Watu watatu wafariki baada ya kuvamiwa na wahuni kwenye jumba la Sunbeam jijini Nairobi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
- Imebainika Kuwa Watu Watatu Walipoteza Maisha Yao Siku Ya Jumanne Wiki Iliyopita Baada Ya Kuvamiwa Kwenye Jumba La Kibiashara La Sunbeam Jijini Nairobi. Uvamizi Huo Uliotekelezwa Na Wahuni Walioingilia Maandamano Ya Kupinga Mswada Wa Fedha Mwaka 2024, Ulisababisha Kuporwa Na Kuteketezwa Kwa Jumba La Sunbeam. Familia Ya Bernard Mungai, Mmoja Wa Wafanyibiashara Aliyepoteza Maisha Imezungumzia Machungu Na Masikitiko Ya Kumpoteza Mpendwa Wao.
Human Rights groups and LSK,, should also call press conference on this... If they don't then they are working with criminals
Sure
According to lsk and human rights,these are none issues.
Unfortunately, they'll never talk about this or the police who were injured or killed as if these are not human beings😢
Those people are always advocates of evil. We can't expect them to do any better.
Exactly 💯.Huyo mumama Odhiambo aangalie hii
Ruto alisema ni Criminals mkasema Ruto ni wazimu. Sasa ona
We kwani uko kenya gani. Haujaona kwa news na videos zimekua zikicirculate vile goons wanatumwa na politicians kumake protests zikue violent?
Kama bado mnaita vijana wanafight for your rights criminals then uko na shida kubwa sana
Yes evil crriminals
I'll shout to the whole world from the rooftops that all these posing as peaceful protesters were actually all criminals. For now we are hearing many well-prepared scripts of how the government hired goons to infiltrate those peaceful protests so that they can make the Gen Zees look bad but I maintain the plot was hatched from the other direction. In a bid to show supporters and especially from Mount Kenya that they made a mistake in voting for William, someone was prepared to stoop this low. It doesn't matter how bad the finance bill was but couldn't they be contented with the few amendments that were made while they sought audience with the state over the issue?!
Are you stupid?? This is not maadamano, this is a criminal act. Maandamano is allowed in Kenyan law, and if they police wanted, they can ensure its peaceful
@@itssimplyivyvijana wagani wakora hao unaiba mali ya mkenya mwenzako ukijiita genz ghasia hao.....demo zilikua peacefull until akina Babu Owino wakaanza mambo zao
Let the rights groups also come forward and condemn these hooligans. We hope that they'll not blame the police on this!
Mm nashangaa watu wanalaumu police hawalaumu wahuni walikua wakiibia watu
They won't trust me and if they do the police will be blamed for inaction
They already had their script premeditated on how they would blame the police and "government-hired" goons on this. They always know what protests would bring and they psychologically prepare early.
Hii ni ujinga wanaiba alafu wanauwa
Ohh God my God comfort this family 🙏
kila mtu aliye onekana kwa kamera akifanya uhuni au kuvunja sheria hio tuesday ashtakiwe na ahukumiwe. hawa watu hawafai kukua huku nje na sisi tunao heshimu sheria za kenya
Mimi.after watching this episode I have no more support or sympathy for Gen Zees. Their cause could have been noble but after seeing that criminals were infiltrating their protests why did they insist on pressing on with the marches?! Ama wacha tu tuseme wao wenyewe bado ndio mikora?! ☹️☹️☹️
Kabisa
There were no protests on Thursday because of these criminals and you folks are now doing what the government wants, turning against people demonstrating for a better Kenya.
Wao ni criminals
Where's is this so called LSK AZIMIO BRANCH
Oh no. My God! Comfort the widow and the now orphan daughter!
Condolences
Orphan? Kwani mama si mzazi??
Poleni mum and your children. May a good Samaritan visit you. It shall be well....
Y don't you be one of good samaria. Start with you stupid person
wezi ndio wamejaa kenya. law abiding citizens tutaenda wapi sasa?
Journalists,raila, human rights activists,the assmio LSK should condemn this
Naskia kulia saasa hii n mambo gani
@@mremmm5902 wewe kojoa ulale,usilie
@@DavidNyamongo-un1sc the president should arrest all those fools who stole and were burning Kenyans property in the name of peaceful Demo
When your leaders call it a spade don't cool it a spoon.😎.
Condolences to the family
Wah God help us
endeleeni kusifu takataka eti gen zee nonsense
Hao ni Gen Z kweli? Tumia akili saa zingine si kuibeba tu. Ndio maana tuliibiwa 7 trillion na Uhuru na mkanyamaza while he raped you
Media is to blame they split the Screens to support destruction now we are burying our own Kenya against kenya
Kojoa hulale😂
We tried warning our people that going to the streets was not honourable but wakasema their protest was peaceful. There's nothing peaceful in any protest where the devil has already claimed his territory. Hawa mavijana I no longer care what their agenda is. Am off their cause! 🚶🚶🚶
True ni takataka tu
Jamani SS mwandamana ama waiba Mali za watu na kuwaa watu kuchoma Mali za umaa😢😢 jamani waizii wauliwe kabisa
Real shame to Kenyans mkimaliza haribu kesho msike kwetu
Pole sana
Polisi wangewakilisha hapo lakini bahati mbaya. Poleni sana familia. RIP
Useless news anchots why are you telling us this news late wachenzi genz ni criminals
sad, the goverment must not relent on these goons, despite what toothless LSK says
You don't know what the game is,the same government ooerate with goons to steal and destroy properties.gikuyu mnamalizwa ni serikali yenu
@@user-xx6ot2du7d tribal fools
@@user-xx6ot2du7d I dont operate on hypothesis and rumour mongering
😢😢😢😢Pole kwa mjane aki Wooiye... Hao wahuni wa stakiwe aki. 😭😭
😢😢😢very sad
God's grace is the Lord ❤😂🎉😢😮
N ndio wanaanguka kotini juu ya njaa maumbwa
Pole
Haki ni uchungu sana.
Haki imagine am crying until now after seeing the picture of Mungai hanging on that window. Hii sasa ita-traumatize family yake and I don't know if they'll ever recover from this. Seeing the agony that your loved one was in before he died is just tormenting. I have no words. 🙆🙆🙆
Nairobery
Rais William ruto anafaa asikie hayo
Afanye nini?? Si alisema ni criminals mkasema ni Uogo 😂😂
Alafu mnaanza kulaumu serikali bure Na wakora ndio wanaingilia maandamano
Serikali ndio imewalipa hao wakora, ni nini hamuelewi na mmekewa picha hadi wakilipwa hapo kwa kanjo.
Hao ni Gen z si criminals si ruto alisema ni criminals wakenya wakasema ni uogo
Zakayo was very right on this.
How is this justified?
God help kenyans
Wakikuyu na bado mnaenda maaandamano na muona vile hawa mambwa wanaiba maduka hawajui biashara ila maandamano ya ukora
ukabila imetoka wapi sasa
I was so ashamed of Kikuyus doing this kind of thing even in their own towns huku wakidanganywa eti they are doing a good thing for Kenya. Nanyuki wafanyi biashara wengi walipoteza mali yao eti watu wakidai kuwa wana-target premises za "yes" politicians. Upuzi!
Imagin wakikuyu biashara zao ndio hizi
Wakikuyu ndio wlitueka kwa hii shida ya Ruto. Mtutoe basi ama tulipe ushuru hadi tukufe.
@@sharersale6480 peleka umavi uko ruto is going no where stop blaming ruto for your poverty
Feaaaa🎉😂❤🎉😢
This was the work of government goons...