EXCLUSIVE: "UAMINIFU, KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUHESHIMU RIKA ZOTE" SALAAH MOHAMED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Salaah Mohamed ni Mtanzania anaeishi China kwa zaidi ya miaka 10 pia ndie Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya SILENT OCEAN kwenye mahojiano na AyoTV na millardayo.com anasema ili uweze kufikia malengo kwenye maisha unapaswa kuwa muaminifu, kufanya kazi kwa juhudi na kuheshimu rika zote.

ความคิดเห็น • 18

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 4 ปีที่แล้ว +3

    Nikazi nzuri sana kaka mm nauliza kupitia kmpuni hii ya kitanzania maana naita hivi maana wamiliki wa kampuni hii ni wa Tz wenzetu. Ss ukiwa unamzigo wako kutokea nchi ya Indonesia je wanafika na huko kwa huduma hii au ni china na Dubai.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnafanyakazi nzuri sana, Im real interested with what silent ocean is doing.

  • @raphaelamour385
    @raphaelamour385 ปีที่แล้ว +1

    Tajiri mtata Kama salaah✊

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 4 ปีที่แล้ว +1

    Tajiri mtata Kama Salah big up brother

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wallah allah awabariki jomn nawapeda saaaan 👏👏👏❤️🔥

  • @nathanaelboay1313
    @nathanaelboay1313 3 ปีที่แล้ว

    Habari za Leo, kaka nakupongeza ,nakuomba mawasiliano, tufanye kazi ya biashara ,Niko Tz

  • @abdulkadirali3330
    @abdulkadirali3330 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana

  • @lujainamahir6266
    @lujainamahir6266 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mie nauliza zanzibar mnayo ofisi

  • @allymakangana6450
    @allymakangana6450 2 ปีที่แล้ว

    Flana za silent ocean zingekua jezi ya mpira ni uzi mkali sana

  • @clementalu3925
    @clementalu3925 7 หลายเดือนก่อน

    Nina furaiya uduma yao naomba namba

  • @hemedbakari8997
    @hemedbakari8997 2 ปีที่แล้ว

    Mdogo wake GSM

  • @maumaulid1452
    @maumaulid1452 3 ปีที่แล้ว

    Kwa sasa nauza viatu vya kinamama najichanga changa ili niweze kuchukua mzigo kupitia kammpuni yako mzeee

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 ปีที่แล้ว

    Nina laki 5 naweza kuagiza mzigo china

  • @pickmaxtv7689
    @pickmaxtv7689 4 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/UusPzvFhHHw/w-d-xo.html gusa link kutizama maajabu ya Juventus dhidi ya inter Milan mechi imechezwa Jana jumla ya magoli 11 yalifungwa

  • @Edumastermind01
    @Edumastermind01 5 หลายเดือนก่อน

    Anaongea kama vile akumzingua mwenez

  • @maumaulid1452
    @maumaulid1452 3 ปีที่แล้ว

    Mzee tajiri mtata salaah unanishawishi nizamie uko China ivi munakaa mtaa gani hapo China tajiri