Mungu ni wa ajabu sana jameni! Mungu apewe sifa milele maana ni kwa nguvu zake upo hai na unaendelea na kazi yake mpaka wakati wake utakapofika akwambie umepigana vita vyakutosha mwanangu njoo sasa.
Mbingu zikishangilia, watu wa Mungu hua wameoka, kama vile kuzimu ishangiliavyo watu hao wakiaja kumwabutu Mungu. Tulishike neno shetani asije kupata nafasi ndani mwetu.
Mungu ni wa ajabu sana jameni! Mungu apewe sifa milele maana ni kwa nguvu zake upo hai na unaendelea na kazi yake mpaka wakati wake utakapofika akwambie umepigana vita vyakutosha mwanangu njoo sasa.
Barikiwa mjumbe wa MUNGU mbingu zinashangilia MUNGU anajivunia kazi nzuri ya namna hiyo ila shetani anasaga meno BWANA apewe sifa kweli ❤❤❤
Mtumishi Mungu wa Mbinguni akutumie zaidi apendavyo yeyeu
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
kaka Mungu akusaidie
Cassian ubarikiwe sana na ukuje uku kenya na kusubiri sana ndoto zangu zitimie yaani nitafurahi sana naomba.
Mbingu zikishangilia, watu wa Mungu hua wameoka, kama vile kuzimu ishangiliavyo watu hao wakiaja kumwabutu Mungu.
Tulishike neno shetani asije kupata nafasi ndani mwetu.
Qmen