Ee Mungu msaidie Mtumish aliye jikana nafsi yake kisha akaamua kukufuata mtengeneze kwa namna yoyote akawe mtumishi wako wa kweli aizungumze kweli ya injili iliyoandikwa.🙏
W uwaga unaongea Ukwel lakn ili ulipwe na mungu autak kuwazalilisha watu bal wafuate uwambie mkiwa wawil kuwanika watu mtandaon hasa Page yko ili 2 upate views Unakosea mwenzio Akikosea usimzalilishe Mnisamehe kama Nimekosea 🙏
U aishie milele na milele amen
Mungu akubariki sana kwa ushauri Mtumishi. Naomba Mungu wapokee ujumbe huu na wafanye jinsi ulivyo washauri.
Mimi naupenda sana wokovu wa Toba huo una nguvu sana
Yes huo ndio ukweli Mungu akubaliki
Ee Mungu msaidie Mtumish aliye jikana nafsi yake kisha akaamua kukufuata mtengeneze kwa namna yoyote akawe mtumishi wako wa kweli aizungumze kweli ya injili iliyoandikwa.🙏
Asante sana hivi ndo vitu ambavyo hatuambiwi kanisani sikuhizi ndo maana wengi tunatamani kurudi nyuma
Brother ubarikiwe sana
Be Blessed we love you
Pascal unajipa usahihi mnooo
Ni sawa kabisa
Kweli, ukiitwa hukimbii🎉🎉
Sana tu
Tubu na rejea kwenye nafasi yako Mc. Tunakupenda
Kweli lazima isemwee, sema mtumishi
Kweli kabisa😢
Mungu amsaidie kubeba mizigo huuuu wakukaa bila mke naaachiliye kibali mkewake alidai tuuuu
Jamani mc pilipili mbona hivyo kwa yesu ni kukubali dhiki udhia na ikiwezekana kula matembele kula sio kula bata tu ndugu yangu
Amina mtumishi
Ushaur mzuri 13:06
Alafu mc pili pili kama kapagawa sasa ivi yaan Aombe toba ya kina
Kwamba wachekeshaji nao wanaletwa na bwana
AMINA
Amen
Lile somo
la kuuza uzaliwa wako wa kwanza
nililielewa sana
Kaka Mkubwa.
W uwaga unaongea Ukwel lakn ili ulipwe na mungu autak kuwazalilisha watu bal wafuate uwambie mkiwa wawil kuwanika watu mtandaon hasa Page yko ili 2 upate views Unakosea mwenzio Akikosea usimzalilishe Mnisamehe kama Nimekosea 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
Msemaji wa maisha ya watu,,kabla hujaanza kumhukumu mtu hakikisha wewe ni msafi
Mbona kama imekuuma au una bifu na Ev. Cassian?
Mkuki umekupata😂
Unateseka ukiwa wapi nikutumie pepsi.
Unawaza kwa kutumia nini
Ametoa ushaur mzuri Ev Cassian