kaka angu malipo APA APA dunian usilie kaka angu uslie kaka angu daah serikali jaman angalien bas upande was uyu kaka please jaman kaka angu said amini hii no dunia tu mungu yupo najua unaumia sana kaka ila malipo kwa mungu
Shauri kwa ndugu wa muasirika ni kuweka kisasi kwa scorpion, skitoka mu deal nae. Siamini binadamu anaweza kutoa hukumu ya haki. Na kidini tumeambiwa kulipiza kisasi ni haki
Kwanini uishi nyumba ambayo kod yake ni milioni??? Wangapi wanaishi nyumba ya gharama akijua fika maisha mbeleni hayasomeki???? Nakuomba ubadilike ndugu yetu, hujafa hijaumbika
Jamila Mgasa . Husilolijua ni usiku wa kiza... yawezekana scopion hana dhambi na aliyekuwa na nia mbaya akawa said so sisi tuliona na kusikia upande mmoja hivyo tusihukumu
Hapa mahakama hayikuhumu kwa haki hapa nchi yetu ndipo ilpoangukia pua vyombo sheria havitoi haki kwa wanyonge huyu katobolewa macho bado aliye mtoboa macho anapewa adhabu ya mwizi wa kuku mitaani kweli Enyi mliyopewa mamla katika vyombo sheria muogopeni mwenyezi MUNGU kwa kuwadhurumu wanyonge haki zao Inauma saana...!
Sheria ovyoo hata hakuna maana kuwa na serikali miaka saba ndio nn huyo ashazoe jela,nahata askari hawampi adhabu yoyote.kuma zenu nyie askari na sheria zenu
Moyo wangu❤❤❤
Na yy angetobolewa macho
anastahiki kunyongwa pole sana saidi amekuharibia ndoto zako maskini
angetobolewa na yy
kaka angu malipo APA APA dunian usilie kaka angu uslie kaka angu daah serikali jaman angalien bas upande was uyu kaka please jaman kaka angu said amini hii no dunia tu mungu yupo najua unaumia sana kaka ila malipo kwa mungu
Uyu hii ukumu kwake ndogo sana ilibidi afungwe kifungo cha maisha kabisa kamualibu macho mwenzie
Kakangu pole mungu atakulipia
uyo wakuua kabisa miaka7 siatatoka tu au nae atobolewe macho
Baada ya miaka 7 akitoka jela atatowa tena mtu mwengine macho. Miaka 7 ni kidogo sana. Adhabu ni kifungo cha maisha afe jela
Kamtoboa mtu macho alaf bad mnamlind piga shaba uyo scopion han faida kweny jamii👂🤲🤲🏾
angetobolewa hayo macho nayeye
inauma sana hata kama angalipewa bilioni elabado saman ya macho bado hawezi kulipa ili ilpe nayeye amchome visu vvamacho al kisas haki
Jamani aki amna kabisa apa
hukumu siyo shida ila kiwango cha fedha kamna malipo ni kiddogo sana ikizingatiwa thamani ya shs kushuka . Huyu angepigiwa hesabu za 100m.
watching from abroad. he should get a life sentence.
.
pole kaka pole sana unamtihani mkubwa sana nimesikitika sana
Ngoja tunyamaze Najua jp magufuli jembe letu la nguvu ataamua
Mbon hukum ndogo angetolew nayy macho
Hiyo siyo adhabu bali ni kejeli kwa mhanga wa tukio
Sina la kusema nimeachia mahakama Ila moyo unauma Kwa alichomfanyia binadam mwenzie
Shauri kwa ndugu wa muasirika ni kuweka kisasi kwa scorpion, skitoka mu deal nae. Siamini binadamu anaweza kutoa hukumu ya haki. Na kidini tumeambiwa kulipiza kisasi ni haki
kikweli angefungwa kifungo cha maisha na kupewa adhanu ngumu au angenyongwa
akatwe miguu
Adhabu iliotolewa kwa mtuhumiwa ni ndogo sana haitoshelezi
Sheria gan za kisenge hizo huyo akatwe kichwa
fahad said 😒😒😒
Hatar kwa kweli
Kweli kabisa
nenda kapange nyumba ya kawaida
Ohhh tena anacheka voohh
Wangemwachia huru tu. adhabu ndogo cna.
inaumaaaaa jamaniii ila malipo hapa hapa kwa mungu
Anawem gan M wenziwe kamuwek kipofu hawez hat kufany kaz
wangemtoboa macho na. yeye scopion
Wewe unae tukana asikar tumekusoma tutakutafuta popote asikari nihakim?
briton mwaipopo unacho kitafuta utakipata unamtafuta wanini? utapata tabu sana nasema tena utapata tabu sana
Wewe kama nani hadi useme umtafute??🤔🤔
Apo ndipo nnapochokaga na sheria za kibongo, jamaa uyu nimnyama kabisa unamfunga miaka saba (7)??😢😢
Huyu Hakimu atumbuliwe!! Yaani miaka 7!!! Mlalamikaji kumshtaki kwa MAGU.
miaka 7 siyo michache we we atapoteza muda sana huko usifikiri mchezo
Miaka saba kidigo sana
duuu bora tu aendee
Huu ni ushenzi sasa, miaka 7 ni kidogo mno. Huyu mtu ilibidi akatwe mboo na pumbu zake zote halafu afungwe miaka isiyopungua 55.
MightyLumber 😁😁😁😁😁😁 wallah wewe itakuwa una kichaa kidogo kunichekesha hivi ndo nn harafu wewe mungu anakuona
Angenyongwa uko
Miaka 7 midogo mno
Haki mbonguni dunian ujanja ujanja tu
wamuulie mbali Ile liscopion nyambafu Ni muuaji
ndio maana uisilamu una haki za binaadam zinazo endana na hali halisi za wanaadam, huyo angetobolewa na yeye macho
Kwanini uishi nyumba ambayo kod yake ni milioni??? Wangapi wanaishi nyumba ya gharama akijua fika maisha mbeleni hayasomeki???? Nakuomba ubadilike ndugu yetu, hujafa hijaumbika
uyo sawasawa kaixhi na mwanafunz miak30 akafie jela2 mbwa uyoooo
huyu aliyetobolewa macho ni mwizi kufulu buguluni hapo sema hamjui chunguzeni
wamuuwe kabiaa aludi uraiyai tena si mtihani
sasa huyu alipashwa kucomwa tu, miaka misaba si hukumu hiyo, mi si elewi serekali ya TZ 😏...
Hapo hakuna haki iliyotendeka, wallahi aliyeyetendewa unyama amedhulumiwa sihaki hata kidogo
Poteza yeye
duh unamtoboa macho binadamu mwizio dunia kwahery
tz hahaaaa unamtoboa macho unamchoma tumboni then hakimu anahukumu hakuzamilia
Jafety Amosi yani hii serikali yetu rushwa imetawala sana
huyu scorpion ni msenge alitakiwa afe tu
mungu anawaona
man nyigu haijakukuta ww
So sad bado haki haijatendeka jamani.
Angenyongwa
He should make an appeal if it was in Kenya he will be jail for ever
Hakufanya yeye Yukio hilo amesingiziwa
Ata kama hakim hajasoma hawez kuhukum miaka 7 tu unyama waaina hiyo
Kama ni hivyo they should also remove his eyes or else
acha ujinga kama unaweza kulipia m.2 kwa mwaka kwa nini hujajenga mpaka Leo mipangilio na malengo yako si mazuri
Rashidi Omary acha ujinga wwe kua kipofu wwe,, utaona majibu
Brother wewe ni upendo achana na mawazo ya chini samehe ulitaka afe noooo samehe bwana
Nenda kwa raisi wa wanyonge atakusaidia tu kaka yangu saidi mtu kakutoa macho bado wanamlinda tu
Jamila Mgasa ,Nenda kwamashekhe watamkomesha
Jamila Mgasa . Husilolijua ni usiku wa kiza... yawezekana scopion hana dhambi na aliyekuwa na nia mbaya akawa said so sisi tuliona na kusikia upande mmoja hivyo tusihukumu
Askari wa senge tu
anza kubadiri mtizamo acha kulia lia hela ulipata nyingi
Halafu anacheka wala hana kisisi
Noooo he need to be jailed for ever
wewe kaa na vibonge wako hao
ati saba hyo ni kidogo sana
Pole na wewe unayebembeleza mbona unaliaa? Jikaze ndio ujue kumbembeleza mwenzio. Inauma lakini
Hapa mahakama hayikuhumu kwa haki hapa nchi yetu ndipo ilpoangukia pua vyombo sheria havitoi haki kwa wanyonge huyu katobolewa macho bado aliye mtoboa macho anapewa adhabu ya mwizi wa kuku mitaani kweli Enyi mliyopewa mamla katika vyombo sheria muogopeni mwenyezi MUNGU kwa kuwadhurumu wanyonge haki zao Inauma saana...!
Hata km umepiga mtu bs unapofusha?
huyo fala n yy atolewe macho ndo uislam miak saba kdg sn
Kama wameshindwa toa watuajili watu
Kwakweli.adhabu waliotoa aiendani na tukio no ndogo mno
Kesi hiyo ina siri kubwa kwani aliyehukumiwa ndiye aliyetakiwa kusaidiwa na aliyetoborewa macho ndio haswa aliefaa kupata adhabu zote hizo.
Majaliwa Abbass Duu
Sheria ovyoo hata hakuna maana kuwa na serikali miaka saba ndio nn huyo ashazoe jela,nahata askari hawampi adhabu yoyote.kuma zenu nyie askari na sheria zenu
Azonto Zonto ,Hakunahaki duniani,dawa yadhuluma ni Salvador tyuu
Auwawe kabisaaa nimkatili
Kama nigekuwa mm ndiyo mwenyesheria ningemua jabazi alafu ati miaka misabaa auliwe hiyo si sawa kabisaaa
Huyo atobolewe macho yake mawili.
Kuna namna huwezi kutoborewa bila sababu mahakama siyo wajinga hiyo hukumu imefaa tu
Ashura Kambangwa © Mwaka unaisha
mimi ni mwanadamu si mkamilifu huenda kuna siku
1-Nilikusema
2-Nilikukera
3-Nilikuudhi
4-Niliondoa Amani Moyoni Mwako, iwe bahati mbaya au kukusudia
Kama lipo moja katika haya Naomba UNISAMEHE, ikiwezekana uniambie nilipokosea ili nijirekebishe na tumalize mwaka kwa AMANI.
® Nathibitisha kwa ulimi wangu na
,%'''% ,.,..%'''%,
%' kwa moyo %
'% wangu %'
'%, wa ,%'
"%, : %"
Dhati na Mkunjufu bila kinyongo chochote nakutakia MAISHA MAREFU NA YENYE MAFANIKIO KTK KILA JAMBO MWAKA 2018-2019 KAMA NA WEWE WANITAKIA MEMA MIMI NIRUDISHIE SMS HII. Na uitume kwa wengine ndugu na marafiki wote DUNIANI kisha angalia utarudishiwa na wangapi wakikurudishia zaidi ya wa 5 jua wewe ni mtu wa watu.
Hakuna namna huyo mwizi alikuwa amepambana naye akafanikiwa kuiba cheni na kumjeruhi kama ulivyosikia