Nimejifunza Kitu Kikubwa Sana.... Hii Video Ni Kali, Then Nikahisi Ni Mzigo Uliofanywa na Jamaa wa South, Nashtuka Kumbe ni #Kwetu Studios !! Kazi Nzuri Maninja.. Kingine Naamini ni Kwamba Directors Wa Bongo Wana Uwezo Mkubwa Wa Kazi, Wanachohitaji Ni Kuwekewa Mkwanja Mzuri Mezani Kazi Nzuri Iende Baaaassss !!
kweny chafu pozi ni hili hapa ( maneno kitu simple I got love for ma pple na pia mfukoni sio njema na bado tuna peta .kweny ligi ndogo ni hili ( wakati huko hom kw mama unafany hom e work mimi niko kitaa na hustle na fanya world work********) I like the video kuna hip hop ideas ujakosea chochote kaka billnas.
Mob love Bill Nas .... mambo ni chaf pozi...... finally found this song heard it once in a party never left my mind.......natoka chaf pozi chaf pozichaf pozi chaf pozi
Maneno kitu simpo a got love for ma people#CHAFU POZI chupa kali ila idea uliotumia sijailewa sana nili juwa ntaona self kibao kwenye hi video ya chafu pozi ila sio mbaya sana ingawa idea aijanivita sana keep work bill
kubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaffffffffffffffffffffffffffffffffff here comes my nigga my nigga BILL NASS wish The Late Ngwair angekuwepo aisay. unaendana na unyama unaoiuimba. nimependa sana hizo licence PLATES mzee. noma noma noma
Yo Bill Nas remember me,dat rapper from 254 Kenya,on this one,u did some great work,hot jam love da beat n da lyrical combination,hope again we will work some day,keep up......
Tulio fika hapa 2024 na baadaye tujuane kwa like
Pamoja saana with Nenga @Billnass
2023 & This is still hot... Keep grinding Bill #The marathon continues 💯
wambie watoto wa mama furaha yetu sio pesa....hii ni kwa wanangu wanaoishi kwa chini ya dola moja...shida kitu gani tunaishi maramoja....
njema sana
Nenga utaimba nyimbo
Zote ila huwezi kuifunika milee
@@mnkondejr2536 umeiona tatizo lakini?
Kama unaitazama 2019
Gonga like twende pa1
Ouya goma hilo nalicheki daily... Imagine 2022 still inabambaaaaa 🙌🍁
Kutoka chaf poz mpaka bugana kama unamkubal billnass gonga like
hi ngoma inahitaji like na views 10million
Unasema?
Kabisa
Nimejifunza Kitu Kikubwa Sana.... Hii Video Ni Kali, Then Nikahisi Ni Mzigo Uliofanywa na Jamaa wa South, Nashtuka Kumbe ni #Kwetu Studios !! Kazi Nzuri Maninja.. Kingine Naamini ni Kwamba Directors Wa Bongo Wana Uwezo Mkubwa Wa Kazi, Wanachohitaji Ni Kuwekewa Mkwanja Mzuri Mezani Kazi Nzuri Iende Baaaassss !!
Kaah bilnass unasauti nzuri pia uko vzr kipaji unacho,,kati ya marapa wote nakusikilizaga wewe tu kwakwel mpk sasahv❤,,hongera kwa kuniburudisha👏🙏🙏
Hatari Sanaaaa..Chaf..Hii Ni ya wana wanaoishi kwa chini ya dollar moja
.
.
Bill Nass.. More Love kutoka Kenya
Seriously how can you dislike this track. I usually don't listen to bongo flava but you just made my day. This thing is way dope...
chin beez
BILL NAS UNAKUJA VIZURI SAAAAAAAAAAAAANA kaza utawafunika weusi
waswahili tunasemaga.. mzigo umetema ... bonge la video ... ila nashangaa kweny TV ... hawapiga sana ... sijui wanaona here
Halla tu tz hasa kwa wasanii wa hiphop mnashow sana de way mnavyo change, drm come true showout to billnas
This was our Young Lunya. Twende kazi mwanangu we need both Billnass na Young Lunya kwenye game as rap 👑s
Bill nas universe....!!!uko vizur om boy....vingunguti moja....!!
Nakukubali video kali kinyamaaaah...
Gudar...ww...ndio...mkali...wao....big up.....boi....pa1 we can.
Boys boys stay back.
Nenga bana...😁😁😁 fundi 100%
Hii ngoma haichuji
hero kwa wanangu wanao ishi chini ya dola mojaaa
kweny chafu pozi ni hili hapa ( maneno kitu simple I got love for ma pple na pia mfukoni sio njema na bado tuna peta .kweny ligi ndogo ni hili ( wakati huko hom kw mama unafany hom e work mimi niko kitaa na hustle na fanya world work********) I like the video kuna hip hop ideas ujakosea chochote kaka billnas.
2021 tujuane kwa like tunao ishi chini ya dollar moja....😅😅
South Afrika,minaran kwa wanangu pande za Soweto
haka kabillnass kanaimba vizuri kinoumaaa yaani namkubali xanaaaa brother billnass anajua Godzilla aachee kukufwatilia sio Wenda labda ajui maixha kitu gani natunaixh mara moja p1 mzee wa chafuu pozzzz nc video
big up.......ila advise fikisha Hip Hop yetu mbele uciangalieee sokoo hapa bongo tu.....chunguliaaaa tundu la njee then TOBOA...RESPECT
Tanzania to another level keep it up brodah....
ngoma Kali, video Kali binafsi nimeikubali kinyama yani...... kila saa nairudia sichoki kuiangalia
Nakuamini bro song kali nipo #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 gonga like kama unamkubali
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
20...✨🎇
Everlasting masterpiece🎉
huwezi kuikosoa hii video kwa anything..ipo perfect...Hongera to #KwetuStudio, @billnass deserved this clear and classic video for his hit song.
Nenga ywamaindi watoto,,hila hutaki kuowa mzee babah
2020 kama unaangalia like hapa
nomaaaa saanaaa..........hyo idea ....waonyeshe,.....u desrve an ecko bruh.....!!!!
chale cheda jm
Town Clerk was here 5/12/2021.....chafu pozziiii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇺🇬💥💥💢💯✊
Mob love Bill Nas .... mambo ni chaf pozi...... finally found this song heard it once in a party never left my mind.......natoka chaf pozi chaf pozichaf pozi chaf pozi
Maneno kitu simpo a got love for ma people#CHAFU POZI chupa kali ila idea uliotumia sijailewa sana nili juwa ntaona self kibao kwenye hi video ya chafu pozi ila sio mbaya sana ingawa idea aijanivita sana keep work bill
chafu pozi maana ake ni arosto au hali mbaya au mfuko hausomi au hamna ramani na sio maselfie
asante kwa video kali billnass pia nawapongeza kwetu studio kwa kushoot kideo kikali.
Kama umerudi kureview 2020/ acha ishara hapa
Bill me'kideo+nyimbo+Beat vyote Umechinja🙋🙋🙋
Ngoma kali aisee wht i like ni the way wana soweto walivyo show love its like kama umefanya home support ya wana kibao kwa kichupa nice video man
Video kali binafsi nimeielewa sana big up billnenga
Audio = 💯💯🔥🎧
Video = 💯💯💯🔥🔥📺
Kwetu studio are doing a great job..........wapo juu sana. Am 4rm KENYA +254
BIG UP Bill Nas 👊👊👊👊👊
daaah bonge ya track ki2ni chafu pozi big up xanaaa
billnass...billnas....billnas....maniga wanakunja.....hatareeeee
noma sana ni chafu poz kila mtu
Ukitaka ujue Uzuri wa hili Goma Lipige kwenye Bufa oya Still 28 /11/2024
Kaza buti billnass upo vizuri malume
Wambie fraha yetu sio pesa nakutambua mwanangu
Wambie watoto mama furaha yetu pesa
Sichoki kuirudia hii ngoma🔥🔥🔥wangetoa Riziki wao🙇♂️🙇♂️ndio basi tena😒big up Bilinas👊👊
sio pw
sio pw bonge la gomaaaaa
bonge la gomaaaaa billnass
Kali
Dah big up my bro bonge la video, kazi nzuri
Halima Dophoh
sio pw ba BBS
kazi mzur Mr t touch na big up bill nass
boy mzigo wa mana sana huuu apa kikubwa ni mikazoo tu
Usoni tuna ngenya bado tunapendwa 👍👍
Billnass fundi sanaaaa sjaona asaaa♥️
Bro. kazi yako safi, inateka anga plus inakubalika kote,
#from 254.
Supporting billnass from 254
Maneno
Kituuu simpleee
Keep it simple
Keep it honest
Keep0g
1:30
Karibu Sweden ndugu yangu !! Nyimbo kaliii..... nta i blast apa🔥 //Richie..kaka Mario.. Blessings
Chaf pooooz noma kaka
2020 the best song for me men
ooohhhh why isn't there a million views for this video??? bill nass bill nass... yo gooooooooood man.
Amani sana Billnas uko vzr big up
billinass kizazi sana mkuu ainja wahi kufeli
xoxooooo dam nice..men u press the botton..#chafupozi location idea evrythn xo nice hv bn watching it like 6tyms hapa..ops
nakukubali ile mbaya bill nas
Daaah! bonge la pin,leo silali.CHAFU POZI
bonge la video jomba ngoma kali kichiziiii
Hiih ngoma kali sana ila aija naniih!!!
U doing good job bro big up hip hop to the top
Tuongee ukweli.... Like kama uko hapa kusikiza sauti na kuangalia matako ya Dada huyo
Iko poa sana chafu pozi
ngoma imekamilika mm hapo sina jambo💪💯
wana kibao wanafanya shiriki noma sana
mwenyewe nimetoka chafu pozi saizi
kubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaffffffffffffffffffffffffffffffffff here comes my nigga my nigga BILL NASS wish The Late Ngwair angekuwepo aisay. unaendana na unyama unaoiuimba. nimependa sana hizo licence PLATES mzee. noma noma noma
kali sana hiii.....big up man
Like kwa billnass kama mnakubali ngoma yake 2020
i got Love 4 me people!!!!true to me..big tune Nas
cool song...under-rated star
Yo Bill Nas remember me,dat rapper from 254 Kenya,on this one,u did some great work,hot jam love da beat n da lyrical combination,hope again we will work some day,keep up......
Hii track haitaisha ladha kabisa..🔥🔥2020 bado ni hit kwangu
ngoma Kali xanaaaaaa
this is Real tz Love ,Love ,Love i Miss home
iko poa sana from Abu Dhabi
Am here 2022
Kila mwaka niko hapa 2022
dah ngoma Kali video Kali MBNA mbugi
xan bill bas kazi nzur
Noma sana aiseeee
2021 still 🔥🔥🔥
Chafupozi bonge la ngoma
daaah nomaaaa chafu poziiiiiii
Purely perfect. GREAT JOB THERE
Chafuuu wala haing'aiii
nakubali kaz bill ness
Amaniiii lyimoooo whatzzaaaaaap ...!!!
bill we mkaliiiiiiiiiiiiiiiii
Kaka we ndo ngwea ulobak bongo.... nyoooxha