#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

ความคิดเห็น • 39

  • @IreneMsigwa-qi5nk
    @IreneMsigwa-qi5nk 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba MUNGU maadui zangu wote wanaotembelea nyota yangu wakarejeshe nyota yangi Kirahisi zaidi.AMEN.

  • @BabaetuJulius
    @BabaetuJulius 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu naomba unifungulie mlango juu ya maisha yangu pamoja na wazazi ndugu jamaa na marafiki ukawatangulie kwa sababu wewe ni mungu makubwa sanaa baba

  • @Nayyou-jh1pf
    @Nayyou-jh1pf 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nipokee uponyaji nakufunguliwa kiafya na niijifungue salama pasipo nashida yoyote pia niondoree maadui navituvyote vyakichwawi nilivyolishwa vitoke nawatoto wangu wafungulie kiafya na kielimu nanyumba yangu ufunguliwe kwajina layesu.

  • @NajmaNajma-rn5pe
    @NajmaNajma-rn5pe 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu wako anipe kibale hapa kazini nimiliki yumba yangu mwenyawe na vitu vikubwa kirahisi tu mungu abariki maombi yangu Baba ❤

  • @AzizaMakala
    @AzizaMakala 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ufungue familia yangu,watoto wangu juu ya mangonjwa na elimu wafaulu wote katika jina la yesu.

  • @IreneMsigwa-qi5nk
    @IreneMsigwa-qi5nk 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba MUNGU Babangu akatujengee nyumba kubwa nanzuri yakuishi kirahisi ZAIDI.AMEN.

  • @JaclineSalala
    @JaclineSalala 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni

  • @IreneMsigwa-qi5nk
    @IreneMsigwa-qi5nk 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN,Kupitia ibada yaleo namshukuru MUNGU.Nimeponywa moyo wangu.yaani mapigo yang gamoyo yalikuwa yakienda Kasi nakuuma bila sababu.Lakn baada yakujiungamanisha kwasimu,nyumbani kwangu dah moyo wangu umetulia.Hapa kwasasa namwomba MUNGU,nipate mume Bora ambaye atanioa KIRAHISI ZAIDI.

  • @NajmaNajma-rn5pe
    @NajmaNajma-rn5pe 2 หลายเดือนก่อน

    Najiuganisha na upako komboa familia naomba mungu aniguse nipone magojwa yote nauchumi wangu na watoto wangu wafaulu kwenye masomo Yao na maisha Yao kazi kirahisi tu mafanikio njia zangu nifuguliwe na yesu kirahisi tu Yani maisha ya kugagana hakuna tena mungu nikomboe Leo nitoke kwenye maisha magnum Baba 🙏🇰🇪

  • @Nayyou-jh1pf
    @Nayyou-jh1pf 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unifyekee wates wangu wote wanaotembea nanyota yangu nawanaoniombea mabaya yawarudia wenyewe kwajina layesu

  • @SelestinaKanyungu-m3l
    @SelestinaKanyungu-m3l หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mume wangu aielewe madhabahu hii maana ananikataza mpaka kuifatilia

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu niponye mwili wangu na nyota yangu hifunguliwe kilayis

  • @NajmaNajma-rn5pe
    @NajmaNajma-rn5pe 2 หลายเดือนก่อน

    Naamini nimepokea uponyaje katika jina kumbwa la yesu mtume mwambosa mungu azidi viwango vako uiishi mwaka Mia na 20 Baba wewe ni mwanaume kama yesu amen l love you so much daddy 👏👏 God bless you ❤❤❤

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba watu sahih kwenye maisha yangu

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba umufunguwe Kila anaye cheza na mwili wangu naomba akaumwe yey yamuludidiye kilayi

  • @NajmaNajma-rn5pe
    @NajmaNajma-rn5pe 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipone Baba uti wa mgogo wauma Sana haki lakini naamini nimepona kwa jina la yesu amen 🙏 kes zangu zikwisha baba

  • @TunguMayunga
    @TunguMayunga 2 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu naomba mafanikio maishani mwangu nifanikishe nijaliwe na kupata watoto

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mume wangu ache pombe kiyis na anieshimu kilayi

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba anaye cheza nawatoto wangu waanguke kilayis

  • @AbetinaMichael
    @AbetinaMichael 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu akamtee muujiza mamaangu akanyanyuke ktk kitanda alicholazwa hospitalini miez miwili.

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unifunguwe kiuchumi Zahid naniwe nayera nyingi na wanieshumu ambawo wananizalau

  • @TatuKimario
    @TatuKimario 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anaewakoa wengine na mim aniokoe

  • @Rechodiqueen
    @Rechodiqueen 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomb unifungue kiuchumi nipate pes kilais naniwez kupat biashar yang niwez kununua kiwanja kirais namtoto wangu samia afunguliwe kimasomo

  • @SelestinaKanyungu-m3l
    @SelestinaKanyungu-m3l หลายเดือนก่อน

    Napokea uponyaji wa familia yangu kiimani

  • @melindahkapeya3168
    @melindahkapeya3168 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏻

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @IreneMsigwa-qi5nk
    @IreneMsigwa-qi5nk 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba MUNGU Flemu yangu yabiashara ikajengwe KIRAHISI zaid.pia nikapate biashara yakufanya KIRAHISI ZAIDI pia nikazidiwe nawateja Kirahisi zaidi.

  • @Fatimamarcelino-c7h
    @Fatimamarcelino-c7h หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌

  • @Fatimamarcelino-c7h
    @Fatimamarcelino-c7h 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @KemilembeBalegu
    @KemilembeBalegu 2 หลายเดือนก่อน

    Akika wew nimwana wamngu anae kubarik,atabalikiw anae Ulaani amekwisha laniwa

  • @EsteriaMwasebeje
    @EsteriaMwasebeje 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea

  • @KemilembeBalegu
    @KemilembeBalegu 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mngu nipate kodiyanyumba,pia ndoto zamaut ninazo ziota,,zikashwindwi ktk jina layesu,naamini ntapokea 8:25

  • @AnjeraMahira
    @AnjeraMahira 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nisaidie namapep

  • @Nayyou-jh1pf
    @Nayyou-jh1pf 2 หลายเดือนก่อน

    Mmungu naomba niondoree moyo mgumu wakuto kupokea uponyaji

  • @VictorDanda-y6j
    @VictorDanda-y6j 2 หลายเดือนก่อน

    Eeh mungu naomba nipate pesa ziingie kwenye account yangu nifutie madeni yangu niwe namaisha mazur

  • @Nayyou-jh1pf
    @Nayyou-jh1pf 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mume wangu apate kazi sasahihi namuondolee vishawishi na umfungue kiuchumi naaweananisikiliza napomshaulijambo namakundi mabaya kwajina la yesu

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

  • @ReginaSimkonda-vb7pz
    @ReginaSimkonda-vb7pz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba anaye cheza na ndoya yangu afe kilayi