro
Amen the Vocals 🎉🎉 is on another level.. May God help you win out many Souls.... ❤❤
Amen , minister PAUL, Roho ya Mungu ndani ya nyimbo zako na barikiwa sana na najifunza vingi (my mentor)
ubarikiwe bro napenda huduma yako
Since version one and now there's powerful anointing on this song, be blessed brother for your good work
I love this song so much Minister Clement. Mungu azidi kukubariki.
Basinza pale
Najiisi kushuka tena kabisa,,, hemani kwa bwana niongee naye
Hilo song nalikubali Sana Ni hatareeee much appreciated🎉🎉🎉🎉🎉
Penda sana wewe Mungu azidi kufanya kazi na wewe daima
Very powerful song, my prayers for you dear, from 🇰🇪,may God keep you in Jesus might name amen 🙏
Malaika ni viumbe ambao wameumbwa na Mungu Ili watusaidie kwenye mambo yetu ya kila siku.. hivyo ni vyema kutambua uwepo wao ndipo nguvu zao zitakapo dhihirika... Nimeiandika hivi Kwa msaada wa malaika
Na barikiwaka saana na wimbo huu,,,Mungu aku bebe mbali zaidi PAUL
Be blessed bro kwa kufikisha ujumbe Kam ulivoupokea 😊😊
Hemani hapo ni mimi na Mungu wangu tu hakika ubarikiwe sana kaka 😅
barikiwa san mwana wa Mungu
Hii nyimbo!. Hii nyimbo!. Ilishushwa
Poul love you broo MUNGU akutunze unaimba na kuimba kaka
Song from heaven, very deep, bless you, servant of God
wimbo huu umenibariki,.."hemani tuongee mi nawe...tuzungumze..wingu wako umeshatanda..."
❤❤❤ God bless you my brother kazi Yako njema sanaa
Nabarikiwa kaka songa mbele🎉
Hemani mwako tuongee 😢
Hemani mwako tuongee 😢
Hemani mwako tuongee 😢
Zack Alpha 🔥🔥🔥🔥
🫡🫡bro
@@SimbaDrumz🔥🔥🔥nice zac
Since 2023 and is going to be the best song forever..coz is anointed
Santé sana kaka kazi njema
Kaka unaweza nisaidia namm nijiunge na bendi yako ili nijue kuimba napenda sana kuimba nisaidie kama unaweza
Beautiful song. Please include a subtitle for non kiswahili speakers.
I see God through this ❤ ahsant yesuu
God bless you abundantly Man of God
Hemani 🔥🔥🔥 Mungu husema
Barikiwa mnooo bro
🔥🔥🔥🔥 this song goes right through to the inner core
Big ups to Paul clement na back up are fire 🔥
Oh my God🙌🏾🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nyimbo hii tamu jamani broo
MUNGU AKUZIDISHIE MAFUTA
My fav song❤️❤️❤️❤️....HEMANI❤️🔥
Ubarikiw sana
Mungu ongea na Mimi hemani Mwako❤
Hemani tuongee, tuzungumze 🙏🙏
Hema mbali na watu ili tuzungumze