*Usiskie lakuambiwa hata Kama nime sema Mimi hata Kama mkisema nyinyi siwezi kuamini kwa maana mjini ni mjini wewe ni wewe mimi ni mimi na huyu mwenyekiti chini akishamuona niamini Ata simama. Aisse young killer msodoki noma Sana*
Young killer inabid utafute brand sasa yani muonekano wa kipekee kama msanii, ile style ya virasta ilikukaa poa sanaa sema inafanana na ya asap rocky, ila hata ukiichukua then uibadlshe kidogo itakua poaa sanaa...... There we gooo msodoooookiii.........
Nyccc songs brooooo ngomaa kali cnaaaa#youngkiller hujawahiiii kuacha kunifurahishaaaa aiseee hakunaa Kama WW hip hop ur the best In tz am ur fanc since day one brooo
nyimbo yakawaida if wanetulia wangetengeneza Kali kuliko hii wote ni best rappers there was no need to hurry sasa cheq nyimbo yakawaida sanaaa mnooo hata lyrics zakukopi
*Usiskie lakuambiwa hata Kama nime sema Mimi hata Kama mkisema nyinyi siwezi kuamini kwa maana mjini ni mjini wewe ni wewe mimi ni mimi na huyu mwenyekiti chini akishamuona niamini Ata simama. Aisse young killer msodoki noma Sana*
Ndiyo maana Mimi huwa nashangaa sana kuona Young killer a.k.a Msodoki eti anafananishwa na young nani......sijui!!!!!!!
Sana young killer gonga like twende sawa
#Youngkiller sijui kwann hawakuoni ila wew jamaa no namba mbayaa mashairi yako it's unique anii boy kaza brother wataelewa tuu ..💪💪💪
mh
dah..!! BillNas io code yakoo Hatari sana, nimeielewa, good Job Broo... Nice video
Young killer inabid utafute brand sasa yani muonekano wa kipekee kama msanii, ile style ya virasta ilikukaa poa sanaa sema inafanana na ya asap rocky, ila hata ukiichukua then uibadlshe kidogo itakua poaa sanaa...... There we gooo msodoooookiii.........
dah killer shikamoo ,shorwe ndo firee,,nenga kwa c hku dunia ya tatu u.s.a blessed all
Stamina nimependa style uliokuja nayo kuimba umefanya kitu tofauti yeah thats good msanii unatakiwa kubadilika sio kuimba style moja #aje mwenyewe
wpe,wpe
Happy birthday handsome asiyekuwa na matunzo ngoma 🔥🔥🔥🔥
Kama umecheki goma 2020 may gonga like
Walio angalia 2023 gonga lik
*Ndo maana kila mara anaiangalia,hebu washa taa💪🏻*
*Na huyu mwenye kiti akiona ata simama niamini🔥🔥🔥*
Ah Msodooooki kali sana! Love toka 254. Miaka minne baadaye bado naskiza fire
#Bilnass kaimba ameumizaa saana UP UP brother .. #stamina u forever unajua kk
Msodogi mungu anakuona, asante kwakumleta sholobwenzi, bill hyo mikato yakibabe maana cyo ya nchi hii
usisikie la kuambiwa ata kama nimesema mm big up young killer
hawa washkaji wakali sana wote nmewakubal ila hasa mr boniventure
YOUNGKILLER MSODOKI we jamaa ni noma salute kwako mwanang duh
Mambo
msodoki umetisha sanaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.big up
Nahuyo mwenyekiti chini akishamuona niamini atasimama tisha kinyama## mabrother majua #KILLER STAMINA & NENGA**
"niogeshe kwa maji ya karafuu" u kill me,,,,, 👌👌👌
hatareee. sanaaaaa Stamina. poz za kisister do kutaka vitu vyajuu wakati hali nidun ha haaàaa
young killer umetisha
Young killer humo ndani ume wakalisha
Younger killer mtoto ana sauti daaaaaa inapendesa sana mwanangu uko juu sana
Daah hiyo Ngoma iko byee wamekaza sana tu yaani
all the way from US,, sijui vizuri kiswahid ila young killer kaua,, ni nyokooo,,, hahahahaha
killer upo local sana hunaga swaga kuanzia juu mpaka chini
msodoki umetisha sana
oya Bill BASS mmmhh umetisha
Anaipendaa anaitaka pia huyu dogo young killer waah namkubali 254#@ starbill
Aje kwliiii kali xanaaaaaaa da! young Kill noma
Young killer ndo anapaa hvyo level nyingne
Nyccc songs brooooo ngomaa kali cnaaaa#youngkiller hujawahiiii kuacha kunifurahishaaaa aiseee hakunaa Kama WW hip hop ur the best In tz am ur fanc since day one brooo
Young killer Mimi apa mekuja mwenyewe 🤗
Nice 1, killer umeua iyo michano n xhdaaa
Young flan mwenye killer zake 🔥 🔥
Big bro,,, my mentor🎶🎙️
Dude fireeee hatareee aje mwenyeweeeeeeeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
young killer unajua mpaka unakera
Aje mwenyeewee itakuwaaa poajjh cnaaa aiseehhhhhhhh
Inan kumbusha mbaliii sanaaa 🎉🎉🎉
Daaaah young killer atali
young killer %stamna %billnas ni noma sana
huyu Billnass Billnass sio wa kawaida...
Killllller kila mahaliii nmtambuaaaa asili mia ❤😂ha ha haaaa killer musodokiii konkii master
Eeeeeeeeeeeh bwana mzodoki xafi iyo babu
Love it ,,aje mwenyewe, anaipenda na anaitaka pia,,,, ❤️ one love 254
Mdomo wangu kwanza nakutakia a Happy Birthday alafu mziki umeweza sana ila nimekuona sehemu fupi tu ya nyimba ila mumewaka sana wakali.
Hi
ngomaa kaliii cnâ killer umeuaâ broô
mmetisha sanaaaaaa
stamina sio MTU mzuri kabisa daaaah
dope 🙋🙌🙌🙌🙌 hii hatari ya town
Young killa unamaneno ww heti uyu mwenye kiti atasimama
good song...and nimeipenda style aliekuja nayo stamina..! msodoki u beat it for bilnass u kil it bro!! big up al
nimewakubali nyie noma Sana
Oi killer ndio kaua kinomaaa@aaa #msodoki
Hii ni kali sana #Ajemwenyewe
young killer tisha sana
Mpak 2020 bado naskizaa gonga like kama tupo wengiii
Daah hii ngoma inan kumbusha mbali sana kama na ww upo gonga like twende sawa
hapyy born day young killermsodoki live long and blessing life huaga huniangushi mzee
Hahahaha hakuna kama young killer tisha sanaaaa
Michano Michano sanaaa kilar👹
Ngoma Kali sana🔥🔥🔥🔥
respect Sana nataman ufanye na mdogo wangu king Ruben saluuut
wwwww bill nenga 💪💪💪💪👏👏👏👍👍👍☝NC sio wa nchi hiii
Sounds like a remix to Ali kiba's AJE, wow, I love. From 🇰🇪 Kenya
This song was first realised before aje ya alikiba
Idea zimefansna sio remix
aaaaah mamae onyeshen mnajuaaaa
This one is baad killer msodoki 🔥🔥
noma you killed it........kuja weweeeeeeee. apo sawa..
fatuma wa Suleiman umeona eeeeeeeeh njoo mwenyewe
Ally Seif ..nimeona yani iko #Doro
fatuma Ababy njoo mwenyewe basi usitume washkaj
fatuma Ababy m nimezid kuipenda hii baada ya kuona unaielewa hii ngoma
fatuma Ababy mmmmmh haya bhana
billnas big up.....🙌🙌🙌🙌
Iko Pouwaaaaaaa mkali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
hivi vichwa hatariiiiiii
Kama ananiitaji aje mwenyewe😁,msodoki ...stamina...Roma...fid...nawafagilia kinoma
enzi hiz bill nass alikua mnyamwezi sana
stamina umefunika kila kitu big up one man army
Nishiiiiiiidaaaaaaaa
ngoma hatareeee,young killer big up.
hahaa be humble!! sit down wakalishe young killer, Game is back
nakuja humu kwa ajili ya stamina..kama K uko juu Bro.
The True definition of good music 💯
oya msodoki kwa hii moja umenitesa ile mbaya
greatings from Finland
killer upo vzr
Cnaga swaga mwendelezo mzee mwenzangu
killer killer nomaaaaaa
killer kweli kabisa we ni muuaji nilisikia dogo janja anapambana na wewe hv kweli anapafu ya kutosha??!!
Young Killer kauwa kwenye ii ngoma
kalii inaweza
Like za 2020 ukifika hapa
duuuuh bonge la ngomaaaaaaaaaaa
Young killer noma sana
hii intro ya msodoki ni ya uku 254 am rep nairobi bigup real shinsky n amani wa kenya ila ngoma inanukaa mpaka uku juu imekuja yenyewe
froggytrapper hiphopcryt tv
namkubali sana STAMINA💯
Kazi safi makamanda
msodiki we noma sanaaa kwa michano
This guy can vibe well with Paka 🐱 Rapper... Fanya Rmx na Young Darsalam
wow 2024 Bado umekuja kuangalia gonga like apa
noumaa
Yani nyimbo kali hivi alf 3yrs haijafika ata 1M views Dah
nyimbo yakawaida if wanetulia wangetengeneza Kali kuliko hii wote ni best rappers there was no need to hurry sasa cheq nyimbo yakawaida sanaaa mnooo hata lyrics zakukopi
Aseeeeeh asantee xn Stamina