SHANGAZI SOFTENA AWANYEA SHILOLE NA ESHA BUHETI HAWANA AKILI/WAMRUDIE MUNGU WAMEZEEKA/KUPENDA VIJAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SHILOLE NA ESHA WANAPENDA KUKEA VIJANA WAMEKUTANA WAMRUDIE MUNGU WASHAZEEKA TAYARI #shilole #eshabuhet #esha

ความคิดเห็น • 52

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe หลายเดือนก่อน

    Jamani kosa lake hapa nn mbona mi sijaelewa.yeye kaulizwa na anajibu maono yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-bc3lh5ss6c
    @user-bc3lh5ss6c หลายเดือนก่อน

    Surely 😮

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nauliza wewe sof ndo mdogo hahahaha umenichekesha Sana

  • @BrightnessBruno-k2i
    @BrightnessBruno-k2i หลายเดือนก่อน +1

    Ila we mama kwa io sisi wa 95 n wamama nimelia sanaaa

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 eti siku za kufa zimefika na wamenenepa sana wafanye ibada😂 ila umeongea ukweli dada

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

      Kufa sote tutakufa inawezekana ukafa wewe Dada kabda ya hao unaowasema washakuwa wazee. Hao ma sisters ni wanene na weupe na wazuri mbona tuu

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน

      @@awatifalghanim1106 ungeelewa speech ya huyu dada usingeongea hivyo kaongea kitu kizuri washakua watu wazima waache malumbano mana ni mda wa kufanya ibada coz vifo vinatokea kila kukicha wafanye ibada waache maneno nimemuelewa sana huyo dada speech yake wengine huongea kwa sauti wengine huongea kwa sauti ndgo so hajaongea kitu kibaya

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n หลายเดือนก่อน +3

    Huo mtandio ulvovaliwa ka bandage😂😂😂

    • @florabuzoya3948
      @florabuzoya3948 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 umenichekesha jamani weer

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 watu wazima hovyo

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mama mtu mzima usichokielewa hapo nini? Umekazana wenzio watu wazima je ww?? Na kingine usichokielewa Hawa wote ni wasanii je kama wanatangaza biashara zao zizidi kujulikana Dunia nzima haya mambo ni kusikiliza tu na kuwaachia wenyewe, Hawa ni marafiki wapo kwenye matangazo ya biashara zao ww kaa kimya

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน

    Ngoja majibu yako😊

  • @florakimaro-vw7qj
    @florakimaro-vw7qj หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmh jamani muongope mungu wanauzee gani wezako ongea point sio uwakashifu wezio kweli adui wamwanamke ni mwanamke mwezake jamani.

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huna maana kwahiyo wewe nimaraya ulifata pesa Ila unashuglimiwa huko nje pole mume wahuyu dada

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 หลายเดือนก่อน

    Kupika wenyewee hujui hapo ulipo kazi kutuekea miuno tu😊

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 หลายเดือนก่อน

    Sasa ww n mtoto wao

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน

    Wanaume uku tunawashangaa kweli yani😊...kwa mfano mimi huniambii kitu kuhusu biriani la bimkubwa..iko iv mnaweza mkatumia viungo sawa mkapika mda m1 na test zikatoka tofauti na iko ndo chakula acheni kelele

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 หลายเดือนก่อน +1

    MZEE NI KUANZIAN MIKA 65 na kuendelea

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA หลายเดือนก่อน +1

    Hili lidada lina roho mbaya kwann linawakandia wenzie shenz kabisa

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanamke ni mshenzi kuliko washenzi wote, ameongea pumba mwanzo mwisho

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 หลายเดือนก่อน

    Watu wengine hawana hekima sasa majibu gani

  • @mrsab303
    @mrsab303 หลายเดือนก่อน +1

    Can be quite please???

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa😂😂 sasa wenziwe wa bibi yy babu ovyoo

  • @nevermgawe2802
    @nevermgawe2802 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenda huko wewe we mwenyewe mzee

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

    Kama una khofu dada Mhhh basi huna maisha ya raha kwenye ndoa yako. Maskiniiii wewe shangazi. Wacha kujisifu kwenye maisha.

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 หลายเดือนก่อน +2

    Haya dada umesha onekana haya tafuta chaku Fanya Dunia imesha kuona😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Haswaaa wanama miaka43 huko wanaleta ufala hapa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Kabsa waombe mwisho mwema ushaur wangu wafanye ibada tuy wa ache ujinga

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo kwenye kusugiliw na ww pia hujielew nahao mashangaz len moja hamna khaya ni ujinga mtup

  • @Maymuna-wc8lz
    @Maymuna-wc8lz หลายเดือนก่อน

    Etiii Wafanye Diet😂😂😂😂 Kabati la Milango 4

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Hakika dada umeongea point nikirud nitakutafuta nina zawad ya madera ya oman

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 หลายเดือนก่อน

    Asa unawaongelea wenzio vifo fr ?

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe unasema shishi ni kibibi sasa wewe mwenye hijabu huna maana unazungumza uchafu huna hishima nyama ondoka

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 หลายเดือนก่อน

      Halafu kazi kuisifia kuhusu mume wake mitandaoni ngoja wamuibe na huyo aliyenaye 😢

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho หลายเดือนก่อน

    Kwanini uliachwa SASA uongo Walla hakutaman Kwa mdomo huo uongo

  • @GufgChgy
    @GufgChgy หลายเดือนก่อน

    Waeza kwenda wewe uwaache wao. Kifo hakichagui umri

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

    Si ungesema tu anakuto vizuri unaozunguka zunguka unamsifa mara ana kukaza kwani wewe nati kujisifu tu na kuponda wenzio

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto หลายเดือนก่อน

    Maybe kiki

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho หลายเดือนก่อน

    Unaulizwa umr umekomaa mzuri nshamba wewe

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA หลายเดือนก่อน

    Hana adabu kabisa hata kuongea kwake anashindana na kina shilole na esha wenzake mastaa hawana ubaya

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 หลายเดือนก่อน

    Wewe ume wezaje kujua wana muda mchache wa kuishi kwani ni israel mtoa roho fyuuu😂

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky หลายเดือนก่อน

    Kwani Uzee ni Ugonjwa?mume tajiri umejaa mitandaoni kuuza Original crime (Mikorogoo)are you okay?

  • @user-ty1tp8ly8q
    @user-ty1tp8ly8q หลายเดือนก่อน

    Hawajafikia kuwa Bibi kwendraaa chuki tu 🤣

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน

    Huna heshima kama yamke wa mtu

  • @asmaalhabsiya9652
    @asmaalhabsiya9652 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @mrsab303
    @mrsab303 หลายเดือนก่อน +2

    Please don't call them older than you

  • @ShalifaMshamu
    @ShalifaMshamu หลายเดือนก่อน +2

    Yaninawe ujihelewi kwaiyounajiona wewe msichana kuliko kwelinyani ohoni kundule

  • @user-gq3oj7du3h
    @user-gq3oj7du3h หลายเดือนก่อน

    Ilinalo sula kMa kopo Chefuu

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu naye kwendraa kaoshe mkuu** huko ww hujioni hovyoo mtu mzima kichwani fuunza tupu 😏😏

    • @ashuramanya9282
      @ashuramanya9282 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho หลายเดือนก่อน

    Pumbavu wewe