Hakika ukuu wa Mungu umetamalaki. Tuwabatize watoto majina mazuri na kuwaombea daima,tuwanenee mema. Kila la heri Protase Kardinali Rugambwa katika utume wako mpya ndani ya Kanisa. Tuendelee kuwaombea marehemu wote [hasa Dr Paul Kishumba(kaka wa Kardinali,Iholana(Baba),Laurean Kardinali Rugambwa]pumziko jema Mbinguni Amina.
Mimi kila nikienda Bukoba huwa nakwenda kusali kwenye Kaburi la Hayati Lauren Rugambwa. Huwa namshukuru sana Mungu kwa ajili ya majitoleo ya Hayati Lauren Cardinal Rugambwa. Pamoja na kazi zake nyingi za Kitume, alitujengea shule ya Sekondari ya Wasichana ya kwanza Mkoani Kagera. Labda kama siyo hiyo shule kuwepo, pengine ningeishia darasa la saba! Sasa tumempata Cardinal Rugambwa ll. May The Almighty God bless his endeavours. Amen.
Wow If This be True, Huyu Kweli Ni Mtumishi Wa Mungu na Maisha Yake yamepangwa na Mungu Kabla Hajazaliwa, Sitashangaa Nikisikia Fransis Atakapolala, Huyu Akawa Ndiye "Pope Mweusi" Alipostaafu Benedict Kulikuwepo Msukumo Mkubwa sana Vartican Kuchagua Pope Mweusi. Kwa Taarifa Tu Idadi Kubwa ya Wakatoliki Duniani Ni Kutoka Latin na Spanish Countries, Na Africa.
Maskini.Mungu awarehemu Marehemu Ntibandebage na Marehemu Kardinali Rugambwa.Baba Askofu ni hakika kabisa kwamba Mungu hakukosea.Ukawe na utumishi uliotukuka
Asante sana Baba umetoa uharisia maana Kila mmoja Huwa anaeleza yake. Hongera sana wana, Nyaishozi, Jimbo la Kayanga na Rulenge Ngara na kanisa lote la Tanzania. Kijiji Cha Kasheshe oyeee👋👋👋👋👋tushemererwe tushanduke tusinguze Omuka'ma🙏🙏
Sasa hivi misaada hakuna tena kutoka nje ni sisi wenyewe wakristu (Roman Catholic) tunapashwa kujipanga tukushirikiana na viongozi wetu wa dini kugharamia miradi.mbalimbali kujenga taasisi zetu za dini ili ziweze kutoa huduma za kijamii na kwenye jamii na kueneza neno la Mungu
Ni story nzur mtumish wa mungu kwer wew ulitumwa na mwenyez mungu kueneza mazur yake kwa wanadamu👏👏
Baba Paul Rozoka namuona pale so humble so. Inspiring
Hakika ukuu wa Mungu umetamalaki.
Tuwabatize watoto majina mazuri na kuwaombea daima,tuwanenee mema.
Kila la heri Protase Kardinali Rugambwa katika utume wako mpya ndani ya Kanisa.
Tuendelee kuwaombea marehemu wote [hasa Dr Paul Kishumba(kaka wa Kardinali,Iholana(Baba),Laurean Kardinali Rugambwa]pumziko jema Mbinguni Amina.
Mimi kila nikienda Bukoba huwa nakwenda kusali kwenye Kaburi la Hayati Lauren Rugambwa. Huwa namshukuru sana Mungu kwa ajili ya majitoleo ya Hayati Lauren Cardinal Rugambwa. Pamoja na kazi zake nyingi za Kitume, alitujengea shule ya Sekondari ya Wasichana ya kwanza Mkoani Kagera. Labda kama siyo hiyo shule kuwepo, pengine ningeishia darasa la saba! Sasa tumempata Cardinal Rugambwa ll. May The Almighty God bless his endeavours. Amen.
Living miracle and legacy of His Eminence Laurean Cardinal Rugambwa Bless us from Heaven.... May God's Love and mercy lead Protase Cardinal Rugambwa
Wow If This be True, Huyu Kweli Ni Mtumishi Wa Mungu na Maisha Yake yamepangwa na Mungu Kabla Hajazaliwa, Sitashangaa Nikisikia Fransis Atakapolala, Huyu Akawa Ndiye "Pope Mweusi" Alipostaafu Benedict Kulikuwepo Msukumo Mkubwa sana Vartican Kuchagua Pope Mweusi. Kwa Taarifa Tu Idadi Kubwa ya Wakatoliki Duniani Ni Kutoka Latin na Spanish Countries, Na Africa.
😊❤
Hongera Baba Askofu Mkuu mwadamizi Protase Rugambwa.
Maskini.Mungu awarehemu Marehemu Ntibandebage na Marehemu Kardinali Rugambwa.Baba Askofu ni hakika kabisa kwamba Mungu hakukosea.Ukawe na utumishi uliotukuka
R doy❤tg daş x*5 küç
Simulizi nzuri sana...Mtoto anaombewa na kutengenezewa :baadae" yake. Ubarikiwe Baba Rugambwa Cardinal wa pili sasa
Ni kama huyu, akiwa Padri hushangai
th-cam.com/video/K51SrPud59I/w-d-xo.html
Hongera sana baba na mazungumzo yako yamenibariki sana kwa jina la Bwana!
Hongera sana Cardinal wetu mpya. Mungu akupe busara kama za Mfalme Suleiman
Hongera sana baba Cardinal wa 2 kweli mdomo huumba,Mungu aendelee kukubariki😊
What a story 🎉🎉
Hongera sana sana baba, uwe na utume mwema!!!
Mungu ni mwema!...Kila jema litendekalo hapa duniani ni mpango wake Mungu...Hongera Mwadhama Protase 🙏🙏🙏
Hongera sana baba. Mungu aendelee kukupa kibali chá kutuongoza kiroho.
A very interesting story... Hongera Sana Baba Mhadhama ✊
Very interesting and moving history of Protes Cardinal Rugambwa.God bless.
Hongera sana Baba
Mpango wa Mungu huu
Mungu akubariki sana
Mungu azidi kukuinua baba
Hongera san kiongozi wangu🎉
Mungu akulinde Baba Rugambwa
Ahaaa! Kumbe! Tumeelewa
Ni historia inayovutia na umenifanya nisisimuke. Tumuombee awe papa wa kwanza mweusi.msikilize
3:11
Asante sana Baba umetoa uharisia maana Kila mmoja Huwa anaeleza yake. Hongera sana wana, Nyaishozi, Jimbo la Kayanga na Rulenge Ngara na kanisa lote la Tanzania. Kijiji Cha Kasheshe oyeee👋👋👋👋👋tushemererwe tushanduke tusinguze Omuka'ma🙏🙏
Ninafuraha kubwa kukupongeza mheshimiwa baba askofu caldinal lugambwa. MUNGU akupe baraka zote ktk utume wako.
Watu wengine tuna stress hivi kujenga Hospitali ni kazi ya Askofu?
Ni Tibandebage siyo Ntibandebage
🤣 🤣 Hongera sana Cardinal
Nashangaa Sana rugambwa halifanya Mambo makubwa Sana lakini wewe baba ujafanya chochote bukoba hata hospital akuna
Rugambwa senior alifanya akiwa kardinal huyu ndo kwanza anaanza
Inawezekana amefanya ya kiroho si kila kitu kiwe kinaonekana
@@denismugisha2 Huyu unaona alikuwa Rome inawezekana ustawi unaouona kanisani ni sehemu ya kazi yake
Sasa hivi misaada hakuna tena kutoka nje ni sisi wenyewe wakristu (Roman Catholic) tunapashwa kujipanga tukushirikiana na viongozi wetu wa dini kugharamia miradi.mbalimbali kujenga taasisi zetu za dini ili ziweze kutoa huduma za kijamii na kwenye jamii na kueneza neno la Mungu
Wewe ujaona ila kuba walio onaaa