Ukiota Na Mtoto Ina Manisha Nini?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @doricemwateba8572
    @doricemwateba8572 ปีที่แล้ว +11

    Asantee kwa tafsir,nimekuwa nikiota Mara nyingi Sana Niko na watoto wadogo nabembeleza au nimebeba mtoto mgongon

  • @wycliffekibengwa5978
    @wycliffekibengwa5978 2 ปีที่แล้ว +4

    Thanks for that interpretation... glory to God

  • @mkaminyintange3602
    @mkaminyintange3602 ปีที่แล้ว +1

    Thanks god 🙏 and thanks pastor

  • @maryikongo6386
    @maryikongo6386 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏, be blessed pastor kwa kazi mzuri, shalom 🙏

  • @elizabethkhisa2503
    @elizabethkhisa2503 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu asifiwe rev Nashukuru sana kwa kunielimisha but mimi mara mingi naota nikiokoa watoto wakiwa wanataka kuthulumiwa na mtu but najibata kwa hio ndoto nawaokoa na tena sometime mara mingi mapepo mtoto kwa mkono wangu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa tafsiri nzuuri

  • @AminaOman-j7e
    @AminaOman-j7e ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtu wa mungu nimeota naongea na mtu aiyekufa

  • @chesangvihendah2513
    @chesangvihendah2513 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor.....niliota mtoto wangu alinikimbilia akitoka shule na Mimi nilikuwa nimekaa chini Kwa njia na sikuwa nimemwona but ni yeye ndo aliniona akanihung na tukaenda home.....

  • @JOANSHIMILLA-ki9ht
    @JOANSHIMILLA-ki9ht ปีที่แล้ว

    Thanks for your interpretation because i dreamt my sis having triplets

  • @hawashillaismael5073
    @hawashillaismael5073 2 ปีที่แล้ว +1

    Good pastor keep it up

  • @gracelynferdnand5582
    @gracelynferdnand5582 3 หลายเดือนก่อน

    Na iwe kwangu kama ulivyosema 🙏

  • @alicechemtai4608
    @alicechemtai4608 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeota mtoto wa kitu 6years hivi , nikiwa namshugulikia kumlisha. Inamaana gani

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  10 หลายเดือนก่อน

      Utakuja kufanyika wa baraka kwa mtu asiye jiweza maishani

  • @zeinakassim2725
    @zeinakassim2725 2 ปีที่แล้ว +2

    Sophia,Mungu akubariki nimeota nimemkemea mtoto wangu mdogo Kisha nikambembeleza Kisha nikampakata akawa ananiombea Dua mm nikaitikia Ameen

  • @catherineongeri427
    @catherineongeri427 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naotanga nmebeba mtoto msichana yaani kila siku sjui mbona

  • @Joymusakali
    @Joymusakali 11 หลายเดือนก่อน

    Amen na kupata vizuri

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤amina

  • @irenek7280
    @irenek7280 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏💖 barikiwa mchungaji

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu simama na mm kwa jina la yesu ameeni🙏🤲

  • @Matagaro-d4r
    @Matagaro-d4r 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nmeota mtu ambaye nafanyia kazi ananipea mtoto ako uji ananiambia nmfunike vizuri asikue na varidi nami nlichukua uyo mtoto na nikamfunika vizuri..inamaana gani 1:26:58

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 ปีที่แล้ว +1

    Watching

  • @reyngozi1481
    @reyngozi1481 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mm nimeota mtoto wangu anapika

  • @gamingcasbet1
    @gamingcasbet1 ปีที่แล้ว

    Mimi naota sana watoto tena kuanzia wachanga hd km age ya 13 au 12,nitawavusha au nimewabeba au nawaokoa au nipo nao tu tumekaa tunacheza cjawahi maliza siku 3 cjaota hizi ndoto hd nimeshazizoea,Asante sana barikiwa

  • @MerryMatata
    @MerryMatata 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimeota mtoto mchanga wa miezi kama 4 hivi akiwa uchi lakini utupu wake ukiwa. umeigiliwa na utupu wake umevimba na danu zinamtoka kama mwanamke aliye kwenye siku. zake na aliyekuwa anayemfanyia hivyo ni kijana wa ndani yaani mfanyakazi na alikuwa yupo pembeni anamtiza hu mtoto utupu wake je watu wamejua kulikuwa na mke wa mnjomba wa mama yangu alishafariki nikamuuliza umemuona huyo mtoto utupu wake ameigiliea akamtia kidole na kiendelea kumchana zaidi mtoto alipata maumivu makali na akamchukua akaondoka naye na mimi nikamfuata nikamkuta kamueka kwenye kochi damu zitoka nyingi nikamchukia na damu zikakata mtoto sikujua mama yake ni nani ila nyumba ni ya mtoto wa mume wangu na kijana ni mfanyakazi wake

  • @aishanekeyshah
    @aishanekeyshah 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilimuota mtoto wangu aliefariki nmembeba mogongoni Pastor Mpaka naogopa sana

  • @MagdaleneMagdalene-rz1sp
    @MagdaleneMagdalene-rz1sp ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe mm hapa nimgeni kwa hii channel

  • @IzackSolomon
    @IzackSolomon ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @damakatana
    @damakatana 27 วันที่ผ่านมา

    Pastor nimeota mtoto wangu wakiume anatambaa

  • @susanmusera7495
    @susanmusera7495 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @lilianlulinda1506
      @lilianlulinda1506 ปีที่แล้ว

      Naomba namba ya what's app nina ndoto inanisumbua

  • @Matagaro-d4r
    @Matagaro-d4r 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nmeota mtu ambaye nafanyia kazi ananipea mtoto ako uji ananiambia nmfunike vizuri asikue na varidi nami nlichukua uyo mtoto na nikamfunika vizuri..inamaana gani

  • @blandinehategekimana6831
    @blandinehategekimana6831 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante saaaaan kwa tafsiri

  • @susannjogu8419
    @susannjogu8419 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimeota tukitafutia ngombe majani tukiwa na madadawangu wawili mkubwa na mdogo kufika kichakani nikajikuta sina ngunia nikauliza huyo mdogo wewe umepewa ngunia gani nikachukua kuangalia ndani nikaona ingine imewekwa ndani yake nikaitowa nikasema nitaweka Kwa hii tena nikaona sina kakitu kale kakukata nyasi nikaona panga nikasema sitaki panga huyo mkubwa akanipea hako kakitu akachukuwa panga tukaanza kutafuta lakini mimi nilikuwa nimewapereka wakatafute alafu dio nikaona niwasaidie wakati tunaendelea na kutafuta nikaamka

  • @AminaOman-j7e
    @AminaOman-j7e ปีที่แล้ว

    Ndoto ya kumeza dawa Panadol inamaana gan?

  • @witneskawogo4363
    @witneskawogo4363 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @AshuraSaidy-fz1hv
    @AshuraSaidy-fz1hv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ninamtoto nimemnunulia nguo za njano na na baba pia kamnunilia viatu vya njano

  • @gladlymarachi3760
    @gladlymarachi3760 2 ปีที่แล้ว +2

    nimeota mtoto amefinikwa mchanda wa kichwa lakin nilimuinua nakumpandusa mchanga

  • @EsterMburi-x5n
    @EsterMburi-x5n หลายเดือนก่อน

    Je ukiota mtoto wako anatembea ndotoni

  • @hamiltontenga4263
    @hamiltontenga4263 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom

  • @florenceawinja-pc5qp
    @florenceawinja-pc5qp 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi mara nyingi nimekua niota ninawaokoa wanapoenda kuwanguka Kwa maji kama bahati Kwa matope mostly nimekua nawaokoa Kwa madhara yao

  • @Geoffreymusembi-dv6vp
    @Geoffreymusembi-dv6vp 4 หลายเดือนก่อน

    Hi nmekuwa mara mingi nkiona nkiokoa watoto kutoka kwa moto mara mwigine nliona akiumwa na nyoka nkamuchukua nkamkubatia alafu nikaaza kmuobea asife alafu nikampeleka hos

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tenda mema

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @abigailikyando352
    @abigailikyando352 ปีที่แล้ว +2

    Ukiona mtoto wako anatembea wakati Bado inamaana gani

  • @VumiliaKapanga
    @VumiliaKapanga 10 หลายเดือนก่อน

    Mm huwa naota ninamtoto

  • @ابرا-س6ص
    @ابرا-س6ص 2 ปีที่แล้ว

    Bwana.asifiwe.mm.nimeota.nimekuta.kwa.kidada.chagu.kuna.mtoto.muchaga.wakiume.bt.allkua.hana.guo.mm.nkahisi.hofu.mawazo.nkakua.nafikiria.hata.boss.anikute.nko.na.mtoto.atanichukullaje.bt.allkua.analla.sana.mm.nkamutupa.ije.kwadirisha

  • @meryoska5836
    @meryoska5836 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimemuokota mtoto mchanga Alie tupwa na mama yake baada ya kuzaliwa Ni mchanga kabisa ametupwa kwenye mtaro

  • @haikakessy9032
    @haikakessy9032 ปีที่แล้ว

    Mim nmeota nawaona watoto wengi wadogo wanacheza nje ya nyumba

  • @Amina-u9u6x
    @Amina-u9u6x 4 หลายเดือนก่อน

    Jmn nimeota nina mtt nina nyonyesha wa kiume na maziwa yakawa yanatoka mengi sn naomba unisaidie maan yake plz😢😢

  • @violetatieno1656
    @violetatieno1656 ปีที่แล้ว

    Amen pastor,nmeota nko na mtoto wangu mdogo halafu amepelekwa na maji inamaanisha nni?

  • @AminaOman-j7e
    @AminaOman-j7e ปีที่แล้ว

    Ndoto ya kumuona mtoto usie mjuwa inamana gan?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Ata mimi mara nyingi nilikuwa naota watoto

  • @pendohango2625
    @pendohango2625 2 ปีที่แล้ว +1

    Pendo naota napotea

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 ปีที่แล้ว

      @ Pendo Hango, inakuonyesha hauna direction maishani

  • @hapynessabdallah6993
    @hapynessabdallah6993 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nina watoto wa kiume wawili wakiwa wadogo mpk kufikia ukubwa lkn sijui maan yake

  • @MariamWilfred-l6g
    @MariamWilfred-l6g 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu apewe sifa mchungaji ,mm nimeota nimebeba mtoto wakike na nikamnunulia vinguo vizuri vizuri nini maana yake naitwa maria.

  • @sarahbetty6827
    @sarahbetty6827 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 ปีที่แล้ว

    Mimi niliota mama mwingine wa home namjua akinipatia mtoto wakiume akanambia huyu mtoto niwako na ulimwaja siku nyingi harafu yule mtoto akawa ananjaa anataka kunyonya nikasema hatanyonya nitampa chakula but niliuliza yule mama mbona mtoto wangu ni mchavu sikujua maana yake ???

  • @susannjogu8419
    @susannjogu8419 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota nikiwa nimeacha chakula kwamtu na sufuria nikasema nitaendea nanikaendea nilipofika kumwitisa akaanza kukataa tukangangana handi akaitikia nikaingia nikachukua lakini nilipoenda kuchukua akakuwa mtoto nikasema nimtoto wangu nikatoka nayeye akiwa amelala nikamekelea mgongoni kwenda kufunga lesho ikakuwa kakitambaa kadogo hakatosi nikasidwa nitafanya nini nikiwa tunimeinama nikaona nimevaa skat juu nguo nikailalua ikakuwa kubwa nikasema hiiitatosa nikabunga mtoto wangu nabado analala nikajiona nimesimama Kwa gate ya shule nikajiuliza sasa nitasema nimetoka wapi kurudia mtoto wangu na mwalimu akiniuliza nanialinipea ruhusa nitasema aje nikasema a wacha niingie kuangalia saa ilikuwa sasaba nikaingia nikaamka

  • @ShubiraAlphonce
    @ShubiraAlphonce ปีที่แล้ว

    Ameni,Ameni nimepokea kuongezeka maana Jana nimeota najifungua watoto mapacha 2 wa kike na kiume

  • @shalomyashua2884
    @shalomyashua2884 ปีที่แล้ว

    Ukiota niko na mtoto mlimani kisha nikitembea arith inabasuka ila miguu unaelekea kwenye hakuporomoki hadi nilirudi nyuma nikatafuta njia nikaendelea

  • @MamaAfrica-f7i
    @MamaAfrica-f7i 5 หลายเดือนก่อน

    Ata Mimi naota sana watoto wa miaka minne kwenda mbele nawasadia nawao wananisaidia

  • @paschalsamsagala9739
    @paschalsamsagala9739 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu naliota napita njiani kisha nikaona simba mkubwa sana anakuja kisha nikaona watoto wakanizunguka weeengi sana nikawa katkat yao yule simba akafunga macho akaondoka

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 6 หลายเดือนก่อน

    Kila Mara,nalota nalea mtoto mchanga

  • @JuniorRaymond-ke7xb
    @JuniorRaymond-ke7xb 11 หลายเดือนก่อน

    Poster mi Nimeota mwanamke akiwa anajifungulia Kwa njia mtoto WA kiume na huyo mwanamke simjuwi

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeota mtoto wa mdogo wangu anapiga his na anaita mamkubwa, kushtuka hayupo

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 2 ปีที่แล้ว +1

    Isaiah 8 :13 kwangu himesoma topaouti

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 ปีที่แล้ว +1

      @Kamene Mulu nikusaidiaje?

    • @irenek7280
      @irenek7280 2 ปีที่แล้ว

      Amesoma isiah 8:18

  • @cirakashii4971
    @cirakashii4971 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtu akiota akichenza na marafiki mpira inamanisha

  • @priscandanu
    @priscandanu ปีที่แล้ว

    Nikiota natembea na mtoto wa mpezi wagu

  • @jamilamuhammedtanzanian8129
    @jamilamuhammedtanzanian8129 6 หลายเดือนก่อน

    Samaani pasta mmnimeota mtoto wangu anaingiliwa na mzee kimapenzi inManishanini

  • @mariammachila6016
    @mariammachila6016 ปีที่แล้ว

    Nimeota niko na mtoto wa kiume mzuri mnono qko mbele yangu na sijaambiwa ni wangu ama ni wa nani

  • @irenebenben5325
    @irenebenben5325 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi jana siku nimeota watoto wengi 😅walikuja kunitembelia alafu wakaondoka?

  • @MekitildaKitambi
    @MekitildaKitambi 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimezaa mtoto naye nimembeba kisha akaninyea Nini maana yake?

  • @shadrackmwita2692
    @shadrackmwita2692 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota watoto wengi wananishangilia nakuniita jina langu halafu nikanyanyuliwa juu

  • @solsimaniakanam7843
    @solsimaniakanam7843 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliota mtoto wangu wananiabia mama nimepigwa ngumiza soni amenipinga sana mutumishi niabie manayake

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468
    @sophiajacksonjacksonmeshac1468 7 หลายเดือนก่อน

    Baba nimekuwa nikiota mara kwa mara nimebeba mtoto wa mama mmoja ninae mjua.sielew maana yake

  • @raydav-2335
    @raydav-2335 ปีที่แล้ว

    Shalom mi nimeota nimemwachisha mtoto maana yake no nini

  • @euniceoduor5263
    @euniceoduor5263 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huota kua na watoto na nikiwa nimekaa kuna kitu kinanisumbua kila wakati eti nichukue mtoto nimsaidie lakini mimi nashindwa hyo mtoto ntamtoa wapi

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 ปีที่แล้ว +1

      @Eunice Oduor nitakuwa live kesho Tuesday live nitakupa maana yake

    • @euniceoduor5263
      @euniceoduor5263 2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa paster

  • @alexshao1108
    @alexshao1108 ปีที่แล้ว

    Nimeota nawalesha watoto

  • @KazobaWilliam
    @KazobaWilliam 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba tafsiri ya kuota unatolewa chawa kwenye nguo.

  • @40tre
    @40tre 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota nikikimbia na mtoto mchanga nini maana yake

  • @victoriathomas5374
    @victoriathomas5374 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom pastor,..nimeota napewa mtt mchanga lakini anaenipa ametokea mikono tu..Nini maana yake

  • @florencemutua5725
    @florencemutua5725 ปีที่แล้ว

    Mimi uwa naota na watoto wangu kila wakati ama nalisha watoto mchele

  • @ChannceUwase
    @ChannceUwase 7 หลายเดือนก่อน

    Loliota nabeba mtoto mchanga nikakimbia naye Walikuwa wanataka kumuzuri

  • @mariamoden1131
    @mariamoden1131 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtu wa Mungu Mimi nipo Tanzania nimeota ndoto msanii wa nyimbo za kidunia hapa Tanzania amepakata watoto wawili wadogo maana yake nini?

  • @LiliMlambia
    @LiliMlambia 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nilikuwa nyumbani napika chapati akatokea binti kabeba watoto wawili moja akawa mkubwa mwingine akawa mdogo nikawa namwambia namwambia kijana niliyo kuwa nae umeona ndomana tunawambia muwe mnauliza kwa kuowa yule mdogo akawa amejichafulia nikawa namsafisha

  • @kambaamina5256
    @kambaamina5256 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota mama yangu ananipa mtoto wakike mchanga .nilipo mshika akaanza kubeua nikamtuliza Ila nikagundua ana vidole sita vya miguu..

  • @TumainDaud-gj6jh
    @TumainDaud-gj6jh ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota Kuna mtoto yuko chumba I ana daftari na kalamu anapiga vema nyingi kwenye daftari ni mtoto wa like Mimi nilikuwa na taulo nimefika kuoga ninapaka mafuta

  • @tamashahamisi5803
    @tamashahamisi5803 2 ปีที่แล้ว +1

    Nisaidie nimeota nanyonyesha mtoto wa kiume na mm ni mjamzito ina maanisha nini

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 ปีที่แล้ว

      @Tamasha Hamisi jibu lako liko hapa fuatilia hadi pale natasiri th-cam.com/video/LTWNgBfebgw/w-d-xo.html

  • @bettymariga
    @bettymariga 4 หลายเดือนก่อน

    𝐀𝐦𝐞𝐧 𝐀𝐦𝐞𝐧 𝐀𝐦𝐞𝐧

  • @Zamzamfarag-b7e
    @Zamzamfarag-b7e 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeota kulikuwa na magari mbili tulikua tuna safari mara moto ilitokea kwa hiyo gari ingine nikaenda kuoko kulikuwa na watoto wengi sana nilikua nawatoa kwa gari nikiwaokoa kwa moto iliyokua inawaka sana

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 7 หลายเดือนก่อน

    Niliota mtoto mchanga nimemfunua anatetemeka nikamfunika

  • @MariumIyombe
    @MariumIyombe ปีที่แล้ว

    Habar Mimi nimeota mtoto mdogo anaongea maana yake nini

  • @SubiraAhmad-pi9ep
    @SubiraAhmad-pi9ep 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeota na mtoto mchanga tena wakike na cna mimba nn maana yake

  • @SyliviaCylo-lt4xo
    @SyliviaCylo-lt4xo ปีที่แล้ว

    Pastet nimeota nimebeba mtoto mgongoni inamaanisha nini

  • @lydiajosephine414
    @lydiajosephine414 10 หลายเดือนก่อน

    Inamaanisha nini Kuota mtoto amelala

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว

    From mascat oman mimi huwa naotacm yangu ina ungua maana yake nini

  • @lilianlulinda1506
    @lilianlulinda1506 ปีที่แล้ว

    Namba ya what's app

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 2 ปีที่แล้ว

    Nime hota maman yangu mzazi ana nipiga kichapo kweli lakini n'a mimi nika hanza mchapa mtoto

  • @patrickmutua1286
    @patrickmutua1286 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama moja jirani yangu uota anashika mtoto mdogo mschana mzuri sana aliezaliwa .

  • @solomoniswilla8441
    @solomoniswilla8441 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota nipo kazin akaja mjamzito na watoto wawili wadogo

  • @KazobaWilliam
    @KazobaWilliam 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe naomba tafsiri ya kuota unang'atwa na siafu.

  • @hidayababu9477
    @hidayababu9477 ปีที่แล้ว

    Kuota magar ya kubeba majeneza na majeneza. Ina maana gani poster. Na kuota umepanga mstari na watoto km vile mko shule.