#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #EXCLUSIVE: MKASA wa MZEE SENI ALIYESOTA JELA MIAKA 30 KOSA la UBAKAJI, ASIMULIA KIFO KILIVYOMUITA
    HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano maalum ya Global TV na Mzee Seni Hassan Seni mkazi wa Mkolani jijini Mwanza ambaye ameeleza mkasa wake wa kweli wa kufungwa jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 39

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 ปีที่แล้ว +4

    Ata usukumani kulikuwa na ile chagulaga unatumia nguvu kumpata mwanamke,bila hivyo hupati jigijigi!

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +2

    Iyo hali ya kutopata
    Dem mpaka uyafanye
    Ayo hata kwetu yalikuwepo
    UJUE KUPIGANA au
    UJUE KUENDESHA PIKIPIK
    OVYO SANA au UJUE KUCHEZA
    MZIKI au UWE NA USHAROBALO
    WANGUVU SANA yani
    kwa kifupi UWE NAJINA
    musimbishe mzee kwentu Lindi
    YALIKUWEPO AYO

  • @Msomali-o7f
    @Msomali-o7f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa huyo hana no ya simu kimsada zaidi

  • @julianayesayamwailolo8240
    @julianayesayamwailolo8240 ปีที่แล้ว +2

    Tuwekeeni na part 2

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว

    Nikweli mika ya 80 mpaka 90 huna nguvu utaparamia mademu wa hovyo ambao huwezi kulinga nae kitaa, Ukiwa na Nguvu au Umaarufu flani au Mkorofi wa kitaa hapo kweli utawaotea mademu wakali nje ya hapo utakaa sana kupata demu wa kijanja.

  • @johnmwa575
    @johnmwa575 ปีที่แล้ว +3

    mwandishi kapwaya sana. alipokataa pale guest alienda kwake, je alipomtoa pale kwake alimpeleka wapi na alimpelekaje na alimfanya nini na kama alimfanya chchote alimfanyia wapi, hadharani? chumbani?. kwa sababu mpaka story inaisha mwandishi ameshindwa kuuliza maswali ili aeleze kosa aliloshitakiwa nalo. Mpka story inaisha haijulikani mhusika alishitakiwa kwa kosa gani. na kama, kosa lake tuseme ni kubaka, alimbaka hadharani, maana hajasema alipotoka alipokimbilia huyo dada alimvuta kumpeleka wapi.

  • @edwardmahemba8189
    @edwardmahemba8189 ปีที่แล้ว

    Mikoroshin kumbe ya zaman wenyeji wa mkolan tunaijua sana maana ni maarufu sana hapa mkolani, cku hiz ndo guest ya bei nafuu kabisa buku 5 tu

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว +2

    Dahhh kweli alikua mkatili yani unataka mapenzi kilazimaa hiyo kali

    • @yudaaraphati9673
      @yudaaraphati9673 ปีที่แล้ว +1

      Ungezaliwa zamani Aisha yangekukuta😂😂

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 ปีที่แล้ว +1

      ​@@yudaaraphati9673uzuri wa huyu jamaa anaongea ukweli hataki kudanganya

    • @yudaaraphati9673
      @yudaaraphati9673 ปีที่แล้ว

      Ila mwamba kajifunza

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

      @@yudaaraphati9673 dohhh ningekua nami mkatili maana sipendi kuonewa huenda ningemfunga mapema mno

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

      @@yudaaraphati9673 sanaa

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv ปีที่แล้ว +1

    kuna cha kujifunza apa

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 ปีที่แล้ว +3

    Kwambaali saut yake inakuja kam JPM

  • @basilsawewe1712
    @basilsawewe1712 ปีที่แล้ว +1

    Bado kaniacha na maswali kibao!
    Hivi hukumu hizi za miaka30 kwa ubakaji, mwaka1996 zilikuwa tayari zishaanza kutumika?
    Mi nakumbuka Bunge limetunga sheria hizi kuanzia muaka ya 2000 kuendelea.
    Au huyu mzee kasahau?

    • @vijanafurniture1810
      @vijanafurniture1810 ปีที่แล้ว +1

      Hata huo mwaka alio zaliwa sidhani kama ni kweli 1972

    • @fadhilimsafiri216
      @fadhilimsafiri216 ปีที่แล้ว

      Hukumu zilikuwepo, hakimu anahukumu kadri anavyo ona inafaa, mf. Mwaka mmoja, 30, 40 n.k baada ya Sheria kutungwa.. ndio kuanzia 30.

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 ปีที่แล้ว +2

    Huwezi kucheza disco, huwezi kupata mwanamke mzuri, mpaka ngumi? Zamani ya lini hiyo?

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

      Labda mtaani kwao ila Allah amsamehe kwakweli

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho ปีที่แล้ว

      Zamani ya kabla miaka 30 nyuma😁

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 ปีที่แล้ว

      Teheee iyo zmn

    • @mohamedabdallah6480
      @mohamedabdallah6480 ปีที่แล้ว

      Namfahamu vzuri pia ananifahamu enzi zile sio izi,anamakubwa mengi na jela kaenda sio kwa kesi hiyo tu kafungwa mala nyingi tu,mengine kwa vile ni mahojiano hawezi kufungika,nikupe moja alishambaka mbibi kabisa sawa na bibi yake mzaa mamaake,lakini hapo utumbo ulikatwa ukaungwa alishawapiga jamaa wakamchoma kisu tumboni utumbo nje kabisi alikaa ICU siku za kutosha,

    • @shanifesto9037
      @shanifesto9037 ปีที่แล้ว

      @@mohamedabdallah6480 sikupigi wapo wengi wa dizaini hii ,,ila mungu awasemehe kwa kweli kwa wanaojutia makosa

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 ปีที่แล้ว

    Hajazaliwa 72 huyo muongo.