haaaa madee umeuawaaaaaaaaaaàaaaaa ile kinouma aseeee tokea ile ulipoitambulisha Leo tena clouds ilikua 👏👏👏👏👏👏 gonga like km na wewe waikubali hii ngoma aseee fireeeeeee njoo tubonge inbobo
Acha tu nseme ya moyon, kaka madee! umejua kunikuna kwny hii ngoma, naiskiliza Mara nyng kuliko yyte kwny ply list yng. kip it up umenirudisha kuleee kwny 'Yote maisha' salute bro!
idea Tamu Mwishoni nako Uvoonekana Dady Mtu imekua poa sana ungeonekan Wewe ndo upo na nand ingeonekan ubakaji Ila janjaro kaifanya Imekua tamu sana Love it
Story ya hii ngona::nikwamba mtoto anatoka shule anarudi hom anakutana namtoto mkali anashindwa kumutupia swaga anakumbuka baba ake nimnyamwezi sana anaimba anahela akaomba kitumiwa hii ngoma kumbe anataka amsikilizishe mtoto mto akakubali kufika hom ndo anagindua dogo hana kitu kumbe ni vya baba ake😂😂😂😂🙌
Ngoma kali brathee nishaikubali kwa kweli, itisha chochote mimi nitalipa coz imebidi kazi nisimamishe job kiasi niisikilize kidogo mda si mda boss ameniona kichwa kikitingika tu kwa upole final akaona pia mabega pia yakafuata, Daah!!!! Nikamsikiliza boss wangu dahh! hata nukta haikupita nikaona kichwa kikielea . Pia yeye akanipa 100% kwa 100%
Naipenda sana kabisa myaka sita ii 👉 ni like kama umeipenda nawewe
Walioangalia 2024 gonga like apo
Up usuddyttuytsujs3jjfdtyrsidsyddudsydyudydytdtdtdrddddfrdttfffffdudtrsuddydttfsydysfu3wrt
2024🎉🎉🎉🎉❤
Jamaniiiii hii nyimbo nzurii sana na kma umeipenda gonga like nikuone hapa
Hii ngoma inaweza kufanya uchukue ugali upike unga
Ben Mwanantala hahahaja
Hii ndiyo ngoma inayoeleweka, siyo wale wanaojifafanya kuleta lugha za kigeni hapa tz, Weng hatujasoma!
Good song
Mbugo Kilonda haha Good song nacho kingeresa
😂 😂 😂 😂
we umemarizia na lugha gn? Ng'ombe weeeh
🤣🤣🤣
good idea janjaro na Mandy wameendana tofauti na ungekuwa wewe nice one wewe ni mmoja kati ya wasanii bora ninaowafuatilia
haaaa madee umeuawaaaaaaaaaaàaaaaa ile kinouma aseeee tokea ile ulipoitambulisha Leo tena clouds ilikua 👏👏👏👏👏👏 gonga like km na wewe waikubali hii ngoma aseee fireeeeeee njoo tubonge inbobo
Babuu
jomon hii ngom naipenda
babuu nyamahala TV
+Aisha Seleman malia
Hutak waipende? Acha ufala bana hujui kiswahil ulichoandika kihindi??
Madee..nakubali iyo kabisa.fly. @siriana msanii chipukizi
Huyu ndo madee wetu tunaye mjua wa kuchana kama ulimisi madee huyu piga like
Ulijificha wapi mzee chupa nzima naskia voko.Sema fresh ubunifu na kitu kipya kwenye game mm ni nani nisiseme ngoma kali mzee
Kweli madee n father, yaani unamtuma mtt akafanye video😄😄
kazi nzur saaana, big up ma first lady
Natamani nijue alichoimba madee kwenye huu wimbo lakini sijui Kiswahili
ngoma kali Madee mpaka ukerewe inabamba
Sonde Mtanashati uko ukelew seemu ngani niambie bas
Daaaah kweli weraisi wamanzese maana idea hii inataka mtu uwaze kwakina sana naurisk kazi yk pia good sana broo
This young man Dogo January is a genius!! Lot of love and support from America 🇺🇸
Hii nyimbo inakautamu kake..... wangapi mmeikubali
Inno Centiago nyundo
Nishida bro I like you
mimi nmeikubalii
Kbx nandi anajitaida sana
Inashika bro
braza hili goma umeua nikiwa ndani ya serikali yako ya manzesee nasema baba umeuaaaaaa🙌🙌🙌
I'm from Congo, and ain't understand this language bt da song ni motooooo madee ameua.
Safi Madee ngoma fresh sana big up brother
Madee Umewasha Muziki Moto Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
More fire baby!!!!!!You killed It Nandy....Awesome voice. Big LOVE From Nairobi, KENYA
Hello
Apo Ma Dee kweli karudi aisee
Hii ngoma kali sana wajameeeni Daah!!?
#Noma Sana..Love the track much Love from Zambia
Hakika
@@michaelpaulo6113 Wana zijua KAZI na Gesture Kali..Nice Video
Watu wa 254 kama unapenda hii ngoma gonga like
Safi sànaa
oyo
momb
mamb
Napenda
Noma sanaa🎶🎶😍🔥
I like it Unataka Nini ? Unapenda Nini? Sema ?😍😍😍
Ngoma kali mkubwa Madee... @
This song throws me back to Prof Jay 😂😭 Wasee wametoka mbali
Mh
Iko pw xana bonge la ngoma
duu ngoma hatar
Nandy's gestures are priceless ❤️
dah ebwana kweli bongo noma nilikuwa sijui kuna ma rollers(rolls royce owners)akiamungu... usiseme tunakufa sema nafwa .......#dream car
Imenibd ni Comment tena coz it's good music 🔥🔥
nyimbo kali bhaan shikamoo madee and nandy 💋💋💋
Kaz nzur sana Madee,hiyo ndio design Ya Nyimbo ninazo penda Kutoka Kwako,Big Up Broo!
Acha tu nseme ya moyon, kaka madee! umejua kunikuna kwny hii ngoma, naiskiliza Mara nyng kuliko yyte kwny ply list yng. kip it up umenirudisha kuleee kwny 'Yote maisha' salute bro!
@Nandy..Angelic Voice..@Madee ..Hustler@DogoJanja..Anaweza Dogo..Big Up ndungu Zangu..Much Love from Zambia🇿🇲
from drc, ngoma Safi xan
ngoma kali sana kushinda hata za wasafi hizo. promo inaziboost nyimbo mbaya kuwa nzuri.
safi sana madee.me sio shabiki wako,ila nimekuelewa.naaaam
Bro kazi nzuri san ongela san bro
Deo Richard ikogud
Moja ya ngoma kubwa 2020 nimeludi tena kulisikiliza
naona dogo anapeperusha bendera vizur
Achana na masawe mm tajiri tena tajiri wa mawe .unataka nyumba au unataka gari big up madee bonge la nyumba
2020 naendeleya kutizama song
ah nimekubali kwanza apo umeniona leo na kuendelea umenikosha mpaka chorus;;;;;~
Kama ume penda SwaG ya dogojanja nipe like
Very nice dogo
Noor Elmi Elmi
upo vzur dogo
Makini
Hii nyimbo inaweza ikamfanya baba mwenye nyumba akakusamehe kodi
Gud xna chaliwa na ndili lako umehuwa
kazi safi kiroho safi,,very great song,,,très bien le musique
The prodyuza ....Mziki mtamu Sanaa ikiongezwa na African Princess
Hakika hii ngoma tamu na waweza kuagiza savanna kweny kiwanda cha tomato
Made kweli ww mtu mbaya duh sema
old meme
Nova Dazoo hahahahahaaaaaaaaa
Nova Dazoo hahahaaaa
papy astro da zona noma
Madee kila siku unakuja na idea mpya......idea ya video nimeipenda BIG UP
vp
Nand hatariiiiiii
Madeee baba umetishaaaaaaaaaaaaaa
Yani uyu dogo na mpenda kwa kuvaa tu salut kwako
Sarutiiiiiiii kwako broo imekaa pouwa sana
2024 nan.mwingine yupo anaangalia
Excellent work from my natural African P.P
😍aka kamonyo kangu nijipe😂😂😂napenda Sana🤗😍😍
idea Tamu Mwishoni nako Uvoonekana Dady Mtu imekua poa sana ungeonekan Wewe ndo upo na nand ingeonekan ubakaji Ila janjaro kaifanya Imekua tamu sana Love it
like it man keep it up
MADEE NGOMA KALI SANA, UKITAKA UFUNIKE ZAIDI TOA REMIX HUU WIMBO MTIE FUNDI DIAMOND NDANI HAPO UTAKUJA KUNIAMBIA, MADEE UKO VIZURI👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ngoma Kali Sichoki kuisikiliza #Madee🔥
Hii ngoma inaweza kufanya ukae kwenye TV kuangalia sofa🙋
Danny Jonz hahahaha
xn
Kali sana
Denyo Prince izo bangi mbich sasa mshikaj
hahahhahahaha we hatr
Kazi nzuri dogo , Kenya tunaikubali
ENGINEER SNIPER rrozi mhando
hii ngoma inanifanya niwaze kutongoza hapa hapa km mdada yuko tiari kutongozwa aseme nomaáaa
kwel ww n rais bonge moja la video janja na nandy mmmm..
Yusuph Mruma duu
ngoma safi
Nandy na Janjaro hii ndo Couple yenyewe
poa san madeee
miusc
Gomaaa limetuliaaaa😍😍😍😍
Madeeee weweeeee!
Story ya hii ngona::nikwamba mtoto anatoka shule anarudi hom anakutana namtoto mkali anashindwa kumutupia swaga anakumbuka baba ake nimnyamwezi sana anaimba anahela akaomba kitumiwa hii ngoma kumbe anataka amsikilizishe mtoto mto akakubali kufika hom ndo anagindua dogo hana kitu kumbe ni vya baba ake😂😂😂😂🙌
ila janja kaongea kishua sanaaa
Kisauti cha nandi jmn kinanikosha
Ngoma Ina tisha mpaka ngambo za USA always comment from USA north Carolina.
Tops tu sana: * Nandy ft Madee* Kali 4real Nice song..
In love with dat idea kaz nzur madee X director
hiyo gari ndo kafanyia shooting profesa jay nxuli sana 1love
Umenifanya niilazim nafyangu kukupenda brother madee
waziii dogo janja👍👍
Ngoma kali brathee nishaikubali kwa kweli, itisha chochote mimi nitalipa coz imebidi kazi nisimamishe job kiasi niisikilize kidogo mda si mda boss ameniona kichwa kikitingika tu kwa upole final akaona pia mabega pia yakafuata, Daah!!!! Nikamsikiliza boss wangu dahh! hata nukta haikupita nikaona kichwa kikielea . Pia yeye akanipa 100% kwa 100%
Manzese music best of beat gonna like
ngoma kali 🔥🔥
nakubali
edu cosmas the same way as soon I will get the same time and we can go back in
👍👍👍 madee tisha sana
ngoma iko gudy.
If you love the song sema. Dogo jaja king💪
Good job guys idea iko smart sana father wa manzese umekuja kivingine round hii
umefanya vizuri sana madeeeeee
Kazi imeenda shule nice video
That is arts. big up MADEEE
Miaka tano bado ngoma Iko🔥
iko poa broo!!gud
wawoooooo madeee umetisha hapo umekua kam wiziiiiiiiii
😀😀 braaa hiliiii bonge la ngomaaaaaa ## semaaa tumekutana leo unataka leoo ###
Gonga like Kama unaikubali ngoma
nice song and nice music video,NO NEED NAKED GIRLS and the music video 100% okay...big up guys
ngoma Kali mzee madee
huu wimbo ukisikika unauimba KFC unaweza kupata Streetwise two aiseee
Hongera sana Madee
Big up Madee
kwa Mara ya kwanza na download nyimbo ya madee aisee nyimbo kaliii sana kwa hili nmekubali
Sooo nice...sema unataka mapenzi ama vipi!!!!
Kanandy kangu nakapenda kazuriiii
Nandy uko juuu sana saiy unaenda kutoa ngoma na koffi olomide nandy
xawaaaa madee,nandy & janjarooo
Dah hii ngoma napenda kuixkiliza tyuu mda wote hakika ni nzur xn
Duuh umefanya vizuri sana bro kazi safi kabisa