MUNGU KUFUNGUA LANGO LA BARAKA ZAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 122

  • @AlexYohana-zp1uf
    @AlexYohana-zp1uf ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa mafundisho yako napata mwanga katika maisha yang pia natamani kujua jina la huwo wimbo

  • @neemanyagawa9479
    @neemanyagawa9479 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Jina la Yesu Kristo Hakuña kizuizi tena mbele yangu Kwa Damu ya YESU

  • @pendokache2400
    @pendokache2400 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU atatimiza malengo yangu katita mwezi huu JINA LA BABA lipewe sifa🙏AMINA🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +3

    Nakushukuru MUNGU kwa uzima na baraka tele kwangu

  • @Akinyisafi8361
    @Akinyisafi8361 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Ee MUNGU kamilisha kwangu nami pia NAPOKEA KWA JINA LA YESU KRISTO AMEN

  • @chazkkasubi
    @chazkkasubi ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 Ninapokea kufunguliwa LANGO KUU LA BARAKA ZANGU Ktk JINA LA YESU KRISTO 🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Asante yesu naomba ufunguo milango ya baraka kila kilichofungwa kikafunguliwe nimepokea kw jina la yesu🎉🙏🙏🙏

  • @phylisselebwa4716
    @phylisselebwa4716 ปีที่แล้ว +2

    Amen,,Mungu naomba ufungue malango yangu daima

  • @Vanillah-lg3pn
    @Vanillah-lg3pn ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @FlorenceNdakola
    @FlorenceNdakola ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa neno la faraja! Mungu atupe mema kinyume na mipango ya mwovu! Allelloua

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi wa mungu 🙏🇸🇦 amen amen amen

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba nungu akamilishe ndoto yangu iliyonifanya nikasafiri inje ya inchi yangu amen

  • @marymolel616
    @marymolel616 ปีที่แล้ว +1

    🤲 E Mungu naamini unaniwazia mema naomba nikapokee katika jina na Yesu Amen

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 ปีที่แล้ว +1

    Ndani ya mwenzio huu wa saba vitu vyangu vyote vitakamilika na wote walionikataa wataaniomba msamaha kibari mara mia na nitauza katika jina la yesu ameen

  • @janewaweru8210
    @janewaweru8210 ปีที่แล้ว +1

    Katika jina la Yesu mwezi wa Saba Kuna mafanikio hakuna kuzuiliwa tukiwa na Imani🙏🙏🙏🙏♥️

  • @speshoman833
    @speshoman833 ปีที่แล้ว +2

    AMEEN AMEEN mtumishi wamngu tenda kwangu mngu wangu oyes AMEEEN and AMEEN 🙏🙏🙏

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏 ahsante yesu kristo kwa neema uliyo nipa ❤️❤️🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa neno la ufahamu kwangu

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 ปีที่แล้ว +1

    Amen.Tunamshukuru Mungu kwaajili yako🙏

  • @HappyFuraha-s5g
    @HappyFuraha-s5g ปีที่แล้ว +1

    Ameeen napokea baraka zangu katika mwezi huu wa saba❤❤

  • @mwajeyibashiru9724
    @mwajeyibashiru9724 ปีที่แล้ว +1

    Amen umenigusa sana kwa neno LA mungu ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @carolizmweshi9542
    @carolizmweshi9542 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻

  • @rukiateah9607
    @rukiateah9607 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba ukanitendee kikafunguliwe kichumi,naomba mungu ukamfungue mume wangu Rodrick akafunguliwe na pepo la ulevi akamkupe naomba kibali cha ndoa naomba kibali cha mtaji mungu usinipite mwez huu moyo wangu unavuja damu mungu naomba baraka zangu kikaonekane

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 ปีที่แล้ว +1

    Amen Ameeeen. Mungu roho mtakatifu akuongoze zaidi na zaidi kutufungua vifungo nilivyofungwa Kwenye maisha. Barikiwa sana mt

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @linet6663
    @linet6663 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen 🙏🙏🙏, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏... mafunzo yako yanatubariki na kutupa nguvu za kupambana

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 ปีที่แล้ว +1

    Mwezi huu wa saba sipitwii kwa Jina LA YESU. Mlango yangu yako wazi Kupokea GOD S BLESSINGS

  • @CrizeIhojo-vr6iz
    @CrizeIhojo-vr6iz ปีที่แล้ว +1

    AMINA nimepokea Baraka maenda kufanikiwa mtumishi

  • @mosesmaganga1548
    @mosesmaganga1548 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu ni nuru yangu ahsante baba wa mbinguni yehova

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 ปีที่แล้ว +1

    @Mungu fungua lango labaraka zangu uiniliwe baba kwa kuwa umenisikia nitendee kadri upendavyo malango yangu yawe wazi nimwezi kwa ukamilivu nautoshelevu nitendee muujiza wangu 🙌

  • @AminaMnyaonga-pk6qh
    @AminaMnyaonga-pk6qh ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 ปีที่แล้ว +1

    Ameen,ahsante Yesu kwa mafundisho ya leo,nimebarikiwa sana

  • @maguykiwele
    @maguykiwele ปีที่แล้ว +1

    Namini néno la mungu mwezi uu wa Saba tashudiya kwa malango yote wazi Alléluia ubarikiwe mutumishi wa mungu

  • @joselynelema
    @joselynelema ปีที่แล้ว +2

    Napokea amen naimani langu la baraka zangu limefunguliwa

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeen

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ukuta wakunizuia katika jina la yesu.napokea baraka

  • @catherinejohon1282
    @catherinejohon1282 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @salimamataluma1384
    @salimamataluma1384 ปีที่แล้ว +1

    Nakukabidhi njia Zangu zote MUNGU wangu

  • @louizedes8509
    @louizedes8509 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni muaminifu 🙏

  • @merymery9558
    @merymery9558 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen

  • @neemangoda1991
    @neemangoda1991 ปีที่แล้ว +1

    Ameen na pokea kwa jina Yesu

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 ปีที่แล้ว +1

    Amen...Amen 🙏

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Ameen

  • @philippenzigamasabo7545
    @philippenzigamasabo7545 ปีที่แล้ว +2

    Shalom shalom.Utunzwe na Mungu mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.Hayo maarifa ya Mungu ni faraja kwangu kabisa.Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu akupe maisha marefu 👏👏👏👏

  • @joanbenezeth8677
    @joanbenezeth8677 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi kwa mafundisho mazuri. Amen

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Mtumishi kwa huduma..Ubarikiwe

  • @abigaelmalaki5491
    @abigaelmalaki5491 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atafungua vifungo vyangu kwa rehema zake

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj ปีที่แล้ว +1

    Ameeen ameeen and ameeen ❤❤❤🙏🙏🙏

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 ปีที่แล้ว +2

    Emeeen tuko pamoja

  • @dianacute2836
    @dianacute2836 ปีที่แล้ว +2

    I receive it in Jesus might Amen

  • @betty515
    @betty515 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen 🙏🙏🙏

  • @NduwimanaMukizwa-tj8uf
    @NduwimanaMukizwa-tj8uf ปีที่แล้ว +1

    Napokeya kwauzo wake mungu tutapita

  • @KikiAmora-rd6ik
    @KikiAmora-rd6ik ปีที่แล้ว +1

    AMEN 🙏

  • @neymumy419
    @neymumy419 ปีที่แล้ว +1

    Amen hili neno linanguvu Sana kiroho na Nina uhakika yanatimia

  • @anarosenicodem5913
    @anarosenicodem5913 ปีที่แล้ว +1

    Ameen napokea Mtuishi

  • @rosenaadolfu99
    @rosenaadolfu99 ปีที่แล้ว +3

    Amen! ROho wa Bwana aendelee kuwa juu yako akutumie kama apendavyo ili kutufundisha neno la Mungu

  • @FurahaThadeus
    @FurahaThadeus ปีที่แล้ว

    Naamini naenda kupokea baraka zangu kwa jina la yesu Ameen

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah Amen 🙏 🙌 👏

  • @PascalRehani-j1p
    @PascalRehani-j1p ปีที่แล้ว +1

    Nikohapa malango ya baraka zangu zifungiliwe kwa jina la YESU

  • @josephmipawa8339
    @josephmipawa8339 ปีที่แล้ว +1

    Ameeni napokea

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen 🙏🙏🙏 asante sana kwa mafundisho haya najua bwana n mwingi wa rehema funzo hili n kma n langu 😭😭😭😭ila najua mungu wetu n wa neema atafungua njia katika maisha yangu 🙏🙏🙏🙏 napokea baraka na Amani katika ndoa yangu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @lornachematia3146
      @lornachematia3146 ปีที่แล้ว

      Amen tunapokea mafundisho Yako kwa kweli tunaenda kubarikiwa katika jina la yesu

  • @florencekwekwe1993
    @florencekwekwe1993 ปีที่แล้ว +2

    AMEN 🙌🙏 asante sana mchungaji kwa mafundisho mazuri.

  • @victorinewesonga
    @victorinewesonga ปีที่แล้ว +1

    Naamua kuwa mshindi maishani

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts ปีที่แล้ว +1

    Niko Congo Bukavu.

  • @NelsonChovenye
    @NelsonChovenye 22 วันที่ผ่านมา

    Napokea baraka kwa..jina la yesu

  • @phelesiawerimo2493
    @phelesiawerimo2493 ปีที่แล้ว +1

    I receive in Jesus name 🙏

  • @joanbenezeth8677
    @joanbenezeth8677 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu atakwenda kufungua malango yangu daima. Amen Amen chochote Mungu atakachokifungua kitakuwa wazi daima.

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 ปีที่แล้ว +2

    Amen asante yesu Kwa kunikomboa katika mikono YA watesi wangu.najua anachofunga mbinguni hata duniani amefinga .hakuna awezae kupangua mipango YA mungu.amina

  • @PeterNjenga-lq2nf
    @PeterNjenga-lq2nf ปีที่แล้ว +1

    Amen God favor WILK with me in July

  • @nancyemmanuel1913
    @nancyemmanuel1913 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mtumishi Naamini Mungu atatenda 🙏🙏🙏

  • @shanihamisi4215
    @shanihamisi4215 ปีที่แล้ว +2

    Amin🙏🙏

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts ปีที่แล้ว

    Amen amen amen.

  • @magrethkivugo4527
    @magrethkivugo4527 ปีที่แล้ว +1

    Ameen, nabarikiwa sana

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana na maneno ya Mungu uko natupatia maneno ile inaniponya moyo.mungu akulinde mtumishi.

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu asante kwa neno naomba yesu aingilie familia yangu juu watesi wa roho mbaya wameanda sana maisha yetu,please tuombee 🙏🙏🙏🙏.

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 ปีที่แล้ว +1

    hakuna ukuta utakao.simama mbere yng kwa jina la yesu

  • @kvoca8248
    @kvoca8248 ปีที่แล้ว

    Napokea baraka ,uponyaj na ujumbe huu ndan ya moyo wang.
    Ahsant mungu!

  • @furahahonorine8055
    @furahahonorine8055 ปีที่แล้ว

    Amina mwezi wa 7, mwezi wa ukamilifu ya safari yangu aaaamina

  • @veronicasinbad
    @veronicasinbad 18 วันที่ผ่านมา

    Asante k2a 2:40

  • @-zj2zd
    @-zj2zd ปีที่แล้ว +2

    Dah ntajitaidi nianze omba

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mtumishi 🙏

  • @KabikaKajuwegeye-vr1ol
    @KabikaKajuwegeye-vr1ol ปีที่แล้ว

    Amen..Mungu nipe ujasiri

  • @marthamwalukasa4858
    @marthamwalukasa4858 ปีที่แล้ว

    Mungu atatimiza malengo yangu mwaka huu jina la bwana liabudiwe

  • @judithmkodo6892
    @judithmkodo6892 ปีที่แล้ว

    Amen Asante Sana Mtumishi kwa Mafundisho Mazuri

  • @mambodouglas6014
    @mambodouglas6014 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🙏 pastor 🎉❤

  • @ZebidahLawrence-fs9sg
    @ZebidahLawrence-fs9sg ปีที่แล้ว

    Amen 😭🙌🏾♥️

  • @joanbenezeth8677
    @joanbenezeth8677 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna ukuta utakaowekwa juu yangu. Amina Mambo yangu yanakwenda kukamilika. Ameen

  • @nadegekubwimana8451
    @nadegekubwimana8451 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen pasteur

  • @mwasikaflora1374
    @mwasikaflora1374 ปีที่แล้ว

    Aminia napokea kutoka kwa bwana mwezi huu wa 7

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma ปีที่แล้ว

    Ameen I receive in Jesus Name 🙏

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu jambo.asanti sana kwako.

  • @irenekidada3327
    @irenekidada3327 ปีที่แล้ว +1

    🥹🥹 sijakosea 😭kusikiliza

  • @bonusndamcho8126
    @bonusndamcho8126 ปีที่แล้ว +1

    🔥

  • @furahahonorine8055
    @furahahonorine8055 ปีที่แล้ว

    Amina napokeyaaa

  • @edisonsamson9750
    @edisonsamson9750 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu nimuweza pale unapomamin maana yeye ni nulu

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 ปีที่แล้ว +2

    I receive it in Jesus mighty name Amen 🙏💖

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen and Ameeeen be blessed pastor 🙏 🙌

  • @barikimatbishi4193
    @barikimatbishi4193 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe Nami siku zote.❤

  • @calorinemwoga2638
    @calorinemwoga2638 ปีที่แล้ว +1

    HAKUNA KITU KIGUMU MBELE YA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA KATIKA YEYE.

  • @oman5875
    @oman5875 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🏿🧎