ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Madee ft Tunda Man - Pesa
แชร์
ฝัง
ขนาดวิดีโอ:
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2020
- #Madee #Pesa #NgommaTz #Tunda
ความคิดเห็น • 700
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
Tundaman Featuring Spark & Madee - Nipe Repoti (Official video)Tunda Man
มุมมอง 1.6M
Barua (feat. Daz Nundaz)Dominick DM7 - Topic
มุมมอง 92K
🔴ที่แรก! บุ๋ม ประกาศข่าวดีกลางรายการท้องลูกคนที่ 3 ในวัย 48 ปี | ตกมันส์บันเทิง 31 ก.ค. 67NineEntertain Official
มุมมอง 176K
LIVE : AC MILAN vs REAL MADRID | Soccer Champions Tour 2024 | 01.08.24BG SPORTS
มุมมอง 218K
เจอมือถือเครื่องแรกอายุ13ปีpeejayphat
มุมมอง 179K
Ferooz Feat Professor Jay - Starehe (Official Video) SMS SKIZA 7916961 to 811FeroozMusic
มุมมอง 7M
Madee ft Nandy - Sema (Official Video)Madee Seneda
มุมมอง 2.6M
Simu ya mwisho kala jeremiah ft. nay wamitego & moOfficialKalajeremiah
มุมมอง 1.8M
Tundaman Ft Chidi Benz -NeilahTunda Man
มุมมอง 206K
BONGO ZA KALE - ASLAN[Alikiba/Hussein Machozi/Matonya/MrBlue/Z-Anto,Ray C/Lady Jaydee/Marlaw/MatonyaDJ ASLAN KANG'E
มุมมอง 675K
Professor Jay ft Ferooz - NikusaidiajeProfessorJay
มุมมอง 6M
Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani (Official Video)bongorep
มุมมอง 494K
Boss (feat. Ferooz & Juma nature)Dominick DM7 - Topic
มุมมอง 76K
120 ชั่วโมง สุ่มซื้อรถดัดแปลงซุเปอร์ฮีโร่ ราคา 100,000 ฿ (โคตรเฟี๊ยว!!)OAUJUN HI-END
มุมมอง 588K
เถียงครูแบบนี้ได้ไง?! น้ำนำไฟฟ้ามั้ย? #saysciSaySci
มุมมอง 127K
มวยมันส์วันศุกร์ 02/08/2024True4U
มุมมอง 64K
ตีนไก่ทอด ตีนไก่ชุบแป้งทอด สูตรทำขาย เคล็ดลับอยู่ที่วิธีคลุกแป้ง #ครัวพิศพิไลครัวพิศพิไล
มุมมอง 140K
เจอมือถือเครื่องแรกอายุ13ปีpeejayphat
มุมมอง 179K
PUN - BF (feat. URBOYTJ)PUNVEVO
มุมมอง 366K
แม่ไม่อยู่ แกล้งน้อง #ตลก #แม่สุน้องซูกัส #shortsHeHaa TV
มุมมอง 1.4M
Tunao angalia iyi nyimbo 2024 naomba like basi
😀😀😀😀👆
2023 jmn tunaotizama like zenu tafadhali😪😪😭😭😭 Aki nmejikuta nalia na kuja kutizama nyimbo za zaman ikowepo hii ili tu nijifariji😭😭😭
Noma sanaa😢😢😢tumwage jasho tutapata
@@eunicesaimon9125 😢😢😢tumtegemee Mungu
Sai ndio naelewa maana yake😢😢
@@salmaabdallah5719 😢😢🥹
? everything 😂 ikr 😂eee 0:03 😅e 😅ee 0:03 them 😅😅😅😅 w😅ee😂😅 0:03 e0:03 😅😅e 0:03 😅😅ee@@eunicesaimon9125
Tunao Angalia hii nyimbo 2024 tunaomba like basi 🙏🌹
Kama hii nyimbo naombeni like za 2024
Haya wanangu wa mwaka 2024 niwaone hapa 💪🏿💪🏿
wimbo kabisa wa karne kuhusu thamani ya pesa katika maisha.Naupenda sana na nitaendelea kuupenda daima na daima.
tunaoiangalia 2024 jameni naomba like.
Huu wimbo ni kama umeimbwa leo, tbt kali sana
Wasanii bora wa kizazi changu, 2024 njoo uguse hapa, DRC
Kuna rafiki yngu hapa Nairobi nmempata akiskiza hili Dude kwenye library.
Tunda Man kaua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo yenye hisia kubwa snaa katika planet naupenda snaaa hu wimbo From Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿 big up kwa wapambanaji wote✊✊✊✊
Mozambique mnaongea Kiswahili kwanu?
Pesa pesa daaah anaeitazama had. January 2021 tujuane🔥🔥
Pesa mbona unanitenga dah! Pesa
Bana
Anaesikiliza 2022 tujuane🇹🇿Ngoma tamu sana.Pesa unatuumiza sana☹️
Kabisa
Mm naangalia leo 2023 tar 2:mwez wa 2
Mi naangalia Leo tar 14.5.2023
Wengine siku hizi tunaimba amaboko eti na sisi tuanimba nyimbo nzuri 😏cheefu hindo nyimbo imeenda shule ✌
yeap kaka
😂😂😂😂🤣ety amaboko
2023 Bado nyimboo huwa tunaisikiliza nipeni "Maua yangu"
Hakuna nyimbo inayo husu pesa itakayokuja tokea ikashinda pesa ya Madee wajuba mliimbaga aisee noumaaaa💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ya Alikiba Hella
Hakika hii nyimbo ni kisanga
@@mohamedsuleiman1222 Mimi pia ni team kiba ila tusiongee kishabiki hii nyimbo Kali mno
fact according to your opinions✍️
Kuna ya Mr blue nayo ni kali
Still a hit🔥🔥🔥 pesa inasumbua hata huku kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiwa mkubwa na hauna pesa basi utadharaulika sana. 🙌🏽.
❤❤❤❤ 2024
2023 still makes me cry
Mi 2 😭😭
Why
Me 2 bro
Too broo
*Ukiwa na pesa utaanzisha dini na ukisema we MUNGU watakuamini*
😭😭😭 Hii pesa hii jamani duh!!!!!
Ukia na Pesa utaanzisha dini na ukisema we Mungu watakuaamini
hahaa😤😤😤
2021 kama tupo hai mpaka leo like here twende sawa.....
Tuko pamoja
Congo RDC tupo pamoja
Tuko pamoja 2021✌✌✌
Qatar nakuhangaikia pesa
Pamoja
Kama nawewe unaitazama Ngoma hii 2021 gonga like tujuane...👍
👍
gog
✌✌✌✌
🔥🔥
Oya pamoja
Huu wimbo unafaa hii karne jaman maana ushoga na usagaji umehalalishwa na umalaya umekua biashara kubwa kwa wadada subhana Allah , Allah atuongoze
Pesa imesababish mze yussuf arud kweny tarab😭😭
Hahaha
aaaaaaaaaaaah
😂😂😂😂
Kweli aise pesa
Mpuzi lakini
2024... still hit song for me
"Ukiwa mkubwa na huna pesa unadharaulika sana"
Tunakulilia pesa tunakuangaikia tupo Oman kuitafuta pesa😭😭😭😭😫😫😫😫😫
Hahaha watu tunaoishi Omani tujuane jamani
Its 2023 sjaona future ila I'm positive hii ngoma itaishi milele👐🔥🔥
Old skul bongo ndo nyimbo zangu huaga najiskia enzi zangu..hongereni kaka zangu.Mungu ampe baraka tele.
Nikisikiaga hii nyimbo hata kama nimekataa tamaa ya kufanya kazi huaga nainuka kama mwehu nikielekea kufanya kazi
Pesa
Maana halisi ya sanaa kuhamasisha kufanya kazi... Lkn nyimbo zilikuaga zamani
Bila peas kila m2 anakuona km kinyesi adi wazazi wanaweza kukuona mzgo km hauna pesa dah pesa
Everyone body need money to survive in this world 🌎 ❤️❤️listening all the way from Australia 🇦🇺
Tunaoangalia nyimbo hii 2023 nipeni like zangu😮
Brother Madee u are a living legend ❤️
This song always make me cry 😢I don't know why but but in love this song
Awa ndio wasani wanao toa ujumbeee kwa jamiiiii never give up tunda man good song 🎵
Miongoni mwa nyimbo zenye Maudhui ya kudumu 🔥 🔥 🔥
2023 tujuane kwa like
2023 na bado tuko hapa wapi likes zangu
Daah uu wimbo utaisha ladha kwelii juu iyo pesa kila siku inatafatwa na haitoshii
Wale bdo munaskiza 2023 twndeni naloo🎉🎉🎉
Still my best song2021 in Qatar give me hope
Nami pia Qatar nakuhangaikia
Hey @ fatma are you still in Qatar
2020 naicheki bonge la ngoma
Haya Mzee Yusuf kafikaje hapo uwong tu
Naskiza sai nikiwa out of my motherland 🇰🇪.
Still making sense to this generation, the reality of Life
Sadly....
Niko hapa 2022, this song is just in another level.
Tupo pamoja
Tuko pamoja
tunda man sauti kali nzuri ya burudani haichoshi kabisa excellence
Pesa sabuni ya kila kitu, hongera Sana kk mkubwa nikumbuka mbali lkn tunashuhudia pesa inavyoteka vijana kujiunga na ibada za kisheitwaan kisa tu pesa
2021 nan yup
2023 hapa gonga like 🤌3 😁 zinatosha
wee pesa wewe Mungu wnakuona 2024
Kwenye pesa unauza roo🥂🎧🤸
Mapka sasa 2023 still listening 🎶this I love it ❤ kama na wewe upo just like 👍
2024 nyimbo pendwa isiyochuja
Pesa noma sana leo nipo mbali sana kwa sababu ya pesa shikamooo pesa ukitaka ufanikiwe isitegemee mtu wekeza mweyewe
Naipitia kidogo inipe hasira za kusaka jaksi 2024
2023 /5/Jan tbt Moja ✌️
Pesaaaa sabuni ya roohh😢😢😢👑👑
😪😪😭😭😭 Aki nmejikuta nalia na kuja kutizama nyimbo za zaman ikowepo hii ili tu nijifariji😭😭😭2021
real real real, nyimbo za hvi ndo znapotea
Tunashukur tunda maana ck tuinambiwa nyege nyegezi nyie mlikuwa tuimbia halis ya maisha ya mpito ya hii dunia barkiwa saanan kijana Wa mungu
kadri navozid kukua ndo najua mana ya huu wimbo
2023 still the top tundaman l salute you hizi ndo bongo halisi
🎉2023,,,just cnt stop listening
me 2
many years down still a jam ❤❤🇰🇪
Naikumuka sana hii nakwana machiz
Zz
The only song makes me cry😢the best song ❤yenye mafunzo
Tunaoangalia hii nyimbo 2022 NIPENI like ❤️🥰👌
Bbnñ
14_11_2022
APA 14/12/2022
14:12:2022
@@ndozaazamfc9096 18/12/2022
I come here 2024 to prove that after God money over everything 💰🙌
Tunda Man unanifariji nikiwa kwenye shida nasikiya song zako ata bila radio, nakupenda sana from Congo 🇨🇩
Nakubali Sana song daaaa kitambo naikubali Sana inanikumbusha mbali sana
Aliemuona king zizi anipe like
yes,
na kwa anayetaka hasira yakutafuta hela na asikize huu music
2024 still number one inspirational hit🔥🔥🔥🔥
I swear before God this song is almost 10 years old.
But right whenever i listen to this song some times i want to cry because whatever they say its true,,
Muziki wa kitambo it was very beautiful,, you can't compare na hizi saa hizi matusi na machawa mob
Mamae 2024🔥🔥🔥🔥
Pesa Jamani E Mungu Eh🙏 Nimepokonywa Dem Kisa Pesa😭
acha ufala tafuta mwengine
😂😂😂😂 pole
2024 still my favorite❤
Daaaaaa those times nilikuwa mbinga with CHAI
sana tu pesa aijasilimu bt mungu2 ndio yuwa towa riski
Ngoma kali sana itaishi milele
At 25 and still sioni future ya pesa💔 a 5.9ft tall man with beards na pesa hakuna...dem anakuja kwa maisha yako akidhani uko na doo akirealize huna atasepa💔💔💔
Tofauti ya ukubwa na tofauti ya pesa Ni tofauti kabisaaaaa na ukiwa mkubwa na huna pesa utadharauliwa sana
Noma hiyo ngoma kali sana made Mkali namkubali san madee
maze hii ngoma yanifunza kitu
Ukiwa mkubwa na hauna pesa bhass utadharauliwa sana... MMB
254 reprsenting ...🔥🔥🔥
Pesa iko juu ya sheria ni mafukara ndiyo tunaumia
Mashahiri yaliokwenda shule. Utunzi kabambe. 2020 july
matako
TUNDA MAN WEWE NI KING SANAAAAA
DESPITE OF YEARS REAL MUSIC NEVER LOOSE CONTENT ,MADEE WELL DONE MY NAMESAKE
😂😂😂pia uko hukuu bro
one of my best songs from made
Duu hii ni balaaa mzee tunda uliuwa
nyimbo za kitambo ndio must to lessen 🤘🤘🤘
Pesa ipo juu ya sheria 2020 nipe like
2024 bado bado naitafuta pesa aisee!
Ukiwa na pesa utaanzisha dini na ukisema wewe ni mungu watakuamini 2020
Duuuuh 2024 ila bado wimbo umenigusa
Tunda kula wao Tanzania from Kenya
Nakumbuka mbali sana
Guida man hii nyimbo naikubali knm nm