Vizuri sana kuona ume rudi kwenye Game bila Kiki za kijinga bali ni kwa kazi ilio nzuri... Welcome again JAY MOE na kumbuka Nime anza kusikia mziki wako Tangu nina miaka 10 mpaka sasa nina 23...Keep Good Music Alives Moee
Nimetoka R Chuga eee banaeeee Jay Mo ni shiiiiiida arifu. Hii beat ni shidaaa na umerhyme hatari. Hiii ngoma imepigwa sana Rchuga. Hakuna cha Mziki ni Pesa ya Madafu tu
this is the best hip hop song in this decade, literally the best beat, lyrics, video and everything is of the next level. forever PESA MADAFU is my first choice in the categories of the best hip hop that is ever produced in bongo land. big up sanaaaaaa i wish hii ngoma uitoleee remix hata audio only...
tisha sana juma mchopanga na mtu mzima p funk majani turudishieni heshima ya bongo fleva maana mastudio kibao mdundo mmoja ila kwa hii beat inadhirihisha p funk bado yupo sawa
Yaan ngoma imesimaa kila idara....So famous... Hujawahi kukosea brother. Beat kama za Maybach....Daz katisha sana! Big up Majani!!!!!!!!!!!!11 Ulivyotambaa na beat sasa... hatareeeeeee. Live long brother!!!!!!
datz it ma homie,im happy u are happy u are back da hiphop king in tz ma homie jay moe,hvo ndo mzik unavotak coz una change so lazm naww ubadilike,good homie we mwenyew mnyamwez kitamb homie,na hyo ndo mikato bob,shouts out to u men,drop more shits
Bonge la kichupa!! Audio sijui nielezee vipi!! Mkubwa ni mkubwa tu!! Yaani miaka kumi ishapita tangu ulipotoa kichupa Chako cha mwisho ambacho ni kimya kimya ft mchizi mox na huu ni mwaka wa kumi na moja umetujia na kichupa cha mwaka!! Utasema ulikuwa ni mtu wa vichupa aisee!! Big up!! Ifanyie remix hii ngoma kwa ajili ya machizi wako wa kitaa!! Tafuta machizi wa michano mfanye yenu kwenye remix maana beat inawehusha sana hii!!
Yasin na Evance, mmenena bandugu....now this reminds me of the real bongo flava...them good ol' kina nature, hii Leo n Mann bongo records day...who thys new kids be is nothing short of a bad joke for real...Good to see you keeping the genre alive Mo'tech yaani Kama back shuleni vile ndugu
bonge la video kaka na kilichonifurahisha ni kwamba imefanywa kwa mkono wa mbongo inaonesha kwamba hata sisi twaweza sio kuangaika na akina godfather,meji alabi bt all in all mzigo uko vzr xana kuanzia audio mpk video big sana bongo record na kwetu studio mnajua sana nyie watu
Mi naiita street song or entrepreneur song. I dea nzuri sana pia ipo positive kishenzi cos hata kama una pesa kiasi gani lazima uwe na hakiba hata kama ni ndogo.
Jay mooo You real know Appreciated song of hip-hop in United republic of Tanzania since i started going on with TZ hip-hop Song The more you struggle The more you achieve
Nimetokea kukubali sana kazi za ma director wetu wa tz na ninawachukia wanaoenda nje kufata gari za kifari na desktop za apple kwenye video zao wakati vijana wetu kama Hanscana,Nicklass,Msafiri wa kwetu studio,Adam Juma,na wengine wengi hongereni sana wataelewa tuu.
bro apa nmekukubal, umeendana na game ya sahv, kitu ambacho malegends wengi wanashndwa datz y wanafail, hii ngoma kali bado promo tu maana bila promo ckuhz ata ngoma ikiwa kali vp haipigwi. gud work brodah jaymo
|SALUTE This is the REAL DEFINITION OF |LEGEND| The feelings I got in this Song It's just like in every Scene I could see NGWAIR. Ur the LEGEND |MO_TECHNICS |MO_NGWAIR
Amazing Amazing Amazing Sanaaaaaa. Nimeipenda mziki uko vizuri video iko vizuri flow iko vizuri yaaani everything is Amazing. Yaani wakifanya Remix on this track wasanii wengine wakaweka flow na misitari yao humu uwiiiiiiiiiii It will be amazing
Kama upo leo 2024 tujuane🎉
2024 pessa madaf💰💸
Mpka Leo bado naskiliza hii nyimbo , umeua sana brother
hii nyimbo sk nilipita sehem nikaikuta hii ngoma inapigwa nilitega sikio kwa makini nilipokuwa nikisikia neno pesa ya madafu Mhuuuuu hatari.
No matter iwe safi ama chafu…note that
Jaymore gotta say nimekuskiza since class 7...2003... u are legendary. Noma sana straight fire.... njoo piga show uae..
Bonge ya video na song limesimama, ile mbaya. I'm coming back, that's the meaning of the song, welcome back Juma Mchopanga 💪🏿👍✍🏾✌🏿️☠
naisikiliza hii ngoma may 3,2024 jay this shit too lit🩸👆🏿❤
Vizuri sana kuona ume rudi kwenye Game bila Kiki za kijinga bali ni kwa kazi ilio nzuri... Welcome again JAY MOE na kumbuka Nime anza kusikia mziki wako Tangu nina miaka 10 mpaka sasa nina 23...Keep Good Music Alives Moee
sijui hata ni kivipi haijafika views milioni kadhaaa.....
This song must have 500,000,000 Views!
Ngwair angekuwepo kwenye this track with u bro.. Ingekuwa another fire with him.. Imetulia
Nimetoka R Chuga eee banaeeee Jay Mo ni shiiiiiida arifu. Hii beat ni shidaaa na umerhyme hatari. Hiii ngoma imepigwa sana Rchuga. Hakuna cha Mziki ni Pesa ya Madafu tu
Its 2022 and still vibing to this
Daaaaah yaani hii ngoma haina viewers hata lak tano halaf ule uchafu wa anjella et una 2M
this is the best hip hop song in this decade, literally the best beat, lyrics, video and everything is of the next level. forever PESA MADAFU is my first choice in the categories of the best hip hop that is ever produced in bongo land. big up sanaaaaaa i wish hii ngoma uitoleee remix hata audio only...
"Pesa Madafu Ni ngoma kali sana Wakimbize Jmo"
Nafagilia hii nyimbo maana mm pia nahurstle every day nkisaka pesa nkipata natumia.
tisha sana juma mchopanga na mtu mzima p funk majani turudishieni heshima ya bongo fleva maana mastudio kibao mdundo mmoja ila kwa hii beat inadhirihisha p funk bado yupo sawa
cjui kwann hii ngoma inachukuliwa poa...hii ni next level
Sema Jay moo Anajua sana sema naona kama apewi Eshima yake
Sio Lofa wa kungoja kitita cha costa ma bus$
Safi sana hii, hapa umekill n umegundua kinachotakikana nigga.
Yaan ngoma imesimaa kila idara....So famous... Hujawahi kukosea brother. Beat kama za Maybach....Daz katisha sana! Big up Majani!!!!!!!!!!!!11
Ulivyotambaa na beat sasa... hatareeeeeee. Live long brother!!!!!!
Whenever i hear this Song, I remember my Late Boss who used to love this Song, Continue to rest in Peace Bro..This is one is still rocking
datz it ma homie,im happy u are happy u are back da hiphop king in tz ma homie jay moe,hvo ndo mzik unavotak coz una change so lazm naww ubadilike,good homie we mwenyew mnyamwez kitamb homie,na hyo ndo mikato bob,shouts out to u men,drop more shits
Video bora ya mwaka #superman kazini 💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
big up broo
Mkali jay, am on it in march 2024
nimekuja kumuangalia nenga 2024
beat kali sanaa, tafuta vijana wako unao wakubali mpige remix ya hii ngoma mchanike mbayaa style za kina dj khalid
this is my national anthem.... pesa ya madafu ni noooomaaa sanaaaa
Best Swahili Hustle song ever. 🙌✊
the beat is killing man
Me ninavotafuta we Uliza viatu! Lyrical genius Jaymoe u the best
The beat dropped harder than tanzanian currency 😜😜😜. Jay Mo u the beast, the rest are pets
Sir Jaymoe a.k.a Mo Tekniks! Welcome back Sir! This is the ish no doubt. AMINiA!!!!!! Rrraaaaah.
Bonge la kichupa!! Audio sijui nielezee vipi!! Mkubwa ni mkubwa tu!! Yaani miaka kumi ishapita tangu ulipotoa kichupa Chako cha mwisho ambacho ni kimya kimya ft mchizi mox na huu ni mwaka wa kumi na moja umetujia na kichupa cha mwaka!! Utasema ulikuwa ni mtu wa vichupa aisee!! Big up!! Ifanyie remix hii ngoma kwa ajili ya machizi wako wa kitaa!! Tafuta machizi wa michano mfanye yenu kwenye remix maana beat inawehusha sana hii!!
kimya kimya ft ngweaur
ngoma Kali sana bro....hakunaga hii kitu popote bongo...umekill beat kaka..
ni hatariiiiii sana......the famous, hii kweli ni return of the super man
We noma
Yasin na Evance, mmenena bandugu....now this reminds me of the real bongo flava...them good ol' kina nature, hii Leo n Mann bongo records day...who thys new kids be is nothing short of a bad joke for real...Good to see you keeping the genre alive Mo'tech yaani Kama back shuleni vile ndugu
Any one 2020
Listening to this in Katy,Texas USA nomaa jamaa ni Genius.
2020... still here from Kenya
Hili pini ni noma sana liko kwa playlist yangu daily. Video is dope very nice
Sijawahi Kukupinga hata Siku Moja...Tekniks KimbiZaaaaa KimbiZaaaaa Hao No body Can Stop yoU....
bonge la video kaka na kilichonifurahisha ni kwamba imefanywa kwa mkono wa mbongo inaonesha kwamba hata sisi twaweza sio kuangaika na akina godfather,meji alabi bt all in all mzigo uko vzr xana kuanzia audio mpk video big sana bongo record na kwetu studio mnajua sana nyie watu
A fan since day 1
PESA MADAFU🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿
godfather ndo nan bana, kwetu studio ni hoooma....
wanyoooosheeeeee
WE MKALI KK..... WELCOME BACK, SICHOKI KUSIKIZA IYI SONG
"Hata shingmia inapigwa hatuiachi ndo zetu"......
Ngoma kali, Beat limesimama....Jmoe waue
Noma zaidi ya noma jaymoe ashaua
robert kalema jj
robert kalema i
robert kalema ol
robert kalema 6
Ni noomaa ...sema hyo video Ungeimalizia maeneo ya club hv mkiwa mnazitumia hzo pesa za madafu
Jaymo hii ni kali. S/O to *Kwetu Studios* hawa maboyz hawacheki
Mzee wamadafu mkali wamjini naona unazidi kwenda mbali good music jaymoefamous
I wish marehem albert angekuwa ...atembee kwenye huu mdundo yani isee sipati picha ingekuwaje...anyway umetisha sana mjukuu wa mchopanga ....!
Legend Rapper
Mwanangu beat kamaizi zina tafutwa kinyama duuuu pesa madafu✋🙏🙏
Nashindwa kuelewa kwanini ngoma kali kama hizi hazina viewers wakotosha.
Mo ni mkali way back enzi za Jua na Mvua. #BestRapperAlive
Umetisha bro hit kali mpak video, km ngoma ya mbele vle
Moe Technics... Moe Fleva... Tumemss real HIP HOP we ndio RAIS kaka
nice song..amaizing video..wewe umeisoma game ya sasa inataka nini..keep doing good music.
Kweli pesa madafu Dab za kibabe, bonge moja la video 👌👌
Huyu Jay more hapotei ...nmjanja sana. Na anamiaka kibao kwenye game na tabia yake nii ya kunyamaza alafu anakiwasha Tena😂😂😂😄😂😂
Jay mo umetxha xaana daaa pesa ya madafu imekaa mbayaa
Bonge la Ngoma , Watu Hawajasanuka Tu
Wakisanuka tu Viewers Milion+
Mi naiita street song or entrepreneur song. I dea nzuri sana pia ipo positive kishenzi cos hata kama una pesa kiasi gani lazima uwe na hakiba hata kama ni ndogo.
Jay mooo
You real know
Appreciated song of hip-hop in United republic of Tanzania since i started going on with TZ hip-hop Song
The more you struggle
The more you achieve
Enzi zimebadilika sana, Nyimbo hii ilipaswa iwe na views 5M + by now. dah!
hahahhaaa HALELUYAH,,,,,nilikuwa nakukubali tangu kitambo my best raper,,,moyo wangu umepump kukuona umerudi,,,god bless u my brother,
Nakubali sana kazi zako kaka mkubwa moja kati ya ngoma zako kali sure pesamadafu
daaaah umetisha mooooo big up kaza boot kama mbeleee vilee
Cna tena israfuuu aduii wanguu jay moo iko poa sana hiii gwijii la lap
Back again Mo Teknix...Bad number
Ili uweze kumjua jmoe vzr lazima uwe mkongwe katika music vinginevyo mtatuachia wenyewe tunaemjua
Nimetokea kukubali sana kazi za ma director wetu wa tz na ninawachukia wanaoenda nje kufata gari za kifari na desktop za apple kwenye video zao wakati vijana wetu kama Hanscana,Nicklass,Msafiri wa kwetu studio,Adam Juma,na wengine wengi hongereni sana wataelewa tuu.
I see Goood Music only!! Pigana kaka mkubwa you deserve more!!
bro apa nmekukubal, umeendana na game ya sahv, kitu ambacho malegends wengi wanashndwa datz y wanafail, hii ngoma kali bado promo tu maana bila promo ckuhz ata ngoma ikiwa kali vp haipigwi. gud work brodah jaymo
bonge ya ngoma keep it up jay moe now you come back to current music industry
Jay Moe safi sana,kazi nzuri mno.
Video saafi mzee, beat saafi ila ungekipotezea kidhungu ingekua poowa sana JAY MO mzee waq majukumu
R.I.P this beat my nigga Moe just kelled it.
doo hiyo bit broo bufa inabast wallah!!
Dope video msafiri... Umeuaaaaaa baba
Hii ngoma inaweza kukufanya umgonge malaya afu akulipe na ela juu 😂😂😂
Heshima kwako Bro Mchopanga
kaka jay moe na kubali kazizako sanaaa big up
welcome back this is what we hv been waiting for kwenye game yako
pesa madafuuuuu,,, ngoma kali sana bro
|SALUTE This is the REAL DEFINITION OF |LEGEND| The feelings I got in this Song It's just like in every Scene I could see NGWAIR. Ur the LEGEND |MO_TECHNICS |MO_NGWAIR
congrats bro. real nice track, high qualified video. i like it JayMoe
baba jay moe unatumia rand ....eeeeeeee ..aiseee Kali sanaaa
cez ata kuielezea yaan maana naweza andika makala in short kila kitu kikali picha, rangi, location, beats, maneno yaan kilakitu nice work mkongwe!
2021 🔥🔥
Amazing Amazing Amazing Sanaaaaaa. Nimeipenda mziki uko vizuri video iko vizuri flow iko vizuri yaaani everything is Amazing. Yaani wakifanya Remix on this track wasanii wengine wakaweka flow na misitari yao humu uwiiiiiiiiiii It will be amazing
yap yap pesa madafu....ngoma iko so inspired for me...big up mkongwe
Asante Bro kwa kutuachia ulingo?! V - senge li
where is juma Nature Miss you bro......
pesa mafuuuu; nishdaaaa " nzur"
hii chupa zaidi ya waimbaji, ua na mute ili nijiulize hii haijatengenezewa madafuni na mbele si kwa pesa madafu
a love u hongela tusiache pesa
Ngoma kali mnooooo...kama kawaida yako
This is sample big bro from trouble - let them tell it 🔥🔥