Mungu ni mwema nimefurahi sana kusikia historia Yako inanitia moyo kwamba siku Moja itafika watoto wangu noeli pamoja na rafaeli watakuwa maaskofu mungu akubariki sana
Ahsante sana, Baba Askofu, P. K.Pengo kwa kutujuza hayo. Kwa Karama hiyo ya upole na unyenyekevu uliyo nayo, ufalme wa Mungu ni wako. Natamani sana siku moja nikushike tu mkono, naamini kwa kufanya hivyo nitakuja kuwa mpole na mnyenyekevu na hatimaye nitaurithi ufalme wa Mungu. Mungu akubariki.
Sasa wew huku umefuata nin? Kama wew unajiona ni malaika na wenzio ni makafir si utoke kwenye platform hii uende kwa malaika wenzio? Sijui huwa mnakwama wapi yaani!
Be blessed Mwadhama Pengo.
Natamani Mungu anipe upole na unyenyekevu wako.Mungu akupe maisha mema.
Mungu ni mwema nimefurahi sana kusikia historia Yako inanitia moyo kwamba siku Moja itafika watoto wangu noeli pamoja na rafaeli watakuwa maaskofu mungu akubariki sana
Hongera kwa kazi nzuri uliyotufanyia katika kipibdi chote cha Utumishi wako. Udumu milele
Bwana asifiwe Baba asikof .. mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako ili akuokoe asant
Ahsante sana, Baba Askofu, P. K.Pengo kwa kutujuza hayo.
Kwa Karama hiyo ya upole na unyenyekevu uliyo nayo, ufalme wa Mungu ni wako.
Natamani sana siku moja nikushike tu mkono, naamini kwa kufanya hivyo nitakuja kuwa mpole na mnyenyekevu na hatimaye nitaurithi ufalme wa Mungu.
Mungu akubariki.
Mungu yupo pamoja nawe! Umebarikiwa
Mungu wetu ni mwema, aendelee kukutunza na kukulinda Baba Cardinal
Sujawah kumuona askofu mpole kama Pengo. Mungu ampe Baraka ya afya njema na baadae uzima wa milele
twende kazi kumekucha mzee vipi ushoga umetia saini papa ana semaje kuhusu tanzania
Hongera Sana Baba Mwadhama Kadinali Pengo .
Hakika wewe ni mnyenyekevu na mpole Sana,Mungu akupe afya njema vijana tujifunze mengi kutoka kwako baba
Mwenyezi mungu azidi kukutunza baba yetu.🙏🙏🙏🙏
Pengo ni mpole,mnyenyekevu,mvumilivu na mwenye kusamehe Sana.Ndiyo maana Mungu alimteua kuwa Kadrinali 1997.
Mungu ni mwema tunakupenda sana baba yetu
Mungu akuongoze katika kutekeleza maelekezo yake.... Najua haukujichagua, alikuchagua Mungu mwenyewe. HONGERA SANA BABA WA IMANI
Hongera Askofu
Mungu akutie nguvu
Asante kwa kutujuza Hidtoria yako Baba
Amen sala na Kazi
MWENYEZI MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA MAISHA MAEREFU ,BABA !!!
UBARIKIWE baba!
Ubarikiwe baba na hongera sana baba
Baba mungu aenderea kuku jaria àfya njemA
Mungu akupe mwisho mzr
Mungu akuongoze vizuri baba kweny imani yako
Vp
Hongera sanaaa Baba Kadinali Pengo
Hongera! Ulikuwa na critical thinking utotoni. Mungu alikuaandaa mapema. Tumsifu Yesu Kristo
Pole mtumwa wa Bwana.
Mwenyezi MUNGU akubariki
Mungu ni mwenye
Mungu akubariki baba askofu
Asante kwa kutuhabarisha jistoli yako Mtumishi Wa jehova
Mungu ni kubwa Sana kumtumikia mungu kuna faida
Uwapita pakulemba tata Leza akukolelele
Stay positive My Cardinal.
God Protect you from die to die
Mtangazaji hutoi sauti vizuri wakati wa kuhoji....unazidiwa na mzee...jitahidi kuimprove katika kada hiyo....otherwise gud job.
Kweli wewe mtoto wamwisho na mchanga wa kwanza
Ni watu wa kuwaogopa hawa
Mmh! Sio amejichimbia, bali huu ni utaratibu wa Maaskofu hata katika Uongozi wa juu wa Kanisa Duniani na Kaburi zao huchimbwa Kanisani.
Hahahahahaha eti utumeee.jamanii kfr kwl akili hana. Duu.
Tena koma kuita watu kafili wewe ndo kafili
@@gracejohn886 kafiri tn mkubwa anaedai utume mitume imepita nahaitorudi tn mpaka dunia itaisha hayo nimakafiri tuu.
@@zahorrashid5459 wanamtumikia mwenyezi MUNGU kwa hiyo tuwaiteje kwa unavyoona wewe
Kafir mwenyewe,fala kabisa,imekuuma sana umtukane?maisha yake hakuhusu nini mpaka umuite kafir?
Sasa wew huku umefuata nin? Kama wew unajiona ni malaika na wenzio ni makafir si utoke kwenye platform hii uende kwa malaika wenzio? Sijui huwa mnakwama wapi yaani!
mbona unaongea kama unajifunza kiiswairi