#hananja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • MASOMO YA UONGOZI NA FEDHA YAKO HAPA-- / @lifewordtanzania313
    #UhaiOnlineTv#denismpagaze#ananiasedgar#Maombiyausiku
    CONTACT : +255 752 348 789 Uhai Online Tv
    E-mail- radiouhaioffice@gmail.com
    PLAY LIST ZETU........
    MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
    • MCH:DANIEL MGOGO-ANZA ...
    HABARI
    • RPC TABORA:HUTAUONA MW...
    FIKIRI TOFAUTI
    • MWL:DEUS KANUNU-BIASHARA
    MAKALA FIKRA TUNDUIZI
    • DENIS MPAGAZE-UKISUBIR...
    SHUHUDA
    • EXCLUSIVE NA MKE WA MA...
    FAHAMU ZAIDI YA JANA
    • FAHAMU ZAIDI YA JANA: ...
    SIMULIZI ZA VITABU
    • MWANAMKE ALIYEPATA MAT...
    BIBLIA YANGU
    • BIBLIA YANGU-HAPO MWANZO
    NYIMBO ZA INJILI
    • PAULCLEMENT -MUNGU AWE...
    #LifewordTanzania

ความคิดเห็น • 39

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 2 ปีที่แล้ว +6

    Umeongea ukweli na hii ameiweza Pastor Huruma Nkone na Wachungaji wengine wakifuata hii tutajenga ufalme wa Mungu hakika

  • @julianadaudi4921
    @julianadaudi4921 2 ปีที่แล้ว

    Amina nimekuelewa mchungaji

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunawahubiria mambo ya mbinguni ukiwa bado tunaishi duniani true %100

  • @mr.michaelHb3491
    @mr.michaelHb3491 2 ปีที่แล้ว +1

    Pasta Mungu akubariki kwa ujumbe

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen ubalikiwe kwa maono mema

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 ปีที่แล้ว

    Baba MUNGU akubariki sana kwa hili neno

  • @comforttv2257
    @comforttv2257 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika hakika hakika. Nimekuelewa Mchungaji.

  • @saadamartin8866
    @saadamartin8866 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa mchungaji, tunatamani tukienda kanisani tuzingatiwe na mahitaji ya Rohoni na ya mwilini pia

  • @elishangonyani9763
    @elishangonyani9763 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 2 ปีที่แล้ว +1

    Neno lako lishinde na liandikwe kwa miyoni hata mbingun.sema amee

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 2 ปีที่แล้ว +3

    Maneno yako yakawe chachu baba! Hili ni neno kubwa sana!

  • @patriciasanga9848
    @patriciasanga9848 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisaa!

  • @adeccenter9193
    @adeccenter9193 2 ปีที่แล้ว +2

    ni kweli

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba barikiwa

  • @frahinimgonja1166
    @frahinimgonja1166 2 ปีที่แล้ว +2

    Huukweli wahubirie wachungaji maana haiwezekani muumini akakope kwengine alafu utake sadaka huku anarejesho

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa sawiaaaa💪

  • @prosperleslies8985
    @prosperleslies8985 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa sahihi kabisa

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtimishi

  • @briankisuya
    @briankisuya 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali baba

  • @neemamwalende9740
    @neemamwalende9740 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi ubarikiwe.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

    Africa kweli Vijana bado wana moyo huku nje balaa

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Anahekma sanaaaa
    Kaona mbaliii

  • @isaacandrew1039
    @isaacandrew1039 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee nimekukubali kwa hiki pastor una maono kwakweli!! Maana!!

  • @raymonddanielcosmas444
    @raymonddanielcosmas444 2 ปีที่แล้ว

    Genius

  • @johnmungwana8162
    @johnmungwana8162 2 ปีที่แล้ว

    nikweri pasta nayoyote atakaekubishiya bas huyo nimchungaji wamshahara fanyahivo naakiukweri wewe unasitahiri kuwahubiriya mapasta wamakanisa yote iri wabadirishe mtazamo napiyahongera sana kwamaono mapya

  • @Utulivu444
    @Utulivu444 2 ปีที่แล้ว

    HII IMEKAA PIA SANA

  • @geofreykapesa9524
    @geofreykapesa9524 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikie888

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwa anaongea kama utani lkn ndo ukweli kabisaa

  • @agro-millenium9526
    @agro-millenium9526 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @mtanzaniahalisi1213
    @mtanzaniahalisi1213 2 ปีที่แล้ว +1

    Umepiga nondo baba

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 2 ปีที่แล้ว

    Pointi nzuri ila kwa nia isiyo sahihi... Nakubaliana na weye kabisa... Lakini kama lengo la kuwapata ni kuwatumia kujenga kilekile ambacho tunakazana nacho kujenga sasa ili kwa mtazamo wako pia, kitakuja kuuzwa kama mataifa ya magharibi, sasa totauti ipo wapi hapo? Pesa ya ni ya msingi, lakini kanisa haifai kuwa chombo cba kutengeneza mabilionea. Kanisa halipo kwa ajili ya kuanzisha njia nyingine ya kuchukiana na kuoneana wivu... Hao wafunga spika tu wanaoneana wivu, sembuse wawe mabilionea?? Njia sahihi ni kuwafundisha watu kumpenda Mungu na kuiepa dhambi, huu ndio upendo wa Mungu wa kwanza, yaani kuzishika amri zake. Tusipoangalia, injili sasa itakuwa ya mchongo mcgongo tu... Na kustaafu utumishia hakumpi mtu fursa ya kutumika kinyume na alivyoamini na kuaminika mwanzo.... Nadhanu sasa , shibe ya kulamba vidole itakuwa muelekeo sahihi ya yeyoye atayeamini kufahamika kwake sana ni njia ya kusena kila kitu ambacho ulimwengu wa fikra duni unamuongoza. Huwezi kumuongoza mla ngada kwa kutumia lugha na maisha karibu sawa na yake na kutegemea mabadiliko stahiki. Kuacha dhambi na kuamini injili ndio njia ya kwanza kisha ubatizo. Kuhusu pesa jambo jema kutafuta, bila kuwafundisha kiasi na kuithamini hakiba, hakuna mabilionea tunaunda bali watu wenye pesa za kusimangia wahudumu na kuhonga hata kwa thamani ya utupu wa anayepewa... Wewe si wa mchongo, usituaminishe kuwa pia ndiye ...

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Fanya hayo kanisani kwako kama ndiyo maono yako yasimamie

    • @betrackjasson6698
      @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว +1

      Utakuja kufilwa kijan angalia utauponza

  • @mustafamsatimuhenga253
    @mustafamsatimuhenga253 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli mnakitega uchumi makanisa ni biashara andaeni watoasadaka ili mpate pesa kwamungu jikoni