FULL VIDEO: KIKWETE AACHIA 'MABOMU', ASEMA "RAIS SAMIA NDIO MWANASIASA MAARUFU ZAIDI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • FULL VIDEO: KIKWETE AACHIA MABOMU, ASEMA "RAIS SAMIA NDIO MWANASIASA MAARUFU ZAIDI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    FULL VIDEO: KIKWETE AACHIA MABOMU, ATAKA 'WACHIMVI' NDANI YA CCM KUADHIBIWA
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 169

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว +18

    WE MISS YOU MAGUFULI MAANA HAPO UNGELISHASEMA MANENO YA MAANA ILA HAO NAONA WANAROPOKWA TU,,,AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU!!

    • @mhemageorge1402
      @mhemageorge1402 ปีที่แล้ว

      Umesema sawa rafiki yangu

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 ปีที่แล้ว +2

      Mmechelewa mno.. Endeleeni kuomboleza. Ongozweni na marehemu. Sisi tutaijenga nchi.. tutawasaidia watanzania.. tutaweka midingi thabiti ya kizazi Cha Sasa na kile kijacho. MUNGU ibariki Tanzania

    • @fulgencemark7640
      @fulgencemark7640 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kama ule moto wa .miaka.mitano na ushei haukukuinguza/hujausikia,basi kwa uhakika kabisa utakuwa uasikia baridi Kali kwenye utawala huu.,ndio maana unamwomba mungu moto.Omba linguine achana na hill kabisa.Mimi nionavyo tukoPoa mama anataka watoto wetu wrote (walemavu na wasio walemavu) wapate elimu nzuri,wawe na afya nzuri, ndio maana amefuta sherehe za uhuri na kuelekeza bajeti yote ikajenge mabweni ya watoto wetu wenye mahitaji maalumu. Mungu ikimpendeza ampe mama ujasiri huohuo ifikapo ile siku ya kuwasha taa mchana.

    • @bahatijacob7430
      @bahatijacob7430 ปีที่แล้ว

      Hakuna,uongo

  • @jafaryjey
    @jafaryjey ปีที่แล้ว +10

    Yaani mkija kumwacha mtu ambaye siochaguo la wananchi agombee nitawaona wapuuzi sana, Kikwete usitutishe, Samia ni Rais wetu but she is not our choice it was MAGUFULI, So muhula ukiisha tunataka waheshimiwa wagombee ili tupate chaguo letu msitake kutulazimisha

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naona mh rais Samia na ccm watusaidie tu kwa uwezo wa mungu tupate kiongozi mwenye uwezo na baraka toka kwa mungu na wasing'anganie uongozi wajue kuwa wananchi wakiteseka Sana Ni laana kwao

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +7

    Makufuliii uko wapi baba yetu mpendwaaaa mungu akurehemeee tutakukumbaka daimaaaaaaaa machozi yananitoka ninapo ona mafisad wamerudishwa

  • @gabybulba9574
    @gabybulba9574 ปีที่แล้ว +15

    Acha polojo za miaka ya ujima, watanzania wanataka viongozi walio na maoni , sio viongozi wa chumia tumbo R.I.P Magufuli😥

    • @budapest8596
      @budapest8596 ปีที่แล้ว

      Bora alivokuwa hayupo.
      Sasa Tanzania raha

  • @nailaty
    @nailaty ปีที่แล้ว +3

    Agombee tu lakin mungu atasikia vilio vya watanzania na atatupigania

  • @japhetkarori5230
    @japhetkarori5230 ปีที่แล้ว +13

    Jamani magu..RIP baba wa pili wa taifa la tanzania.

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 ปีที่แล้ว

      Sasa muda huu magu wa nini ...

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 ปีที่แล้ว

      Tumeshukuru magufuli alivo andoka angalau tupo na amani watanzanis

    • @mohammedsururu4047
      @mohammedsururu4047 ปีที่แล้ว

      Mzee wa ufufuo yuko wapi amelize hili tatizo

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 ปีที่แล้ว +4

    Hii nchi imejaa waganga njaa viongozi wetu wengi wamekuwa kwaajili yao wenyewe na sio wananchi tena ..... RIP Jpm

  • @augustinomhanje9225
    @augustinomhanje9225 ปีที่แล้ว +8

    RIP JP Magufuli. We still remember you our former president for all of our life.

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +5

    Samia ni mwizi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +23

    😭😭Mungu sikia kilio cha watanzania maana bila wewe sisi pekee hatuwezi

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว

      Sasa mungu. Nenda shamba kalime kama hujasoma

    • @justinesorwa-soudo4177
      @justinesorwa-soudo4177 ปีที่แล้ว

      @@abi-onlinetv4181 Ni Kilimo kipi ambacho hakisomewi?

    • @tabomusic3625
      @tabomusic3625 ปีที่แล้ว +1

      @@abi-onlinetv4181 kwahiyo baada ya kushiba sasa ndio umeamua kutudharau wakulima wee mwehu!?

    • @mochiwamngulu2790
      @mochiwamngulu2790 ปีที่แล้ว

      @@tabomusic3625 kutokuelewa kwako kusifanye uonekane mpumbavu maana mwalimu alisema upumbavu Hauna dawa tafadhari jihadhari usiwe mpumbavu

    • @mochiwamngulu2790
      @mochiwamngulu2790 ปีที่แล้ว +2

      @@justinesorwa-soudo4177 sijui umezaliwa lini haya yote unayo yaona yamebunia na kutekelezwa ambao hatakuandika hawajui Hawa unaowaita wasomi wanakopi kutoka wale ambao unaowaita hawakusoma kilimo kilikuepo tangu mababu na Tanzania hii haikua na njaa kuliko sasa na hao wasomi wako bandia kama wewe

  • @williammizengo3377
    @williammizengo3377 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Msituzuie kugombea Urais ndani ya CCM wapo wengi ..

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 ปีที่แล้ว +1

    M/ mungu tuondolee viongozi wanaafiki mwenye dunia

  • @sidejm123
    @sidejm123 ปีที่แล้ว +10

    R.I.P Magufuri

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 ปีที่แล้ว +13

    Sababu ni wizi mnaoufanya nchi hii umeme ni shida mpaka Leo sibora mjiuzuru tu

    • @abdulazeezuae2442
      @abdulazeezuae2442 ปีที่แล้ว +1

      Allah ndio hatawaudhuru inshaAllah machozi mengi kuliko kicheko

    • @deosixmusic6240
      @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +1

      Namchukia Sana Hilo limama

  • @abdulazeezuae2442
    @abdulazeezuae2442 ปีที่แล้ว +12

    Wewe ndio muongo kikwete wallah lnshaaAllah Allah hatuondole uyu raisi 😏😏😏😏

    • @musamsangimsangi5159
      @musamsangimsangi5159 ปีที่แล้ว +1

      Mungu hawezi kumuondoa mtu kwa matakwa ya binadamu, hasa watu wema. Ukiona mungu anakuondoa ujue hana haja tena na wewe kwenye hii dunia, mchango wako umefika mwisho

    • @abdulazeezuae2442
      @abdulazeezuae2442 ปีที่แล้ว +2

      Ujaambiwa watu wema hawafi. Tumekwambia hatoke madalakani

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      ALLAH ANGEANZA KUKUONDOA WEWE KWANZA INGEKUA BORA

    • @abdulazeezuae2442
      @abdulazeezuae2442 ปีที่แล้ว

      @@maftahmusa9513 kuniondoa wapii sasa jamanii

  • @isaacmasanjakutokakakubilo2263
    @isaacmasanjakutokakakubilo2263 ปีที่แล้ว +2

    Uko sawa Mh mstafu, na Mwanajangwani mwenzetu,

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +6

    Tusikubali agombee tena

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 ปีที่แล้ว +3

    Magufuri R I p baba yetu

  • @mhemageorge1402
    @mhemageorge1402 ปีที่แล้ว +3

    Mzee usituzingue watu huku chini tumechoka majibu mungu atatoa maamuzi wakati wowote

  • @emarrgeorge8536
    @emarrgeorge8536 ปีที่แล้ว +2

    Yamkini Wengine Wanawaelewa..
    Ila Mimi Sitowaelewaga teeeena% Lbda Muumba Atupe John Mwingine

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว

    Mwenye masikio ahambiwi sikia na
    Mwenye macho ahambiwi kuona
    KATIBA MPYA
    Hayo siyo maneno sahihi

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +7

    Jaman tuandamane tuliondoe hilo limama madarakani linatuumiza wanyonge

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว +8

    Mashirika hayo yapo tyr kutoa fedha kusomesha watu wenu lakini hayapo tayari kuwapa fedha kuanzisha viwanda vya mzao yenu au viwanda vikubwa kwaajiri ya ajira ya vijana tz wanawambia -subiri wawekezaji ambao wana hidden interest ebu amkeni x

    • @mimikimanga3126
      @mimikimanga3126 ปีที่แล้ว

      Unaakili sanaaa Issa powerful comment

  • @cliffordmpoli6712
    @cliffordmpoli6712 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi viongozi wa ccm, mbona mnaongelea kushinda tuu!? Wala hamuongelei maendeleo ya nchi na huduma bora kwa wananchi!!?

  • @litha2000
    @litha2000 ปีที่แล้ว +7

    Muda huu atuna umeme tangia hasubui hamueleweki

  • @norascomulenzi222
    @norascomulenzi222 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mkubwa na YUPO.

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +6

    Samia aachie hicho kiti cha urais hawez mwizi yeye

  • @godwinkubimba6575
    @godwinkubimba6575 ปีที่แล้ว +3

    Kuleni tu ni wakati wenu, ila mwisho upo, ni NENO tu la uzima litabak

  • @judithngajiro3470
    @judithngajiro3470 ปีที่แล้ว +2

    Mangufuri alikomaa kisiasa alijua wajibu wake.kama baba wa watazania

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca ปีที่แล้ว

    Hivi Msiba yuko wapi?

  • @haikasiakipimo1891
    @haikasiakipimo1891 ปีที่แล้ว +5

    The best politician ever in Tanzania

  • @constanciashangali7523
    @constanciashangali7523 ปีที่แล้ว +5

    Mh. Rais mstaafu Kikwete.. Mungu akuongezee miaka 55 mbele..yenye afya njemaa...Uishi Baba🙏

  • @emarrgeorge8536
    @emarrgeorge8536 ปีที่แล้ว +1

    Mmh ..Ayabuana 🤔

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 ปีที่แล้ว

    Mliobakia mnaongea yakujisifia tu mengi hayahusu utatuzi wa matatizo ya watanzania wanyonge ,mimi ni mwanachama wa ccm lakini Sina Imani ya huyu mama Samia. Kwani mtabwagwa wabunge na urais

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +1

    Siasa hiyoo mzee

  • @jojujjokyussa4699
    @jojujjokyussa4699 ปีที่แล้ว

    Ila m'metukomoa sana kwa Magufuli.

  • @AliMvingira-ls2vm
    @AliMvingira-ls2vm ปีที่แล้ว

    Tanzania mungu tupiganie

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 ปีที่แล้ว

    Mtanikumbuka In Shaa Allah ila ukweli ni kwamba Kikwete anajua CCM hairudi tena madarakani anajua fikaaa

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +5

    Jk nakukubari toka uongozi wako ira kwa Samia nitakuchukia pia wewe pumzika kwaa amani jk acha samiaa aende konde znz kwao

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 ปีที่แล้ว

      Haendi popte yy ndo Rais tunaemtaka na hakuna km yy

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 ปีที่แล้ว

      Naaam Samia ndio chaguo letu tuta mchagua na tutampa kura zetu zote atuongozee

  • @neemasamwel6523
    @neemasamwel6523 ปีที่แล้ว +2

    Uongo bana

  • @charlesmafwimbo5588
    @charlesmafwimbo5588 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda wacha wanachama wanaotaka kugombea wawe huru kugombea maana Wana haki hiyo tusiteue acha sanduku lifanye kazi yake

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +4

    Hampati hata Kura moja nawahapia

    • @bakariamour1024
      @bakariamour1024 ปีที่แล้ว

      Unauwakika ?

    • @deosixmusic6240
      @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว

      @@bakariamour1024 wallah billah wananchi walivyo na hasira hapati hta Kura moja

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnamuelewa huyo mzeee,, kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa,, anampaka Samia mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwa maslahi yao ya kiunyonyaji yamelindwa😅😅😅😅😅

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU UILAZE ROHO YA JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MAHALI PEMA PEPONI
    DAIMA TUTAKUKUMBUKA SHUJAA WA TANZANIA
    MWAMBIE NYERERE NA MKAPA NA KARUME HUKU TANZANIA MAKAMBA KASEMA ETI "WAZURI HAWAFI"
    PIA
    UMEME NI WA MGAO
    MAJI NI HAKUNA
    HOSIPITALI DAWA SHIDA
    RUSHWA NA MAFISADI KILA KONA
    MABEHEWA YA MITUMBA KUTOKA UJERUMANI YANAKUJA
    WAMACHINGA WAPISHE MABEBERU NDIO WAWEKEZAJI
    HATUJUI KAMA DENI LA WACHIMBA MADINI WAMELIPA AU WAMESAMEHEWA?
    CINEMA ZA RAMBO. MAREKANI
    CHAKULA GHALI
    PANYA ROAD NDIO AJIRA KWA VIJANA
    MAFISADI WA CCM WAMESHAMIRI
    NAKADHALIKA

  • @frolianieugeni8442
    @frolianieugeni8442 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh.....!✋🤗

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 ปีที่แล้ว +1

    Rip jpm pumzika kwa amani

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 ปีที่แล้ว

    Mh. Napongeza uchaguzi wa chama hongereni sana. Vikwazo ni uchaguzi wa kumwaga damu, kutesa watu, kuteka watu na kuumiza watu wakati wa Kura na kampeni za Kura.
    Maisha ya watu vijijini ni magumu na njaa inatisha sababu ya ukame muda mrefu mifugo imekufa njaa ni kali fedha hakuna. Mh. Rais chakula kitolewe Cha njaa

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 ปีที่แล้ว +3

    Kwetu ina faida gani?

    • @mrishojuma4857
      @mrishojuma4857 ปีที่แล้ว

      Hujasikia hapo ndugu...hata Tz ilipewa Dola milioni 150 kwenye sekta ya elimu?

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 ปีที่แล้ว +2

    Mambo hayo ya uongo yameanza kipindi ambacho mzee salim alizushiwa uongo mpaka akakosa urais.

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wa chama tawala hawana maono ndio maana hatuna maji safi na umme miaka 60 ya uhuru
    HAMNA MAONO NA HAMFAI KUONGOZA NCHI
    WATANZANIA SIO WAJINGA

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 ปีที่แล้ว +3

    Hich kipindi kuna viongozi wa nataka wenyewe tuwajivunjie heshima 😡😡😡.kwa uchawa wao

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +1

    Msitulazimisheee kumchaguwaa samiyaa tuache tuchague mtu tunae mtakaaa

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Jk mrisho nikweli lakini kumbuka wa tz wengi waishi bila kipato Kama vvyenu hampo nao wanataka katiba mpyaa 2

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว

    Watanzania naombeni jamanijamani ndugai asiogope kugombea...wasimtishe na upumbavu wao..ndugai na viongozi wengine wenye Nia ya kugombea agombee tuu tutampa Kura..lakin tusikubali samia achukue tena kiti cha urais

  • @ericstephenm.844
    @ericstephenm.844 ปีที่แล้ว

    DAAAH!

  • @Mr.rizz334
    @Mr.rizz334 ปีที่แล้ว

    Tatizo wezi na awa CCM wezi sana

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +4

    Kikwete anajifanya eti miungu watu ila simupendi huyo mzee ila basitu. Kuna siku mungu atatenda yake

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว +1

      Nakusikitikia unae lalamika Kwa washamba wenzako. Kwa sababu unapoteza mda. Kikwete kashapata kwahiyo huna athari yeyote kwake.

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

      @@abi-onlinetv4181 yeye sio jiwe au mrima kilakitu kina mwisho

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว

      Nawewe pia ipo siku Mungu atatenda yake,,Wallahh nakwambia!!!Hutakaa uamini milele na milele!!!Sema Amen!!

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว

      @@edinakyaruzi9226 mwisho wako na wewe upoje, hapo ndo jiulize mwisho si ndo Kwa kila kiumbe bwaba

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว

      @@reubenkissinga5802 Aamen.

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว +3

    Usitishe watu

  • @veronikamabula7101
    @veronikamabula7101 ปีที่แล้ว +1

    MISIFA,BORA USINGEONGEA MAANA UNAKIPOTEZA CHAMA

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ปีที่แล้ว +1

    Katika hilo shirika wewe umesaidia nini Tanzania

  • @deosixmusic6240
    @deosixmusic6240 ปีที่แล้ว +2

    Wauaji wakubwa nyie

  • @valerianakilumile8517
    @valerianakilumile8517 ปีที่แล้ว +1

    Watu tuna maisha magumu ,Yenyewe yanapanga kutawala kiyama .Laana wakubwa

  • @brianbakari7925
    @brianbakari7925 ปีที่แล้ว +2

    Swahili is very difficult, I don't understand this comments

  • @judithngajiro3470
    @judithngajiro3470 ปีที่แล้ว

    Kama ana mungu .kitu mpunga mmoja tu.

  • @jacobmwakisole8910
    @jacobmwakisole8910 ปีที่แล้ว

    Ohooo

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +1

    We Ndugai wacha kununa nuna hovyo bhana.. Unamnunia nani sasa?.

  • @simonpaul9022
    @simonpaul9022 ปีที่แล้ว +1

    Ww mzee unataka ututawale unavotaka ,acha uongo kubwa lao hatuwataki fanyeni kuleta katiba mpya tu tuone ufisadi wenu unakaa wapi serkali ya kifisadi

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 10 หลายเดือนก่อน

    Mzee jk tuachie tumechoka ccm kimekuwa chama cha wenyenguvu siwanyonge wenyeviti na madiwani wanaongoza kwenye migogoro ya ardhi,ccm inanguvu kuliko mahakama ya ardhi tumechoka dhuruma

  • @Watema23
    @Watema23 ปีที่แล้ว +2

    Masifa huyo

  • @joevang4685
    @joevang4685 ปีที่แล้ว

    inaonekana baba jesca aliwavuruga...

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 ปีที่แล้ว +1

    Tukifanya hivyo kuitana ni kusutana dini yetu na sidhani kama kwenye katiba imo akisema tuache na tusiwatukane matusi Allah hapendi kwa sababu enzi za zamani Allah angeshusha Aya sasa hivi iko wapi? Tuwasaidie wenzetu kufanya kazi vizuri na kumuomba MMUNGU atulinde

  • @abubakarswaleh5667
    @abubakarswaleh5667 ปีที่แล้ว +11

    Hotuba iliyojaa hekima n busara ya mzee wetu JK

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

      Kikwete ni Kiongozi na mwanasiasa wa kihistoria Tanzania na duniani kwa ujumla.

    • @stanleyamlima2085
      @stanleyamlima2085 ปีที่แล้ว

      Yessssss

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว

      A man of great WISDOM!!

  • @sadraaly3410
    @sadraaly3410 ปีที่แล้ว

    Hivi rais haruhusiwa kuvaa shungi

  • @fabiussaimon2037
    @fabiussaimon2037 ปีที่แล้ว

    Abali

  • @daudsamandito4571
    @daudsamandito4571 ปีที่แล้ว

    Jamani wazee. Wetundani yaCCM. Miminaona. Wavurungwa nasaana awamu. Ya. Msukuma Hajuwinchi. Imejsa. Wasukuma

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Magufuli pamoja na madhaifu yake mengine Ali linda raslimali za nchi waliobaki wapgaji

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Nakinai

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 ปีที่แล้ว

    Mpaka Sasa hatuna chaguo la wananchi hivyo tunawaomba ccm watusaidie tuongozwe na mwanaume sio mama kwa sababu tunajua yoyote atakaeteuliwa na ccm Ni lazima atapita tunaomba msimu ujao ccm wamteuwe mwanaume

  • @fredngoti9714
    @fredngoti9714 ปีที่แล้ว

    Mh🥳🥳🥳🥳

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 ปีที่แล้ว +1

    Mzee KIKWETE MUNGU akuhifadhi, walikutukana sana ila dikteta uchwara aliwanyoosha. Ila fahamu kuna machawa ndani ya chama, upuuzi mtupu,,,,,, waganga njaaaa ,,,

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      Kani samia kaleta democracy gani kama sio dikteta mbona watu wanaenda jela hivi sasa kwa kumkosoa samia mitandaoni na kusema ukweli tuu kwa wizi unao fanyika . Ndugai kufukuzwa uspika kwa kwa kusema ukweli. sasa huo kama huo sio udikteta ni nini

  • @mtumishikakoyo4762
    @mtumishikakoyo4762 ปีที่แล้ว

    Katika marais wooote waliyopita...waliyonikosha ni mwinyi na nyerere tuu

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 ปีที่แล้ว

    HATUTAKI STORY WALA HISTORIA TUNATAKA UTEKELEZAJI WA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZINAZORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TANZANIA CYO KUANZIA UHURU SA HIV MIAKA 61< KERO NI UMEME

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 ปีที่แล้ว

    Huyo mlinzi mwenye kilemba chekundu...cjui anawaza nini kama anajambo lake

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee ปีที่แล้ว

    Rais

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Yaani kikwete na maccm yako badala ya kufkri shida za watanzania mnafkri kuchaguliwa 2025 nchii imeharibiwa na maccm Samia hatumtaki acheni kupgia makofi kila kitu tuache ujinga chama akina dawa kitavunjika

  • @magdalenamaganga4791
    @magdalenamaganga4791 ปีที่แล้ว

    Pumbavu anaesifia etihotuba yahekima mjinganini ,hujaendashulewewe

  • @Makakulaya
    @Makakulaya ปีที่แล้ว

    Kikwete aliwatowa kafala wa tanzania njomana muna laana. Inchi ya mashoga ni tanzania, chawa tanzania, watu wafupi tanzania,warozii tanzania ,wenye hawakusoma tanzania, freemason tanzania. Ndomana inchi yenu ina amani ya kisheyani mulisha tolewa kafala. Labda kikwete afe uyo mujinga freemason gay

  • @abi-onlinetv4181
    @abi-onlinetv4181 ปีที่แล้ว +2

    Nakusikitikia unae lalamika Kwa washamba wenzako. Kwa sababu unapoteza mda. Kikwete kashapata kwahiyo huna athari yeyote kwake.

    • @PeterNMzee
      @PeterNMzee ปีที่แล้ว

      Ndo uzuzu at fullest huu sasa

  • @abuusirleh8196
    @abuusirleh8196 ปีที่แล้ว

    Ni yeye kikwete😁😁😁

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 ปีที่แล้ว

    Pili pili na Sukali ,😋😋Changanya Inogile 🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️baada ya kuunga Msoga kuchele baba sema

  • @ulamaaworiaa8879
    @ulamaaworiaa8879 11 หลายเดือนก่อน

    mze wabusara

  • @faridanselu4988
    @faridanselu4988 ปีที่แล้ว +4

    Sikupendi we mbaba wewe ndo chanzo unaesababisha yote haya

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว

      Mpende Baba yako tu inatosha,,,,kwani Jamaa(Kikwete) alikwambia anahitaji upendo wako??au unajikomba na kuleta vijimaneno vya kijiweni huko mkishalewa Serengeti light na kuimba """Nikizipataa ni mitungiii ,mitungiii"""

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 ปีที่แล้ว +1

    Ndio walewale ,mnaendeleza ufisadi tu hapa nchini ,mnamsifia Rais kwa vile amewaachia sasa hivi mnaendeleza ufisadi kama zamani ila Mungu anawaona

    • @abuusirleh8196
      @abuusirleh8196 ปีที่แล้ว

      Kikwete bosi wako wewe

    • @daudimazengo5814
      @daudimazengo5814 ปีที่แล้ว

      Lala salama mzeemagu tutakukumbukasana mungufanya miujizayako waaibika

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Wana ccm Kuna ubaya gani mtu akitaka kuchukua form nje ya mama Samia? Demokrasia huanzia ndani ya chama, Kama ndani ya chama mnaminya Demokrasia kiasi icho vipi kwa vyama vingne?

  • @Makakulaya
    @Makakulaya ปีที่แล้ว

    Wawuwaji.wa islam sio watu. Mashetani na mizimu yawo

  • @abuusirleh8196
    @abuusirleh8196 ปีที่แล้ว +1

    Teacher😂😂

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 ปีที่แล้ว +4

    Kwenye kuongea wewe baba umejaaliwa

  • @hidayasingano7771
    @hidayasingano7771 ปีที่แล้ว +1

    Your the bext

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 ปีที่แล้ว

    SABABU ZA KUTOI CHAGUA CCM NI BANDARI YETU!