Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu, inaweza kuwa vigumu watu kukuelewa lkn hauna budi kusema kweli, Mungu amsaidie dada Christina Shusho, najua ametiwa upofu lkn Mungu amsaidie.
Mhhhh twende wapi jaman dunia imekwisha Asante mtumishi wa BWANA kuifanya mioyo yetu ipate kumrudia MUNGU w kweli tumekaribia nyumbani we YESU tusaidie barikiwa mwana wa MUNGU
Mungu atusaidie sana tunavita kali sio kawaida mungu usituache pekeetu hataweza tutie nguvu tushinde uyu dada aliimba mwenyewe kwenye mithali 1 tena wimbo wake huo huo ndio umemchota miguu munguu tusaidie
PASCAL CASSIAN MUNGU AKUTETEE UNAYOYASEMA NDO YANATAKIWA KUSEMWA, JAPO WENGINE WANAONA AIBU KUSEMA HAYA, SHARTI INJILI IHUBIRIWE, MUNGU ATUKUZWE MBINGUNI, NA DUNIANI UDHIHIRISHO WAKE UONEKANE.
Amen hallelujah, ubarikiwe sana mtumishi kwa kuendelea kusimama katika kweli ya Kristo. Bwana wetu Yesu Kristo akulinde na akuepushe na mipango ya kishetani katika maisha yako. Walio wa Kristo wataendelea kumtumikia kwa hali zote. Giza la dunia hii halitatuzuia. Hakuna haki za ushoga na wote wanaosupport ushoga wamelaaniwa.
Cassian na katekela hawa watumishi wamenusulika na mashetani wanajua siri zote zakuzimu ambao hawaelewi ushuhuda na mahubiri yao bado wako gizani wanawayawaya na dunia,ongezeni moto watumishi wa mungu tuko tunawafwatilia sana 🇿🇲
Ingekuwa vizuri sana watumishi wa Mungu wamfuate au kumuita ili kuongea nae au kumpa ushauri nadhani ingesaidia sana, ipo haja sana ya kujifunza toka kwa ndugu zetu wa upande wa pili
@@damasmayanja2930 kwaiyo kama alikufa kwa ajili yetu ndio utende dhambi soma bibilia vizuri , Yesu aliwambia mafarisayo nataka Rehema wala si sadaka soma mathayo 12:7 lazima utubu uwe mtakatifu ndio utamwona Yesu tofauti na apo sahau nakushauri tena okoka kweli tubu acha kubeba dini mbebe Yesu
Anajua habari ya maandiko ya chakula cha kale na Injili ya tunda la ujuzi wa mema na mabaya hajui lolote kwa habari ya Mti wa uzima(Kristo), hajui lolote kwa habari ya Kristo Yesu ndio maana anazungumzia habari ya hofu ya kifo na mauti, ndani ya Kristo hakuna hofu ya Kifo wala Mauti kwa sababu Kristo ni UZIMA ukimjua Yeye utajua Uzima tu.
Kwa kweli muchungaji nimekuwa nikifuatilia ujumbe wako hakika yote umekuwa ukisema ni kweli Lazima ukweli usemwe hakuna muda wa kufanya urafiki na Mungu azidikukupa nguvu
Sisi tuna kukubali sana kwa fact zako na ushauri unaotoakupitia injili ya Bwana Lakini tunasikia mtu akikuomba ufanye nae wimbo una muchaji pesa. Na wakati maandiko yanasema ,tumepewa bure nasi tutowe bure .
Christina ameamua kwa akiki zake timamu kuhama utumishi amtumikie boss wa dunia hii, lakini MUNGU ni wa rehema ukitubu kweli anakusamehe dada shusho unayo nafasi bado
Mungu akufunike kwa kuwataja majina zao mtumishi nakufwatilia sana kwa mtandao wa TH-cam
Amen 🙏🙏🙏🙏 Mungu akupe nguvu sana kaka enderea kutufundisha Neno la Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ulinzi wa Bwana ,Uwe juu Yako 🙏
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu, inaweza kuwa vigumu watu kukuelewa lkn hauna budi kusema kweli, Mungu amsaidie dada Christina Shusho, najua ametiwa upofu lkn Mungu amsaidie.
Amina barikiwa sana mtumishi Mungu akulinde siku zote
Mungu akulinde sana akuongezee maarifa Mtumishi....... Mighty Name of Jesus Christ 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akutunze kwa ulinzi wake
Mungu diyo jibu kaka Asante sana 🤗🤗🤗🤗🤗
Mhhhh twende wapi jaman dunia imekwisha Asante mtumishi wa BWANA kuifanya mioyo yetu ipate kumrudia MUNGU w kweli tumekaribia nyumbani we YESU tusaidie barikiwa mwana wa MUNGU
Mungu atusaidie sana tunavita kali sio kawaida mungu usituache pekeetu hataweza tutie nguvu tushinde uyu dada aliimba mwenyewe kwenye mithali 1 tena wimbo wake huo huo ndio umemchota miguu munguu tusaidie
Mimi niko congo nayipenda sana nyimbo zako na maubiri
Sauti hii ni ya mtu alie nyikan🙏 ee MUNGU ANISAIDIE AMINA
Ev. Pascal, ahsante kwa kutufungua macho. Mungu akutie nguvu katika huduma hii
Ubarikiwe mungu akujaze nguvu
Baba tusaidie Baba tusaidie,Ee Yesu nikumbuke mimi nisamehe pamoja na huyu anayesikiliza ujumbe huu
Amina mungu akutie nguvu hata mm nimejifunza kuisema kwel hakika ww n chombo chema
Mungu akulinde mtumishi wamungu
EeMungu tuhurumie Sisi wakosefu nipe mwisho mwema 🙇🙇🙍🙏
Huyu jamaa nampenda sana ila watu wasema kweli wanafuatiliwa ili wauwawe
Tunamuomba mungu akufunike kwadamu ya yesu Christo ili uwaumbuwe wote ubarikiwe sana🙌
Barikiwa sana casian mimi nakuelewa sana,, na Mungu atakulinda
Mungu akutunze jaman watu maarufu wanaharibu watu Mungu naomba ufungue akili za watu jamani 😭😭😭😭😭
Eeeeh BABA MUNGU wa majeshi uliye mbinguni tusaidie
Mtumishi.mungu akulinde sana..
Mungu akupe hekima kubwa sana
PASCAL CASSIAN MUNGU AKUTETEE UNAYOYASEMA NDO YANATAKIWA KUSEMWA, JAPO WENGINE WANAONA AIBU KUSEMA HAYA, SHARTI INJILI IHUBIRIWE, MUNGU ATUKUZWE MBINGUNI, NA DUNIANI UDHIHIRISHO WAKE UONEKANE.
Mungu nisaidie mwisho wangu ukipendeze wewe!! Mungu akutunze mtunishi.
Atukuze Mungu muweza wa yote, Asante kwa ujumbe
Be blessed the man of God for this message
Mungu akushushie malaika wa ulinzi mtumishi,,hakika inaumizaa
Pole Mtumishi wengi tumekuwa watumwa wa dhambi utusaidie tupone
BARIKIWA SANA MTUMISHI KWA UJUMBE NINAIMANI KWA WATU WAMESIKIA
Yesu anatuita Mtumishi
Yesu tusaidie yesuuuuuuu tusaidie
Asante sana Mungu akubariki saana
Mungu akubariki sana 🙏🙏
Big up shujaa mungu akutunze
Barikiwa Baba Mungu Akucunge
Amen hallelujah, ubarikiwe sana mtumishi kwa kuendelea kusimama katika kweli ya Kristo. Bwana wetu Yesu Kristo akulinde na akuepushe na mipango ya kishetani katika maisha yako. Walio wa Kristo wataendelea kumtumikia kwa hali zote. Giza la dunia hii halitatuzuia. Hakuna haki za ushoga na wote wanaosupport ushoga wamelaaniwa.
Asante kwa utumishi wako mch,tunatamani watumishi kama ninyi ili injiri ya kweli isemwe ,dunia inaisha
Asante kwaunjumbe uzuli unatuokowa nakutufunguwa macho balikiwe sanasana pamodya nafamiliya 🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi
Eeh Mungu wangu naomba nikupendeze 😢
Cassian na katekela hawa watumishi wamenusulika na mashetani wanajua siri zote zakuzimu ambao hawaelewi ushuhuda na mahubiri yao bado wako gizani wanawayawaya na dunia,ongezeni moto watumishi wa mungu tuko tunawafwatilia sana 🇿🇲
Ub arikiwe sana mwinjilisti Cassian Paschal
Amen
Ubarikiwe mtumish🙏🙏🙏🥰
Mungu Akucunge Uendeleye hivo maana mele kunamalipo
Ingekuwa vizuri sana watumishi wa Mungu wamfuate au kumuita ili kuongea nae au kumpa ushauri nadhani ingesaidia sana, ipo haja sana ya kujifunza toka kwa ndugu zetu wa upande wa pili
Mbona sikuelewi. Fafanua please!
Aminaa, waambie pastor wakome kutuposha
God bless you mtulishi wa Mungu ✅🙌🙏🏽🇨🇩🇨🇩
Mungu akutunze kwaulizi wake usiyo wakawahida mungu anakusudi lakukuleta .
Mungu akutiye nguvu una nibariki
Mtumishi wa kweli wa Mungu Pasical Cassian.
Mungu atuhulumie maan dhambi zimekua nyingi na mda umekwisha
Barikiwa sana shujaa.
MUNGU akubariki sana mtumishi
Mungu akubariki sana wambiye wasikiye
Be blessed mtumish! 🙏,,,
Ubarikiwe sana mtumishi wa mu
Nice job mungu akubariki sana pasta
Ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU
Cassian sio mnafiki ni mkweli, wambie
Hana kweli yeyote anayoijua kuhusu Mungu, aanze upya kujifunza kumjua Mungu, hapo anaganga njaaa tu.
@@damasmayanja2930Mungu ni mkuu hachunguziki wewe ndio ujui tubu okoka kweli ichukie dhambi tupo safarini na kiongozi wa safari ni Yesu
Kristo Yesu alishaukomboa ulimwengu dhidi ya dhambi miaka 2024 iliyopita, alifanyika dhambi ili wamwaminio wote wawe HAKI mbele za Mungu.
@@damasmayanja2930 kwaiyo kama alikufa kwa ajili yetu ndio utende dhambi soma bibilia vizuri , Yesu aliwambia mafarisayo nataka Rehema wala si sadaka soma mathayo 12:7 lazima utubu uwe mtakatifu ndio utamwona Yesu tofauti na apo sahau nakushauri tena okoka kweli tubu acha kubeba dini mbebe Yesu
Mungu mwenye enzi yote turehemu
SHUSHO NI NI MWIMBAJI WA SHETANI
Mungu naomba tu unilindie uzao wangu bac
Amina mtumishi
Anajua habari ya maandiko ya chakula cha kale na Injili ya tunda la ujuzi wa mema na mabaya hajui lolote kwa habari ya Mti wa uzima(Kristo), hajui lolote kwa habari ya Kristo Yesu ndio maana anazungumzia habari ya hofu ya kifo na mauti, ndani ya Kristo hakuna hofu ya Kifo wala Mauti kwa sababu Kristo ni UZIMA ukimjua Yeye utajua Uzima tu.
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana
Mama yetu rose muhando pitia injili hii na ww tusikupoteze jamani Mnasikitisha Mungu aliowaamni kawapa vipaji jamani 🙏😢
Nakufatiria sana Mutumishi wa Mungu, ila unafeli sehemu moja tu, kelele ....
Naomba soma isaya 57:1
Piga kelele usiache paza sauti yako kama tarumbeta uwaambie watu makosa yao warud kwa yesu watasamehewa
@@MamaMatha-si1zr yes kelele za kuhubiria watu ukweli ni muhimu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 YESU TUSAIDIE
Kwa kweli muchungaji nimekuwa nikifuatilia ujumbe wako hakika yote umekuwa ukisema ni kweli Lazima ukweli usemwe hakuna muda wa kufanya urafiki na Mungu azidikukupa nguvu
Ulisema mwaka jana la leo hii bd tumuombee ndugu yetu
Ee MUNGU tupe mwisho mwema
Amen sana napata maziwa yasiotiwa.maji
Bwana na awe nawe usiogope paza sauti. Ila Bwana akufunulie sawa na ombi langu.
ubarikiwe mtumishi
I recall this year back but now is happening 😭😭😭 eehh mungu tuokoe Wana wako🙏
Asante mtumishi wa mungu
Sisi tuna kukubali sana kwa fact zako na ushauri unaotoakupitia injili ya Bwana
Lakini tunasikia mtu akikuomba ufanye nae wimbo una muchaji pesa.
Na wakati maandiko yanasema ,tumepewa bure nasi tutowe bure .
Yani watu jaman pesa pesa pesa 😭😭😭😭 kweli chanzo cha mabaya yote ni kupenda fedha Mungu alivyo mzuri unamuacha kweli 😭😭😭
Nakupata vizuri
Jaman Mungu ni mwema tuachane na wanadamu 😭😭😭😭😭
Mungu atuhurumie waja wake tuwe na mwisho mwema
Unakazikubwa mungu wako akufiche?
Kweli inahusunisha lakini naamini ataomba Mungu aliye hai msamaha na kumrudia lakini ni aibu😰😰😰Mungu amsamehe
Kwan shusho kafanyaje jmn hata sielewi sijui ubize mmh😂😂😂
Kama hii tukio ni kweli me nimeumia sana kuona hiv nilikuwa namwamin sana huyu dada katika uimbajiii
Barikiwa na mungu❤
Barikwa sana mtumishi 🙏
Papa mwenyewe marinda Hana. Sasa. Sjui nawaumini wanapmuinga mkono. Nivipofu MUNGU nisaidie. Nimalize pambano salama
Mmh
Ndugu yangu kumbuka Kuna msamaha wa damu ya Yesu! Utajuaje matengenezo yake MUNGU! Chamuhimu nikuombeana tumalize mwendo salama
Ubarikiwe
Ila ashukuriwe Mungu maana alisema hawatapotezwa wateule Wala hawataiabudu alama ya mnyama( pope). Injili na iende mbele
JEHOVAH ALMIGHTY THE BOSS OF THE HEAVENS AND EARTH 🌎 HALLELUJAH.
Christina ameamua kwa akiki zake timamu kuhama utumishi amtumikie boss wa dunia hii, lakini MUNGU ni wa rehema ukitubu kweli anakusamehe dada shusho unayo nafasi bado
Amen 🙏🙏 Spread the true gospel of God 🙏 keep it up
Mungu tusahidiye
Mungu atusaidie
naam ujumbe umefika mungu akubalik
Amen mtumishi
Eee Mungu tusaidie sanaa 😭😭😭🙏🙏🙏
HALLELUJAH TO THE MOST HIGH GOD JEHOVAH ALMIGHTY.
Amina Amina 🙏
Ulindwe mtumishi wa MUNGU.
Amina mtu wa Mungu!!